BIFU ZITO GIGY NA NIFFER/MWANAUME WANGU HAWEZI KUDATE NA GIGYMONEY/MIMI NI MZURI/SHEPU KAMA LOTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 309

  • @witneyzpaul4047
    @witneyzpaul4047 2 ปีที่แล้ว +57

    Huyu dada anaroho nzuri sana,alimsaidia rafiki yangu mtandaoni tu kumpa hela ya matibabu,utoaji wake ndio unaofanya anabarikiwa keep it dada 🙏🥰❤️

  • @alwiyad1977
    @alwiyad1977 2 ปีที่แล้ว +20

    Amazing so impressed, this girl is going so far Mashallah and her faith in God says a lot . Mola atakulinda Niffa keep doing good

  • @hesbonolunga5479
    @hesbonolunga5479 2 ปีที่แล้ว +17

    This lady is wise,,,much love from kenya

  • @geofreycheruiyotlagat3888
    @geofreycheruiyotlagat3888 2 ปีที่แล้ว +22

    Wat a clever woman! Manshaallah Niffer endelea na maisha yako stay away from watu wasiojielewa

  • @roseatieno6691
    @roseatieno6691 2 ปีที่แล้ว +15

    What a clever and wise lady 👍afu ni well educated siyo giggy na croocked English.

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 2 ปีที่แล้ว +21

    Weweeeeeeee, Dada mwogopeni mungu we mdada! We sio mzuri dadaangu, Mke wangu ndo mzuri kuliko wewe,

    • @chimamykheri-qx2pb
      @chimamykheri-qx2pb ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @NuuSophia
      @NuuSophia ปีที่แล้ว

      Your beut girl

    • @EstarMichael
      @EstarMichael 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂❤❤❤ nakupenda unavyompenda mkeo hadi unamsuta mtu live 😂😂❤❤❤

    • @catherinekan1
      @catherinekan1 หลายเดือนก่อน

      @@EstarMichaelyaani 😂🤣🙌🏾

  • @Habibtyjojo
    @Habibtyjojo ปีที่แล้ว +2

    Mashallah nifa allah akusimamie kila hatuwa tunakupenda sanaa😊🥰

  • @hawamohammed9740
    @hawamohammed9740 ปีที่แล้ว +1

    Mash Allah nifa Allah akubariki sana nafurahi kuijua vizur dini yako na mola wako Allah akubariki wewe na sisi

  • @happymraha7747
    @happymraha7747 2 ปีที่แล้ว +8

    I love your personality❣, unapambana nna umri kam wako, i wish to be like you

  • @creekempire8564
    @creekempire8564 2 ปีที่แล้ว +15

    Kwa ufupi Gigy hapa amepatwa huyu binti is good at her age. Go girl Niffer.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah sister sura yako tu inaonesha mtoto ulopata MALEZI MAZURI KWENYE MAISHA YAKO. Wachana na viruka njia...

  • @SalmaBakar-z4c
    @SalmaBakar-z4c หลายเดือนก่อน

    Namkubali sana uyu dada very bright ❤❤ ubarikiwe mpka waandamane wote

  • @mwanaikaomar8628
    @mwanaikaomar8628 2 ปีที่แล้ว +36

    Mimi nilichokupendea ni kuwa pamoja na yote.lkn pia hujamsahau Allah.hili ndo kubwa na zuri sana kwako.

    • @salimabakari8617
      @salimabakari8617 2 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa tena hapo kwenye dhambi ndogondogo tujiepushe nazo

    • @zenabali568
      @zenabali568 2 ปีที่แล้ว +1

      ❤️❤️❤️

    • @CRMEDIA-yd7dp
      @CRMEDIA-yd7dp 2 ปีที่แล้ว +3

      hajamsahau Allah wakat yupo uchi huyo

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 ปีที่แล้ว +1

      @@CRMEDIA-yd7dp Wacha wivu. Wanokaa na kuvaa uchi huwasemi usiyo wapenda UTAWASEMA..

    • @ibrahimmohammed9897
      @ibrahimmohammed9897 2 ปีที่แล้ว

      @@CRMEDIA-yd7dp umeongea points hhahahha Haja msahau Allah wakati yko uchi kwly hna hya mtoto WA kiislamu

  • @hannanommy302
    @hannanommy302 2 ปีที่แล้ว +14

    Allah azidi kukufungulia milango ya Rizk, 🙏 nakushauri mwanangu kaa kimya siku Zote zote mti wenye matunda mazuri ndo unapigwa, piga kazi achana na huyo kumuongelea utachelewa

  • @sadaali3207
    @sadaali3207 2 ปีที่แล้ว +10

    mimi nimempenda this gal. she is on another level

  • @sousmyuno6429
    @sousmyuno6429 2 ปีที่แล้ว +4

    I like her….. she’s on real it’s my first time to see her…. 🇺🇬🇺🇬

  • @GaudenciaMadirisha
    @GaudenciaMadirisha 7 หลายเดือนก่อน

    Umenifurahisha. Sana safi kabisa kuniamini. Ndo inavyo takiwa safiiii kabisa ❤❤❤

  • @ZubedaUdai
    @ZubedaUdai 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mungu akubarik unabusara Sana nakupenda niffer ❤wng sanaaa nakuja dar kukuona nakupenda sanaaaaa
    ❤❤❤❤❤❤

  • @IshaHussen-l9q
    @IshaHussen-l9q หลายเดือนก่อน

    Kabisa yani mama ndio mwalimu wa kwanza kwa mtoto unaushaur mzur san mungu akubariki katika kila unachokifany inshaal

  • @amanipeace7811
    @amanipeace7811 2 ปีที่แล้ว +3

    Gosh this Girl is Smart, i just like her...
    She is wise Thats why so many haters🤣🤣🤣

  • @zuweinaally2413
    @zuweinaally2413 2 ปีที่แล้ว +12

    What !! It's true Anajiamini..Mashallah anajielewa anajua anachokisema..Ila plse usijibizane na watu wasiokua na msimamo km wako ..Stay calm 🤙

    • @anithacharles8208
      @anithacharles8208 2 ปีที่แล้ว

      KWAIYOO ANA MIAKA 23 ALAFU ANA DIGRII ALAFU PIA ALIANZAA BIASHARAA AKIWA MDOGO SASA ALISOMA SAANGAPIII

  • @aisatahaisatah2612
    @aisatahaisatah2612 2 ปีที่แล้ว +7

    Masha Allah ALLAH azidi kukufungulia milango nifa

  • @lewisleonard3672
    @lewisleonard3672 2 ปีที่แล้ว +10

    Gigy keshakupaisha Dada wengi walikua hawakujui ila kupitia gigy hata mie nimekujua mshukuru gigy bwana

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 2 ปีที่แล้ว +15

    Ila huyu Mtoto ana akili sana,na anajielewa!!anaongea vizuri pia

  • @PhinaOfficial
    @PhinaOfficial ปีที่แล้ว +1

    Nipher unaakili kubwa mno Mungu akuongoze nakukuepusha na husda zawanadam unajitambua sana na unahofu ya Mungu

  • @Luscious6826
    @Luscious6826 2 ปีที่แล้ว +6

    Good girl 🥰🥰🥰 I love people like this oooooo

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 2 ปีที่แล้ว +16

    Kuanzia Leo shabiki ako Niffer, tena tumezaliwa mwaka mmoja🥰

    • @verenabenjamin7893
      @verenabenjamin7893 2 ปีที่แล้ว

      Nimempenda Sana huyu binti ana akili Sana na ana hofu ya Mungu,hongera mdogo angu

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 2 ปีที่แล้ว +15

    Kwa ushauri Niffer kwasas kwepa Intervew za kujiongelea dili na madili yako ....ili wakuwekeeeee heshima na wapunguze kukufwatilia..... chukua mfano kwa hamisa wa sas

  • @mayajuma6742
    @mayajuma6742 2 ปีที่แล้ว +8

    Wahaya tunajiamini sana tunajutambua tuhekima Alhamdulillah💞💞💞💞💞💞ALOVE مئی سویتے نففر

  • @Halimamohamedmpte
    @Halimamohamedmpte ปีที่แล้ว

    Acha hizo bhanaa ko u she beautiful Sana au ko sisi atufikili dada ndiyo tuseme umepita hatua kidog bc usione umemaliza Sana Tupo wasichana tunapambana shepu yako sio kitangazo dada

  • @marymafuru7130
    @marymafuru7130 2 ปีที่แล้ว +14

    Dada acha dharau usifange wewe umekuwa nani halafu mume wako asitembee na gigy money kwa lipi huwajui wanaume kumbe wewe unajifanya una sura anaweza akakuacha na sura yako hapo akachukua hata mfanyakazi wako wa ndani ije kuwa gigy wadada wa bongo tunawajua mshukuru mungu tu umedanga weeeee na nyota ndio imeanza kung'ara wadada wa bongo sijaona mwenye kujielewa

    • @jeusitii5411
      @jeusitii5411 2 ปีที่แล้ว

      Mi nawaita mataira wamjini

    • @janerosemutakyawa
      @janerosemutakyawa ปีที่แล้ว

      Maisha yana siri kubwa. Hakuna ajuaje kesho. Never say never

  • @njiokafaith6305
    @njiokafaith6305 2 ปีที่แล้ว +10

    Huyu pia nimnafiki anamdomo sana....kiherehere mob ....kama kuna mtu bongo hananga mdomo ni @Esema

  • @boyiddy9323
    @boyiddy9323 2 ปีที่แล้ว +11

    Hahahahah mie napendag tu vile wanawake wa tz huwa wana umbri mdog saaana kila mtu hujion bado binti mdog

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 2 ปีที่แล้ว +7

    Dharau za kihaya mama tambaaaaaa mpakaaa wakomeeeeeeeeeeeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @veronicafredi526
    @veronicafredi526 2 ปีที่แล้ว +8

    Huyu dada namuonaga tu humu mtandaoni leo ndo nime mjua zaidi nimempenda sana

  • @brianwanjala5336
    @brianwanjala5336 2 ปีที่แล้ว +10

    From Kenya 🇰🇪 this gal is really I vibe nampenda tu bure

  • @Aisha-qg5mj
    @Aisha-qg5mj 4 หลายเดือนก่อน

    Pigakazi dada waliokuchukia wanazururatu ovyoo❤❤❤

  • @FajmaHilali
    @FajmaHilali 3 หลายเดือนก่อน

    NAKUPENDA SANA NIFFR NIMTOTO MWENYE HURUMA NAUPENDO NAKILAMTU MUNGU AKUZIDISHIE UPENDO NA AKUONDOSHEE HASADI❤❤❤

  • @jazillahaliamin2387
    @jazillahaliamin2387 2 ปีที่แล้ว +17

    hee gigy money hajatajwa mtu is just advise

  • @amanimapenzi571
    @amanimapenzi571 2 ปีที่แล้ว +10

    good girl continue working hard!

  • @jacquilinenoah949
    @jacquilinenoah949 2 ปีที่แล้ว +25

    uyu niffer ajengewe sanamu😍❤

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 ปีที่แล้ว

      Na alivomzuri wee

  • @Callister01
    @Callister01 2 ปีที่แล้ว +12

    thats the spirit❤️‍🔥

  • @anethjoseph4542
    @anethjoseph4542 ปีที่แล้ว +3

    Above 18 we ni mtu mzima sana , we ni mkubwa kama wakubwa wengine , kulingangana na hali ya maisha kila mtu anapambana ndiyo maana kuna vijana chini ya mika 18 wanatafuta maisha na wanapata Rizki kama wewe tofauti wao hawajulikani wewe social media zimefanya tukufahamu , hivyo kwenye udogo mbona hauko mama,

  • @sophiaramadhan4019
    @sophiaramadhan4019 2 ปีที่แล้ว +7

    Nimekupenda bure mdada kwanza una hofu ya Mungu

  • @christinaonditi9341
    @christinaonditi9341 2 ปีที่แล้ว +12

    Yani nimekupenda Hadi nimekupenda ,alafu ni kweli unayo shepu unayo sura unayo akili unayo confidence, kizazi sanaaaa

  • @rachelmliwa9830
    @rachelmliwa9830 2 ปีที่แล้ว +1

    niffer ni yule wa lukole mtoaji sana kwa watoto yatima God akubariki sana

  • @davidkokomushagalusa6566
    @davidkokomushagalusa6566 2 ปีที่แล้ว +3

    She's pretty smart

  • @reymahabdallah1783
    @reymahabdallah1783 2 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda niffer mungu akujalie

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 ปีที่แล้ว +4

    Mash Allah umeongea poit kabisa Gigy ata sijui ana mapepoga atakai muoa ana kaz

  • @latifahkarim9774
    @latifahkarim9774 2 ปีที่แล้ว +8

    Big up my young sister achana nao

  • @getrudemushi6913
    @getrudemushi6913 2 ปีที่แล้ว +5

    Mbona unang'ang'aniaa sana ww ni mdogoo🤣🤣

  • @shelomaday4633
    @shelomaday4633 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera Sana umeongea vzr Sana achana na wajinga songa mbele MUNGU atakusaidia zaidi

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 ปีที่แล้ว

    NIFFER nakupenda bure ...mngu. Akulinde na kila shari. ..💟

  • @adamsonweez2798
    @adamsonweez2798 2 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana dada niffer yan gigy likorofiii sanaa

  • @rachelaisha5084
    @rachelaisha5084 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @angelineedward1513
    @angelineedward1513 ปีที่แล้ว

    Kwanza me nimependa unajikubali my dia kweli we ni mrembo. Na lazima umshukuru mungu jinsi alivyokuumba

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว

    Ana roho nzur kama mimi au brother zangu kuna mmoja marafiki zake walikuwa wakiumwa anawambia twende kwa baba ukachukuwe hela ya hospital na baba naye kwa kuwa ana uluma alikuwa anatowa

  • @EkishaClinic
    @EkishaClinic ปีที่แล้ว

    Nakupenda unajiamini achana nawajinga

  • @zukrahussein2848
    @zukrahussein2848 ปีที่แล้ว

    Love you ❤️❤️❤️❤️gigyyy mapesaa

  • @sofiajumaa4538
    @sofiajumaa4538 2 ปีที่แล้ว +2

    Waooo naenda kukufollow Nifer sasa hivi

  • @KhamisMtwana
    @KhamisMtwana 2 หลายเดือนก่อน

    DD uko juu ww achana na wwlimwengu fanya kazi t

  • @husnabibikhadidjaomari9427
    @husnabibikhadidjaomari9427 ปีที่แล้ว

    Mashaallah, nimependa kwasababu humsahau Allah

  • @enjoomaliya1399
    @enjoomaliya1399 2 ปีที่แล้ว +1

    Mhaya msomi , unajielewa Niffer , wahaya kabila kubwa , nakupenda Niffer.

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 2 ปีที่แล้ว +14

    Media za bongo ndiyo zimepata cha kuongea sasa Niffer dear punguza ma interview unampa Kiki gigi hana akili yy kuropoka tu

    • @samwa9496
      @samwa9496 2 ปีที่แล้ว

      hakuna mtu asie na akili mbona anaishi maisha yake

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 2 ปีที่แล้ว

      @@samwa9496 Ni kweli ila anavyojitoaga akili mpk anaonekana kama hana akili

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 2 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah tabarakaAllah

  • @EmanuelSomi
    @EmanuelSomi ปีที่แล้ว

    Niffer nampenda bure❤❤❤❤

  • @iddajoseph6427
    @iddajoseph6427 2 ปีที่แล้ว +6

    I love you Niffah!

  • @sophiamfikwa7340
    @sophiamfikwa7340 2 ปีที่แล้ว +1

    Your perfect girl I love you

  • @chausikuelias621
    @chausikuelias621 ปีที่แล้ว

    Achaa niffer ww huwajui wanaume unawasikia tuu hata Kama atang'ang'ana naww kama ruba hatokuonyesha ila nakucht upo vizr lkn punguza kujigambaa wapo wadogo Sana walioenderea kuliko ww muogope mungu

  • @rizikiiddi3397
    @rizikiiddi3397 2 ปีที่แล้ว

    Well talk

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 2 ปีที่แล้ว +17

    Miaka 23 ni mtu mzima huna utoto hapo umechelewe kuzaa sahizi ungekuwa na familia yako ,na nyumba yako huna utoto na hiyo shape niyakawaida ungepata shape ya kajala ingekuwaje? Punguza muhemuko come down wenzio giggy hakutaja jina la mtu yeyote, yeye kazungumzia biashara

    • @maridhawamakolela1535
      @maridhawamakolela1535 2 ปีที่แล้ว +1

      Wivu acheni makasiriko Nafferton anajikubali

    • @khadijaomar6730
      @khadijaomar6730 2 ปีที่แล้ว

      Nashangaa

    • @zaidihussein4311
      @zaidihussein4311 ปีที่แล้ว

      Wacha wivi huu ni wakati wake nifa

    • @caashamacalini3887
      @caashamacalini3887 ปีที่แล้ว

      @@zaidihussein4311 hata wewe pia niwakati wako pia hamna mwenye wakati wake Kwa mungu cha msingi ni uhai na afya njema thats all .

  • @nyamandecharles3795
    @nyamandecharles3795 ปีที่แล้ว

    Aseeeee nimependa sana anajitambua

  • @fatmaemily4971
    @fatmaemily4971 2 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda sana nife wake mashaallah

  • @annamachaki3644
    @annamachaki3644 2 ปีที่แล้ว

    Pambana na maisha yako mtoto mzr usipambane na wenye maneno kila cku nimekupenda bure achana nao fsnya yako ona Mundi anatukanwagaa lkn hamjibu m2 hata cku moja wanabak na aibu bog up Niffa

  • @renathakalamage4931
    @renathakalamage4931 2 ปีที่แล้ว

    Mdogo wangu kaza buti uko vizur Mungu aendelee kukusimamia

  • @محمدالحمادي-ل4ص
    @محمدالحمادي-ل4ص 6 หลายเดือนก่อน

    Nimekupenda san nifa wenimwislam achana nauyo Gig kama kalaniwauyo

  • @yusrahamad2939
    @yusrahamad2939 2 ปีที่แล้ว +34

    Huyu dada ni kichwa hata anaongea km mtu mwenye akili

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 ปีที่แล้ว +1

      Ameenda shule iyo kidogo inamtoa ile hali ya uchokaraa na ushangingi usio na msingi

    • @marcodaud5089
      @marcodaud5089 2 ปีที่แล้ว

      Hahahahahahah kumbe hanaaaaa alf

    • @alicecycy4104
      @alicecycy4104 2 ปีที่แล้ว +1

      Sana kbs

  • @pinkvelvetcakes8168
    @pinkvelvetcakes8168 2 ปีที่แล้ว

    Mungu amjalie

  • @faithwanjiku4017
    @faithwanjiku4017 2 ปีที่แล้ว

    Gigy Wachana na Niffer si classy Yako humfiki bana.Niffer anabidii sana.

  • @stellakyando8433
    @stellakyando8433 ปีที่แล้ว +1

    Me ni mdogo,,,ni mzuri,,Nina shepu. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ramlaisaac665
    @ramlaisaac665 2 ปีที่แล้ว +3

    Niffer apriciet❤❤❤❤

  • @adamsonweez2798
    @adamsonweez2798 2 ปีที่แล้ว +1

    Dada Ana roho nzurii sana huyu

  • @amriyalibent5900
    @amriyalibent5900 2 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe jamaa yng muhaya hongera

  • @sandrasandrine3027
    @sandrasandrine3027 ปีที่แล้ว

    my niffer chapa kazi mama achana na watu wanao tafuta umaarufu kwaku ongeleya wengine

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 2 ปีที่แล้ว +15

    Uyu binti nimependa anaofu na mungu usibadilike mdogowangu

    • @sikukuuchuo3093
      @sikukuuchuo3093 2 ปีที่แล้ว +1

      Hofu ya Mungu kutembea Uchi nywele za kubandika wakati Allah kawalaani

    • @khadijaomar6730
      @khadijaomar6730 2 ปีที่แล้ว

      Uchi minywele ya mibandiko tn mitandaoni ndio hofu ya Allah..Astaghfirullah

  • @faridabashir4282
    @faridabashir4282 2 ปีที่แล้ว

    Niffer ajengewe mnara, 💪💪💪

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว

    Ata mimi napenda kuwasaidia watu ata kama simjuwi kama ninacho nilikuwa nauluma njian utakuta mtu anatokea akinililia ana shida nilikuwa namsaidia au kama sina nipo na mama namwambia mama tumsaidie mama ananijuwa nilivyo

  • @saumjuma958
    @saumjuma958 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzr niyule mwenye kustir maungo byake

  • @faridadondo2103
    @faridadondo2103 2 ปีที่แล้ว +2

    Kweli una akili huwez kuwa km Gigi zakujiongeza ila km unajua sheria za Allah badilika vaa star funika kichwa nimekupenda bure

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 2 ปีที่แล้ว +6

    I like her wisdom

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 2 ปีที่แล้ว +9

    Piga kazi mti wenye matunda ndo unaopigwa mawe unaakili sana

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 2 ปีที่แล้ว +2

    Dada nakupenda, unajitambua

  • @abisaimwita7531
    @abisaimwita7531 2 ปีที่แล้ว

    dada ang nakupenda mno sana

  • @dottokulwa9145
    @dottokulwa9145 2 ปีที่แล้ว

    Thanks my love sister don't care about gigy she is mad so never mind her

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 ปีที่แล้ว +8

    Niffer Allah akuongo napenda vile unamtaja Allah na mtume wake

    • @pillymaurine3608
      @pillymaurine3608 2 ปีที่แล้ว

      Mummy uar so grt mungu akulinde na azidi kukupa hekma dear

  • @oyay2821
    @oyay2821 2 ปีที่แล้ว

    Uzuri wake hajapaka mkorogo her beauty is natural

  • @yorobodjesh5209
    @yorobodjesh5209 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda bule niffer

  • @halmejo5907
    @halmejo5907 2 ปีที่แล้ว

    Nifah ni binti anajielewa sana walai na mungu ampe umri mrefu

  • @glaqgloryaqram7511
    @glaqgloryaqram7511 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda mpenzi

  • @lm6373
    @lm6373 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama diamond na harmonize kuona harmo kawa juu loo wivu ni mbaya mmmmh