Powerful... it's so interesting This is channel to watch.... Jack wa USA your doing a great job of making people know USA on socio-economic issues!! Great! Young brother!
Dogo napenda unaelekeza vitu Kwa kueleweka vizuri,, Mungu akupe afya na ufanikiwe, asante Kwa kunijuza hasa bei ya zile toyota Rav4 ninandoto ya kupata aina hiyo gari tupo pamoja sana..
Asante sana bro kwa kutufungua macho najua Mungu akisaidia kunasiku tuta ishi pamoja inchini marekani,USA na jua kama wewe uliinhia USA 🇺🇸 na VISA ila namiye nitaingia ata kwenye njia ya protection yaani ukimbizi asante sana bro nakufatilia sana im from zambia 🇿🇲 lakini mimi ni mkongomani 🇨🇩🇨🇩
Vipi ndugu shwali Nakuomba kama hautojali siku1 tembelea kwenye makampuni ya ujenzi yale yanayojenga magorofa ulizia utaratibu wao upoje mbaka kupata kazi Tafadhari kama hautojali ASANTE
wenzetu bhana fresh tu bongo ukiwa unafanya kiti km hiki utaaambiwa unachawia biashara za watu bado tuko nyuma sana pia vlogg wa bongo wajifunzeni manake huku content zetu ni ngono tu na comedy.. tuna mengi ya kujifunza.
@@alexmwakasape3452 si ndio hapo waandishi na wamiliki wa midia mbali mbali kazi kubwa nikutafuta watu wanaoacha maungo yao wazi na umbea basi badala wangekuwa wanatafuta vitu vya kuelimisha Jamii hakuna wamekalia upuuzi tuu
hey bro how are you doing how about upishi am a chef nko na experience 8 good year but sikumaliza from4 school drop out.kuna nafasi ya watu kama sisi.usa.
@@jackwausa brother uko america kwa sisi ambao tuna elimu ya 7 tunaweza kuja na kupata kazi za kiwango elimu yetu? maana nina iyo na sasa napambania pesa ili niingie uko
Please Subscribe to the English Version of my channel ⬇️ ⬇️
youtube.com/@Jackchalz
hello jack
Tuko pamoja kaka
Sanaaaa mwanetu
baba yaan mim mwenyewe nipo safarini kila siku dahh
Hello je wewe ni Jackson Charles mdogo wako makwaya charles from Rocken Hill ,Tanzania?? Nafananisha yaan
Powerful... it's so interesting
This is channel to watch.... Jack wa USA your doing a great job of making people know USA on socio-economic issues!! Great! Young brother!
Custormer care iko poa sana..Sasa kwetu huku uingie showroom watakucheki kwanza mara mbilimbili unamuonekano wapesa...au unapotezea muda
Dogo napenda unaelekeza vitu Kwa kueleweka vizuri,, Mungu akupe afya na ufanikiwe, asante Kwa kunijuza hasa bei ya zile toyota Rav4 ninandoto ya kupata aina hiyo gari tupo pamoja sana..
Asante sana bro kwa kutufungua macho najua Mungu akisaidia kunasiku tuta ishi pamoja inchini marekani,USA na jua kama wewe uliinhia USA 🇺🇸 na VISA ila namiye nitaingia ata kwenye njia ya protection yaani ukimbizi asante sana bro nakufatilia sana im from zambia 🇿🇲 lakini mimi ni mkongomani 🇨🇩🇨🇩
Sasa izo gari kwa tanzania litauzwa zaidi ya milioni200
Hiyo content nimeipenda sana💯na content zako zote ni super, appreciate bro
I'm glad that you liked it!
Ningependa Toyota wakulipe maana kazi unayo Fanya ni kazi ya ziada sana... kinacho kifanya ni zaidi ya matangazo... Continue to show us..god bless you
Nakukubali Sana jack 🇨🇩
Bei sio mbaya sana, mziki upo pale unapotaka kulisajili na nyaraka zote
Siku moja tupeleke na bush tukaenjoi japo wengine hatuwezi kufika huko,poa,endelea kutupa raha anko jack
Yaan 90% tunao watch videos za namna hii niwale tunandoto na AMERICA
Chz t
Truth
USA kutamu bwana asikwambie mtu
Mimi mwenyewe ni mmojaaaa wapo lazima niende MAREKANI by any means
Exactly
Nimekuvulia kofia mwanangu, contents za 🔥🔥🔥🔥
🙏🏾
Fresh mwamba endelea kututoa matongotongo
Inabidi utengeneze video inayo husiana na wew na maisha yako USA pamoja na safar yako
Tuliozoea kuomba kupunguziwa bei mpo wangapi jamani hunu?ila humu naona hamna kubagain.
Jackison nakufatiria sana ukovizuri kututembeza marekani tukiwa tanzania. Nipo mbeya chunya. Gari aina ya ram shingapi
Kudos Jack. You are doing a good job
Hakika watanzania tuna vimba na Used from Japan 😃😃
imeweza sana bro plz keep on updating us
Asante kamanda kwa kutujali waafrika wenziyo
Nice work home boy, tuko pamoja kijana wa Masuka!!
Pamoja sana!
Nakubali sana aisee unajitaidi kutuonyesha US yote congratulations 👍
Good customer care
Ulipotea sana kaka karibu Tena kazi mzuri .ni Dominic Kenya nakufatilia sana
Kibongo bongo ukaingie showroom ufungue gari upige picha uzuruleee then utoke tu hawakubali sijui kwanini.. 😊😊
Thanks bro
I appreciate so much
Kazi nzuri sana hii Jack ahsante.
Great job keep it up. Unafanya kazi nzuri sana
Asante
Jamaa wamekuruhusu ku vlog kiroho safi, ingekua Bongo hapo ungefukuzwa kama mbwa na security! Sijui kuna shida gani huku kwetu
Da unanifurahisha jack,sijui ilipwe nini!
Bro kwani ulishinda greencard au ulifika marekani kwa juhudizako au kwa scholarship au kwa njia ngani please nielezee
Safi sana tunakupenda pia
Wow! Well done.
Waa wooooo USA ❤❤❤ tz
Never giver up brother
Time will tell
Mashallah kaz nzuri sana
Nakubali sana mwanangu
Waooo Gari nzuri
MZEE baba tulizie gari ndogo ndogo tujue bei maana tunapigwa sana huku
Nakubali sana jack
Nakufuatilia Sana kaka tupe vitu tusivyovijua huko USA
Inspired sana bro .appreciate sana mkuu
Hapa Magari wanatupiga sana
Iko poa sana jack
Nakubali sanaaaa unatufunza vingi
Umetisha sana mzee,
I'm a Kenyan, didn't know this guy is from TZ thought ni mkenya. So kuskia millioni mia kwa Rav 4 I was like wait a minute
We koma
We jamaa mjanja zaid ya wazungu ......mmmh
Hii nlikuw naisubiri sana.tuonyeshe ghari Kali kali basi Range, Escalade,Porche,Rambo,Fortuner 2023. Pia gari za Elon Musk
Nitaenda kwenye luxury cars soon. Endelea kufuatilia video zitakazofuata
Vipi ndugu shwali Nakuomba kama hautojali siku1 tembelea kwenye makampuni ya ujenzi yale yanayojenga magorofa ulizia utaratibu wao upoje mbaka kupata kazi Tafadhari kama hautojali ASANTE
Waoooh TOYOTA TUNDRA TRD PRO 4x4 umetisha JACK🔥🔥🔥
Great content bro!!!
Weather nzuri sana California.Njoo Minnesota utupunguzie snow ❄️ 😅
Snow sio vitu vyangu 😂
Uko vzr Jack
By God's power, one day I will be in America
Amen 🙏🙏
🙏
Yes bro
Amen
Ni Bora atutoe Matongotongo gari kama hiyo ukienda kwa Madalali unaweza zimia unakuta IST inaenda 17 Ovyo Kabisa
Mungu yupo one day 🤜🤛
Nimechelewa live kweli
Hongera kijana unatufanya tuone tumefanya tourism huko USA so ubarikiwe sana namungu akuongeze maarifa ya ubunifu zaidi
Amina. Ubarikiwe pia!
Bless sana kak
Jack uwende na kwa motorcycle 🏍 tuone🤣🤣me nakuwatch nikiwa omani 🤣
😂😂
powa zana jakc❤❤❤
Hey..jack i love your content , lakini mm natokea kenya na idea yangu manzee unaweza iyo fanya na English subs zipande
Nakubali Sana kaka
Kazi nzuri kaka
Nakufuatilia sans jack ila 2024 sijakuona saint
Nakufatilia sana broo ..next time unatupeleka kwenge IST kwaujumla magari tunayo tumia watu wa hali ya chini huku bongo
Hamn IST US mzee...IST japan wanazitengeza for Africans😅
Lets Gooooooooooo!!!!!!💥💥💥💥💥💥
Sikumoja tuonjeshe magari makubwa kama hole canter tujue bei Zeke ikiwa mpya
BE BLESSED
Jamaa anaongea kiniga sana
Hello are you Jackson Charles ,from ROHA & Anderlek?
Kigali flan unamnunulia mtoto zawadi🤣🤣🤣 Hela sasa sina Dollar 40 k ?? Natoa wap
wenzetu bhana fresh tu bongo ukiwa unafanya kiti km hiki utaaambiwa unachawia biashara za watu bado tuko nyuma sana pia vlogg wa bongo wajifunzeni manake huku content zetu ni ngono tu na comedy.. tuna mengi ya kujifunza.
Bongo nyoso ushaambiwa😅
@@alexmwakasape3452 ndo maana hatuendelei utaendeleaje unawaza mitombano tuu na udaku wa akina askari shoga
@@adamfundikila Yan vtu vya kipuuz ndo vnatrend kuliko vtu vya msingi aisee😅🙌
@@alexmwakasape3452 si ndio hapo waandishi na wamiliki wa midia mbali mbali kazi kubwa nikutafuta watu wanaoacha maungo yao wazi na umbea basi badala wangekuwa wanatafuta vitu vya kuelimisha Jamii hakuna wamekalia upuuzi tuu
Vipi Mr Jack Mimi ni Kaijage Niko Capetown sa
Safi tu. Welcome to my channel!
Goood mzee bado magereji ya huko yanavofanya kaz
Jamaa angu si unisaidie walau nieze kuja huko America ndg yng pls
Kaz nzuri bro tupo pamoja
Pamoja sana!
Good content wow 👏👏
Thank you
naijua marekani ata kama nipo TZ uko vizr mwamba unatupa vitu vizr sana yaan endelea hivo hivo kaka
Halaf hayo mpk yaje kufika uku bongo kutumika si km miaka 10 ijayo au vp??
hey bro how are you doing how about upishi am a chef nko na experience 8 good year but sikumaliza from4 school drop out.kuna nafasi ya watu kama sisi.usa.
Yes, nafasi zipo
Badman jack
Sasa hapo ukileta Tanzania nakod si itakua200m
Tufungue Macho kaka jack
Jack tupeleke kwenye gari used hzoo
Mchina yupo mbali sana aiseee…,
Nice content Mr Jack 💪🏽
Thanks!
@@jackwausa brother uko america kwa sisi ambao tuna elimu ya 7 tunaweza kuja na kupata kazi za kiwango elimu yetu? maana nina iyo na sasa napambania pesa ili niingie uko
Ivi natakiwa kuwa na sh ngp ili nije Americans
Interior za kawaida sana, hazikaribii hata Brevis ya 2002
I appreciate your efforts bro.
Show room ya SUBARU?? Subaru legacy, Subaru forester and much more
Niko live mb zinaishia hapa...
Nakukubal sn kaka
one day god will bless we will get there😁😁
Uwezo wa kuagiza gari huko marekani mpaka kufika Tanzania inawezekana na urahisi wake ukoje. ?
Good
Kwani we ni mtz
Yes
Bro tulete machimbo ya bike huko mkuu
Are those prices before Tax?
Yes
@@jackwausa damn...they must be expensive AF!
I have had dreams of coming to US but SERIAL KILLIN afraids me men😁😁How is their my bro from TZ