HILO DARAJA LILIJENGWA NA RAIS ALLY HASSAN MWINYI PAMOJA NA BARABARA YA LAMI YA MWANZA MUSOMA NA KAMPUNI YA KITALIANO YA LANARI ESTERO ALIPOINGIA RAIS BENJAMIN MKAPA MADARAKANI 1995 AKAMALIZIA KIPANDE CHA KM 90 MUSOMA SIRARI KUPITIA TARIME MJINI KWA KIWANGO CHA LAMI NA KAMPUNI YA KITALIANO YA COGEFA IMPREST NA NDIO BARABARA PEKEE TANZANIA AMBAYO NI HIGH QUALITY STANDARD GAGE NDIO MAANA MPAKA LEO IPO VIZURI PAMOJA NA KUPITA MALORI MAZITO KWA MUDA MREFU PIA HILO DARAJA LA KIRUMI AMBALO LILIJENGWA NA RAIS MWINYI NDILO DARAJA LA KISASA LA KWANZA TANZANIA AMBALO MHIMILI WAKE UPO JUU SIO CHINI NA ALILIFUNGUA RAIS MSTAAFU MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Kwakweli leo mmenifuraisha sana kunionyesha mkoa wangu wa mara mimi ni mzaliwa mkoa mara wilaya Rorya zamani ilikuwa wilaya tarime umenikumbusha nyumbani mimi kwa sasa nipo dar es salaam wilaya kibindoni jimbo la kawe katika wilaya ya Rorya nipo hapo komaswa paitwa kwa wachina ndio nyumbani nakupa hongera sana kwa kazi nzuri sana kufanya utalii mkoa wangu by Thomas nyalianga
Barabara hii ni miongoni mwa Barabara zenye kiwango Bora Tanzania..hakuna viraka wala mafuriko kukata Barabara..ardhi yenye Neema..Tarime "The Gold City!"🇹🇿💪🏽
Nimependa sana mnachokifanya BMG TV me kwa upande wangu nimeitumia sana hiyo barabara nilikuwa nikifanya Kazi mgodi wa Nyamongo au North Mara gold mine miaka 7 napita hiyo njia ni zuri sana
Yap, bila kusahau mwandishi na kwa Sasa Kuna Jambo Mara. Yule mtoto mtokewa Yunis anayeponya magonjwa yupo Mkoani Mara _Rory Bukama. Mungu wetu atupe nini wanna Mara???
Hakika madhari na uoto wa asili unavutia.Ukweli sijawahi fika huko.pongezi kwa serikali kwa jitihada za mtandao mrefu wa barabara za lami maana Nazi zinavutia. Pongezi kwako pia mwandishi endelea kutuletea vivutio vingi zaidi.
TAZAMA HAPA th-cam.com/video/jyVJsZcQJKg/w-d-xo.html SEHEMU YA PILI, TUNALENGA KUITANGAZA TANZANIA, TUNAOMBA MAONI YAKO UNGEPENDA TUONYESHE MKOA GANI TENA.
Inapendez,manzaly nimaz.....uoto nimzuly
HILO DARAJA LILIJENGWA NA RAIS ALLY HASSAN MWINYI PAMOJA NA BARABARA YA LAMI YA MWANZA MUSOMA NA KAMPUNI YA KITALIANO YA LANARI ESTERO ALIPOINGIA RAIS BENJAMIN MKAPA MADARAKANI 1995 AKAMALIZIA KIPANDE CHA KM 90 MUSOMA SIRARI KUPITIA TARIME MJINI KWA KIWANGO CHA LAMI NA KAMPUNI YA KITALIANO YA COGEFA IMPREST NA NDIO BARABARA PEKEE TANZANIA AMBAYO NI HIGH QUALITY STANDARD GAGE NDIO MAANA MPAKA LEO IPO VIZURI PAMOJA NA KUPITA MALORI MAZITO KWA MUDA MREFU PIA HILO DARAJA LA KIRUMI AMBALO LILIJENGWA NA RAIS MWINYI NDILO DARAJA LA KISASA LA KWANZA TANZANIA AMBALO MHIMILI WAKE UPO JUU SIO CHINI NA ALILIFUNGUA RAIS MSTAAFU MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE
SIMIYU
Huko ndio kwetu Rorya pamoja na Tarime safi sana. Aksante sana mtalii wa ndani katika Mkoa wetu wa Mara Tanzania safi
Napendezwa sana na madhali mazuri mkoani mara mimi ni lameck mkaazi wa nairobi
Karibu sana Lameck
Tanzania is a very lovely country.
It's the best in the world.
True
True said
Niliwahikusemamara nyingiyakuwa wataliiwanfaidikanaeneohilobila ghalama kwaomilimayahivyoniutajilimkubwa SAANA.
I'm proud to A Tanzania , Nchi Yetu Nzuri sana
Umesha fika kwetu
Kwakweli leo mmenifuraisha sana kunionyesha mkoa wangu wa mara mimi ni mzaliwa mkoa mara wilaya Rorya zamani ilikuwa wilaya tarime umenikumbusha nyumbani mimi kwa sasa nipo dar es salaam wilaya kibindoni jimbo la kawe katika wilaya ya Rorya nipo hapo komaswa paitwa kwa wachina ndio nyumbani nakupa hongera sana kwa kazi nzuri sana kufanya utalii mkoa wangu by Thomas nyalianga
Shukurani sana ndugu Thomas Nyalianga kwa maoni yako, hakika yanatuwezesha kutembelea maeneo mengine zaidi.
Shukurani
Ziroziro iko wilaya ya Butiama siyo Musoma. Pia nimependa kuutangaza mkoa wa Mara watu waujue, endelea zaidi kuna mengi mazuri. Hongera sana bro.
Ahsante sana kwa kutuongezea taarifa, mtangazi atafanyia kazi maoni yako
Si unajua wilaya mpya baba😂😂😂
Imekaa vzr kaka endelea kuitangaza tz nimeinjoy kw creap hiyo👏👏👏👍
Shukurani sana
Dah! Nimeinjoi kuona kitaa changu kabisa Kirumi!!! Asante kazi nzuri endelea kutuonyesha zaidi.
Pamoja sana
Ufike mpaka Shirati Rorya Mara mpaka mpakani Kirongwe na Mihuru bay Kenya. Aksante sana mtalii wa ndani ya Ujenzi wa Taifa letu la Tanzanian.
Video nzuri sana big up💪🏿👍🏾👍🏾
Mara ni kuzuri aisee
Hakika
Nimeipenda sana Tanzania I'm from KENYA karibu Kenya pia
Shukurani, tutakaribia Kenya
Barabara hii ni miongoni mwa Barabara zenye kiwango Bora Tanzania..hakuna viraka wala mafuriko kukata Barabara..ardhi yenye Neema..Tarime "The Gold City!"🇹🇿💪🏽
Sahihi kabisa, na imejengwa miaka mingi lakini bado ni imara
Mara ni kijani muda wote, I proud it
Inapendeza sana
Nimependa sana mnachokifanya BMG TV me kwa upande wangu nimeitumia sana hiyo barabara nilikuwa nikifanya Kazi mgodi wa Nyamongo au North Mara gold mine miaka 7 napita hiyo njia ni zuri sana
Waoh! tunafurahi kusikia kutoka kwako ndugu Nyabahele
Nchi Yetu Nzuri sana God bless our country
Kabisa
SAfi sana. Ama kweli Tz ni nzuri sana
Kumenoga sana ni tofauti nilivyopaacha yapata miaka 20 iliyopita nikiwa South Africa 🇿🇦
Sahihi kabisa
Barabara nzuri Sana mazingira poa sana
Shukrani Cosmas
Eish nyumbani mara hapo nimekulia hapo
Christian nawapata tokea Northiwest Klerksdorp City South Africa hapa naijua sana hio barabara me natokea mara asante sana
Wow! Safi sana. Ahsante kwa mrejesho
Nimeona Kona ya kuelekea Nyumbani hapo Kijiwe Cha Kirumi. Good Sana 👍
Wah! hongera sana tata Marwa
Nimeipenda hii video maana umenionyesha wilaya yangu pendwa ya Rorya
Tuko pamoja mdau
Asante Sana kutembelea mkoa wangu
Shukurani Nyairabu
Wao be Mara oyeeeebgap sana
Usisahau kutazama sehemu ya pili hapa th-cam.com/video/jyVJsZcQJKg/w-d-xo.html huu ni utalii tosha
Pamoja napenda sana mkowa wangu duu
Safi sana
Nimefulahi sana kuona mazingila ya nyumban kwet
Kuzuri sana, hongereni
Love tz xo much
Big up guys, like to see there home sweet home
Blessed
Mashalla Allah 👌👌😘
Great
Thanks
Jamani mbona kuzuri hivyo? Kuna watalii wanakwenda huko?
Watalii huwa wanapita kuelekea Hifadhi ya Serengeti
Good road
🎉
Safi sana tata 💪🇹🇿🙏🇹🇿
Safari ndani ya Ziwa Victoria th-cam.com/video/6jnTCYnQsbI/w-d-xo.html
Safi kabisa yaan
Ahsante
❤❤❤❤❤❤
Aisee ongera sana umeitoa kikwelikweli
Pamoja sana ndugu Juma
Tanzania ni tajiri sana
Good 😂😂😂😂😂😂😂😂
Great job 👏
Ahsante sana
Hujasemea mlima Rorya ambao ni mlima wenye kilele kirefu zaidi mkoani Mara na kanda ya ziwa,umeuonyesha lkn hukuusemea chochote.
Shukrani sana kwa kutuongezea taarifa, GB aliomba maoni ili kuifanya video hii kuwa na taarifa zaidi ambazo hakuzitaja.
Usisahau kgoma na bukoba
Home sweet home 🏡😌💕
safi
Yap, bila kusahau mwandishi na kwa Sasa Kuna Jambo Mara. Yule mtoto mtokewa Yunis anayeponya magonjwa yupo Mkoani Mara _Rory Bukama. Mungu wetu atupe nini wanna Mara???
Hakika, tutamtembelea pia hivi karibuni
Tulimtembelea, Naamini uliona
Mmenikumbusha hii barabara nilikuwa nashuka na hiyo milima ya loketo kipindi naendesha gar za Musoma to Tarime mmenikumbusha mbali sana
Pia hapo kirumi kuna Maramanjaro sehemu nzuri ya utalii
Ahsante sana
Jamani serikali wa tujengee lami wila ya ya rorya
🔥
Abari ziro ziro amkuonyesha
Sorry, video ilifutika kimakosa
Aiseee nimepamic sana nyumbni tarime daaah
Mbona unamajina ya kitumwa yote huna jina la nyumban pot harafu unasema umepamiss home kivip mura hata jina la home huna
Good
Thanks Ford
Hakika madhari na uoto wa asili unavutia.Ukweli sijawahi fika huko.pongezi kwa serikali kwa jitihada za mtandao mrefu wa barabara za lami maana Nazi zinavutia. Pongezi kwako pia mwandishi endelea kutuletea vivutio vingi zaidi.
Ahsante sana kwa mrejesho
Well done binagi
Thanks Gituti
Penda sana mzalendo nionyeshe mkoa wowote utakao jaliwa kufika
Shukrani, tutafanyia kazi maoni yako
Fuatilia Uzuri wa Tanzania hapa hapa BMG, tunaonesha mikoa mbalimbali
Mara nakupenda sana
Hakika wewe ni mzalendo
bado kabisa barabara imekosewa sana Kona nyingi na ni bado haipo viwango wa kimataifa sema poa
Ahsante
Hii barabara ilijengwa na wa jerumani
Duuuu kumbe kuzuri kuliko Arusha nakuja huko napenda kuishi kwenye uoto wa asili kama huku kwetu morogoro
Shukrani sana kwa maoni, tunatamani kufika pia Morogoro kuonyesha uzuri wake
Sanaaaa
BMGTV mbona hamturushii tena maendeleo ya ujenzi wa jengo la abiria kiwanja cha ndege cha Mwanza? Ama ndiyo imekuwa lomoni ya kisukuma :)?
Shukrani, tutafanya hivyo tena pindi tutakapopata ridhaa tena
Inapendesa sana
Hakika
Uende na Serengeti
Hifadhi ya Taifa Serengeti?
Mfike saragana nyambono kwenda majita uko kunautali wakutosha
Jina tu linahamasisha kufika, safi
Tuko pamoja
Shukurani
Pazur sana
Kabisa
The Nile basin, inapendeza.. mji wa dhahabu
Kabisa
Home
Hongera sana, Mara pazuri
Aneno Kirumi maneno Dalawa ewang'a
Karibu
Hilo daraja mbona hamjavuka au hkivuka unakuwa nchi ya nje?
Ni ndani ya Wilaya ya Rorya
MAra nipenyewe
Kabisa. Endelea kuwa nasi kwa video ijayo tukiendelea kuitangaza TANZANIA
Hakujavamiwa kama kwingine.
Hakika
Huko huwa hawavamii utapoteza mali zako
Unaanza tarime kisha rorya, na sio rorya kisha tarime
Mtangazaji alianza kurekodi video kutokea Ziroziro hivyo inaanza Rorya kisha Tarime
Kwanini hamjarionesha daraja Ra kirumi picha yake
Tumeonyesha
Nyumbn kumenogo
Kabisa
Maajabu yake niyapi?
Sijui hata unachokieleza utopolo tu
Tunaheshimu sana maoni yako, tunayafanyia kazi ili video nyingine uelewe zaidi.
Maajabu yake niyapi?
TAZAMA vyema uoto mzuri wa asili, milima ya kuvutia na Ujenzi wa barabara katika MILIMA hiyo. Rejea clip ya kwanza