KISHKWAMBI | Gabo | Salim Ahmed | Omary Clyton | Hadija Kopa |Mohamed Fungafunga| Bongo Movie|PART 1
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ค. 2020
- The ring I'm wearing has stopped crossing, and the street is buzzing with the rumor that my wife has a joke on the lawn while the tablet doesn't cut and my aunt can't cover it.
Pete niliyovaa imegoma kuvuka, na mtaa umechafuka skendo kuwa mke wangu ana jini mahaba kule mnanda huku kibao kata kata na shangazi kashindwa kufunika - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Kwakweli movie nyingi zilizo na gabo hupenda sana kuziangalia juu ya ku act kuwa na hekma sana..big up sana.
u88
Pro trick : watch series on Kaldrostream. Been using them for watching a lot of movies these days.
@Reuben Marcellus yea, I have been watching on kaldrostream for since december myself :D
Haaaaaa gabo noma umenishinda tabia,pande zote unacheza uhalisia vizuri
🤣🤣🤣🤣🤣 Ma Big Hasa,Shemeji Mabomu Wenda Ya lipua Wapi,Movie Tamuuu Hadi Raha. Hongereni.
Good job my super Star GABO ZIGAMBA
🥰🥰🥰🥰🥰😘😘😘😘 💃💃💃💃 gabo weni Kama 👉🐇🐇🐇
Movie tamu Hatareee 👌👌👌😁😁😁
Mv tam Sana, maisha yetu kabisa ya uswahilin
Na haya yanatokea kweli uswahilini kwetuu😀😀😀hongera gabo🤝🤝
Asante. Sana .tuna misi kazi zako gabo zigambo
Mko juu sana 👌👌
Maziwa ariyatiya cunvi mungu wangu🙉🙉🙉🙈🙈🇧🇮
Mh move kali sana
Hii movie hata siielewi vizuri najionea makelele tuu
🤣🤣🤣🤣🤣 maraikaa wapeponiiiiy
Shangazi mabalaa 🤣🤣🤣
Move nzuri sana
Kataam sanaa
Nzuri
Movie nzuri jamani..ila hadija kopa kama ako na jicho la latu hapo usoni 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Good Gaboo
Gabo Atisha Jaman
Nadhqni wengi wao tunafuata gabo2
Hapa watakaoelewa Wale wa uswazini. Mi najionea makelele tu
Gabooooooooo unastaili bro
Nilikuwa nampendaga hanita kakuwa
Hahahaha anashindwa kusema peps na kupiga mluz vingine anaweza
Aguero Wakujidai r
Rest in peace mzee jengua, Rest in peace mzee korongo.....!!!!
Mzee korongo kafa kwan
Gabo i salute u bloody.
😂😂😂😂 kama maisha halic vile
Pumnzika Kwa Amani Mzee jenguo😭😭
Na mzee korongo pia
Ngoja tuone
Nzuli
Tamu sana,part 2 pliz
Noma sana gabo🤣🤣🤣
Unanikumbusha kipindi cha omar omar
Ni mzuri
Hongereni
movi ikchezwa na mastaa hata ikiwa mbov vip itaonekana nzur tu!
Ongerani movie nzur
Khadija kopo hayo maneno mimi hoi
yapili sioni jamn
Gabo lete mazuri buanaa....
Nice movie 👌👍💕
Kuona comedy na movi za MKOJANI na TIN WHITE bofya apa👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼th-cam.com/video/vjBLSdZWDoY/w-d-xo.html
😂😂😂😂hikali ss
mzee wa born town long time yupooo 😆😆😆😆
Mmmh gabo me napenda kukuona2
Mmmh gabo me napenda kukuona2
Mmmh gabo me napenda kukuona2
Mdogo wake gabo katisha
😁😁 kitoroli na kamera yake
Thamuu,, saana jamani hii movie.
2024. Oyeeeeeee
Hii movie ina masuper star hatari. Jamani bongo movie rudini tutawasapoti watanzania wenzetu
Nilimmiss bi staa
Mganga bhn hahahhaa
Mimi boratu nione viuno ndo napenda....
😍😍😍😍
Sasa mbona anaongea na simu na mtu lkn hakuna namba inaonekana kweny screen 😂😂😂😂bongo movie nae mrekebishe hilii apo mwishon anaposema atajiremba mwenyew
Noma sana🥰🥰🥰🥰🥰
Jaman tupe ya piri..basi
Hio movie kiboko
❤️❤️❤️
Mhuuuuuu🥰
Movie imejaa misemo
😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
😆😆😆😆😆😆
Part2
Kwani huu ndo mwisho au kuna muendelezo ? Leta sehemu ilobaki
Kishikwamb2
Mama zuchu
Ehee Mama zuchu niliuonaga, muda kipind ndo umeingia hila, sehem hiyo Pambe ndo imemfaha
Biharus mzur mwenyew hila mbona madufu nayo Mazur mim nayapendaga
Uyo aliyehekt mlevi alivumaga alikuwa anakaaga ilala😁
Anita alikuwa Pambe naye ana maneno kipindi cha kidedea, alikuwa a nasomaga, shule ya jeshi Ile ya air wing nilikuwa, namuonaga akitoka shule Kwanza kabla ya hapo kaka yetu alituambiaga alikuwa anamuona Anasoma pale. Na yule aliyokuwa anahekt ana mshushuwa kwenye kidedea alikuwa mama, yake kikwel kwel. Yule hemed aliyekuwa anahekt kidedea, ndugu yetu alikuwaga na vituko tangia Zaman na mle kwenye kidedea ndo kabisa alivuma. Alisema kumbe alitumaga yeye nikashangaa nikamwambia he umejitaidi mana ilikuwa, nzur na, watu walivuma Sana
Iliwatowa na kina jenguwa marehem pisi na wengine
Nna swali jaman hivi hii page imeanzishwa na Nani?
Mtazame ZUCHU AKIPAFORME MLIMANI CITY NI BALAA ZUCHU NI ZUCHU BWNA KAJAALIWA KIPAJI th-cam.com/video/Bau1hyCePAY/w-d-xo.html
Huyo zuchu wanu hana lolote hata kuiba hajui cheki nadi
Chausiku
Hi
th-cam.com/video/1jMF-EoH0Wg/w-d-xo.html angalia wadada wa kitanzania walivyo waongo fungua hiyo link hapo juu na ujionee
Tizama Filamu Kali za kiswahili Kupitia TH-cam channel yangu
Kaka mtu huweka link
th-cam.com/video/vUEnXdxTubc/w-d-xo.html
@@TimFilms255 samahani kaka naomba nielekeze jinsi ya kuweka link kama wewe hapo
@@itshaluastyle una i copy link then una i paste sehemu ya kuandikia ...
@@TimFilms255 nashukuru kaka subir nijaribu
Mibomu hyooo ya nini tena
Gabo umenifuraisha
Hizo sherehe za uswahilini fujo tupu
Move nzuri sana
🤣🤣🤣🤣🤣