Ujumbe umekaa vyema,hata location nayo mmeitendea haki.Mungu awabariki. Salamu kwa mama Happy,Fyinkili,Buzingo, Jacob na kwaya yote kwa ujumla.Nawapenda mno.
Mko vizuri . Isipokuwa muombeni camera men awapige vizuri zaaidi nyingi mkogiza na wengine wanaonewkana mara nyingi zaidi ya wengine lazima awe na kamera zaidi ya moja awe na drone ili wanyuma nao wachukiwe
Thank you for the timely message. However beware of dramatization. It destructs from the message and draws attention to the messengers and the acting. More light from the spirit of prophecy on the same.. 🙏🙏
Wimbo mzuri ila it's too unfortunate hata hao Waadvetista wameungana na Roma 😭wao wanangonjea Sunday law(Alama, Mark of the Beast) lakini watapimwa na Sanamu ya manyama(Image of the beast)..
Someni mandiko yanasema nini, nyie mume ng'aninia jumapili na kuona nyie ndio muna haki hamuwez kuwa hesabikia haki wengine. “Ni nani atakayewashitaki wateule wa Mungu? Mungu ndiye mwenye kuwahesabia haki. ” - Warumi 8:33 Nyie munafilkili kufata torati inavyo sema ndio kuwa wakamilifu “Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa; neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo. ” - Yohana 1:17 Yesu ndiye aliye kuja na neema pamoja na kweli, na kweli ndio neno la Mungu Yoh 17:17 na kwel ndio inaweka mtu huru Yoh 8:32
@COSMASMGOBAFRANCIS, haya maandiko unatoa tunayajua wala siyo mgeni kwetu, unajua unaweza kuwa unatoa maandiko tu ila huyaelewi🤔sasa basi, kwa hivyo Yesu alileta Neema tuvunje sheria? tuibe,tuzini, tuinamie sanamu, tuwe na miungu mingine? ama unamaanisha nini kusema sheria ziliisha?
@@rosemutinda3076 wewe kama unataka tuelemishane ni jambo nzuri, na tutenda kimandiko nyie wasabato huwa munafikilia ndio muko sahihi wanao abudu jumapili wanakosea. NIELEZE UHUSIANI ULIPO KATI YA JUMAPILI NA 666. maana wimbo wenu ndo unaeleza hivyo.
@@rosemutinda3076 Kama hujaelewa niliandika mimi ni kwamba , Yesu alikuja na amri 2 pekee 1. Mpende bwana Mungu wako 2. Mpende jiran yako Mpende jiran yako , maana yake hutamuibia, huta zini na mkewe huta msemea uongo na mengine meng sasa hapo hujaelewa kitu gani
@@cosmasmgobafrancis hongera sana kama unajua Hilo ujue na hili pia, ukimpenda Mungu hutaacha kushika amri zake. Na imeandikwa yohana 14:15 "mkinipenda, mtazishika amri zangu"
Mungu anatukuzwa kwa kuusema ukweli Mungu aendelee kuwapatia ujasiri wa kuifanya kazi yake
Naupenda sana huu wimbo tangiapo
Mungu atusaidie maana matukio yanaonesha wakati u karibu sana na kibaya zaidi shughuli za maishq haya zimetuweka bize hata hatushtuki
Waooh!!
Brethren keep on keeping on.
Mungu na awajaalie neema ya kurithi lile jiji la mbinguni.
Mnanibariki sana kwanyimbo zenye ujumbe
Kasulu hamjawahi feli asanteen Kwa ujembe wenu nahitaji kuwaunga mkono Kwa kutoa sadaka na Kufanya mawasiliano ya kiwinjilisti..
Amina na Mungu azidi kuwainua mnapofiksha ujumbe ulimwenguni kote.
Mwalimu munguakubariki kwakazinzuli
God bless you all watumishi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu azindi kuwapa nguvu ya kuimba nyingine nyingi
Hallelujah v.o.p God bless you in this great mission
Amina woundefuly Songs with enough messages
Amen!! Nabarikiwa sana
Oooh Amina❤ ujumbe umefka Nizam yangu mm na ww ili tuishinde hii vita tuwe na Imani thabiti🙏
Kezia issa ubarikiwe saana tupige vita vizuri
Barikiweni Sana 🙏 watumishi wa Mungu, nabarikiwa Sana na nyimbo zenu vop kasulu kwaya ya nyumbani.👍
oooo barikiwa
Walio na masikio wasikie,,,amina wanakasuru
Bwana awabariki sana kwa ujumbe wa sasa unapaswa kuhubiriwa
hongera! watu wa mungu
Ujumbe umekaa vyema,hata location nayo mmeitendea haki.Mungu awabariki.
Salamu kwa mama Happy,Fyinkili,Buzingo, Jacob na kwaya yote kwa ujumla.Nawapenda mno.
mathias duduru ubarikiwe
Amen for the teaching, a time of trouble such as never was, but they that turn many to righteousness shall shine as the stars
Tutashinda katika yeye atutiaye nguvu
Mbarikiwe Sanaa Nawafatilia Nikiwa Tegeta Dar Es Salaam Hakika Mnanibaliki Saana Mungu Azidi Kuwainua🙏
amina
Mubarikiwe
Bwana Mungu wetu awabariki sana sana, .
amina saana miss phina
Natujiandae tukae waaminifu .
Npenda wenu sana
Mbarikiwe
🙏🙏🙏
Vop, you are Highly Favoured and loved by GOD. GOD Greatly bless you 🙏🏽
amina
Continue brethren keep up spreading the gospel through prophecy
Continue brethren keep up spreading the gospel through prophecy
Continue brethren keep up spreading the gospel through prophecy
Walio waaminifu tu na siyo tu kua waadventisita , dhiki hiyo inayokuja wengi wataikana imani.
Thank you for your strong messages and beautiful songs.
thank you2
Amen
Mko vizuri .
Isipokuwa muombeni camera men awapige vizuri zaaidi nyingi mkogiza na wengine wanaonewkana mara nyingi zaidi ya wengine lazima awe na kamera zaidi ya moja awe na drone ili wanyuma nao wachukiwe
Thank you for the timely message. However beware of dramatization. It destructs from the message and draws attention to the messengers and the acting. More light from the spirit of prophecy on the same.. 🙏🙏
Wimbo mzuri ila it's too unfortunate hata hao Waadvetista wameungana na Roma 😭wao wanangonjea Sunday law(Alama, Mark of the Beast) lakini watapimwa na Sanamu ya manyama(Image of the beast)..
Very true GC ni ya pope mpaka tujitenge na wao pia
Utatu umewaunganisha na wajumapili Shetani nimjanja Sana tuwe macho
(ukiujua ukweli muimarishe na mwenzio)
Kwani shida yao iko wapi mpendwa ?kwani ni vibaya kuionya dunia kwa yajayo.chuki au
Elimu ya matengenezo imewachabganya ,jitengeni na sda mtafungiwa nje haki ya Mungu. Mungu anawajua walio Wake
Duuuu nihatar Sana.
jiandae mpendwa
Tumikeni maadamu ni mchana
Mnajua
Someni mandiko yanasema nini, nyie mume ng'aninia jumapili na kuona nyie ndio muna haki hamuwez kuwa hesabikia haki wengine.
“Ni nani atakayewashitaki wateule wa Mungu? Mungu ndiye mwenye kuwahesabia haki.
”
- Warumi 8:33
Nyie munafilkili kufata torati inavyo sema ndio kuwa wakamilifu
“Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa; neema na kweli zilikuja kwa mkono wa Yesu Kristo.
”
- Yohana 1:17
Yesu ndiye aliye kuja na neema pamoja na kweli, na kweli ndio neno la Mungu Yoh 17:17 na kwel ndio inaweka mtu huru Yoh 8:32
@COSMASMGOBAFRANCIS, haya maandiko unatoa tunayajua wala siyo mgeni kwetu, unajua unaweza kuwa unatoa maandiko tu ila huyaelewi🤔sasa basi, kwa hivyo Yesu alileta Neema tuvunje sheria? tuibe,tuzini, tuinamie sanamu, tuwe na miungu mingine? ama unamaanisha nini kusema sheria ziliisha?
@@rosemutinda3076 wewe kama unataka tuelemishane ni jambo nzuri, na tutenda kimandiko nyie wasabato huwa munafikilia ndio muko sahihi wanao abudu jumapili wanakosea.
NIELEZE UHUSIANI ULIPO KATI YA JUMAPILI NA 666. maana wimbo wenu ndo unaeleza hivyo.
@@rosemutinda3076 Kama hujaelewa niliandika mimi ni kwamba , Yesu alikuja na amri 2 pekee
1. Mpende bwana Mungu wako
2. Mpende jiran yako
Mpende jiran yako , maana yake hutamuibia, huta zini na mkewe huta msemea uongo na mengine meng sasa hapo hujaelewa kitu gani
@@cosmasmgobafrancis hongera sana kama unajua Hilo ujue na hili pia, ukimpenda Mungu hutaacha kushika amri zake. Na imeandikwa yohana 14:15 "mkinipenda, mtazishika amri zangu"
@@ezekiamahwa6582 kwan amri alizo eleza Yesu Kristo ni zipi baada ya kulizwa amri ipi ni kuu alijibu nini mandiko mbona yako wazi
There will be no selling and buying