True definition of true and pure music ❤❤si hizi watu wanaimba wakiwa na mavazi ovyo na marangi usoni na nywele zinakaa sijui aje.....this remains my favourite choir❤❤❤❤
Hello kasulu SDA choir, I herbaly take this opportunity to thank God for making you to be alive this preparation day and helping you to produce other songs which are a blessing to us. Please 🙏 if you answer this qustion I will be as happy as a king. My question there is a song that you sang of roho tatu za uchafu where is that prophecy found on the Bible? Please
Barikiweni mnaimba vizuri,boresheni beat zenu,maana zinafana zote na zinatumia kinanda kimoja,sasa katika dunia ya ubunifu wa kimuziki mnabaki nyuma.mwambieni producer wenu aongeze ubunifu,au mbadili producer ili mbadilishe ladha mbalimbali.sauti ziko poa,halafu director alijitahidi,ila tafuteni madirector wanaotoa video za HD,lakini pamoja na changamoto hizo naona mko juu,maana hata dressing code zenu ziko vizuri,barikiweni sana!!!!!
I know even the Angels and the 24 Elders in Heaven are bowing down in worship because of this Great Song 🎵 GOD Richly Bless you Great Ambassadors of THE MOST HIGH GOD 🙏
Nawapenda bure nanyi mwajua kuwa nawapenda sana kutoka moyoni, ningekuwa naweza ningekuwa nawabeba mgongoni ila nawaombea tu muendelee kwenda viwango vya juu mno na mwisho mfike Mbinguni
Hongereni mnanibariki sanaa mavazi 100% heshimaaa mpaka kwa Mungu wimbo mtamuuuuuuuuuuuu
True definition of true and pure music ❤❤si hizi watu wanaimba wakiwa na mavazi ovyo na marangi usoni na nywele zinakaa sijui aje.....this remains my favourite choir❤❤❤❤
May God continue guiding them in Jesus name. Amen
i can't wait to meet Jesus-From this song, i see heaven
My favourite song
Hallelujah Maranatha 🙏🌹❤️🙏🌹❤️🙏🌹❤️🙏🌹❤️🙏🌹👍🌹🌹🌹🌹
Mubarikiwe sana, ujumbe, mavaz, mwonekano kweli ninyi wasabato
Mungu awbark sana mana uko vizr
Kila wakati najikuta kurudia rudia huu wimbo wapendwa, wimbo mtamu sana
Ahsante sana kwaya Voice of Prophecy. Twazipenda sana nyimbo zenu hapa nchini Rwanda. Chukueni maamkizi mengi kutoka kwa kanisa la huku!
hapo Rwanda tunawashukuru sana kwa kutufuatilia
Nawpenda sana barkiweni nataman nije kujiunga
Never heard this song, but I like it. Love the lyrics.
AMINA kubwa. Nafurahi sana kuwafuatilia niko GOMA-DRC. Mungu na Aendelee kuwaongoza na kuwatumia kama vyombo vyake kuwavuta wengi kwake.
You are so amazing Kasulu, might God bless all of you abundantly.
Barikiweni sana songeni mbele
Barikiweni kwakumwinua bwana hakika mungu anainuliwa nimebarikiwa na huduma yenu songeni mbele daima.
Very nice and inntresting songs
Vop kasulu Bwana awabariki saana mnatupatia ujumbe wa matumaini
Bwana Mungu awabariki. Ujumbe safi kabisa, sautiiiiiii, tena barikiwa sana,
asante saana
amen
Hello kasulu SDA choir, I herbaly take this opportunity to thank God for making you to be alive this preparation day and helping you to produce other songs which are a blessing to us. Please 🙏 if you answer this qustion I will be as happy as a king. My question there is a song that you sang of roho tatu za uchafu where is that prophecy found on the Bible? Please
Revelation 16:13,14
Naipenda hiyi kwaya
Mungu na ainuliwe ,barikiwa
Jiji yelusalem very good soloist
A very sweet song God bless you
duuuuuuuh kigomaaaa 🙌🙌🙌🙌
Bwana awabariki Kwa wimbo mzuri
Wooow blessing...Happy sabbath
Ukweli barikiweni sana
Ameeni,hope to see my son 😢there
Amina Vop Kasulu ❤
🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Kwa kweli mnastahili kuitwa Voice of Prophecy maana mnaimba unabii wenyewe. Asanteni kwa nyimbo za kututia hamasa tunapokaribia mwisho wa safari yetu
So true
❤
Mbarikiwe kwani mm nabarikiwa
Kweli ninyi ni wasabato muonekano wenu hauna maswli
👏 👏 👏 👏 Amen 🙏 🙌 🇰🇪 🇰🇪
What a song !! In Christ we are definitely assured of victory.
Asante kwa Wimbo
Bwana Yesu na Aendelee kutukuzawa. Mbarikiwe sana nyote. Naendelea kuwafuatilia nikiwa GOMA-DRC 🇨🇩
ukiwa goma samuel barikiwa
For sure your songs are great blessing to me of which I believe you are blessing to many souls .
Barikiweni kwa nyimbo nzuri na ujumbe wa matumaini;
Mbarikiwe sana
Mungu azidi kuwainua sana, watumishi wa Bwana,
asante
God bless you @VOP, Watching from Kigali - Rwanda. May heavenly God Father keep using you...Amen
bagabejohn thank you and wellcome
Yaani hii kwaya naipenda sana sana kutoka moyoni,, I love it more exceedingly
tumekupata endelea kuwa nasi
God bless you the voice
Mubalikiwe sana
Jaman sijui niseme nn mmenibariki SANAAAA BASI ACHA TU NISEME SAFARI IKARIBU SANA
Naisubiri hiyo siku kwa hamu sana ndani ya kiini cha moyo wangu
I don't understand the language but l can feel the song,,lm also aSDA please where is this group from?
Mungu awabariki sana unatia nguvu
amina
Bwana Mungu awabariki sanaaaaaa.
asante
Bwana ni mwema
wakati wote
Ameeen
Amen.. great song that is beautifully done is a simple way, God bless. Nairobi Kenya
wellcom sir, and thank youvery much
Amen 🙏🙏🙏🎉❤❤❤🎉
Niliisubiri Sana imekuja kwa wakati wake Mungu awabariki VOP choir am listening from MURUSI SDA Kasulu
basi ubarikiwe
Amen, nice song
AMEN 🙏🙏🙏
What a joy TUKIKARIBISHWA NA YESU KWENYE KITI CHA ENZI. This is a beatiful song full of hope and promise.
Barikiwa watu wa Mungu
kuwapi mauti kututesa ooo haleluya asante saana
🔥🔥🔥🔥
Powerful 🎉🎉❤
Very nice songs
Nice be blessed
Kwa kweli tunalo lile neno la unabii lililo imara na ni taa inatupatia mwanga. Mungu na hawabariki mnapoeneza injili ya unabii kwa njia ya nyimbo.
God bless you ❤
Beautiful souls 5:08 singing for their Creator ❤
Hello . wapenzi wa Bwana yesu.
We are always blessed with your songs. Please share your contacts ASAP
+255756868184
+255756868184
❤❤❤ Amen gloria
Amen
Thankful kisulu
Nice🔥🔥🔥
Amina
Aloo huwa nabarikiwa sana na nyimbo zenu WanaVOP mbarikiwe sana.
Mungu azidi kuwainua nawafwatilia nikiwa Nairobi Kenya
Amina Amen wimbo nzuri sana Mungu awabariki waimbaji
coucou
amina ubarikiwe
Mbalikiwe 🙏 San mna muonekano mzur mavazi na kichwani mme endan ana na wimbo wenu nime balikiwa hakika
Thank you for this song, it gives us hope amid all the problems of this world. Listening from Canada.
God bless you for your acknowledgement; you are welcome.
Natamani kuingia lile Jiji
Amen,tutaruka kama ndama
one of my favorite from kasulu. continue showing other choirs what they are supposed do to including the physical appearance. you are amazing indeed.
A very inspiring song, keep it up our lovely VOP Kasulu, God bless you
amen
Nice
An inspiring song may God bless you
Barikiweni mnaimba vizuri,boresheni beat zenu,maana zinafana zote na zinatumia kinanda kimoja,sasa katika dunia ya ubunifu wa kimuziki mnabaki nyuma.mwambieni producer wenu aongeze ubunifu,au mbadili producer ili mbadilishe ladha mbalimbali.sauti ziko poa,halafu director alijitahidi,ila tafuteni madirector wanaotoa video za HD,lakini pamoja na changamoto hizo naona mko juu,maana hata dressing code zenu ziko vizuri,barikiweni sana!!!!!
asante tutaendelea kulifanyia kazi kadri itakavyo wezekana
I know even the Angels and the 24 Elders in Heaven are bowing down in worship because of this Great Song 🎵 GOD Richly Bless you Great Ambassadors of THE MOST HIGH GOD 🙏
thank you
@@thevoiceofprophecy7757 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙌🏼
I hope that lady solowing is still single😍. Drop her number kindly.
❤
Amen 🙏🏿
Nawapenda bure nanyi mwajua kuwa nawapenda sana kutoka moyoni, ningekuwa naweza ningekuwa nawabeba mgongoni ila nawaombea tu muendelee kwenda viwango vya juu mno na mwisho mfike Mbinguni
hapana nasisi tunaelewa wadau wetu hatawewe umopia
Very inspiring song and giving great hope to many,be blessed VOP choir
amen
AMEN 🙏🙏🙏 GOD IS OMNIPRESENT
God bless you 🙏🏻🙏🏻
Amen Amen.
I love the tonal variations ,great
enjoy
Wow
yes
Balikiweni Sana V.O.P but hiyo sale ya nguo mmeivaa kwa nyimbo nyingi niombe muwe mnabadilisha sale
limefika
Kawape hela
AMEN 🙏🙏🙏 BE BLESSED
Jesus is the centro of it all, melodious song God bless and empower you all
Very powerful Be blessed
amen
ninawapenda saana
Hamjawahikosea, mbarikiwe sana sana!
amina na asante
Nyie ni wakala wa kuzimu kabisa
tufuatilie kwa umakini lakini fungua mawazo yako utajua ukweli
Awesome, praise be to God
amen