RAIA MWEMA The Voice of Prophecy Choir, Kasulu, Kigoma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 58

  • @mathiaskizwili1552
    @mathiaskizwili1552 7 หลายเดือนก่อน +7

    Moja kati ya kwaya mbingu zinaiangalia kwa jicho la thamani ni nyie…Mungu awabariki mfike mbali

  • @bkradio98.24
    @bkradio98.24 7 หลายเดือนก่อน +3

    nashindwa la kusema kando na kubarikiwa ninapo cheza nyimbo zenu licha ya kuwa kwenye taifa la kenya siku moja ndafika niwaone namjue 98.2 bk radio twawapenda saaana

  • @ernestgervas7021
    @ernestgervas7021 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nawapenda sana nyie waimbaji kwani mnaimba kinaubii zaidi, ipo siku nitakuwa mwimbaji wenu kwani na uwezo wa kuimba sauti zote, mmenifanya nianze sabato kwa amani moyoni mwangu.

  • @user-nonono33
    @user-nonono33 18 วันที่ผ่านมา +1

    I love this choir angelic voices❤

  • @edwardmisigaro3790
    @edwardmisigaro3790 4 หลายเดือนก่อน +1

    Best song AMEN

  • @phoibekoshuma1935
    @phoibekoshuma1935 7 หลายเดือนก่อน +1

    SHERIA ZA NCHI ZAWEZAKUBADILIKA ILA ZA MUNGU HAZIBADILIKI MILELE HIVYO TUZISHIKE .
    BARIKIWENI

  • @joshuasebastian6210
    @joshuasebastian6210 7 หลายเดือนก่อน +1

    Aloooo!! Itoshe kusema Mungu awabariki. Wimbo unaujumbe maridhawa.

  • @user-jg1wl4ot4l
    @user-jg1wl4ot4l หลายเดือนก่อน

    Hakika Mungu awabariki sana Kwa ujumbe mzuri

  • @majaliwankotagu5996
    @majaliwankotagu5996 7 หลายเดือนก่อน

    Barikiweni sana jamani mnanibariki Kila siku

  • @festusmanyonyi8426
    @festusmanyonyi8426 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki Kwa ujumbe wa wakati huu

  • @johnkilowoko1032
    @johnkilowoko1032 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa mbinguni awabariki sana.

  • @PaulinaMlelwa-pv9fw
    @PaulinaMlelwa-pv9fw 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabaliki sana nawapenda 🙏🙏

  • @juliusndaraba9221
    @juliusndaraba9221 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu wetu atukuzwe,,hakika The voice of prophecy u"the icon of West Tanzania conferences,,Mungu azidi kuwapa hekima na busara zaidi ktk kazi zenu kwan tunabarikiwa saana kupitia nyinyi🤝🙏

  • @iddymusa9512
    @iddymusa9512 หลายเดือนก่อน

    Be blessed jmnn

  • @RebecaGabriel-wj5om
    @RebecaGabriel-wj5om 7 หลายเดือนก่อน

    Reach far ❤

  • @gervasejerry
    @gervasejerry 6 หลายเดือนก่อน

    GOD blees you Team ❤

  • @jeandedieuyamungu4750
    @jeandedieuyamungu4750 7 หลายเดือนก่อน

    Naaaam nawakubali sana

  • @neemamaiga571
    @neemamaiga571 7 หลายเดือนก่อน

    Ujumbe mzuri

  • @AliceWangwe-zr3gy
    @AliceWangwe-zr3gy 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki VOP kwa wimbo wenye mafundisho makuu, nawapenda natamani sana siku moja tukutane laivu kwa ajili ya kazi ya baba

  • @ritiaskayanda
    @ritiaskayanda 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @user-je3pz5ie8n
    @user-je3pz5ie8n 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana

  • @Badakao-vi9wo
    @Badakao-vi9wo 7 หลายเดือนก่อน

    Barikiweni sana vop wimbo una ujumbe mzuri. Amri za MUNGU ndio tiketi ya kufika mbinguni.

  • @mbabazi-Nyigita
    @mbabazi-Nyigita 7 หลายเดือนก่อน

    Jamn Napenda wimbo zenu ni nzuri na zinatubariki sana maana ni zakiunabii ❤❤❤❤🎉

  • @yohanasiminzile2096
    @yohanasiminzile2096 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu awalinde siku zote katika uimbaji wenu, ombi langu tukaimbe sote kule mbinguni kwa baba siku ile ikifika tutafurahi pamja amina.

  • @AliceWangwe-zr3gy
    @AliceWangwe-zr3gy 7 หลายเดือนก่อน

    Pamoja Sana songa mbele imalize kazi mjiandae kumlaki Yesu Kristo mfalme

  • @user-ey1pr9bd4q
    @user-ey1pr9bd4q 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ more love from Shauri moyo SDA Nairobi Kenya 🇰🇪 ❤❤❤

  • @lucaspengo310
    @lucaspengo310 7 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo nzur waimbaji wazur mavazi safi muonekano thabit MUNGU AWABARIKI SNA

  • @SaitotiHinyura
    @SaitotiHinyura 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asanteni sana kwaya Yangu ya Nyumbani.Nimebarikiwa kwa wimbo huu wa Sheria.Ninawapata nikiwa Zanzibar.

  • @samwelgeofrey7612
    @samwelgeofrey7612 7 หลายเดือนก่อน

    ninafarijika Sana ninaposikiliza nyimbo za vop kasulu barikiweni sana

  • @sumunijr1821
    @sumunijr1821 7 หลายเดือนก่อน

    Daaah niliusubiri Kwa hamu Sana huu wimbo, Mungu awabariki Sana VOP

  • @ronogeoffrey744
    @ronogeoffrey744 7 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwa vop Watching from Kenya

  • @CalvinCalvo-di6mu
    @CalvinCalvo-di6mu 7 หลายเดือนก่อน

    Amen❤❤❤❤❤❤❤❤❤ kccc church God's people bless all tumebalikuwa

  • @emmanuelgibeshi2451
    @emmanuelgibeshi2451 7 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri na mafundisho makubwa ndani yake Mbarikiwe Sana VOP

  • @malimajr8708
    @malimajr8708 7 หลายเดือนก่อน

    Nadhani hii ndio Album ilizinduliwa Mwezi 12 2023,Barikiwe nawafuatilia

  • @ladsonjames9750
    @ladsonjames9750 7 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🔥💯

  • @user-wq6ns8pw4h
    @user-wq6ns8pw4h 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki jumbe zinafikisha kupitia nyimbo tunabarikiwa

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 5 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe

  • @kennedykiptoo
    @kennedykiptoo 7 หลายเดือนก่อน

    Much love from Kenya,barikiweni kwa sana!

  • @delickmarco3945
    @delickmarco3945 7 หลายเดือนก่อน

    Oh Mungu bariki Hawa waimbaji kweli Yani.

  • @RichardGisiora
    @RichardGisiora 7 หลายเดือนก่อน

    AmenAmen God bless All my choir members ❤❤❤❤❤❤❤

  • @judithanajus8937
    @judithanajus8937 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki kwa uimbaji ulio tukuka.

  • @davidodindo6891
    @davidodindo6891 7 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe, Mungu awe nanyi daima

  • @ALAD2660
    @ALAD2660 7 หลายเดือนก่อน

    Amina mbalikiwe v o.p

  • @paulplus3673
    @paulplus3673 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ Mungu na azidi kuwa nanyi

  • @adamfatie8854
    @adamfatie8854 7 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana barikiweni

  • @praygodisacksalmon7843
    @praygodisacksalmon7843 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kuwabariki, Ameen

  • @user-hb6vu3ub6q
    @user-hb6vu3ub6q 7 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen AmenGod bless all u

  • @sindabahabwoyaanacret660
    @sindabahabwoyaanacret660 7 หลายเดือนก่อน

    You never disappoint

  • @ththebrandname
    @ththebrandname 7 หลายเดือนก่อน

    Smart and impressive

  • @ogwenowere3812
    @ogwenowere3812 7 หลายเดือนก่อน

    Amina!

  • @victorbrayan8238
    @victorbrayan8238 7 หลายเดือนก่อน

    Good job

  • @brightonjonas69
    @brightonjonas69 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mpo vizuri but tunatamani kuona na wengine pia waki sollo maana kila siku ni walewale

    • @user-sl6hb3eh2g
      @user-sl6hb3eh2g 7 หลายเดือนก่อน

      Tafuta hii mpya wamesolo wengi TOFAUTI na ulivyozoea

  • @EmmanuelKhaday-ut3uw
    @EmmanuelKhaday-ut3uw 7 หลายเดือนก่อน +1

    NA KAMA MTU HANA BUDI KUZIVUNJA SHERIA ZILE ZOZOTE MAHALI ALIPO NI RAHISI mtu kuvunja sheria za mungu na kutenda dhambi.OHH!! IMANI YANGU NI KUWA YEYOTE ANAYESIKILIZA ,ATAKAYESIKILIZA NI LAZIMA ABARIKIWE NA BABA WA MBINGUNI

  • @AliceMchome-lc3qf
    @AliceMchome-lc3qf 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @user-xk8zm8fi9g
    @user-xk8zm8fi9g 6 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe

  • @jeanclovisnzikibazanye7482
    @jeanclovisnzikibazanye7482 7 หลายเดือนก่อน

    Amen