TAZAMA GIGY MONEY ALIVYOENDA KUMTUNZA AMBER ULU KWENYE BABY SHOWER

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ส.ค. 2024
  • Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
    TAZAMA GIGY MONEY ALIVYOENDA KUMTUNZA AMBER ULU KWENYE BABY SHOWER
    #BonaTV #Exclusive #amberlulu #gigymoney
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 225

  • @husnaabdallah742
    @husnaabdallah742 3 ปีที่แล้ว +11

    nani anamkumbuka mc ni yule aliyecheza movee ya mtoto wa mama na mzee majuto au nimeona vibaya kama nimepatia like kwangu kama nimekosea 🏃🏃🏃

  • @happysam251
    @happysam251 3 ปีที่แล้ว +29

    Waendawazimu wawili wamekutana sasa ewooo! !!😂😂😂😂

    • @babybaby8384
      @babybaby8384 3 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅

    • @dotosalim5090
      @dotosalim5090 3 ปีที่แล้ว

      😁😁😁😁

    • @samwelimwasile6656
      @samwelimwasile6656 3 ปีที่แล้ว

      Daaah kwl chizi kapewa rung😂😂but love them❤️❤️💋

  • @asamunique7075
    @asamunique7075 3 ปีที่แล้ว +7

    Machiz hawa nawapenda 😍 jmn nawapenda wakiwapamoja

  • @esterdoriye4304
    @esterdoriye4304 3 ปีที่แล้ว +23

    Vichaa wawili wamekutana hahahahahha

    • @aishasaid6749
      @aishasaid6749 3 ปีที่แล้ว

      Hahahaha

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 3 ปีที่แล้ว

      Yaaan sijwah ona tahira kam hawa ila bado masha manyonyo

    • @esterdoriye4304
      @esterdoriye4304 3 ปีที่แล้ว

      @@munaahmed8499 yule ni chizi kalogwa tena

    • @sheilajuma137
      @sheilajuma137 3 ปีที่แล้ว

      🤣😂😂😂😂😂😂

    • @maryammamuu4206
      @maryammamuu4206 3 ปีที่แล้ว

      Eeeeh Mungu banaaa hawa jaman

  • @ramadhanfadhil1786
    @ramadhanfadhil1786 3 ปีที่แล้ว +2

    For sure nampenda San Gigy

  • @samiramawby1257
    @samiramawby1257 3 ปีที่แล้ว +11

    Nimeipenda hii jamani wapenzi hata bila mwanaume wanawake tunayawezaaaa.....wanaume jifunzeni sasa we are sisi even without nyie

  • @wardaissa8886
    @wardaissa8886 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama kijacho sijuwi km hatijifungua hapo na icho kiherehere chakee mana hatulii 🤣🤣

  • @vatoytk
    @vatoytk 3 ปีที่แล้ว +2

    Nmecheka apo piga kelele kwa unafiki hohohhooo😂😂😂😂😂

  • @jayfourtv115
    @jayfourtv115 3 ปีที่แล้ว +12

    Nimependa sana hiki nilichokiona yaani ni upendo uliozaliwa upyaaa gigy na amber wamefanya kitu bora sana

  • @agnesmwakyusa5767
    @agnesmwakyusa5767 3 ปีที่แล้ว +3

    Amber lulu noma na bff

  • @nanamejick525
    @nanamejick525 3 ปีที่แล้ว +2

    Nawapenda nyie gigy na lulu ma BFF

  • @angelbwija9547
    @angelbwija9547 3 ปีที่แล้ว +2

    Makubwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌 Tanzania raha sana kweli

  • @florenceuwayezu265
    @florenceuwayezu265 3 ปีที่แล้ว +4

    Piga kelele kwa unafki haaaa😘💕😂😂😂😂😂

  • @churasuperstar2985
    @churasuperstar2985 3 ปีที่แล้ว +5

    Hatimae Dunia Inaisha 😂 Mdangaji wa kwanza TZ nzima Kabeba mimba 🙆🏾‍♀️😂

  • @reginaphilimon782
    @reginaphilimon782 3 ปีที่แล้ว +43

    🤣🤣 machiz wamekutan

    • @fatmamansour2369
      @fatmamansour2369 3 ปีที่แล้ว

      Machozi vo halafu kishalewa anaongea vovote anawashushua waalikwa sijaenda baby shower yake

    • @user-uc8ei8kn3l
      @user-uc8ei8kn3l 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli machizi wawili

  • @janethmakasa8791
    @janethmakasa8791 3 ปีที่แล้ว +4

    Ms kaz anayooo😂😂

  • @maryammamuu4206
    @maryammamuu4206 3 ปีที่แล้ว +4

    Hawa sio wazima kwa kweli 😂😂😂😂😂😂

  • @sophierseyyd1162
    @sophierseyyd1162 3 ปีที่แล้ว +4

    Kupatwa mama kijacho 🤣🤣🤣🤣 jmn 🤣🤣🤣🤣

  • @nassoralinassor1698
    @nassoralinassor1698 3 ปีที่แล้ว +8

    Vichekesho hivi😂😂

  • @candiceximba7308
    @candiceximba7308 3 ปีที่แล้ว +10

    My two lovies Amber and Gigy

  • @nanamejick525
    @nanamejick525 3 ปีที่แล้ว +2

    Lulu wang ongera mama kijacho allah akujalie ujifungue salam nakupenda mie

  • @ramadhanikibenga6317
    @ramadhanikibenga6317 3 ปีที่แล้ว +4

    Hiyo microphone ilivyo pokonywa kwa mc duh hahahaha

  • @elizabethjames2693
    @elizabethjames2693 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera yenu mmependeza

  • @gfufgh912
    @gfufgh912 3 ปีที่แล้ว +11

    Nilikuwa napenda muwe wa rafiki tena🥰

  • @MrNdanguza
    @MrNdanguza 3 ปีที่แล้ว +1

    Ebwana elimu nikitu mhimu sana, watoto wadogo kimyaka lakini mboo zimewazehekesha mapema, duh maisha ya uswazi si poa.

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 3 ปีที่แล้ว +8

    Yaan giggy😂😂😂

  • @christinapeterntibagiligwa2556
    @christinapeterntibagiligwa2556 3 ปีที่แล้ว +13

    Pwagu na pwaguzi nawaona katika ubola wao

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 3 ปีที่แล้ว

      Hahahahaaaaaaa aisee nimecheka sana

  • @asnatycharles2282
    @asnatycharles2282 3 ปีที่แล้ว +2

    Hahhahha inafurahisha aisee ❤❤😂😂😂

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 3 ปีที่แล้ว +2

    Mnyakiyusa Amba LuLu umepewa sukari hay tunamngoja prince au prencess

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 3 ปีที่แล้ว +1

    😄😂😄😂😄😂😄😄😂gigi utakuwa na presha adi tunakufa yani roho yko kama mtoto mchanga😄😄😂😄😂😂😄

  • @valeriaveda7519
    @valeriaveda7519 3 ปีที่แล้ว +1

    Ongera sana katumbo kanakuwa shangazi yaangu🤑🤑🤑

  • @PeninaEmmanuel-mv7nb
    @PeninaEmmanuel-mv7nb 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sna paula❤

  • @mamuhassan3415
    @mamuhassan3415 3 ปีที่แล้ว +9

    Machiz wamerogwa Tena ss sijui kama kuna kupona

  • @annethchambika4012
    @annethchambika4012 3 ปีที่แล้ว +2

    They are so sweet aisee....

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwa kwel Kama huyo dorin yupo angeondoka tu🤣

  • @munayussuf4870
    @munayussuf4870 3 ปีที่แล้ว +1

    hhhhhh gigy jamani ur funny😝😝😁😁😁

  • @peacekatembo6944
    @peacekatembo6944 3 ปีที่แล้ว +9

    Huyo Doreen had kajickia aibuu maskin

  • @allyahahmed1091
    @allyahahmed1091 3 ปีที่แล้ว +1

    mamaaaa wa kufunzaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂lowd this vichwaz

  • @salmaalbarwani2618
    @salmaalbarwani2618 3 ปีที่แล้ว +20

    Ukiwafuta make up utaenda resiiiiiii

    • @abigagogo3484
      @abigagogo3484 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @salmaalbarwani2618
      @salmaalbarwani2618 3 ปีที่แล้ว +1

      @@abigagogo3484 yeah watch them without make up ukitaka kujuwa uzuri wa mwanamke the beauty of her nature

  • @zenakihondo5195
    @zenakihondo5195 2 ปีที่แล้ว

    Gigy amba nawapenda sana

  • @asiaabdu6500
    @asiaabdu6500 3 ปีที่แล้ว +6

    Yaani apo waalikwa kama wapo kwenye msuto🤣

  • @zukrabuethi5068
    @zukrabuethi5068 3 ปีที่แล้ว

    DAWA YA LIVEN kiboko ya maumbile ..na nguvu za kiume ..... . Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo. 1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia 2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo 3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk 4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka 5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha 6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility) 7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika 8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU) 9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume 🔟 Inarutubisha mayai NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA Epuka aibu hii tumia" LIVEN " ndio kiboko yao Karibuni sana ofisini kwetu Wasiliana 0659982160
    shuhuda zinazidi kuongezeka kila kukicha

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 3 ปีที่แล้ว +1

    Gygy jaman na amber

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 3 ปีที่แล้ว

    😂😂mashaallah hongera

  • @valeriaveda7519
    @valeriaveda7519 3 ปีที่แล้ว +1

    Iyo maik alivyomnyang'anya😂😂😂😂😂

  • @nillamstanley3455
    @nillamstanley3455 3 ปีที่แล้ว

    Aki this to fan

  • @siasamweli372
    @siasamweli372 3 ปีที่แล้ว +6

    Uyo mtoto Anakaz jmn

    • @aishamwinyi2685
      @aishamwinyi2685 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @blandinamnyinga8318
      @blandinamnyinga8318 3 ปีที่แล้ว

      😜😜😜😜mama mzazi na wahiari wote vituko siyo kwa drama hizo

  • @mapishipoint6206
    @mapishipoint6206 3 ปีที่แล้ว +1

    Wapendwa watanzania wenzangu,naomba m SUBSCRIBE MY CHANNEL, Mbarikiwe sana

  • @najmanidengo4466
    @najmanidengo4466 3 ปีที่แล้ว +4

    Mtakuja kuzaa juu ya majukwaa😁🙈

  • @alimashabani2252
    @alimashabani2252 3 ปีที่แล้ว +1

    Kizazi sana from tanzania😁

  • @jojokitamabala3476
    @jojokitamabala3476 3 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda 😘

  • @abigailjoctan4830
    @abigailjoctan4830 3 ปีที่แล้ว +3

    Wamefanya nimefurah balaaa🤣🤣🤣

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 3 ปีที่แล้ว +2

    ahahahahaha pipa na mfuniko.

  • @noorynmohammedy6063
    @noorynmohammedy6063 3 ปีที่แล้ว +3

    Chizi karogwa tna nimependa hii kap Kua pamoja

  • @sofialinus8241
    @sofialinus8241 3 ปีที่แล้ว +3

    🤔 we mtoto zaliwa tu, kweli mama ni mama

    • @nemecymsanya3191
      @nemecymsanya3191 3 ปีที่แล้ว +2

      Umewaza kama mimi nini daah

    • @sofialinus8241
      @sofialinus8241 3 ปีที่แล้ว +1

      @@nemecymsanya3191 my dear we acha tu

  • @shekhajuyah8239
    @shekhajuyah8239 3 ปีที่แล้ว

    Daaaah dunia ina tabu hii

  • @mwanaideddson866
    @mwanaideddson866 3 ปีที่แล้ว

    Jamani wanafuraisha sana

  • @dorisjessy5960
    @dorisjessy5960 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwani si Gigi alikuwa 7mnths pregnant nae

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 3 ปีที่แล้ว +1

    From 🇧🇮 Saudia 🤣 🤣 🤣 Mbav zang mie

  • @neemamayco3238
    @neemamayco3238 3 ปีที่แล้ว

    Wehu kwel hawa nampenda amba jaman

  • @amianynes1568
    @amianynes1568 3 ปีที่แล้ว +3

    Hahahahaha

  • @husnaiyasulesh4687
    @husnaiyasulesh4687 3 ปีที่แล้ว +9

    Kweli gigy kafulia anatuz elf 20

    • @salimalaquimane2640
      @salimalaquimane2640 3 ปีที่แล้ว

      We ume tunza ngap

    • @celinegeraldbenjamin9537
      @celinegeraldbenjamin9537 3 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 3 ปีที่แล้ว

      Pesa za bure hakuna siku hixi wamebaki kugombana sasa vichaa wamelogwa tena polisi kimbiza hao.

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 3 ปีที่แล้ว

      @@ashaali7154 lini zilikuwepo pesa za bure au na wewe ni walewale wanaodanganywa na yule kichaa kwa kuvuli cha uzalendo eti pesa za bure wewe uliwahi kuziona hizo unayosema pesa za bure choko wa mshindi feki wewe

  • @victoriastephano4075
    @victoriastephano4075 3 ปีที่แล้ว

    Jamaniii

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว +6

    Machizi square 😂😂

  • @omaryhilaly5894
    @omaryhilaly5894 3 ปีที่แล้ว +7

    Pembe na senga

  • @dodyrosario5767
    @dodyrosario5767 3 ปีที่แล้ว +1

    hahahahah pole

  • @araphanassa1561
    @araphanassa1561 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 ปีที่แล้ว +3

    Mmmmm huuu NI ujinga tena ujinga wanawake wa tanzania ujinga tu NA umbea wacheni kujionyesha mambo hamuyawezi heti baby shower hamuyawezi mambo ya watu

  • @faidhasaid9605
    @faidhasaid9605 3 ปีที่แล้ว +8

    Ningekua mc ningejiondokea zng

  • @evakalinga7216
    @evakalinga7216 3 ปีที่แล้ว +3

    Naipenda Sana midomo ya Lulu na anavoongea

  • @zubedajamuhur6467
    @zubedajamuhur6467 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimerudia mara kibao hapo amber alipo mpokonya Dan mike doreen akae kwakutulia

    • @ummsalyass1096
      @ummsalyass1096 3 ปีที่แล้ว

      Hahah cheka yangu yote 😂😂😂

    • @Ronaldoisdagoatlolly
      @Ronaldoisdagoatlolly 3 ปีที่แล้ว

      Kwa kweli nimecheka hapo Amber amesema Doreen kaa hapo hapo utulie,,,Doreen ondoka hapo

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 ปีที่แล้ว +1

    😅😅🤣🤣🤣🤣

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 3 ปีที่แล้ว +2

    Kazi jeshini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @faridaabdallah2213
    @faridaabdallah2213 3 ปีที่แล้ว +4

    PIPA NA MFUNIKO WAKE😂😂😂😂😂

  • @ladsonmshana9920
    @ladsonmshana9920 3 ปีที่แล้ว

    Hawa kweli vichaa

  • @IANA2030
    @IANA2030 3 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏿

  • @sadickrashid6305
    @sadickrashid6305 3 ปีที่แล้ว +10

    Tim jeuri zimekutana.

  • @catyurassa3894
    @catyurassa3894 3 ปีที่แล้ว +1

    Amber hapo ndo nlkukubali 😆😆😆😆

  • @abokrarshamsan7963
    @abokrarshamsan7963 3 ปีที่แล้ว +3

    Ushoga ndio huo, sio kugomba a.

  • @naimahassan7571
    @naimahassan7571 3 ปีที่แล้ว

    Hahaha wamekaa kama fichaa

  • @tusmokinana3836
    @tusmokinana3836 3 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅mambo ya kua live n ya kina diamond ila umber kuwa live n kumshukuru mungu

  • @simawaziri8647
    @simawaziri8647 3 ปีที่แล้ว +1

    Miss u kakichaa wewe

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 3 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🤣🤣

  • @bahatischalwe2874
    @bahatischalwe2874 3 ปีที่แล้ว

    Muone aibu wakati mnachezaga bila nguo. Gigi anaona aibu kikaa bila kumtunza. Nimependa muendelee hivyo msiwe na mabifu

  • @asiahamadi8224
    @asiahamadi8224 3 ปีที่แล้ว

    Uyo mtoto atakuja duniani atakama siku haijafika maana ameshachoka na uyo mama anavyomsumbua hatarii

  • @salmaadam4337
    @salmaadam4337 3 ปีที่แล้ว

    Eeee kweli jmn dani huyu eeeee

  • @lucaswage599
    @lucaswage599 3 ปีที่แล้ว

    Mmmmh!!! Chiz kalogwa ten

  • @anneakimana4987
    @anneakimana4987 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @mbwanajuma2143
    @mbwanajuma2143 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama P Funky a.k,a mama mkwe wa Harmonize 🤣🤣🤣

  • @lidubwisusan2470
    @lidubwisusan2470 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣 🤣 🤣 🤣

  • @fatmahchambo3131
    @fatmahchambo3131 3 ปีที่แล้ว +1

    Kha 🤣🤣🤣🤣

  • @user-rj9um7xy6j
    @user-rj9um7xy6j ปีที่แล้ว

    ❤❤

  • @neemaratib6810
    @neemaratib6810 3 ปีที่แล้ว

    Jaman ni mjamzito ila anacheza kupitiliza si utazaa haraka254

  • @nuraabdi1379
    @nuraabdi1379 3 ปีที่แล้ว

    Hii kali na nusu sasa hapo DG ni yupi!?😂😂

    • @btskookie4453
      @btskookie4453 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @zulekhabofi1014
    @zulekhabofi1014 3 ปีที่แล้ว +2

    Aibu naona mimi

  • @Agnes-qq4np
    @Agnes-qq4np 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂

  • @jaqlinemanyama6705
    @jaqlinemanyama6705 3 ปีที่แล้ว

    Tako la amberlulu silioni

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 ปีที่แล้ว +1

    Mh!mc mama simuelewi jamani

  • @sayunkaaya8513
    @sayunkaaya8513 3 ปีที่แล้ว

    Mc Dany nakukubali