Taifa stars imejitahidi so sehemu ya kuilaumu kikubwa viongozi wa timu kila panapo tokea mechi wajifunze ni wapi pana dosari ili waweze tufikisha mbali kimuchezo,pia manula umepiga kazi sana sana tu.
Kwani ulitaka wachezeje kwamfano mbona uzalendo hakuna Yani Baada hata muwapongeze kwahatuwa waliyo fikia yinyi ni kuwabeza tu kama kacheze wewe uli ubadishe matokeo 😢
Non. Taifa stars avait un bon jeux sauf qu'il ne pouvait pas échappé à la RDC. Courage chers voisins...💪 Allez y surveiller le lac TANGANYIKA nous on est encore occupé en cote d'ivoire 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Katika wanoibeza taifa star niko na imani hakuna mtu aliefika form 4,nasema ivo kwa ajili kama uko na elimu japo kiasi huwezi laumu timu,kuna timu kubwa zenye historia za mpira ila zimekula kwako mbele ya raisi na home ground yao,acheni fitna na hamuchangii chochote kwenye mpira ili usonge ni vizuri lawama mukapeleka majumbani kwenu ambao kuna uzito na kasoro nyingi sana,vijana wanahitaji kupewa moyo sio kuwakatisha tamaa.
Timu imecheza vizuri kuna wachezaji wazuri hawkujaribiwa kama Danilo hata Tyrin alarhakiya hawa ni wazuri wanatakiwa wapewe dk chache kuzoea waendelee kuitwa na kuonekana kwao kutawapa one kana na timu kbwa hi itatusaidia bdae
Ni maoni Tu. Kwa timu zilizo shiriki Afcon zilizo tolewa na zilizo bakia . Hakuna taifa limecheza kwa kiwango cha Chini kabisa kama Taifa stars. Poor performance in general.
Manula man of this match❤
RDC Grande Nation de football. Bravo les Léopards
This is one of the best AFCON so far.
Many surprises. No more big teams domination.
Kwani team ya Tanzania imeanzishwa mwaka gani😂😂😂
@@chusseboywcb2808 swali nzuri aisé 😂
Nc performance stars,l hope next time you will do better than that
Jamani mbona hi mechi Tanzania imecheza vizuri kidogo kuliko mechi nyingine
Manual fantastic game
❤❤jaman tujalib 2 kusema kuwa ni kwamba wamefanya vzr
Mngecheza hivi tokea Mwanzo walah tungetoboa kumbe mnajua hivi😢
Taifa star miguu mizito uongozi wanaona lakini wanajitoa ufahamu aibu sanaa
Taifa stars imejitahidi so sehemu ya kuilaumu kikubwa viongozi wa timu kila panapo tokea mechi wajifunze ni wapi pana dosari ili waweze tufikisha mbali kimuchezo,pia manula umepiga kazi sana sana tu.
Dr congo should work on striking forces
Yaani Tanzania mnabahqti kweli😢😢
Welldone Tz Taifa stars.
Sio mbaya sana mechi zote zilikuwa ngumu sana
Mpango yuko😊😊
Ahh jamn Tanzania imetuangusha sana
Oh the tz they let us down we try to give the company our ganser but the y cant to win why?
Wamecheza vzr jaman hata Kama tumetoka,,, stars wameimprove san
The best tz can achieve is only a drew? mtoke all the way tanganyika kwenda kufunga bao moja
Mbona nyinyi wakenya hamjafika hata huko kufunga bao moja?
@@goblessjrtz5464
Pongezi sana kwa timu yetu.
Mmepambana vya kutosha.
Tumeweka heshima kdogo tu mungu n mwema
Mpeni mgunda hii timu imecheza kwa kujiamini mno uenda ikawa atuelewi kimombo vizuri🤣🤣🤣
Hakika kabisa Tanzania tumeonesha kitu
Mna baati Leo taiga stars.
❤❤❤❤
Huyu humid mau mkami ni kilaza kila muda ndo anaitwa😢
WISSA is from Rwanda I can see is face
WISSA this match was you game but you put Congo Drc down
Wissa is what?????? Bro 😂😂😂😂lol
Tumejitahidi saan pia maana ni afadhali sana kwa team yetu
Taifa stars mgecheza hivi toka mwanzo tungetoboa kabisa leo mmecheza mpira mzuri tena kwa kujiamini kabisa
Next time acheni Mambo ya kupeleka Akina Mwijaku na Baba Leval kwenye Mambo ya mpira pelekeni kina Mzaramo na God yanga
Uzalendo
Stars mgecheza hivi tangu mwanzo tungekuwa mbali
Match
Jina Taifa stars haliendani na matokeo na wanachofanya ...
Kwani ulitaka wachezeje kwamfano mbona uzalendo hakuna Yani Baada hata muwapongeze kwahatuwa waliyo fikia yinyi ni kuwabeza tu kama kacheze wewe uli ubadishe matokeo 😢
@@zainabuzakaria-hw4yu achana na huyo maandazi ajui boli
Hapo labda wengeshinda Kama wengepangiwa na timu ya kike
Shida wabongo tunalawama sana nawengine Wala atukucheza mpila kabisa jamani zamani hilikua kila tukigsa tunakula tano malasaba kwaiy tunaenda vzr
Mie nahisi makocha wazawa ni bora kuliko wale wa nje km elimu wapelekwe wakasome mambo yaende ni ushauri tu
Zambia na Drc ni timu kongwe na ngumu sana. Tz imejitahidi mno.
Kwani Tanzania imeanzishwa mwaka gani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@chusseboywcb2808mm
@@chusseboywcb2808 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@chusseboywcb2808 wewe wapi kabisa 🤣🤣🤣
Kuna mtu kauliza , kwani Tanzania imeanzishwa mwaka.gani, ajibiwe tagadhari
Naona kundi limebak kama lilivyokuwa limepangwa😅😅😅
Non. Taifa stars avait un bon jeux sauf qu'il ne pouvait pas échappé à la RDC. Courage chers voisins...💪 Allez y surveiller le lac TANGANYIKA nous on est encore occupé en cote d'ivoire 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Uphill tasks for DRC in the next encounter I don’t see them in quarters
@pmakersimbanguvumoja4198 whatever it is, the last whistle will determine.
Okay let’s wait and see
Ok jamani tuwapongeze wachezaji wetu haina jinsi tena
Katika wanoibeza taifa star niko na imani hakuna mtu aliefika form 4,nasema ivo kwa ajili kama uko na elimu japo kiasi huwezi laumu timu,kuna timu kubwa zenye historia za mpira ila zimekula kwako mbele ya raisi na home ground yao,acheni fitna na hamuchangii chochote kwenye mpira ili usonge ni vizuri lawama mukapeleka majumbani kwenu ambao kuna uzito na kasoro nyingi sana,vijana wanahitaji kupewa moyo sio kuwakatisha tamaa.
Tanzania itasonga mbele ya kufungwa
Haya siombaya san
Taifa stars wakosawa
Timu imecheza vizuri kuna wachezaji wazuri hawkujaribiwa kama Danilo hata Tyrin alarhakiya hawa ni wazuri wanatakiwa wapewe dk chache kuzoea waendelee kuitwa na kuonekana kwao kutawapa one kana na timu kbwa hi itatusaidia bdae
Jamn isiwafanye watazamaji kuwa na asiri nakuanz akupigan ,.
Huyo naye hataaibu Hana anampiga mwanadada siatafute mwanaume wapigane. Ili akunwe sawasawa
Ngoma ni ngumu sana
Jamani ACHENI mihemko wacheji wote wamejitahidi Kadri ya uwezo wao na wameonyesha kiwango kizuri iliotuangusha ni confidence tugange yajao
Na wew umeona tungetoboa kabisa
Tuache kuibeza timu yetu wamejitaidi tena sana tu,kwani mwenyeji ilikuwaje jmn?
Ashamanula mauwayakeee apewe
Mabeki wanachomesha kila mda
Kuna huyo dada anazabwa makofi hapo sijui kakosea nn
Tanzania mpira bado sisi kujiakikikishia lilikuwa game la zambia tyu
Ni maoni Tu. Kwa timu zilizo shiriki Afcon zilizo tolewa na zilizo bakia . Hakuna taifa limecheza kwa kiwango cha Chini kabisa kama Taifa stars. Poor performance in general.
Wqmejitaidi
Ligi yetu ndio tatizo inauwa vipaji vya wachezaji jaribuni kutafakari hili
inauwaje labda tufafanulie tuelewe kaka
Mpira niuwekezaji.
Timu bovu km uharo wa mapera
shukran za dhat zimfikie mama samia mpen maua yake kwa kuisupport taifa stars
Oh the tz they let us down we try to give the company our ganser but the y cant to win why?
Oh the tz they let us down we try to give the company our ganser but the y cant to win why?