Mechi nzuri kwa timu zote. Hongera Tanzania kwa kutua ushindi. Pongezi pia kwa Team Kenya kwa ushindani wa aina yake. Ila jameni U20 iwe U20. Pasiwe na age cheating.
Hii timu ibaki hivi till 2027, itafutiwe coach wa kimataifa,ipewe kila vitendea kazi! By 3027, they will be ready,! Hawa yulio nao ,wanafikiriaaa sana clubs tha the National team!
Yaaanii mimi ningekuwa mshauri wa TFF ningewaambia hii Timu ya Vijana ishiriki Ligi Kuu na Daraja la kwanza ili kila wiki wawe na mechi mbili za ushindani kwa misimu miwili tutakujakupata bonge la Timu ya Taifa
Tunawapongeza sana, ila jamani shekhan ana miaka chini ya 20? Yani amemaliza shule lini Ameshacheza JKU Ameshacheza Yanga Still ni under 20? Tunajiharibia future ya timu yetu ya Taifa
Tumewahi Pata vijana walosumbua mpaka Pele aliwasifia ila wakapotea hatuna utaratibu wakukuza vipaji haya mashindano watayatumia viongozi kuleta siasa zakujifanya wanawazawadia ila si kujenga future tunaonaga Leo tu sio mbele
Hatujawahi kuwa serious na mpira iko wapi Serengeti boys ya kina kabwili,shaban ada,assad juma kibabage na job iko wap Serengeti boys ya kina kelvin john,laurent alfred,paschal msindo,mustafa nankuku,agri ngoda,morice abraham na andrew simchimba mpira wetu unawapiga dili wengi sana atleast kenya na hasa Uganda wanaonekana wako serious na mpira wao unaonekana
Tafadhali wewe unaetazama naomba SUBSCRIBE 🙏 nakuomba sanaa
Hilo ni swala jengine
Wametuwakilisha vizuri
Hongera vijana Tanzanian pmoja Vivaa Tanzanian
Mechi nzuri kwa timu zote. Hongera Tanzania kwa kutua ushindi. Pongezi pia kwa Team Kenya kwa ushindani wa aina yake. Ila jameni U20 iwe U20. Pasiwe na age cheating.
Hongera sana vijana
Haya Taifa stars ishapatikana h hakuna HAJA kuivunja
Hongereni sana🎉
💥💥💥
Vijana watunzwe awa vijana....wapo poa
Hii timu ibaki hivi till 2027, itafutiwe coach wa kimataifa,ipewe kila vitendea kazi! By 3027, they will be ready,! Hawa yulio nao ,wanafikiriaaa sana clubs tha the National team!
Yaaanii mimi ningekuwa mshauri wa TFF ningewaambia hii Timu ya Vijana ishiriki Ligi Kuu na Daraja la kwanza ili kila wiki wawe na mechi mbili za ushindani kwa misimu miwili tutakujakupata bonge la Timu ya Taifa
Hyo timu nzima na bench Lao LA ufund wakae kambini hd wafike miaka 25 wakawakiliixhe taifa tumechoka
Wakenya wangeshinda leo msinge lala
Tunawapongeza sana, ila jamani shekhan ana miaka chini ya 20?
Yani amemaliza shule lini
Ameshacheza JKU
Ameshacheza Yanga
Still ni under 20?
Tunajiharibia future ya timu yetu ya Taifa
Kwan we unamjuaaa???
Kwan we unamjuaaa???
Kacheze nawew sasa mwenye umri mdogo
Shekhan n kwelii ila Valentino mashaka hapana😂
Shida za timu chipukizi za Africa, ni "age cheating" !
Wakaandamaneee sasa😂😂
Sema Hawa vijana wanatuwakikisha vyema Sana naomba waweze kutengenezewa mazingira ya kuimarisha viwango vyao view na mwendelezi
Kabisa
Tumewahi Pata vijana walosumbua mpaka Pele aliwasifia ila wakapotea hatuna utaratibu wakukuza vipaji haya mashindano watayatumia viongozi kuleta siasa zakujifanya wanawazawadia ila si kujenga future tunaonaga Leo tu sio mbele
Hatujawahi kuwa serious na mpira iko wapi Serengeti boys ya kina kabwili,shaban ada,assad juma kibabage na job iko wap Serengeti boys ya kina kelvin john,laurent alfred,paschal msindo,mustafa nankuku,agri ngoda,morice abraham na andrew simchimba mpira wetu unawapiga dili wengi sana atleast kenya na hasa Uganda wanaonekana wako serious na mpira wao unaonekana
@@Johnbenard-u5u shida sana
Hapo wanasubiri timu isonge mbele utasikia goli la mama mara hivi mara vile
Hawa ndo taifa staa badae
Kila mbwa ana siku yake😂.
UN-20 NI UN-25