Tangu nianze kukufatilia nimekuwa strong nasimama mwenyewe kwenye mambo yangu ,ata sijali watu wasipoongea na mm wakati sijawafanya kitu najua ni chuki zao tuuu ,mungu akupe maisha marefu tuendelee kujifunza
Samahan Mr. Nanauka, katika maneno yalio ambatana na PICHA katika vedeoo hii Ina makosa kidogo iweke sawa. Imeandikwa ' kumapatia' Bada ya " KUMPATIA". ASANTE Kwa huduma yako ya kuelimisha jamii Kwa ujumla. Allah awe pamoja nawe inshallah 🤲🤝🤲
Nashukuru sana Kaka Joel...!! Mimi Mpenzi wangu (Girlfriend) kiukweli simuelewi hata Kidogo,, Tupo kwenye Mahusiano Mwaka unakata ila suala la Appointment ni kipengele sana.. Amelelewa na Mama na anaishi kwao ila Hana time na Mimi, kila Appointment nnayoweka Visingizio chungumzima inatokea inaharibika.... Mapenzi ya kwenye simu Daily siyawezi kiukweli...,, Mtu Hana time na Mimi, Hana uhuru na Mimi INACHOSHA... Nampenda Sana Sijui nifanye kitu gani...!!
Tuliza nafsi,,,,tumia akili na moyo vyote Kwa pamoja,,,swali Sana pia,,,,kumbuka hili suala sio la kushauriwa sanaaaah,Bali kusikiliza maarifa kama hivi AF vyengine Unadeal navyo mwenyewe,naamini utaweza kupata majibu🏆,,,,NB:USITUMIE HISIA PEKE YAKE,,,,BALI NA AKILI,,,,(Akili +moyo=jibu SAHIHI)
Tangu nianze kukufatilia nimekuwa strong nasimama mwenyewe kwenye mambo yangu ,ata sijali watu wasipoongea na mm wakati sijawafanya kitu najua ni chuki zao tuuu ,mungu akupe maisha marefu tuendelee kujifunza
Daaahh yaliyonikuta,😢 lakini namshukuru Mungu kwa sasa Niko vizuri, hakika wewe ni mwl🙏
Samahan Mr. Nanauka, katika maneno yalio ambatana na PICHA katika vedeoo hii Ina makosa kidogo iweke sawa. Imeandikwa ' kumapatia' Bada ya " KUMPATIA". ASANTE Kwa huduma yako ya kuelimisha jamii Kwa ujumla. Allah awe pamoja nawe inshallah 🤲🤝🤲
Asante sana Joel ubarikiwe
Uko Sahihi kaka Joel.... asante sana
Ahsante sana kaka Joel, barikiwa sana
Asanteee sana Mtumishi wa Mungu somo zuri kabisa lenye manufaa kwetu vijana Hasa tulio single 😅
Ubarikiwe sana baba
Tafadhali naomba uongeze sauti kidogo
Asante xana naendelea kujifunza
Asante sanaaa nazidi kujifunza sanaaa kutoka kwake
Asante sana kaka zidi kutujaza maarifa na mungu akuongoze 8:42
Mungu akubariki sana
Kwakweli napokea nafasi ya upekee sana.
God bless you 🙏. From Burundi 🇧🇮
Holy Spirit Amen 🙏🏼
Asante sana mwalimu Joel, Mungu akubariki.
Then see me AT THE TOP thank you pastor
Uliyosema yalinikuta labda kitu naweza kusema nikwamba kabla hujampa mtu moyo wako shirikisha vitu vitatu 1.AKILI,2.HISIA,3.MOYO..Moja ikikosekana miongoni mwa vitu hivi vitatu usitoe moyo wako acha utaumia
sio kumpa moyo, bali kukubaliana naye... kumpa moyo binadamu unaweza kufa...
Asante kaka mungu akubalik
Asante sana kaka
15:14 asante ninazidi kujifunza. Thank you
Ukimsikiliza kaka Joel lazima utabadilika kwa nvonvote vile asant sana kaka
Best lesson God going to enlight you Broo❤
You are very good man be blessed
Jarb kuadjust sautii inahitajii ukiskilizeee Kwa makini sana .Alf sauti ipo had mwsh
Nashukuru sana Kaka Joel...!!
Mimi Mpenzi wangu (Girlfriend) kiukweli simuelewi hata Kidogo,, Tupo kwenye Mahusiano Mwaka unakata ila suala la Appointment ni kipengele sana..
Amelelewa na Mama na anaishi kwao ila Hana time na Mimi, kila Appointment nnayoweka Visingizio chungumzima inatokea inaharibika....
Mapenzi ya kwenye simu Daily siyawezi kiukweli...,, Mtu Hana time na Mimi, Hana uhuru na Mimi INACHOSHA...
Nampenda Sana Sijui nifanye kitu gani...!!
nenda kwao kamtolee posa uone kama atakataa au atakubali
Umesema kweli❤@@ummuwawili
Asante kaka Joel nimejifunza jambo🎉
Upo sahihi sana👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
Wow❤❤ hakika hii ni dawa ,
Epsod ya jana niliielewa sana kaka barikiwa
Be Blessed so much
Aksante sana kaka somo nzuri
Asante sana kwa elimu
Ni guidance nzuri.
Hahahhahha kwakweli kwa hali hii naenda kumuacha mpenz wangu sitaki tena mahusiano nae maana hizo dalili zote naziona kwake
😂😂😂Yani wewe
Very good kumb ww unaelew xo Kam wale wanaosem ntafany kesho
@@MSHINDICLEMENCE 😂😂😂
@@MSHINDICLEMENCE ukweli wa mungu naachana nae kuzaa syo tija
Hayo ndo maneno sas maan wanawake wajion wazr kumb hamna ki2 Kaz 2 ku2pa stress
Somo🔥🔥🔥🔥🔥
Kaka najifunza sana
Amina
@zakariachacha umeupiga mwingi 🔥 kaka Vita ni vita mura 😂🙌🏿
Ni muhimu kwa hili kwakwel
Kumbe nahitaji kuanza upya nilipo sio sahihi
Joel nmepata mwanamke anamtoto mmoja ila akombali na mm anafanya kaz namm nafanya kazi ila kila mwezi anamatatzo
Tuliza nafsi,,,,tumia akili na moyo vyote Kwa pamoja,,,swali Sana pia,,,,kumbuka hili suala sio la kushauriwa sanaaaah,Bali kusikiliza maarifa kama hivi AF vyengine Unadeal navyo mwenyewe,naamini utaweza kupata majibu🏆,,,,NB:USITUMIE HISIA PEKE YAKE,,,,BALI NA AKILI,,,,(Akili +moyo=jibu SAHIHI)
hakuna binaadamu ambaye hana matatzo yake hata wewe unryo yako
Kama umeniona mimi najuta mwanaume kavunja vitu ndani anabamiza milango mpaka imekua mibovu kapasua radio anavunja cm mara nyingiii 😢
🎉 🎉🎉
Noted
Hapo kwenye MAONO hapo😂🏆🔥
See me at the top 🥰
1:38
Kenyans gather here
Tunaitaji Pia kuona picha yako
🎉🎉🎉🎉
🏆🏆🏆🏆
10:45 amesukuma friji😂😂😂
🎉
🥰🥰🥰🥰
👊
See you at the top