Mpaka msomaji wa kiislamu kababaika! 😅🤣 Yesu Wetu naomba wasaidie waislamu wapate neema ya wokovu na wakupokee maishani mwao; waache kushikiriana na shetani! Amina.
Mtumishi wa Mungu mteule Mch. na Mwl. Francis Ndacha Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo akubariki sana tena sana. Kwangu na ninaamini pia kwa wenzetu wengine tunakuombea na kukutakia mema katika kutangaza habari njema katika ngome ya adui. Ubarikiwe sana.
Munao mfuata ndacha mumepotea..niushabiki tuu kwasababu munashangaa kutoa aya zaviraka kuchafua dini ya yesu na manabii..munafurahia tuu..ila yeye anajua kabisa hakuna dini ya ukiristo isipokua upagani
Mungu ana jeshi KUBWA ndacha ni jeshi la Mungu la mtu mmoja laiti Waislam wangefumbuliwa macho Yao ya kimwili wangeogopa na kutetemeka Ndacha alivyozungukwa na uwepo Wa Mungu
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Barikiwa mtumishi naamin umetumwa kuwasaidia waislam wajue kua wanapoteza muda kufanya ibada ambazo Hannah kibar maaana ni lazma Sara zet wanadam zikubaliwe na mfalme ambae ndie yesu
Ndacha mwalimu Wangu. Minatamani kanisa lako lifike huko mashariki ya kongo ili nikuwe nakusanyika pamoja nawewe. Unajuwa ku tafsiri mahandiko, .mungu akuongezeye maarifa. Wa islamu watabatizwa muda simurefu.
Huo ujanja wahawa wacungaji sisi hatubabaishi hata kidogo nahuo ndacha wenu kama mna mwamini huo sisi tuko kwa allah tume wazoweya kazi zenu kuwaabudu viumbe wa munguu
Na yule yesu alie mchagua kwenye kundi la kumi na wawili alikua nani..shetani ni mmoja wawanafunzi wa yesu so ukiristo unajificha tuu bt mwalimu wao mmoja nishetani ambae makao yake nikanisani..munapo ingia mkitoka kuzini bila hata kuoga na viatu pia
@@eiddykenga5816 Dini ya kiislamu ilianzishwa na majini kwa kusudi la kuleta mafundisho yenye kupinga wokovu ulio katika Kristo Yesu. Sasa matokeo yake maswali na majibu ya mwislamu yeyote yanaashiria giza nene.
Mmmmmmmmh MUNGU wangu siyo kwa hilo jopo la mashehe niwengi lakini huyu ndacha anavyo wagalagaza Mimi Nina wasi wasi yamkini YESU yupo ndani ya ndacha huyu ndacha so mtu wakawaida du hatali
Hamna kitu..kama kipo..tao aya alio tao ndacha bibilia nikitabu cha Mungu..na ukiristo ni dini ya Mungu..yoyote tuu ambayo ndcha ametoa kama anawaweza hao mashekh
Hana hoja yotote ndacha anapindisha tu maandiko na anasoma vitabu vyengine sio vya kiisalam swali aliloulizwa na sule alinunukuu andiko linalosema Upumbavu wa mungu una hekima kuliko wa binadamu swali andiko hili ni la mungu? Yeye kaja wewe umeniuliza mungu ni mpumbavu ooh sijui mungu aliumba mapumbavu ya dunia swali lilkua kama lilivonukuliwa Upumbavu wa mungu una hekima kuliko wa binadamu maneno haya yanaweza kua ya mungu? anakuja na porojo halafu vipofu mnamuona kajibu hoja
Mungu akubariki Ndacha.Yesu kamwe hajashindwa na mwanadamu
Angepigwa na kutolewa damu..mm nadhani nikwasababu aliiba punda thus akawa anapigwa mijeledi kwasababu sheria ya mwizi ni adhabu kali
Mpaka msomaji wa kiislamu kababaika! 😅🤣
Yesu Wetu naomba wasaidie waislamu wapate neema ya wokovu na wakupokee maishani mwao; waache kushikiriana na shetani! Amina.
This guy wacha apewe twice wisdom
Mch Ndacha Mungu akulinde na kukubariki sana...Wengi tumekuelewa..Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
Nawe pia ubarikiwe kwa kuutambua ukweli dada.
Dada asante sana kwa kuelewa, hauko mbali sana na kumujua Bwana Yesu kristo,,,.Roho wa Mungu azidi kukufunulia
Mtumishi wa Mungu mteule Mch. na Mwl. Francis Ndacha Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo akubariki sana tena sana. Kwangu na ninaamini pia kwa wenzetu wengine tunakuombea na kukutakia mema katika kutangaza habari njema katika ngome ya adui. Ubarikiwe sana.
Munao mfuata ndacha mumepotea..niushabiki tuu kwasababu munashangaa kutoa aya zaviraka kuchafua dini ya yesu na manabii..munafurahia tuu..ila yeye anajua kabisa hakuna dini ya ukiristo isipokua upagani
Mpinga kristo ni muislamu 100%
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 na walitqbiriwa kabisaa so wakristo tuwe macho
Sasa dada wewe hulikuwa hujui kama mpinga kristo ni waslamu wewe hunafikir hukishirikiana na majini hutakuwa nakir vizur
Kabisa
Barikiwa mwenye sikio naasikie mwenye macho naaone
Hakika ni Mungu ndio kiongozi wa waalimu wa kikristo, Ndacha Roho wa Mungu aendelee kukuongoza.
Hallelujah ubarikiwe Sana mchungaji ndacha.
Mungu ana jeshi KUBWA ndacha ni jeshi la Mungu la mtu mmoja laiti Waislam wangefumbuliwa macho Yao ya kimwili wangeogopa na kutetemeka Ndacha alivyozungukwa na uwepo Wa Mungu
Mungu akujalie neema mno ndacha pamoja na team yko❤
Kazi nzuri mwalimu.Mungu akubariki huku akifafanua njia zaidi za kuieneza injili katika jina la yesu kristo
Nikisema ubarikiwe nitakuwa nakosea ju ushabarikiwa na Bwana ..kazi nzuri sana kijana wa Baba 🤝🙏
Indeed Am blessed with your teachings. Rev. Sichula from Zambia
I spot you 100%
Wakristo tuna Mungu ambaye hatingiziki and we trust in him to have everlasting life He is God of gods
Sure
Amen
Balikiwa sana mtumishi ndacha nakupenda sana mtumishi wangu ❤❤❤
Mungu akuzidishie ujuzi kabisa
Nakwambia ndacha ndofimbo ya wesilamu nakupenda sana baba mungu akulinde
Almighty father protect you ndacha 🙏🙏
Wewe ni mwalimu kweli ndacha uko na upako wa yesu🙏
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Barikiwa mtumishi naamin umetumwa kuwasaidia waislam wajue kua wanapoteza muda kufanya ibada ambazo Hannah kibar maaana ni lazma Sara zet wanadam zikubaliwe na mfalme ambae ndie yesu
Ubafikiwe sana Ndacha....naamini kuna Waislam wengi sana watamjia Kristo kupitia mafundisho yako
Indeed GOD alone has raised Ndacha for this occasion to bring in the mystery of God's word to the Muslims... JESUS IS LORD!!
Analindwa na mabaunza Allah ameshindwa kukulinda. 😂😂😂😂😂. Ndacha bwana. Ubarikiwe ndacha
Mm mwenyew nimecheke alivo sema analindwa na mabonsa
Very soon the truth will be known .. and every knees bend and confess Christ is God .
Mungu abariki paster ndacha kwa kazi ya kuelimisha waslamu
Mungu akuzidishie ulizi zaidi mtumishi
Ndacha ni mtumishi wa mungu wa kweli tumsapoti sana
True
Mungu amlinde ndacha
Ndacha mwalimu Wangu. Minatamani kanisa lako lifike huko mashariki ya kongo ili nikuwe nakusanyika pamoja nawewe. Unajuwa ku tafsiri mahandiko, .mungu akuongezeye maarifa. Wa islamu watabatizwa muda simurefu.
Barikiwa mchungaji. Tuna Kuhitaji uje congo pia
Huo ujanja wahawa wacungaji sisi hatubabaishi hata kidogo nahuo ndacha wenu kama mna mwamini huo sisi tuko kwa allah tume wazoweya kazi zenu kuwaabudu viumbe wa munguu
Haujielewi kwanza wewe
Mungu ni mwema Mwalimu F. Ndacha
Soyez béni richement ndacha pour ce travail
Congratulations 👏 ndacha my God bless you a lot and give you strength because you have knowledge
Ndacha mungu akuongezee
Kweli mwalimu ameadhibu waislamu
Mungu ana Penta kasizako akusidishie miaka 🙏🙏
Mungu akusaidie uendelee kuelimisha hao waislamu wote Duniani ili nao waione hii Nuru
Kabisa wew nimwalimu tunakushukuru sana❤❤❤❤❤❤
Mungu Muumbaji wa mbingu na vyote vilivyomo awabariki Sana Sana kwa Masomo mazuri mwenye aikio na asikie na amfuate Mungu wa kweli
Mungu kweri ni upendo anatupenda kupitia mwarim ndacha kwa kutuerimisha mambo ya ukweri ya mungu mkuu❤
Kabisa
GodLogic hapa, Waislamu wamepotea
Ubarikiwe
Amina ukweli kabisa😂😂😂😂
Plus christian prince
Dacha Elohim akubariki sana
Roho wa Bwana aendelee kukujaza maarifa ya Mungu .wataelewa tu.
Mungu akubaliki mtumishi wa mungu
Glory to God amen through his mwalimu ndacha
Mungu akubariki Ndacha hakika Mungu ni mkuu
Mungu Azidi kumwezesha huyu Ndacha
Amen 🙏 and Amen 🙏 🙌
Glory to Jesus Christ
Mtumishi Ndacha Mungu akulinde na yote fanya kwa utukufu wa Mungu
Ndacha mwalimu haswaaaaa!!!Hakuna muislamu wa kumpiku...Hayupo!!!
Mimi ninapenda sana kusikiliza midahalo
Mungu akubariki sana pastor Ndacha
Barikiwa ndacha
Mungu akutie nguvu mteule wa mungu😂
Yaani Ndacha anaeleweka sana, ukishindwa kumuelewa. Kichwa chako kina kuwa na shida mahala
Ukuu wa Mungu uko na ndacha❤❤from Tanzania
Ndacha mungu akubalikiwe
Mungu akuzidishie ufahamu kwa rlimu ulio nayo
Sitachoka kusikilisha mdaalo wewe ndacha mungu akupaliki
Ndacha mwamba banaaa
Waislamu wamepata ukweli tupu mungu awabadili wawe wa kufuata na kuamini yesu kristo .
Neno litasimamamambo yote yatapita lakini neno litasimama mungu akulinde ndacha
Waislaam ndio makafiri wafuga majini na mapepo muokoke mumwamin YESU muwe na uzima wa milele
Kuamini kwao ni ngumu sana mbaka yesu mwenyewe awa awabadilishe kama walimshilimisha shetani akawa ndugu Yao ni kazi kuwaachia
Na yule yesu alie mchagua kwenye kundi la kumi na wawili alikua nani..shetani ni mmoja wawanafunzi wa yesu so ukiristo unajificha tuu bt mwalimu wao mmoja nishetani ambae makao yake nikanisani..munapo ingia mkitoka kuzini bila hata kuoga na viatu pia
@@eiddykenga5816 Dini ya kiislamu ilianzishwa na majini kwa kusudi la kuleta mafundisho yenye kupinga wokovu ulio katika Kristo Yesu. Sasa matokeo yake maswali na majibu ya mwislamu yeyote yanaashiria giza nene.
Hakika ndacha unaweza mungu awe nawe
Makafiri endeleeni kumkufuru Mungu basi moto unawasubiri
@@kabebemazambikama nyinyi moto ni yesu ni mwana wa mungu Amina🙏🙏🙏
Ndacha you are a great fellow greatings from Rome❤
Wewe ni hatari Sana mchungani 😂 hongera wapi dozi yao wakome
Ndacha ako sawa kwa madiko waislam wamkubali ndacha awavatize
Tuwaombee sana waislam roho mtakatifu awasaidie wanaelewa ila shetani anawang'ang'ania
Duh ndacha ni shida
Ndacha hatarii sana umewachakaza vibaya sana😊
Mmmmmmmmh MUNGU wangu siyo kwa hilo jopo la mashehe niwengi lakini huyu ndacha anavyo wagalagaza Mimi Nina wasi wasi yamkini YESU yupo ndani ya ndacha huyu ndacha so mtu wakawaida du hatali
Hamna kitu..kama kipo..tao aya alio tao ndacha bibilia nikitabu cha Mungu..na ukiristo ni dini ya Mungu..yoyote tuu ambayo ndcha ametoa kama anawaweza hao mashekh
Ama kweli kwenye Quran na bibilia iliandikwa kutakuja manabii wa uongo na kweli huoni hilo ndugu yangu karibu kwenye dini ya kweli
Hawana akisema juu ya bibilia
Ndacha huwatoa jasho waislamu kuhusu quran yao na Bibilia wasio ijua.
Barikiwa Mwalimu Ndacha
😂😂😂😂@@abdallamohamed2005
Bwana Yesu asifiwe hakuna maali Yesu hashakua musilamu Yesu ni mwana wa Mungu
Ndacha❤🎉
Wengi wametoka kwenye uislamu kwa ajili ya Mahubiri kama dini ya shetani, njia ya kuzimu ni hii hapa inaitwa uislamu hakuna hoja juu ya hilo.
Wwe acha kupotea nkuulize biblia ilipewa nabii nani ikiwa yesu alipewa injili
@@zuenahassan8882Bible ni vitabu vitakatifu injili imo ndani
Ndacha noma
Hakika Ndacha wewe ni mwalimu
Amina
Ni walimu wakusambaza dini ya iblis na mashetani na wachawi
Kwa kutuonyesha Quran yenu ni ya ibilisi@@eiddykenga5816
Mazinge anakodoa macho ya huruma kana kwamba kahofia kubatizwa😂😂😂😂
Ndacha the good teacher
Ndacha kawagaragazaaa😅😅😅😅 wako hoi!!! huyu jamaa ni balaaa
👏👏👏
Ndacha🔥
Yesu kweli ana nguvu na uwezo mkubwa
Poleni sanawaislamu
❤❤❤❤❤Ndacha
Ambia wao ukweli
I just love ndacha
Message send meza hivo hivo😁😁😁
Kweli
watakuja haooo kanisani
mazinge ni comedian
👏👏👏👏
Tuseme Ukweli HAKUNA mwalimu wa Kiislamu atavunja hoja ya Ndacha
parfect
Hana hoja yotote ndacha anapindisha tu maandiko na anasoma vitabu vyengine sio vya kiisalam swali aliloulizwa na sule alinunukuu andiko linalosema Upumbavu wa mungu una hekima kuliko wa binadamu swali andiko hili ni la mungu? Yeye kaja wewe umeniuliza mungu ni mpumbavu ooh sijui mungu aliumba mapumbavu ya dunia swali lilkua kama lilivonukuliwa Upumbavu wa mungu una hekima kuliko wa binadamu maneno haya yanaweza kua ya mungu? anakuja na porojo halafu vipofu mnamuona kajibu hoja
Kuna mwingine anaitwa kasina huyo pia ni moto waislam wanamwogopa
Hamna kitu hoja za ndacha ni uongo hakuna mkristo ana hoja za maandiko zaidi ya kuleta porojo
@@MohamedMohamed-u3t1nKama sulle kashindwa ,jitokelezee nawe tuone😂😂😂
Hadi wakuhelewe
Ni kweli Ndacha ni mwalimu wabiblia, na kama Dr Sule anaamina Mungu mbona analindwa na binanadamu tu
Hakuna siku hata moja yesu atashindwa na majini yesu ni ni mwamba ulio imara