Woow Jack,,nimefurahia saana kuona video hiyo,,nimependa advice yake huyo Dada amesema "COME MAKE MONEY AND GO BACK HOME", hapo saawa kabisa, Nairobi 🇰🇪
Please Subscribe to the English Version of my channel ⬇️ ⬇️ youtube.com/@Jackchalz INSTAGRAM: instagram.com/jacchalz TikTok: www.tiktok.com/@jackchalz?_t=8aAkPhjhOMV&_r=1
Tanzanian let's travel and grow the country.dont be scared homes like home like outside.big up Jack n this my sister.and all tz travelers in the world mwamba huyu hapa Jackson mtu mbaya aupingwi kaka .una baya home boy endelea kufanya tupo pamoja na ww kaka
Am a kenyan back here and am just can imagine the feeling had when he met someone from back home the girl tried well with the swahili which is so good to see her atleast she never forget home much love from kenya you two Jack tunaona kipindi yako na kuipenda sana. You're trying bruh keep up.👍👍
Hakika bhana Jack nakubali mamen we n mkali nkupe gwara sana iyo pisi enyewe n full blood ya chuga appreciate san unawakilisha man n usipime. Ilo vibe unalo fanya ni babu kubwa san Jah bless
Bro Haki hata Mimi nimejisikia furaha Sana kwa kumsikia mtanzania mwenzetu big up Sana Kaka mungu akubariki Sana na aweze kukukutanisha Tena na wengine
Hey Jack she talk about Zanzibar, so let her know she has me guy on all things about land's ,house's ,Hotel's, an apartment, for rent or buy at a Zanzibar Islands❤❤❤
inaonyesha kwamba hii dunia ni ndogo, nimefurahi kuona ukakamavu wake wa kuzungumza kiswahili, na wazo la kurudi nyumbani nakubaliana naye, kongole kwa mama kwa kumkuza kwa lugha yake ya asili. DADA KARIBU NYUMBANI!!!!!
Please SUPPORT me by joining here;
patreon.com/JackWaUSA
Woow Jack,,nimefurahia saana kuona video hiyo,,nimependa advice yake huyo Dada amesema "COME MAKE MONEY AND GO BACK HOME", hapo saawa kabisa, Nairobi 🇰🇪
Damn this is beautiful Jack, she is such a nice gal, left Tanzania when she was 5yrs. and still she can speak swahili, asante sana ndugu zangu
Waooo
Zanzibar people ❤ tujuwane 💙🙏🙌
Please Subscribe to the English Version of my channel ⬇️ ⬇️
youtube.com/@Jackchalz
INSTAGRAM: instagram.com/jacchalz
TikTok: www.tiktok.com/@jackchalz?_t=8aAkPhjhOMV&_r=1
Dah safi inapendeza, ukiwa nje ukimeet na wabongo wenzako ni furaha sana 🙌🔥
Tanzanian let's travel and grow the country.dont be scared homes like home like outside.big up Jack n this my sister.and all tz travelers in the world mwamba huyu hapa Jackson mtu mbaya aupingwi kaka .una baya home boy endelea kufanya tupo pamoja na ww kaka
MOMENT BORA KABISA HII UKIWA NCHI ZA UGHAIBUNI🤩🤩
Kunakuaga na vaibu Fulani Ivi ni noma
Kahama Stand Uppp,Sukuma to the world
Home sweet home, Hakuna kitu Kama nyumbani… as she said go get the capitals D go home to invest period.❤❤❤ that’s love from 🇹🇿
Waooooh wabongo wamekutana 🇰🇪🇰🇪🇺🇸👊
Mbona mnatuibia bendera Ya Kenya ya Nini TENA
@@emmanueljohn7Kenya na Tanzania ni majurani walio kama ndugu
Am a kenyan back here and am just can imagine the feeling had when he met someone from back home the girl tried well with the swahili which is so good to see her atleast she never forget home much love from kenya you two Jack tunaona kipindi yako na kuipenda sana. You're trying bruh keep up.👍👍
Thank you very much. And I'm glad that you liked it!
@@jackwausa jack ni mnoma aisee kenya tunakufuatilia saana though nko saudi
Am happy for thus video man keep going bro 🎉 🇰🇪🇺🇸🇰🇪🇺🇸
Wow, Mimi kama mtanzania mwenzenu, I loved this video ❤️🔥🔥. Very sensational. Amazing jack, amazing...
I'm glad to hear that!
Salute y'all out there you manatuwakilisha na Tanzanite Yeaaah
Hakika bhana Jack nakubali mamen we n mkali nkupe gwara sana iyo pisi enyewe n full blood ya chuga appreciate san unawakilisha man n usipime. Ilo vibe unalo fanya ni babu kubwa san Jah bless
Amina!!🙏🏾
Jäck uyo mdada anavy sema tz ni nzuri kuliko USA simpingi na wew jack Ingawa upo USA unaiwakilisha vizuri tz every day the best bro good job👏👏👏
From Kahama to the us. Umetisha ngosha
Thanks 😊 for love back your home country ... I Goodchance from Arusha...
Big up Jack with such Lady
Upo vizuri sana brother nimefurahi na nimejifunza kitu Shukran sana
Aiseee Rudi nyumbani kumenoga mdogo wangu wa Chuga njoo wekeza kwenye sekta ya Utalii Arusha Jack unafanya jambo jema sana kuexpose ya Yuesi
Dah i can't believe that kiukweli big up bro ila unakaa kimya sana 😍😍😍😍
Tears were almost flowing down my eyes when i saw this.. it’s so emotional👏👏👏👏..
napenda namna uwa wafurahi ukikutana na watu wa nyumban keep it up bro uko vzur
Nimeipenda hii zaidi😍😍
Hi jack nimependa sana kile unafnya , nimetizama video yakwnz nkajikuta natizama nying zaid proud of u man
Thank you for watching
Duuh! Inashangaza sana aisee!
You are talented guy, you have something inside you. God bless you
Ye!
Piga pesa, rudi nyumbani kumenoga🇹🇿🏃🏃
Jacky, I real apriciate you. Upo juu mdogo wangu. Unawakilisha vyema
Pamoja sana!
Bro Haki hata Mimi nimejisikia furaha Sana kwa kumsikia mtanzania mwenzetu big up Sana Kaka mungu akubariki Sana na aweze kukukutanisha Tena na wengine
Amina na Asante. Ubarikiwe pia!
Mi namshauri asirud Tanzania 🇹🇿 kuna tozo na mambo yasiyoeleweka kabisa..akomae huko huko New York city, Jack 😊
🤣🤣🤣
Lakini hakuna wasiwasi tz amani ndo anamaanosha
😂😂😂 kabisa huku ovyo
Bongo nyoso 😂😂😂😂😂😂🏃🚀
😂😂
Jack. You make very good content. Your channel iko poa and your content is great. Keep up the excellent work. We support.
Thank you for your support. I really appreciate that!
Asante Jacky, kutujuza
Akuna ,Ushauri tunahitaji kutoka kwake,uyo atakua amechizika ,mwambie anitafute nimpe ushauri kabla ya mamamuzi yake ya kurudi TZ asante sana
baba sijui anawaza nin haswaaa????
Mtoto Chuga moja uyoo sema nimependa the way alivyo mzalendo kwa nchi ya mama yake its big love bro❤️❤️😃😃🔥🔥🔥
Yeah. Ana upendo mwingi na Tanzania!
Karibu Uk bro wa tz kama wote huku narepresent kilimanjaro 🎉🎉
Incredible.. KAHAMA is well represented 🙌🙌🙌
Kahama moja maisha yote! 😂
@@DrMabula😂
Hongera sana kaka na dada
Am happy for this video bro, amazing aiseee❤
Safi sana ndugu kukutana ughaibuni
Ubarikiwe sana brother
Mwanangu #jack hii umekua vibe sana❤
Safi Sana hiyo mtanzania mwenzetu
Home is the best
Hii imekaa poa sanaaa👏👏👏
Moment bora zaidi
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pisi ya arusha ....iyooooo💕💕
Karibu tena nyumbani
Hey Jack she talk about Zanzibar, so let her know she has me guy on all things about land's ,house's ,Hotel's, an apartment, for rent or buy at a Zanzibar Islands❤❤❤
"if you come here just come and make some money then go back home" kauli ya kutia sana nguvu
Sanaaa,Braza
Zanzibar ni njema atakaye na aje. Binafsi namkaribisha sana Zanzibar ajisikie fahari na afurahie kuja nyumbani
Safi unafanya vema sana nduguyetu
Wow! Incredible...
Ahaa pamoja san mtoto w charles masuka
soo amazing
Wow mtanzania
Kiukweli hakuna furaha kubwa zaidi ya kukutana Mtanzania mwenzako ukiwa Ughaibuni,hii nimeipenda mno
Wakenya tuko kama wote huku hata hakuna haja tujuwane 😅
Jamanii me mwenyewe nimefurah pia mlivyokutana waTanzania
Nimemwekewa sana,huyu dada😊😊
Wahala brother
Kama wewe ni number one fan wa Jack give me like
Dada kavaa madini kama madini Ya Tanzanite.I love my country
Woow 🎉🎉 this is great
Safi
❤❤Chuga lady❤️🇹🇿🙏🏾
Safi sana....East or west home is best!
True that!
You are welcome in Zanzibar😊
Dah safi sana homeboy
Jack Msukuma wa Kahama kumbe 😀😀 we igwamanoni tu 😂
Daaah nimesikia wachaachaa
I like that wooow❤
Tz 4rver
Nice bro
Tanzanian 🇹🇿 to the world 🇺🇸 💪
Mwambie sister tunamkaribisha mbezi beach 🏖️
Niaje Jack
thats fabs. nimetoka Ars pia
Safi dada
Jack,nipe njia kaka niingie huko au huyo bint anipe mwaliko
Bonge la cheers aiseeee
lovely moment
Zanzibar tupo mtoto kakubali kazi zeji
Jack mambo vipi napenda kuja marekani njianiipi kaka
inaonyesha kwamba hii dunia ni ndogo, nimefurahi kuona ukakamavu wake wa kuzungumza kiswahili, na wazo la kurudi nyumbani nakubaliana naye, kongole kwa mama kwa kumkuza kwa lugha yake ya asili. DADA KARIBU NYUMBANI!!!!!
Wow❤
nimempenda
Bro mwambie karibu Arusha Tena Mimi niko Arusha nimerai Sana kuwana watanzani marekani
Wow 🎉🎉❤
Long life mwanangu
Good to mett
Thanks,HOT WELCOME HOME ESPECIALLY IN ZNZ
Wow nice 🥰😊
Daha nifuraha Sana braza moment Kama hiyo
So Fire 🔥 🔥🔥🔥
PERFECT👋
Daaah huyu Dada ni bonge la pisi wazee😊, Jack next time nichukulie namba aiseeee usinisahau Niko serious bro
Mwana kumbe wa kahama mi home pia uwanja wa Taifa
What a moment ☺️❤️❤️
Safiii
I just love this vlog bro
🙏🏾