VIDEO: Mwanzo Mwisho Alivyopatikana mshindi wa BSS 2018

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 416

  • @athumanmzee6958
    @athumanmzee6958 6 ปีที่แล้ว +85

    Uyu Julius macha nihatari sanaaaa!! Nipo pamoja naww kama unamkuba like apo chini

  • @dharaphylutavi
    @dharaphylutavi 6 ปีที่แล้ว +27

    Julius, asagwiree na Saraphna Kiukwel nyie ni no Dan talented Sema sarafina Anaweza xnaaaaaaaaaaaaaaaaa km Uko p1 nami gonga like

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 6 ปีที่แล้ว +236

    mm namkubali sana julius kama naww unamkubali like zako hapa

    • @joycejohn7754
      @joycejohn7754 6 ปีที่แล้ว +1

      Sana sema hawatoag ushnd kwa hiphop

    • @einothmollel5713
      @einothmollel5713 6 ปีที่แล้ว

      Tatu bora wote wakali
      Ilikua ni vigumu yupi umvote
      Ila nimempigia kura Sana Asagwile jomon

    • @gahetehussein8791
      @gahetehussein8791 6 ปีที่แล้ว

      mimaake nirram

    • @mimaakenirram1405
      @mimaakenirram1405 6 ปีที่แล้ว

      @@gahetehussein8791 abee

    • @faithdama6479
      @faithdama6479 6 ปีที่แล้ว

      I really appreciate madam Rita together with her team for supporting talents.Believe me or not out there are so many learned guys with no job I really really appreciate.

  • @naimavumbi9363
    @naimavumbi9363 6 ปีที่แล้ว +27

    Namkubali xana asagwileee anajua kuimba xanaaa kama unakubaliana na mm gonga like

  • @handromedia5611
    @handromedia5611 6 ปีที่แล้ว +18

    Daaaaaa sio sirii saraphina ulistahiri ushindii, tokea awali hujawai kosea japo asagwilee pia ni mkalii kulikoo ila karata ya ushindii mwanza mmewakilishaaa vyema,hongera mamiiii

  • @alicebahadia5529
    @alicebahadia5529 6 ปีที่แล้ว +13

    Yani asagwe umenimaliza wallah ,nibasi tuu ungekuwa mshindi wew ,,wote mlikuwa mnalingana ,,❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤nimekupenda duh❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @aniyiihofficially7677
    @aniyiihofficially7677 6 ปีที่แล้ว +4

    Mh kma unaona madam ritta makope yanamshinda nguvu gongs likes nyingi nyingi mana simuelew nacheka mwenyew tyu

  • @laurencialucas6742
    @laurencialucas6742 6 ปีที่แล้ว +54

    Thank you Millard ayo nimefrah mwanzaa oyee taji letu ,its the time for girls woww saraphine wote. Wa mwanza like

  • @semenmakoye5263
    @semenmakoye5263 6 ปีที่แล้ว +82

    Our new vanessa mdee from mwanza kanda ya ziwa ote gonga like

  • @detrisherfetrishaz7470
    @detrisherfetrishaz7470 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah Julius macha amenikosha sana....kama naww unamkubar Julius gonga like hapa

  • @cynthyazubery5986
    @cynthyazubery5986 6 ปีที่แล้ว +61

    Sarafina uimbaji wke km Vanessa mdee kwakweli 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼big up sana girl🔥

  • @lydiathadeous6644
    @lydiathadeous6644 6 ปีที่แล้ว +30

    Asagwileeeee trust me gospel songs suits you better unazipatia ! We are on the same boat with Salama NO FAKE ZONE honestly asagwileeee imbaga gospel kaka yangu

    • @jenifakimaro4970
      @jenifakimaro4970 6 ปีที่แล้ว

      Kama umemuelewa madam kwa. Macha hakutaka aingie na mbwembwe kama za profeser j na hapa ndo tunapoferiiii watu wengiiii

  • @NonoNono-qp3zu
    @NonoNono-qp3zu 6 ปีที่แล้ว +58

    Gonga like kama ulishamtabiriaga sarafina ushindi tangia kitambo😁

    • @methodmwambe684
      @methodmwambe684 6 ปีที่แล้ว

      kama unamkubali Julius gonga like

  • @albashakluninshaah3727
    @albashakluninshaah3727 6 ปีที่แล้ว +10

    Ninawashauri mshindi wa kwanza na wapili wafanye ngoma moja kwa pamoja ninaamini itakuwa ngoma ya mwaka mpya. Mimi sijawahi kosea coz ninamtanguliza M.mungu.

  • @mosesmichael8175
    @mosesmichael8175 6 ปีที่แล้ว +23

    aliemuona mkali wenu humu gonga like hapa

  • @lydiathadeous6644
    @lydiathadeous6644 6 ปีที่แล้ว +22

    Julius aiseeee baba anguuu machaaaa umempatia ProfesorJAY 🤣🤣🤣🤣🤣 ( in chaga voice )

  • @najmaabdully3113
    @najmaabdully3113 5 ปีที่แล้ว +10

    Kama umemuona mkali wenu like twende sawa

  • @Ralianstyle154
    @Ralianstyle154 6 ปีที่แล้ว +3

    Lilian anaimba vizuri,tatizo wamemtoa kwenye mziki wake,alikuwa anaimba ,mziki wake mzuri tu,na alikuwa anafit,...especially nyimbo za kingereza...

  • @witneywilly
    @witneywilly 5 ปีที่แล้ว +7

    Who is watching with me dec 2019

  • @mcisunga3822
    @mcisunga3822 6 ปีที่แล้ว +20

    Asagwile dah mpaka mwili umenisisimuka sana uimbaji wako asante usife moyo mungu yu pamoja nawe utafika mbali sana tupo pamoja nawe

  • @joycefilbert5676
    @joycefilbert5676 6 ปีที่แล้ว +6

    Kama kuna mtu amechukia hawa majaji wanavyo zozana wanakela A Like tu

  • @chainbre275
    @chainbre275 6 ปีที่แล้ว +93

    Yani mm Julius aliniburidisha sanaaaaaa kwa hii bongo star search #bodabodaman

  • @lovenessmassawe7765
    @lovenessmassawe7765 6 ปีที่แล้ว +19

    Bongo star search mngekuwa mnatoa zawad za 3 bora...mana dah... Mtu mpaka kufika 3 bora alafu anakuja kuondoka bure dah inaumaaaa😥😥😥😥😥 Julius and Asagwile Mungu anawapenda sana

  • @mariachares6315
    @mariachares6315 4 ปีที่แล้ว +3

    Anae agaria bongo St attach mwka2020 tujuane hapa

  • @verahaoko713
    @verahaoko713 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera ayo tv kutu uploadia,quick racka twaomba saraphina hitsong na kiba.dogo janja opportunity hiyo

  • @tunuyaomar5017
    @tunuyaomar5017 6 ปีที่แล้ว +10

    Huyu master j nae eti kutingisha matakoo!!! @ kiuhalisia mm wala siwezi kwenda bss nisije nikaanguka jukwaani bure.

  • @biragebirage9018
    @biragebirage9018 6 ปีที่แล้ว +3

    Sarafina saf sana ww ni star kama madam anavyosema aina yoyote ya mziki unafanya Mungu akubark dada

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 6 ปีที่แล้ว +2

    The top four waliua yaani watoto wanajua kuimba kuliko wenye miziki

  • @evalumumba3292
    @evalumumba3292 6 ปีที่แล้ว +79

    Gonga like kama unaipenda Bss

  • @mligombuma2287
    @mligombuma2287 6 ปีที่แล้ว +14

    Julius macha hana papara,anajiamini,anawezaa sana..ni nooooumaaaaaaaa

  • @Apo_onlineTV
    @Apo_onlineTV 6 ปีที่แล้ว +19

    Julius macha bado wa moto saana brother jitahidi tufungue mwaka na ngoma yako1 tu

  • @KidotiTwiga
    @KidotiTwiga 6 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo ya njiwa wameimba wengi ila huyu sarafina kuna kitu nakipata cha tofaut kabisa daah big up mama

  • @anilove4802
    @anilove4802 6 ปีที่แล้ว +5

    mbeyaaa hoyeee asagwile umetisha yesu ni mwambaaaaaaaa

  • @neemajohn3363
    @neemajohn3363 6 ปีที่แล้ว +65

    Asagwile jamani dah dont give up bro much love

    • @josephkapinga652
      @josephkapinga652 6 ปีที่แล้ว +1

      Mimi nkiambiwa nchague kwenda show ya aswagile na saraphina naenda kwa aswagileeee anakimbiza.

    • @sinyorthajohn1980
      @sinyorthajohn1980 6 ปีที่แล้ว

      Hongersaa sarafina

    • @sweetnesskway9794
      @sweetnesskway9794 5 ปีที่แล้ว

      Nmemkubali sanaaaa asagwile

  • @tatumwakambonja7779
    @tatumwakambonja7779 6 ปีที่แล้ว +3

    Naikubali sana BSS kama unaikubali weka like

  • @sarahkabegula3090
    @sarahkabegula3090 6 ปีที่แล้ว +60

    Nimefurah Julius umepata mdhamini

  • @mukizaisaya6659
    @mukizaisaya6659 5 ปีที่แล้ว +1

    Wote wamefanya vzur sarafina na asagwile but sarafina she is most talented yaan sarafina kipaj chake akijawai tokea tangu bss iwepo she is dynamic, she can sing any song put on table

  • @deusdongwe2190
    @deusdongwe2190 6 ปีที่แล้ว

    Master j salute kwako mm mwenyewe nilikuwa nashaangaa Uju demu anapitaje wanatoka wanaojua

    • @aishakombo2037
      @aishakombo2037 6 ปีที่แล้ว

      Huyo judge sijui amevurugwa au ni bias tuu. Mbona wengine wameimba za watu na hukusema.? Umeamua kumbania julius daaah umenikwaza

  • @stephenkenga9630
    @stephenkenga9630 ปีที่แล้ว

    madam Rita uko mrembo mwanzo mwisho, all my love frm kenya

  • @bajosdamour2347
    @bajosdamour2347 6 ปีที่แล้ว +12

    daah nimewish uyo jama alieimba mziki wa enock bella ndo angebeba ilandoivo kazi yamungu hio imeshafanya yake😢😢

  • @rajablugeje9190
    @rajablugeje9190 6 ปีที่แล้ว +6

    Madam Rita ana asili ya abroad, kizungzungu ktk ujaji, she deserve

  • @tumainimchaki6477
    @tumainimchaki6477 6 ปีที่แล้ว +16

    master jay leo alikuwa kama salama na salama alikuwa kama Master jay😁😂😂😂😁😁😁

  • @josephkapinga652
    @josephkapinga652 6 ปีที่แล้ว +2

    Itisha shoo ya aswagile na saraphina naenda kwa Mzee wa kazi aswagile yaan swagileeeee.

  • @Christianjack
    @Christianjack 6 ปีที่แล้ว +3

    Master jay kuanzia leo nakuzarau aujui ujaji unaongea tu uyo mwanamuke ameimba iyo nyimbo ya lingala liliana anajua kuimba.gonga like.

  • @ajmaholi3494
    @ajmaholi3494 6 ปีที่แล้ว +8

    Asagwile ingia kwenye gospal, coz ukiimba gospal nyimbo inakua kali hatari

  • @consolathamwanja9611
    @consolathamwanja9611 6 ปีที่แล้ว +5

    Asagwile we mkali sana bro usikate tamaa unaweza sanaaa

  • @gracekitundu189
    @gracekitundu189 6 ปีที่แล้ว

    Julius Macha your the best, Wewe ndo mshindi wangu bhanaa!

  • @witneywilly
    @witneywilly 5 ปีที่แล้ว +1

    Hili liSarafina kila nyimbolinajua.. Nmekupenda buree

  • @KidotiTwiga
    @KidotiTwiga 6 ปีที่แล้ว +9

    Sarafina na asagwile washindi wangu dunia nzima

  • @diomedesmtayoba3955
    @diomedesmtayoba3955 6 ปีที่แล้ว +47

    Aswagire you have a full package, you can dance and keep singing well never give up bro

    • @faithdama6479
      @faithdama6479 6 ปีที่แล้ว

      its a hard work choosing a winner

  • @fatumaiddi4952
    @fatumaiddi4952 6 ปีที่แล้ว +11

    Julius nilienjoy show zako uko good na unaweza hongera sana

  • @ismaelmastaki7769
    @ismaelmastaki7769 5 ปีที่แล้ว +4

    October 2019 nani anamkubali sarafina🙋🙋

  • @tatuomar4164
    @tatuomar4164 6 ปีที่แล้ว +64

    huyu bodaboda noma sanaa kwakweli

  • @hwayobihemo5866
    @hwayobihemo5866 6 ปีที่แล้ว +26

    Hongera sana sarafina mdogo wangu uko vizuri miss mwanza

  • @lizamakala
    @lizamakala 6 ปีที่แล้ว

    Huyu Julius ni noma anapumzi ya kutosha Ana nguvu kucheza na kuimba vinaenda sambamba like beyonce

  • @marymwakatundu3696
    @marymwakatundu3696 6 ปีที่แล้ว +37

    Love you Asagwile😘😘😘😘😘😘

    • @ziadaalmas1201
      @ziadaalmas1201 6 ปีที่แล้ว +1

      Kweli nimeamini unaweza kuwa na jina lako zuri la kizungu lkn la ukoo likakurudisha Africa mwakatundu😀

    • @marymwakatundu3696
      @marymwakatundu3696 6 ปีที่แล้ว

      @@ziadaalmas1201 😂😂😂😂😂😂😂

    • @esterbaraka1099
      @esterbaraka1099 4 ปีที่แล้ว

      @@ziadaalmas1201 😂😂😂😂😂😂😂 mkolof ww

  • @chainbre275
    @chainbre275 6 ปีที่แล้ว +66

    Yani nko hapa kwa ajili ya bodaboda 2 yani analeta furaha hadi raha

    • @ichukagaum9732
      @ichukagaum9732 6 ปีที่แล้ว

      Hahaha hata mm

    • @chainbre275
      @chainbre275 6 ปีที่แล้ว

      @@ichukagaum9732 nakwabia anajua kuchagamusha kweli huwezi lala ukiwawamusikiza jamaa katisha ile baya

    • @severinsafsan3104
      @severinsafsan3104 6 ปีที่แล้ว +1

      julius alipo tolew nimeumia san

    • @chainbre275
      @chainbre275 6 ปีที่แล้ว

      @@severinsafsan3104 yy ndo age faa awe number 2 jamani

    • @barakamax3210
      @barakamax3210 6 ปีที่แล้ว +1

      gud sana

  • @jaybchaponda6886
    @jaybchaponda6886 6 ปีที่แล้ว +17

    Asagwela umenimaliza na iyo ya christian bella duh ,

  • @Myrosia6608
    @Myrosia6608 6 ปีที่แล้ว +24

    sarafina umetuinua wadada congrats to you

  • @ntimimalamula2104
    @ntimimalamula2104 6 ปีที่แล้ว +8

    Kweli tuliokuwa tunamkubali Julius wengi

  • @rajablugeje9190
    @rajablugeje9190 6 ปีที่แล้ว +11

    TOKEA BSS NAANZA KUIONA , CJAPATA MSANII MWENYEKIPAJI KA SARAPHINE, NAMPENDA KILA AKIIMBA NSISIMKA NATOKWA NA MACHOZI YA FURAHAA , NTAKUWA NAKUCKILIZA DAIMA NTAPOKUA NA STRESS, SHE DESERVE TO BE A WINER, SHE Z VERY TALENTED, SIFA ZISIKUPE KICHWA UKABADILIKA KITABIA UKACHEZWA BURE KIPAJI CHAKO KIKAFA BILA KUONA SONGS ZAKO ,

  • @upendolukio3816
    @upendolukio3816 4 ปีที่แล้ว

    Duh dad mung akuinue viwango vingne wimbo wako unasisimua kwel sarafina longer SNA tens sana

  • @bercahot152
    @bercahot152 6 ปีที่แล้ว +2

    aswagile you made it!! your my winner bss2018

  • @AdamClassic-uj9ed
    @AdamClassic-uj9ed 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asagwire Alijua Kupangilia Nyimbo

  • @salmadalaquimane5303
    @salmadalaquimane5303 6 ปีที่แล้ว +12

    Sarafina I love u I like ur voice daaah

  • @antipaskasambala2696
    @antipaskasambala2696 5 ปีที่แล้ว +7

    Asagwileeeeeee fund kinoma

  • @denisgerald5001
    @denisgerald5001 6 ปีที่แล้ว +4

    You did it! Saraphinaaaa! am proud of you!

  • @solomonmpuluma5485
    @solomonmpuluma5485 6 ปีที่แล้ว

    Msiache Bss madam, inainua sana vipawa madam Ritha. Salama nakupenda unachangamsha sana mamii!!

  • @monicapeter9065
    @monicapeter9065 5 หลายเดือนก่อน

    Tuliomkumbuka julias macha na saraphina tukiwa 2024 tujuane
    Na wako wap sku hz
    Au wanaimba

  • @sonzannusz562
    @sonzannusz562 6 ปีที่แล้ว +7

    Asagwil
    ndiy alkuw
    th bext performance
    Bong ostar search $eason9
    🔥🔥🔥

  • @ntimimalamula2104
    @ntimimalamula2104 6 ปีที่แล้ว +31

    Jamaa wa rap ndio mkali wangu wa bongostar

  • @lastsimbatv1497
    @lastsimbatv1497 5 ปีที่แล้ว +5

    Sarah your the winer i love your so talented

  • @salamamohammed5446
    @salamamohammed5446 4 ปีที่แล้ว

    Jmni ya mwak 2020 mbn mnafany ivyo

  • @joycedavid3695
    @joycedavid3695 2 ปีที่แล้ว +1

    Its Saraphina for me 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌

  • @luganoesomu5056
    @luganoesomu5056 6 ปีที่แล้ว +8

    ukiona jaji anacomment kwakukutia moyo ujue hujapita akiongeza kusema. wewe nistaa hata ukishindwa hapa endelea kukaZa ujue baaasi haumo😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @kitengegaston6946
    @kitengegaston6946 6 ปีที่แล้ว +7

    Serafina love you so much

  • @alatuvonajoshua1472
    @alatuvonajoshua1472 6 ปีที่แล้ว +5

    Saraphina yu deserve it gal💕💕👌

  • @hamisijulius7426
    @hamisijulius7426 6 ปีที่แล้ว

    kiukweli bss ya mwaka huu washiriki wengi walikuwa wakali hawa waliofika tatu bora wote ni bora mpaka inakuwa vigumu ku-predict mshindi but mshindi aliepatikana amestahilikabsa kwangu mm mwaka huu mshindi aliepatikana ni halali kabsa anakipaji co kama washindi wa miaka iliopita hongereni judges kwa kutenda haki mwaka huu naomba wale wote waliofika top 5 waendelezen wote kimziki maana hakuna mchovu wote wana talent ikiwezekana waunde group lao kama singers.

  • @ashajuma6133
    @ashajuma6133 6 ปีที่แล้ว +37

    Yaan hapo hta cjui umpe nani ushindi mana wote ni konki konk konkinmaster

  • @jehnipherkinabo1166
    @jehnipherkinabo1166 6 ปีที่แล้ว +3

    ila sarafna kiboko duuuh kaka @bernadpoul kaitendea sana haki hii song yako

  • @monilahcruz7293
    @monilahcruz7293 6 ปีที่แล้ว +40

    Julius napenda sanauvyo parfom

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 6 ปีที่แล้ว +6

    yani alivyo fikia top 3 moyo ulikuwa unanienda mbio hira ndo bac tena julius kukubali sana kaka

  • @princelorenzomentalsickmin4441
    @princelorenzomentalsickmin4441 6 ปีที่แล้ว +3

    Oyaaaa sarafina kiboko yani inakua kama gwaride mkigeuka wa mwisho anakua wa kwanza .....uko natural yani usanii uko ndani ya mwili wako nakupendaa bureeeeeeee

  • @noellanoella5901
    @noellanoella5901 6 ปีที่แล้ว +50

    yesu nibaba yangu asiyeshindwa kamwe

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mamy baby umebarikiwa sauti lakini reception mvuto tatizo sijui mama alimpenda baba zaidi

  • @stanleygeoffrey8264
    @stanleygeoffrey8264 4 ปีที่แล้ว

    Aise saraphina yuko vzr sanaaa big up kwa saraphina

  • @taxconsultant5050
    @taxconsultant5050 6 ปีที่แล้ว +3

    Sarafina u made well i love u so much unaimb vizur kwa kweli jamn umetisha

    • @marthaemmanuel6442
      @marthaemmanuel6442 6 ปีที่แล้ว

      Gladyness Kimaro juliasi duu

    • @taxconsultant5050
      @taxconsultant5050 6 ปีที่แล้ว

      @@marthaemmanuel6442
      Hat jullius yup vizur lakin ndo mashndan wanatafut mshnd mmoja

  • @athmanbello380
    @athmanbello380 6 ปีที่แล้ว +23

    Sarafina ua da best bby

  • @esthersekihola7850
    @esthersekihola7850 3 ปีที่แล้ว +1

    Graduation, very good darling

  • @SechySeche-hm6bd
    @SechySeche-hm6bd 8 วันที่ผ่านมา

    Juliussss!!! 2025 I miss you ukoapi we jamaa

    • @sekondianacletus4537
      @sekondianacletus4537 วันที่ผ่านมา

      Alishiriki ilee ya all star but inaonekana alipitia challenge alikua kakondaa.

  • @luganoesomu5056
    @luganoesomu5056 6 ปีที่แล้ว +12

    hivi quicklacha anacomment nin sasa😀😀😀??

    • @endorolodge5824
      @endorolodge5824 6 ปีที่แล้ว +1

      Bodabodaman utafika mbali san cz unajua kuperform na energy ya kutosha then beat unalitendea haki all the best

  • @elimgabriel3230
    @elimgabriel3230 6 ปีที่แล้ว +6

    Asagwile nenda studio

  • @dicksonmgidange867
    @dicksonmgidange867 3 ปีที่แล้ว

    Jamani kusema Cha ukweli Asagwire ndio mshindi huu mwaka jamani

  • @teosita6215
    @teosita6215 6 ปีที่แล้ว +3

    Niceee Ayo TV salute to uu

  • @goslinshk1793
    @goslinshk1793 5 ปีที่แล้ว

    Kweri burudan kamayote ❤️💃💃💃💃

  • @queenyahaya3147
    @queenyahaya3147 6 ปีที่แล้ว +3

    Tunawapenda sana wote😍😍😍

  • @dorcaspolela625
    @dorcaspolela625 6 ปีที่แล้ว +15

    Leo nimekua wapili😁😁😁😁

  • @jehnipherkinabo1166
    @jehnipherkinabo1166 6 ปีที่แล้ว +2

    duuuh jaman bss kpndi hiki n motoo sana cion acyejua wotee wamechinjaaaaa

  • @husnajohn7466
    @husnajohn7466 6 ปีที่แล้ว +1

    Unspoelekea msechu hicho kitambi kitamfikia marehem john komba

  • @feyndungu5567
    @feyndungu5567 6 ปีที่แล้ว +2

    Big up ayo TV.namkubali swangile wow big up .boda boda wow sarafina wow .BT swangile wow wow +254