USALITI |Tino Muya|Asha boko|Hidaya Boli|BONGO MOVIE 2020

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 พ.ย. 2020
  • USALITI #USALITI

ความคิดเห็น • 176

  • @aamyaamy8504
    @aamyaamy8504 3 ปีที่แล้ว +7

    Wangapi wamefikishwa ju ya asha boko apa...plz tujuane

  • @liliankhavakali3878
    @liliankhavakali3878 3 ปีที่แล้ว +4

    Asha Boko uko vzr sana mama nakubali

  • @ruqayaisumaili33
    @ruqayaisumaili33 3 ปีที่แล้ว +6

    Asante nimefungua kwajili ya asha boko to

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 3 ปีที่แล้ว +9

    Nimeangalia hii kwajili ya hidaya tyuu nakupenda kwa ajili ya allah

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว +8

    🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🏃🏿‍♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Asha bwana hiyo pasi moto AMA baridi😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 ปีที่แล้ว +7

    Hidaya wang asha boko 👌👌👌👌👌asant kwahote

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 ปีที่แล้ว +6

    Yan kwenye saut mmefer vibaya mno daaaaa!!! Mizik tu juuuuuu😏😏😏😏😏

  • @bredawakio5381
    @bredawakio5381 2 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda Sana hidaya boli❤️❤️❤️

  • @abduibrahim7363
    @abduibrahim7363 3 ปีที่แล้ว +3

    Maansha Allah muvie mzuri pia nikiyaona mazingira ya nyumbni najiisi rahaa, nipo Omani

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 3 ปีที่แล้ว +8

    Safi sana picha au filamu iko vizuri kwa kweli mlijipanga, mbele ya mastarring ninao waona hapo Asha boko,mtt mzuri hidaya boi na wote hao picha limekamilika ongera sana 👏👏👏👏🤜🤛💪

  • @hawasaid2566
    @hawasaid2566 3 ปีที่แล้ว +8

    Nimeingia hapa Kwa ajili ya tino na penda sana anavyo igiza

  • @fraziamsonge4492
    @fraziamsonge4492 3 ปีที่แล้ว +2

    Hiki ndo kitu nisicho kipenda kudet na mwanaume ninae mzid umri haswa ukiwa na watoto ni aib kabsa ahsanten movie nzur sana Ina mafunzo

  • @alialhajry4458
    @alialhajry4458 3 ปีที่แล้ว +3

    Movie nzuri nimeipenda lakini mziki uko juu sauti ya maongezi iko chini

  • @aishaimam1442
    @aishaimam1442 3 ปีที่แล้ว +20

    Mie huyu Hidaya nampendaga kadada kazur sana

  • @khaijajumanne1317
    @khaijajumanne1317 3 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah nimeipend san

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukran Sana Picha Tamuuu, Wa Mziki Arekebishe Plz, Hongereni.

  • @lizzybeb6842
    @lizzybeb6842 3 ปีที่แล้ว +1

    Dada nakupendea tu hayo macho 😍

  • @judithmasida8504
    @judithmasida8504 3 ปีที่แล้ว +4

    Filamu nzuri tatizo nvombo vipo juu sana kulikoni sauti zenu,tafadhali jirekebisheni asanteni sana

  • @Josepht-gs8mj

    Wow kazi nzuli Jr hapa from moro tz

  • @mwakaathumani4793
    @mwakaathumani4793 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama mlevi mpaka niaibu wallah alafu yuwapenda viben10 salala