ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Bailam unaweza sana ila kwenye hii Ngoma umeonesha uwezo zaidi baba kundi lenu halina mnyonge nawapa hongera Kaz nzuri
Jamani munaompenda Bailamu kama mimi mnipe japo like 10
Chukuaaaa👍👍👍👍
Hongera sana kaka bailamu Kwa Kaz zako nzuri
👍👍👍👍
Félicitations bhailamu unaweza yani kila rôle unaipatiya ongera sana 🎉
Bailam wewe ni noma kabisa una nikumbusha kanumba nakupenda sana
Hii miamba n noma Bailam mm naona ndo Kanumba haswa, angalia uhusika, serious, comedy n.k
Yani mkubwa yake na Bhailam anajuwa sana kuigiza yani nakupenda bure ebu chukuwa 🎉🎉🎉🎉🎉
Mwamba huyu hapa king Simba bhailam hii imeenda kweli kweli 😢😢😢😢😢
Aseeee wanangu hiii kitu ni moto 🎉 mmefanya kitu ambacho ni moto .
Bhailam watesa mwenzio maskini poleni mtu nakaka❤❤
Huyo mwanake ana upuzi sana yani unatetewa kisha unajidai eti n mme wako basi ukifaa kufa tu bwana bahilam god job
Huyo kaka anasauti nzuri hvo sikutegemea
Nimeshindwa kuzuia machozi😢., mapenzi yanaweza yakambadilsha mtu kweli😮😮😮
Bailam anafanya vizuli bongo movie yasasa❤❤🙏🙏
Daah P1 Sana kaka bhailam unauwezo Dua kwako by MAYA GANG
Bro ngoma nzuri rekebisha sauti ipo chini sana
Movie nzuri sana mauwa yako Bhailam na team yote tunawapenda sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Daaah bailam kazi nzuri sana umenikumbusha mbali na mm nimepita huku ila mungu ni mwema
It's so heart touching💔....Haina tafauti yoyote na maisha niliyo nayo....nimekua kwa nguvu za mola na jitihada za single mother😥
th-cam.com/video/CWOeyQFGZPs/w-d-xo.html
Bailam anapenda sana kulia jaman Hadi kamasi😅😅
😂😂😂😂😂😂😮I feel the pain of big brother 😢😢so sad
Bhailam unapendwa kutoka kenya❤❤❤
Kazi safi sana👍👍
Bailam nimipenda sana 🇲🇿🇲🇿 my life.. minha vida
Bhailam we ni kuchwa sna,,cjawai shuulika na movie zko by da way nimeanza kukufatilia jna but recpect kwako ,,I don't know why am crying when I watch your movie,, kafia ghetto and my life is very emotional 😢
Naombeni like hata 5 ❤❤❤❤❤😊
Congratulations bhailam
Clam jaman midomo italemaaa ndg yangu
it is nice movie bhailam you are te great
Nimekubal kazi yen big up sana
😂😂😂😂😂😂😂mm ningehama mji mana sikwausumbufuu hu na huyu bhailam
Kweli kafa 😮😮😮😮duu mm nitasema babayake ndochazo
Kazi nzuri brother, daah Sema ungeirefusha kidogo tuona recho atakavyoreact baada ya kupata taarifa za msiba.
Ni kweli pamoja na baba yake vipi angelijutia
Eti .it was very nice...amekuwa kalamu
Kumbe na ww umeskia hiyo kizungu 😹😹😹🙌
Nimecheka kwa sauti🤣🤣🤣🤣🤣😅😅
Wazee jitahidn izo sijui soundtrack/ background voice ziwe soft kusikiza night na nge ngeee inaogopesha ...content is super ...nimepeielewa
Bhailam kiukwl nakupenda sana gisiii unavyo igiza😂
Hongera kaka nakuoenda xaana kwa movie zako na usiriasi wa kuigiza big up
Bhailam kwangu ni king 👑 kwangu namukubali sana kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kitu Iko sawa kabisa keep it up again kama hii Tena ❤
Félicitations encore les cinéastes 👍👍👍
Wazazi wapate fundisho mmeowa sana wanyabi
Bhailam Lion 🦁 Voicee
Congratulations bhailam❤❤❤❤
Yaani hii imeenda sanaaa
Nic movie sinema nzuri sn kabis kabis
Bailam umecheza Sana hongereni na wapenda nyote ❤❤❤❤❤❤❤
Bhai lum you genius mamem🤏👨🏫✌
Wapendwa naombeni like 2😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Good work brother bhailam
That woman should have joined forces with bailam, watengeneze mzee😂😂😂
Nakubali congratulation
🎉🎉🎉🎉imeweza funzo kwa wazazi
Duh, ama kweli Bhailam w ni fundi wa kuigiza
Bhailam nichida kwl kwl😂😂😂😂😂😂😂anachekesha mnook
Thank you brother God bless very more and more
We bhailam wata kuuuwa wewe😂😂😂😂
😂😂Eti anajifanya AWILO LONGOMBA😂😂😂😂 nimependa hiyo from🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
😆😆😆😆
Bhailam ❤❤
Kaka jose kanichekesha sana😂😂😂😂😂😂😂😂
Hii move imenifanya nimelia sana kaka yake bailamu kaniliza sana
Duh mbona huyu Mzee yuwamuonesha unyonge huyu kaka wa Bailam 😂😂😂😂 movie smart ya mafunzo wako wazazi wa style hyo😢😢😢
Tena wako sana😢
Uyu jamaa anajua sana hivi anaundugu na yule richi mbona wanafanana sura
Mm Namupenda Bailam
Bhailam pokea 🎉🎉🎉 yako
Gumbo kata hizo nywele utapendeza sana
Nice anakaz nzur san bhailam jamn
Wew unaesoma comment hii ubalikiwe maisha yako yote kwa kusapoti Sanaa by MAYA GANG
Kaz nzuri bhailam
Mimi sichaguliwi mtu jamani mwandawazimu nimempenda mwenyewe khaaa wazazi wabadilike jamani
jamaaa anaweza tena sana hongera yake anakuja vizur sana Big Up Bailam😊😊 Official _Amar@Astar2306👊
Bailam unaweza br...
Balamu mashallah unaweza hadi bac
Movie nzuri ya huzuni😢😢😢😢😢
Bhailam unafanana sana na stivin kanumba
Kaka hii movie imecheza Kwa hisia Kali sana nimependa imenigusa kwani Kuna wakati nilipitiwa kama huo nililazwa miezi sita, kaka unajua
Bhailam wamtesa kakako jamen 😢😢😢
Mikazo ziiro 😂😂
Bailam hii movie umeipiga vizuri sana na hata huyo mwanamke kaigiza vizuri mno pia hata huyo brother ako kaigiza more than other
Bhailam we ninoma ongera sana
Nice move
Mapenzi yanatesa sana😢😢😢
Safi ❤
King simba ❤❤❤❤❤
safi sana umetisha
Bhalam🎉🎉🎉🎉🎉
Gumbo na bahlam ndugu wenye kupendana
Bailamu jina Kali kulingana na kazi zake .😂😂😂😂
Jaman najua nimechlwa IL naomb nsem nmelia San n sjui Kwann
Bhailam anajua kuigiz kbx
Huyu Bhailam nadhani mapenzi yalimuumiza kweli cz hii ni movie ya ya tatu naona anaeleza kuhusu mapenzi 1- My love 2- Fall in love 3- My life
Jmn hii ni kali yaan naangalia kuazia mwanzo wa movies nmelia adi mwisho ba
Handsome boy gumbo❤❤❤
Hii mobie inafaa kua na likes 1M, na comments mob sana ❤❤
Move Kali jmn 🙏🙏👍👍🍎
Unaweza kuigiza siopoa😅😅😅
Konki umetisha sana
Haaiiihetiuuuu😅😅😅😅😅 nimepanda hiyo😂😂😂
Una mke bailam
So beautiful movie I like it
Duh nimeyianza vizuli ila nimeishia kulia 😢😭😭😭😭😭😭
❤❤❤Good job ❤❤❤

it is nice movie
bhailam you are te great

Huyu Bhailam nadhani mapenzi yalimuumiza kweli cz hii ni movie ya ya tatu naona anaeleza kuhusu mapenzi
1- My love
2- Fall in love
3- My life