MSHINDI Wa BSS MESHACK Apiga SHOW Kwa UCHUNGU MBELE ya MADAM RITHA awaomba Watanzania wampokee

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @davidmachange4153
    @davidmachange4153 4 ปีที่แล้ว +10

    Kijana anakipaji kikubwa, sauti nzuri and a humble looking... Shida ni hizi management.. mtu mlijua anaperfom hamkujiandaa!?, Mara mnaangaika kubadili guitar lake, sijui kumletea kiti ambacho hata hajakitumia...Mara mmbadili mic afu ahangaike mic 🎤 haina sauti... Alafu hayo madude yanayolipuka kuweka waka sijui ya nini... Nyimbo za slow kama hizo zinahitaji utulivu mtu kusikiliza..

  • @mariamkatuju6906
    @mariamkatuju6906 4 ปีที่แล้ว +5

    Your so talented Meshack! Utafika tu ambapo moyo wako unatamani

  • @silvercronix706
    @silvercronix706 4 ปีที่แล้ว +5

    Kijana ametisha sana kiukweli ,hongera kaka ....kazi yako nzuri 👊👊👊👍👍👍

  • @tianodokgo8718
    @tianodokgo8718 4 ปีที่แล้ว +1

    Dg tatz unalinga fala wew ona saiz mwenzako hamisii hakushinda lakn anajina kukuzidi ata mshindi, maisha ya game hayahitaji kuvimba wew

  • @monicawanza2100
    @monicawanza2100 4 ปีที่แล้ว +11

    Please meshack fanya collabo ma Christian Bella, aslay, Barnaba na alikiba 👌

    • @fememmethod8209
      @fememmethod8209 4 ปีที่แล้ว

      Alikiba hawez kutembea na njia za huyo dogo.. hapo Barnaba na Christian Bella ndo wataenda ...yaan itakuw pwaa 😂😂

  • @isackcharles3310
    @isackcharles3310 4 ปีที่แล้ว +1

    Broo uko vizuri nakukubali mnoo

  • @felixbenos6365
    @felixbenos6365 4 ปีที่แล้ว +7

    Yaani wabongo..yamejazana lakini hata kumtia moyo kijana kwa kumtunza hata kumrushia teni kimya wamechili tu.

  • @waziriramadhan2561
    @waziriramadhan2561 4 ปีที่แล้ว +1

    Bado nakufwata good voice good music iko poa iyo

  • @georgetyson2604
    @georgetyson2604 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaaa anatisha sana ni anajua balaa

  • @dannyhimmtafya5625
    @dannyhimmtafya5625 4 ปีที่แล้ว +1

    Meshakh hongera Sana blood

  • @jimmyjasson4739
    @jimmyjasson4739 4 ปีที่แล้ว +4

    Duh!!!Meshack,Ritha lazima akumalizie mzigo wako.

  • @pcmofficialtz
    @pcmofficialtz 4 ปีที่แล้ว +10

    Bongo maelezo mengi imba sasa utashukuru baadae unatuchosha

  • @azizymachadeson3577
    @azizymachadeson3577 4 ปีที่แล้ว +5

    Next success Art with Amazing voice like Marioo 🔥🔥🔥

  • @christinahandson8085
    @christinahandson8085 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa saaana,mm ni shabiki yako saana,,,,,

  • @dims4839
    @dims4839 4 ปีที่แล้ว +1

    Bravo bro big up, welcome in music world

  • @mudyally2491
    @mudyally2491 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @calvinmaeda878
    @calvinmaeda878 4 ปีที่แล้ว

    Good luck mesh your talented

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 4 ปีที่แล้ว +3

    Mmeona msafi she Jina kwanza kwa mesha alafu mzindue uwo ujinga wenu mzurumu wtt watu

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 4 ปีที่แล้ว

    NATAJA WASANII WAKUBWA WAWILI TANZANIA BONGO FLEVOR AMBAO NI DIAMOND & BARNABAS BOY . KIJANA HUYO AMEKUJA MJIPNGE WAZEEEE MTOTO HUYU ANA PAJI BAYA SANA MJIPANGE KWELI MUNGU ANA VIPAJI WENGI GO MAN GO HIGH PEAK. UNAJUA DOGO UNAJUA DOGO DOGO UNAJUA DOGO UNAJUA UNAJUA UNAJUA UNAJUAAAAAAAAAAAA

  • @bahatimkumbo7298
    @bahatimkumbo7298 4 ปีที่แล้ว +1

    Mdamu kuwa na aibu jaman zifikishe pesa za kijana , achoke kuzisibiri zikisafiri

  • @zaqcctvcamera3245
    @zaqcctvcamera3245 2 ปีที่แล้ว

    Sema bongo unafiki mwingi

  • @yusuphbanda139
    @yusuphbanda139 4 ปีที่แล้ว +5

    meshaki umelipwa? tujulishe Basi mashabiki zako maana tulisikitika Ila hujaturudishia mrejesho

  • @kybwatatu5243
    @kybwatatu5243 4 ปีที่แล้ว

    Courage bro jtm

  • @shazzshadrackshazzshadrack5796
    @shazzshadrackshazzshadrack5796 4 ปีที่แล้ว +1

    Kusema NA ukwelii meshack hana kipajii kama hamisiii

  • @ramadhanissa7500
    @ramadhanissa7500 2 ปีที่แล้ว

    😘

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 4 ปีที่แล้ว +1

    Kibaji ni karama iliyopo ndani ya mtu aki

  • @stivmabando5661
    @stivmabando5661 4 ปีที่แล้ว +2

    We ulipewa mzigo wako au ndio unazinguwa tu

  • @neemamayco3238
    @neemamayco3238 4 ปีที่แล้ว +2

    Maik haina saut mbn

  • @ibrackibrahim6909
    @ibrackibrahim6909 4 ปีที่แล้ว +1

    Vyombo vya hovyo kabisa vimeharibu raha

  • @Mirror-pi2cs
    @Mirror-pi2cs 4 ปีที่แล้ว +2

    💣

  • @furahasarakikya5676
    @furahasarakikya5676 4 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏😘😘😘

  • @صربوخهالصرابيخ
    @صربوخهالصرابيخ 4 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥

  • @douglasslawrence7992
    @douglasslawrence7992 4 ปีที่แล้ว +1

    Asee utafika mbali, mshirikishe Mungu

  • @redlionkings9190
    @redlionkings9190 4 ปีที่แล้ว +1

    Ppppp bro utatoboa 2

  • @jerumayamwasomola7482
    @jerumayamwasomola7482 4 ปีที่แล้ว

    Mesha mbona hatulii jukwaani, mbona kama hajiamini, mbona kama maandalizi vzr...

    • @mwastynhand6712
      @mwastynhand6712 4 ปีที่แล้ว

      We huon gitaa mbovu

    • @godlivingmeela5710
      @godlivingmeela5710 4 ปีที่แล้ว

      Wee kaka acha wivu bhan yupo God ungekuwa wewe ungeweza

    • @brunomirambi8792
      @brunomirambi8792 4 ปีที่แล้ว

      MESHACK ANAJUA SAAAAAANA DIAMOND& BARNABAS BOY WANAFAHAMU HILO KUWA DOGO AMEKUJA KUWASHIKA CHEZEA MESHACK MOTO HUO UNAHITAJI KUUTEA MBALI MBALI LA SIVYO UTABABUKA KOPE MOTO KAMA ULE ULE ULIOTAKA KUMCHOMA YEYE MWENYEW MESHACK,SHADRACK NA ABERDINEGO

  • @ephraimkatabi2190
    @ephraimkatabi2190 4 ปีที่แล้ว

    jamaa anajua

  • @directorrey8665
    @directorrey8665 4 ปีที่แล้ว +3

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @estermakune
    @estermakune 4 ปีที่แล้ว +1

    Dogo unajua..ipo siku watakuelewa...wakati wa bwana ndo wakati sahihi

  • @dakkitv8248
    @dakkitv8248 4 ปีที่แล้ว

    Comment wap tunaziona

  • @juniorfulgence2469
    @juniorfulgence2469 4 ปีที่แล้ว +1

    Konk

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmeona msafi she Jina kwanza kwa mesha alafu mzindue uwo ujinga wenu mzurumu wtt watu