Highlights: Tanzania 2- 1 Uganda CECAFA U20 Nusu fainali tazama mabao yote

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 71

  • @laurtz
    @laurtz  2 หลายเดือนก่อน +1

    Tafadhali subscribe 🙏🙏🙏

  • @ErickMbise-v6v
    @ErickMbise-v6v 2 หลายเดือนก่อน +4

    Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉 kwa vijanaaa

    • @laurtz
      @laurtz  2 หลายเดือนก่อน

      🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mayalakatema2576
    @mayalakatema2576 2 หลายเดือนก่อน +16

    Ikiwezekana hawa Vijana watafutiwe team huko Nje wakakue kisoka wasicheze kabisa hizi kulwa na Doto za Tz zinaharibu Vijana kwenye maisha ya Soka

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 2 หลายเดือนก่อน

      Ndugu unaujua Moira wetu wa wabongo,inawezekana usiwasikie tena,wakaishia ndondo.

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 2 หลายเดือนก่อน

      Mpira, siyo moira

    • @abdallahalfonce7916
      @abdallahalfonce7916 2 หลายเดือนก่อน +2

      Changamoto ni kuwa hatuna connection na mataifa ya nje Kwa ajili ya vipaji tulivyo navyo ukilinganisha na mataifa ya aftika magharibi

    • @MosesKubo
      @MosesKubo 2 หลายเดือนก่อน

      Tatizo wakifika kule wanapimwa umri sasa hapo mfano lameck lawi ANAKWAMBIA anamiaka 19

    • @hillarymuhidini5030
      @hillarymuhidini5030 2 หลายเดือนก่อน

      Hao wote wapo ligi kuu NBC, wengine ligi kuu Zanzibar

  • @oldtownfootball3418
    @oldtownfootball3418 หลายเดือนก่อน

    Ivi Kuna mchezaji wa Simba au Yanga anaweza funga goli kama hilo😂😂 mbona dogo anaaibisha wakubwa zake😂😂 sema Big up dogo unajua unajua tena

  • @TeddyMsafiri
    @TeddyMsafiri 2 หลายเดือนก่อน

    Love you tanazania

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mechi iliyobaki wachukuliwe hawa siyo wale wanaonyelea mapanga na akuna lolote😢😢😢

  • @smadon5638
    @smadon5638 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kenya na Tanzania under 20 wazuri na wamefanikiwa kwenda kucheza Afcon ya under 20 Congratulations for them 👍🏽

    • @laurtz
      @laurtz  2 หลายเดือนก่อน

      🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 2 หลายเดือนก่อน +1

    What a bomn for Tanzania for equalizer ❤

    • @laurtz
      @laurtz  2 หลายเดือนก่อน +1

      🔥🔥🔥🔥

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa ndo wangecheza na congo! Unaona ,they have hunger n determination! Safi sana vijana! Hiki kikosi kiandaliewe for 2027 AFCON!

    • @lahdadibrahim5006
      @lahdadibrahim5006 2 หลายเดือนก่อน

      Hhhhh kiandaliwe vipi usijidanganyr bafo uwezo mdogo awajui yani awo waweze mpiga morroco au mataifa yalioendelea kimpira magiant kama mali na wengine tanzania mpira sio fani yao wakacheze singeli

  • @assumedprivacy3940
    @assumedprivacy3940 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri asanteni Heroes

  • @Godfreydavid-wg4dg
    @Godfreydavid-wg4dg 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ndo ingekua senior team

  • @wilsonlevayoni2361
    @wilsonlevayoni2361 2 หลายเดือนก่อน +2

    Timu ya wakubwa inatutesa sanaaa yani😮😮😮

    • @laurtz
      @laurtz  2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hii sasa ndo Stars tunayotaka 😊

    • @laurtz
      @laurtz  2 หลายเดือนก่อน +1

      Itatufaa afcon 2027 hii

  • @EmmanuelDeogratius
    @EmmanuelDeogratius 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona vijana wanafanya vyema .. .......?❤❤❤❤

    • @laurtz
      @laurtz  2 หลายเดือนก่อน +1

      Sanaa

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 2 หลายเดือนก่อน +1

    taifa star kubwa imebakisha game mbili maoni yangu wapewe hawa vijana wamalizie zile mbili zilizo baki naona kama tutafuzu Afcon ila tukiwaachia wale wahenga kufuz ni kugumu

  • @ramrashid7859
    @ramrashid7859 2 หลายเดือนก่อน +1

    The way watu wameshangilia inaonesha watu wanapenda vya
    kwao ni vile tunakatishwa tamaa

  • @emmanuellupiga
    @emmanuellupiga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama ilivyokuwa serengeti boys cjui ilipotelea wapi hata hii wakienda mambele huko wawe wanarudi tim za taifa bongo nyoso

  • @EdwineAlphonce
    @EdwineAlphonce 2 หลายเดือนก่อน +1

    Congs tz

  • @nawazkhanbaluch9098
    @nawazkhanbaluch9098 2 หลายเดือนก่อน

    Tazama au tizama?

    • @laurtz
      @laurtz  2 หลายเดือนก่อน

      Tazama

  • @sylivinebahaty5449
    @sylivinebahaty5449 2 หลายเดือนก่อน

    Vijana bado hawajajua kuzama kule mgodini,wana uloto wa kutosha tofauti na wakubwa wao

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yan bora kuangalia under 20 kuliko wakubwa!

    • @footibeth
      @footibeth 2 หลายเดือนก่อน

      Hawa ndio mnaita u20😂, Ngoja uone soka finally, Kenya Vs TZ, u20 wa kweli tena mpira tunaupiga mwingi🤟🏼

    • @JaphethKipkalis
      @JaphethKipkalis 2 หลายเดือนก่อน

      Hapa Kenya pia tujanivunia timu ya u20 iko sawa kabisa wasichana wetu wako world cup na wavulana wamefuzu Afcon u20 tayari

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 2 หลายเดือนก่อน

      Wasichana wa Tanzania walishacheza hiyo world cup edition ​iliyopita na ni wakwanza East Africa kufanya hivyo pili Under 20 ya Tz pia imefuzu Afcon .So acha ulimbukeni hatujakuuliza@@JaphethKipkalis

  • @titus1846
    @titus1846 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya vs Tanzania

    • @magaraombogo7335
      @magaraombogo7335 2 หลายเดือนก่อน

      Lini fainali

    • @laurtz
      @laurtz  2 หลายเดือนก่อน

      Leo saa 9

  • @MeshackManoja
    @MeshackManoja 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa vijana waandaliwe kwa afcon ya 2027

    • @mayalakatema2576
      @mayalakatema2576 2 หลายเดือนก่อน

      changamoto wakianza kuimba Simba au Yanga tu wanapoteana

    • @lahdadibrahim5006
      @lahdadibrahim5006 2 หลายเดือนก่อน

      Ata waandaliwe vipi awawezi toboa afcon 2027 afcon hio kuna mafunfi wenye experince watu wanacheza vilabu vikubwa itishe kusema tanzania bado sanaa

  • @TriakonNdoya-iw2qc
    @TriakonNdoya-iw2qc 2 หลายเดือนก่อน

    Timu ya wanawake wanafanya vizuri yavijana yanafanya vizuri lakini ya wakubwa TU ndo haifanyi vizuri kwanini kwanini hapo kunakitu

  • @KassimJuma-ri4eu
    @KassimJuma-ri4eu 2 หลายเดือนก่อน

    tanzania u20 hamn baya

  • @kakuruchiganga507
    @kakuruchiganga507 2 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji wa hovyo kabisa badala ya kuitangaza Serengeti Heroes anatangaza timu binafsi, hovyo kabisa

  • @princejobic9036
    @princejobic9036 2 หลายเดือนก่อน

    Uganda na Tanzania.. eish hawa niwatu wa miaka thalathini bana

    • @ikulunimahalipatakatifu7642
      @ikulunimahalipatakatifu7642 2 หลายเดือนก่อน +3

      watoto wa 2000 siyo kama wale wa 80 na 70 kudumaaa, wa sasa wanakula vizuri

  • @SHABANINGAYAMA-y2l
    @SHABANINGAYAMA-y2l 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani hii ikiwa tm kubwa yatif nivibay

  • @JosephBWAGIZO-fs5ig
    @JosephBWAGIZO-fs5ig 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa vijana MUNGU watunzwe watakuja kufanya mambo makubwa baadae

    • @BondlBondl-p8j
      @BondlBondl-p8j 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tanzania kidogo kidogo itakuwa Bora kwenye michezo ususa uu wa miguu🙏💌

    • @laurtz
      @laurtz  2 หลายเดือนก่อน +1

      Sanaaa

  • @mwenyeji-
    @mwenyeji- 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna vile hawa watotoni under 20...Hawa watoto ni wazee

  • @bennieoswald8140
    @bennieoswald8140 2 หลายเดือนก่อน

    Vyovyote vile Hawa ni vijeba😅😅😅😅

    • @laurtz
      @laurtz  2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @godloveswai386
    @godloveswai386 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika usinene ukalama

  • @IssaAlly-ww6qb
    @IssaAlly-ww6qb 2 หลายเดือนก่อน

    Ila uyo sabri kondo ajengewe sanamu

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwann isiwe ya wakubwa hii😂😂 sema watoto wnajituma kwel

    • @laurtz
      @laurtz  2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @yohanaMashenene
    @yohanaMashenene 2 หลายเดือนก่อน

    Aliyefunga ni nan pia anachezea timu gn

  • @majidabdul-wg8ww
    @majidabdul-wg8ww 2 หลายเดือนก่อน

    Subirini Kenya tena tuje tuwakande kwa mara ya pili....mtamjua dogo beja hapo winga 7

    • @laurtz
      @laurtz  2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @husseinbongo7447
      @husseinbongo7447 2 หลายเดือนก่อน +1

      Timu ya Kenya ni U25 sio U20, zakayo nae Ako kwa pitch alafu wasema U20? Bureee kabisa

    • @mwenyeji-
      @mwenyeji- 2 หลายเดือนก่อน

      Piga tu mdomo na tushawafunga mbeleni. Dawa ni ile ile na hao watoto wakongwe wazee..Nyinyi imbeni, mpira na biashara tuwachie sisi.