Hapa wapemba mmetukosea mana hatujafikia hatua hii mke wamtu kukata mauno hadharan tena juu ya mwanme aaaah actini uhalisia wapemba hawajafikia ufuska huu
Huu ndo ubaya wawabongo mwanzo mzuri ila mwisho sasa ovyo😏😏iliyakiwa ajue kua mkewe anachepuka na rafikiake ndoili ajutie kutomuowa hidaya nakuende kuowa pemba
Kwani unavyo sikia vibanda vya wahaya sio wote wanaojiuza wahaya Kuna mchanyiko ndo ilivyo Kama wewe mpemba umetulia sio wote wametulia sina mfano wa mbali mke wa kaka angu anacheza chula atali kazaliwa na kakulia uko
Asante kwa part 2 nilikuwa naingoja kwa ham nice ❤
Hapa wapemba mmetukosea mana hatujafikia hatua hii mke wamtu kukata mauno hadharan tena juu ya mwanme aaaah actini uhalisia wapemba hawajafikia ufuska huu
Mbn unateseka amy
Mambo ni moto dada wa kipemba🔥🔥
Tulikua tumeyisubili kwa hamu sana Ni nzuli love From Burundi Bujumbura
Dada wa kipemba nakupendaga ww
Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewee, wake tuwaheshimu waume zetu jamani wao ndio pepo yetu vyoo
Eeeh kumbe wanaume ndio pepo
Kazi nzuri sanaaaa big up Rayuu ,johari
Johari kisura sana nakupenda sana Yaani unajuwa kuigiza we acha tu😘
Pamoja sana wakati wote😍
Good job...Nikiangalia Movie za kibongo Haswaa za Uswazi yaan naona Mitaa ya kwetu Mombasa Kenya❤❤❤
Safi sana Samia kwa kichambo ulichomfa😘👍💯
Nimefurah kwa kweli 1love hidaya bolli😍
Wakipemba😀😃 nice
Yani alivyokuwa mzuli uyu mumewe mie mbona kila wakati Nampa papa
Hhhhh waambileee
😂😂😂kweli papa
🤣🤣🤣🤣🤣hatareeeee
😄 😄 😄 😄 😄 😄
🤣🤣😃😃
Mume mpole 😂😂😂🤣🤣🤣
Kazi nzuri
Asilimia kubwa mke anotolew sehemu ilopoa akipelekwa sehemu ilochangamka inakuwa mtihanii..kubadilika maramoja
Inanifundisha hii,nzuri sana
Mashaa Allah movie nzuri shukran kwa wausiki mume ndo kama uyo jamn makopa2 kwa bwana aruc♥️♥️♥️♥️💋
Wow this was an awesome movie, I liked it 💞💕💞💞💕
Johari masikini. na upoleuwo hii move wamejua kumchetua😂😂😂🤣
Kundi LA pembe pambe 😅😅😅❤
Hidaya black beauty na macho yakuvutia
😂 😂 😂 😂 😂 Johar bado muv za micharuko hapo. Mngemuweka rihama🤣🤣🤣 mpo vzr lkn jaman mmewezaa
Au shamsaaaaa fod
Mbn ameweza tu
Ameweza sana tena sana
Hapo kwa shamsa Ford ndio pako swa
Mashallah asante sana
👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽Napenda maisha ya kiuswazi meme jamani 😆😆vigoma kila kukicha 😜💃💃📌
Weeh vigomo 💃😂😂
Yan yanautamu wake👌👌
Yan nahic we kidogo mm yan hatar
Johari. Mpenzi long term
Mwanaume mstaarabu kapata mwanamke maraya dah
Ndu funzo yn apo lzm utoke nakitu
Nitfte nkupe zawad una zigo la maana
Penda sana joharo anajua hadi anakera
Johari nakupenda dada
Nimeipenda sn h move nimaixha halis kabisa , mke anaombwa ugwadu anaambiwa kama mchawi inauma sana ajiongezenae😛😛
😂😂ugwaduuuuuuuu
Ungwadu ni nn😛😛😛😛
@@selinaronald929 ugwadu n nyege zilizochangamka 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wakipembaaa
Hongereenii movies nzuri
Huyo mdada was kipemba nae tangu tunaanza kuangalia yupo na wigi lake Hilo Hilo 🙄🙄
😂😂😜
Tukirudi kwenye hualisia movie nzur sana lkn kwenye wanawake kucheza mpk anabaki mapacha wazi
Hawo ni chura wanaochezaga kwenye sherehe ukwel cyo kuigza tu
Ni kweli kabisa sio kuigiza wanafunua vijora wanabaki na chupi tu
Good movie
Choo kipo busy hatari
Hhhh umenichekesha
😀😀😀😀😀
Mov bombaaa
Huu ndo ubaya wawabongo mwanzo mzuri ila mwisho sasa ovyo😏😏iliyakiwa ajue kua mkewe anachepuka na rafikiake ndoili ajutie kutomuowa hidaya nakuende kuowa pemba
Da k mambo yake yote lakn anamuheshm mumew
Mashaallah kumbe anaadabu 💕👌👌
Inalilah wainailahii rajiun
Nice movie
Uyo uliempelekea ndio anaemla mkeo
Nzur jmn
Halo muhona camera man 😄😄😄😄lkn huyu wakipemba jamani cjapenda kabisa yani wamtesa mumeo haki
Kwani unavyo sikia vibanda vya wahaya sio wote wanaojiuza wahaya Kuna mchanyiko ndo ilivyo Kama wewe mpemba umetulia sio wote wametulia sina mfano wa mbali mke wa kaka angu anacheza chula atali kazaliwa na kakulia uko
Mzee Majanga amesuka jaman🤣🤣🤣🤣🤣
Eeh majanga kweli kwataka kutokea kijana Na yy 😂😂😂
@@chunaamina8719 🤣🤣🤣🤣
Tamu sana 😋😋
Nzurii johar umeplay part yako hongeren waigzaj wote
Nice muv penda San
Pambeee tu
Pole kaka
Usilolijua kweli
Rayuu mpe mwenzio uateseka 🤣🥰🥰🥰🤣🤣🤣
Ampe nn
Twaa bwa bwa umekua meli au ndege😭😀😀😀
Nampenda dada mwenye macho mazuli huyu mm
Jaman johar mekupenda bureeeeeee
Oyooo asanyeni kwa sehemu y2
mzuri sana inasisimuwa🎉🎉🎉🎉🎉🙏🏼💯👍😍
Nzurii sanaa 🙏🙏ilaa Uyoo bongee aliitajaa kigamboni akaoee naurii Mia mbilii ajuuii kuetrii😏
Wauuu kumbe mziqo tayari
Goood san pambeee
Kwer wa kipemba ni moto 🤣🤣💃🏻💃🏻
ww tupo wenyew sio ivo tulivyo
Lala usahau kaaaaa Layuuuu
😁😁😁
❤❤❤
Part to cjaipenda. 🤣🤣🤣🤣🤣 ulio oaa polee
Hatar nanus tz noma sana hhhj
Leo mumeamkiya dana
Pole sana kijana
so good
Nzuriii sana jamani
Mashaa Allah
Berry smart!
La samsung au i phone😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Wapii kbs ayielewekii party 2
mashaailh_ongereni_washiriki_wote
Rayu cyo vizuli
😂😂😂😂😂😂Kumbe iyi tabia niya wanaume wote mwaume akimtongoza mwanamke afu akamkata basi anatokwaga namapovu kama yote 🤣🤣🤣🤣
Johar ktk ubora wake nilikumiss mno.
Inamafunzo
Dada mpe mwenzako bwanaaa
Uyo mke wampemba ss lana tupu😂😂
Safi sana
Mpiga picha jamani,nimecheka
Nic move
Estou bem
One love going down to Tanzania..Big up on yourselves Bongo Movies..This is a job perfectly executed
👌👌👌👌
Waooooo
Jmn mzungu4 sio poa.ongeren sana mov mzr
Jinsi alivyo hawezi kuacha tabia aseeeh!!
😄😆😆😄😆😄😆😆😄😆😄😆😄Nimechekaa loooh😄😄😆😆😆😆😆
Huyo anaekula kiporo me ananiudh anavyoongea bhanaa ananikera
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Johari karibu tena
Nimejifunza mengi kuangaria move hii maaana bdo sijaow
Yes!🌹😃😃😃
Nzur mno
Jmn mme kam huy nitampata kwenye app gan nim download😂😂😂
Umenichekesha hatari
@@zalhatamakange2627 🤣🤣🤣kwel ten
🤣🤣🤣
Nipo hapa njoo
@@samwelimoshi5614 mmh
good movie
Nice
Hengereni sana kwa ujumbe mzuri
Nice move
Mnafiki msichana 🙆🇧🇭🙆😴pole kaka
Mambo ni🔥🔥
Sasa d ,k unazaa lini