Japhet kakaangu unawaza vingi kwawakat mmoja moyo wangu unawAza sana kilichomoyoni mwako 😢mungu akutie nguvu sanaa haijalishi ww namaiko mlikuwaje lakini nataamani nikupe shart lakini si rahis 😭😭mlinde sana shemeji yako mjali msaidie naumsimamie katka kila hatua anayopitia pambana kuhakikisha watoto wanafika pale babayao alitaman wafike vaa uhusika wake kakaangu mungu atakusimamia🙏🙏🙏
Mmmmm this is the time we need to realize that we are not of this world and we're not special for us to be alive even us at any time we can die let's do the work of God while we still have time to be on earth, my condolences to the family and zebron choir , from Zambia 🇿🇲😭😭😭
Marco pengo halizibiki tulihitaji tukusikie zaidi kila tukishuka moyo. Kazi ya Mungu haina makosa.Machozi hayatoshi .Pumzika kwa Amani.Mbele yako nyuma yetu.
Japhet kakaangu unawaza vingi kwawakat mmoja moyo wangu unawAza sana kilichomoyoni mwako 😢mungu akutie nguvu sanaa haijalishi ww namaiko mlikuwaje lakini nataamani nikupe shart lakini si rahis 😭😭mlinde sana shemeji yako mjali msaidie naumsimamie katka kila hatua anayopitia pambana kuhakikisha watoto wanafika pale babayao alitaman wafike vaa uhusika wake kakaangu mungu atakusimamia🙏🙏🙏
Siokweli anatakiwa akaolewe unamwambia amjali awezi kumjali vyote
Kuolewa sio lazima 😢@@erastopaul211
Mhhhhh😢
Huyu mama akiweka maisha yake kwa yesu ,aitaji mwanadamu karibu ,hila mungu akamtumie mwanadamu kama maraika asimame naye
Polen sana wanafamilia 😢😢
Whenever i watch this i find my self shading tears...kipenzi cha watu ...kenya twalia
Pole sana mjane Mungu akupe faraja kuu ktk majonzi haya magumu. Poleni sana Zabron singers
Mungu aliyejuu mbinguni, awafariji walioachwa haswa mkewe,watoto,wazazi,familia na wengine wote,mungu aiweke roho ya mpendwa wenu mahali pema.shalom.
Mmmmm this is the time we need to realize that we are not of this world and we're not special for us to be alive even us at any time we can die let's do the work of God while we still have time to be on earth, my condolences to the family and zebron choir , from Zambia 🇿🇲😭😭😭
Nasisi tuliumia sana tuko nchi jirani Tunawapenda sana. MUNGU ABARIKI FAMILIA YA ZABRON SINGER❤❤❤
pole sana kwa familia pamoja na zabron singer. Ni uchungu sana lakini jipe moyo, tuajie mungu
Have been following them and they are my favourite
Lord of mercy!!!!!simama na hii familia wakati huu wa machozi nimeuzunika sana kwa hili but poleni🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭so painful rest in peace Marco
😢😢😢may his soul rip 😥😥 💔💔 so painful,glory be to God Almighty amemaliza kazi katika Bwana Ameen 🙏🙏🙌🙌🙌
Polen sana watumishi wa mungu hasa familia kwa ujumla mungu awape neema na ujasli
Oh Baba yetu Mkuu tunakuomba kumbuka hii familia ya mtumishi wako cku zote za maisha yao Amen
😢ni uchungu mno na huzuni, Mungu awafariji nyote
Marco wawatu arikuwa ana makuu na watu kipenzi chawatu umeondoka umetuacha na upweke don't live me alone 😭🙏😭🙏😭🙏😭🙏😭
Poleni sana kwa msimba mungu awape nguvu
Poleni saana kwa familia ya marcos mungu ailinde mwili wako pema peponi hyo ndio barabara ya wote
Jamani jamani mungu awatie nguvu wana familia ya zabron Marco lala saram kaka etu milele tutakukumbuka😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏😿🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦🤦
Polen sana mungu awatiy nguvu
Poleni sana zabron singers
Amini wote tunapita nawapa polen mulio guswa na msiba huu mwenyewe nimeguswa amina
Polen sana mungu akutie nguvu pia awe mfariji wako😭😭😭😭😭
Marco pengo halizibiki tulihitaji tukusikie zaidi kila tukishuka moyo.
Kazi ya Mungu haina makosa.Machozi hayatoshi .Pumzika kwa Amani.Mbele yako nyuma yetu.
Apumzike kwa amani tunyuma Yako🙏🙏🙏🙏🙏
My sincere condolences to you all, especially the family.
Love from Kenya.
Pumzika salaam Marco your songs will remind us of you. You left a legacy marco
Poleni sana ndugu , Jamaa,marafiki na kanisa kwa ujumla
😭😭nakosa ya kusema ila moyo unauma sana maico pumzika kwa aman mungu awatie nguvu wote familia pamoja namashabiki 😭😭💔💔
Lord of mercy!!!!!simama na hii familia wakati huu wa machozi nimeuzunika sana kwa hili but poleni🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭so painful
Poleni sana!! May Marco's soul find eternal rest with the Lord🙏
Inauma kweli 😢😭😭🕊️ we're so sorry we as Kenyans 🇰🇪
Hili limeniuma sana hili nimelihuzunisha sana😢😢😢😢😢😢😢
Polen wafiwa WOTE,Mungu azd kuwatia moyo,,polen wanazabron
Zabron family tunawaombea sana. Mungu atoe faraja na ujazo wa roho mtakatifu ili mpate amani moyoni
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu Wewe Mimi nalia jaman daah kaka Japhet naumia sana unasema umebaki mwenyewe ni kweli 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Another moment finding myself mourning with strangers 😢 rest easy Marco 💐
Mungu akukumbuje kwenye ufalme wake Marko hakika tumeumia mno
Pole sana Kwa familia,, mungu yupo pamoja nanyi
Mungu awatie nguvu na faraja! Poleni sana.
Ehhhh Mungu awape tena faradja,congo tuna liya
so painful to loose such a young talented man
Mark Jameni Katuacha,Pumzika Kwa Amani Mark 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭,Mungu Awatie Wanafamilia Nguvu 😭😭😭😭😭😭😭😭...
Heartfelt condolences to the family and the entire Tazania
We niuchungu sana mungu ailaze roo yake malipemapeponi 😭😭😭Rip marcko
Pumzika kwa amani mtumishi wa mungu❤😢
Hooo mungu amupikeye,😢😢,
Na atutiye nguvu Sisi tulio baki
Mwenyezi Mungu amrehemu na awafariji na kuwatia nguvu wana familia inauma snaa😭😭😭
May u're soul rip ndugu Marco 😢😢😢may ua wife find peace to take care of u're loved kids u left behind and ua team😢😢😢
Poleni sana wa kenya pia msumbiji tunalia 😂😂😂😂
Poleni inauma sana, Mungu awape nguvu
Polen sana namungu akawe faraja kwenu katka kazi muifanyayo 😢😢😢😢😢
Poleni sann mungu Awatiye nguvu kazz ya mungu Haina makosa
You were too young to die! Rest easy man of God!
Mungu baba wafariji wa familia wa Marco Zabron
MUNGU akupokee kwake Mbinguni Mtumishi wa MUNGU
Poleni sana kwa Familia,
Poleni sana mungu awafariji nakuwatiya guvu ameeen
Aseee inauma sana jamani mungu awaited nguvu
Poleni sana❤
Kwakweli inauma sana lakini yote Ni YA mungu poleni
So sad bt all in all is God's plan
Daaaaa 😢😢😢😢😢polen Saba wapendwa wetu
Que Deus dê conforto a família
Mungu awape faraja wanafamilia
Pole saaaaaaaaaaaaaaaaaaana vraiment
My age mate 😢😢 inauma..safiri salama
Polen sana mungu awape nguvu nawa falinji familia❤😢
Pole sana kwa familia
Mungu awatie nguvu inauma sana😢
Hili limeniumizaaa kwelii
Oh God, the pain is too much....we wait on for consolation
Pumzika salama😢zabron singers mungu awatie nguvu
😭😭😭😭🤔🙏🙏🙏poleni sana inauma sana
Pole sana wana Zablon singers mungu azidi kuwatia nguvu😭😭😭😭 Rip
Poleni Sana najua inauma lakini simamemi
Dar inauma xana kumuzka mume e mungu muxaidie two mama yetu
May the Lord protect the family 😭😭😭😭😭😭😭
Doctor mshipa afu mkapasuwa moyo eehh Mungu nisamehe mimi 😰😰
Na waomba wana nchi mjaribu leka na kushera kucommnent pia naitwa shadrack shivachi
Hakika dunia sio kwetu nenda kwa amani ndugu
Kwa Mungu kwake ni mema, ushukuriwe milele
Pole,sana
Wimbo unaliza sana
😢😢 zabron from Kenya ni Masha
Poleni sana 😢😢
Very painful. Rest in peace brother
Kila jambo na wakati R.I.P 😢😢
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
REST IN GLORY MARCO, MAY THE ANGELS WELCOME YOU
Imeniuma sana poleni jamani Mungu yu juu yenu
Wandugu Sinachakusema ila nimeumia sana moyoni mwangu
KAZI ya Mungu haina makosa Eeh Mungu wape faraja familia yake
Mungu awatie nguvu Wana family 😭😭😭😭
Poleni wasanii marafiki na familia
Mungu watie nguvu familia
Am sorry for that RIP peace our brother
Poleni sana
RIP Marco
Pollesan mama🇧🇮
Emungu tunakuwomba watiyenguvu
Mungu awatie nguvu....
May his soul rest in peace
PUMZIKA KWA AMANI MTUMISHI WA MUNGU MARCO,KAZI YAKO ULIYOIFANYA INAJITANGAZA YENYEWE,
Eeh Mungu mrehemu tupe Amani hasaa Familia yake changaa😢