Ugonjwa wa kuku Kuvimba macho/How to identify and treat Chronic Coryza in chicken

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 29

  • @DainesSambeke
    @DainesSambeke 2 หลายเดือนก่อน +1

    Habari asante kwa masomo mazuri vifaranga wangu wanashusha mbawa naomba nisaidie tafadhali nifanyaje

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Apo kanunue dawa ktk duka la mifugo watakaa sawa.

  • @RehemaKimwaga
    @RehemaKimwaga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Habari za leo mnaendeleaje,kuku wangu wanaota madoa ya vidonda mpaka kwenye macho wanashindwa kula nifanye nini,naomba mnisaidie.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Fuatilia video hii itakusaidia Sana
      th-cam.com/video/sn9mzciyF64/w-d-xo.html

  • @asiambemba9969
    @asiambemba9969 10 วันที่ผ่านมา

    Habari,,, kwahiyo ukiwapa dawa hizo huo uvimbe utakwisha?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 วันที่ผ่านมา

      Ndio ndugu

  • @shukuraniLock
    @shukuraniLock 3 หลายเดือนก่อน +2

    HABARI NDUGU WATANZANIA: niko Rwanda arakini ujonjwa huu huku haunatiba kabisa ukifika banda lako bay bay kufuga kuku !!! Ufugaji unakomea hapo "" dawa zipo madukani hapa haziwezi kupambana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Kweli itakua hasara kubwa . Endelea kufuatilia video ujifunze zaid

  • @josephatnicholaus276
    @josephatnicholaus276 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna group WhatsApp kwa ajili ya mafunzo ya ufugaji kuku?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน +1

      Hapana ndugu ila ukiwa na shida waweza nichek kwa wasap directly

    • @josephatnicholaus276
      @josephatnicholaus276 หลายเดือนก่อน +1

      @AGALUSTV shukrani naweza pata iyo namba ya WhatsApp

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน +1

      @josephatnicholaus276 wasap +255765467484

    • @josephatnicholaus276
      @josephatnicholaus276 หลายเดือนก่อน +1

      @@AGALUSTV God bless you

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  หลายเดือนก่อน

      @josephatnicholaus276 🙏✍️

  • @HildaisackAgustino
    @HildaisackAgustino 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbn hajatupa ni dawa Gani?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Dawa zipo nyingi sana ndugu ni vizur ukajua ugonjwa kisha uende duka la mifugo kujua aina ya dawa aliyonayo akupe

  • @JosephKimea-jk3ot
    @JosephKimea-jk3ot 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dawa zinapatikana wapi, Mnazo?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Dawa zipo maduka ya mifugo tembelea tu

  • @Queen..113
    @Queen..113 3 วันที่ผ่านมา

    Mimi kuku wangu wana hiy changamoto ya uvimbe A naambiwa niwatoboe j inawezekana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 วันที่ผ่านมา +1

      Usiwatoboe ila unasafisha macho kama Wana vitu vyeupe. Kama hawana wape dawa za mafua

    • @Queen..113
      @Queen..113 2 วันที่ผ่านมา +1

      @AGALUSTV ahsante je kuna uwezekan wa kuona tena

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 วันที่ผ่านมา

      @Queen..113 yes atakaa sawa tu mpe na vitamins pia

  • @AminaMadock
    @AminaMadock 3 หลายเดือนก่อน

    Hivyo dawa hizo nazipata wapi

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Maduka ya mifugo

  • @martinkaranja9265
    @martinkaranja9265 3 หลายเดือนก่อน

    Vifaranga wanafaa kupewa chick start kwa mundane gani

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Vifaranga WA aina gani

    • @martinkaranja9265
      @martinkaranja9265 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@AGALUSTV improved kienyenji

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      @martinkaranja9265 one month

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 หลายเดือนก่อน

      Around 6 to 8 weeks