Kayumba, here in Nairobi kenya watching.... I never noticed you are the kayumba am enjoyed the mama song in 2021...... Kumbe you come from this far... Congrats bro... Your songs are amazing
I didn't regret the time I spent watching this video. Big up Tanzania, Big Up Millard Ayo for doing an extra ordinary job for keeping up updated of what is happening in our motherland. Much love from LA California.
The end is emotional I just got myself shedding tears. actually no matter what or wea u come from ur dream is valid . thnxs so much Millard ayo ur such an inspiration to us . from kenya
kakangu wa nguvu jmn mungu abariki kz yako, ss tuliombali tumeona tukio, wallah Allah akufanikishe kila hatua inshallah, nakuaminia yaaan sina upinzan wako, thanks a lot
Mlio kuwa mnasema kayumba hakustahil kuwa wakwanza ,,mnaendeleaje huko maana saiv kayumba ni motooooooo mfano mzur ni wimbo aloimba na lina (umeniweza)
Best choice Tanzania. I am in the United States watching this on TH-cam and if the judges and Tanzania chose someone other than Kayumba Juma, then I would have concluded that people in Tanzania don't really understand what music is all about. The kid got it in him, I enjoyed every bit of it, especially the final song, man that was the great song ever played in T.Z. God bless y'all.
Hapa mshindi ni Kayumba ingawa wengi wanazani fonabo yuko juu ila kitu ambacho kilichomuangusha fonabo habadilishi staili ya mziki tofautu na kayumba yeye ukali wake unakuja kutokana na ubadilishaji wa staili ya umbaji wake kwa hiyo haki yake kayumba kuwa mshindi.
Millard thanks for the good job of making the world global village you are hardworking, nice production, personal interviews you are my mentor however am far from home keep it up bro yo dreams will come true
Kiukweli huyu dogo kilicho mpa ushindi kwanza alijua kinachomchagua mshindi ni watu wanaopenda burudani,, hivyo akajua wengi hawapendezwi na lugha wasizozijua,, akafanya nyumbani kwanza kisha akajua kuchagua vinavyo mtoa nyoka pangoni 😂😂😂 hongera sana
Thanks kaka na hongera sana kwa Hili bana umenieka mujini.... Aaah cha kusimulia tu ninachosasa.. Much love to you Ayo.... Yeeeeeeeeeaaaaaah keep it up bro ya amaizing.
mwenzen kipnd icho nilikuw bado nna kitoch chang but now Big up 2019 nna kitach chang cha Nokia nmeicheck hii and big up Millard ayo kuendealea kutuwekea hii k2 kwa air
1:12 hizo hela mlizo mtunza Christian Bella hapo jukwaani nazitamani Sana mwaka huu 2020,maana kaimba kishair chake kdg tu hela zimejaa kiroba😂🤣🤣🤣daah!
kama unaangaria 2024 mwenz 12 gong like apa
Anaye cheki 2020 kama mimi Weka 👍twende sawa
nipo apa
Imoooooooooooo
👍
Tupo
i realize Im kinda randomly asking but does anybody know a good site to watch new movies online ?
Mungu amenivusha salama kabisa mpk 2025 naangalia hii mungu ni mwemaa❤❤
Anaeangalia hii mwaka 2019 kama mimi gonga like hapa
Mimi Apa
Kbs
Hazichoshi
Anaeangalia mwaka 2020 Kama Mimi gonga like hapaaa
tupo pamoja
Kayumba, here in Nairobi kenya watching.... I never noticed you are the kayumba am enjoyed the mama song in 2021...... Kumbe you come from this far... Congrats bro... Your songs are amazing
adi mimi bana kumbe hapa ndo kayumba alitokea,big up to bongo star search then
Kama una angalia hii 2020 kama mm tujuane kw like
Mm nahangalia nw😂
I didn't regret the time I spent watching this video. Big up Tanzania, Big Up Millard Ayo for doing an extra ordinary job for keeping up updated of what is happening in our motherland. Much love from LA California.
Mtoto kakulia uswahilini....hana nyimbo za kingereza.....haya aisee....anaengalia hii 2018 gonga like
Eks.
Kama wewe umeangalia pesa za Christian bella kama mimi gonga like 2019
the guitar guy deserved the win...you killed it..watching from Kenya..who is here in 2018..
Anae tizama na mimi mwez 12/2020 agonge like apa.
Anaye angalia hii mwaka 2019 gonga like tujuwane apa
Wanaoangalia mwaka 2019 mwez 11 gonga like yako
Am from Kenya but I like your voice man .. I used to watch bongo star search bcoz of you
Nani anaangalia kama mm November 2019 gonga like apaa
Mhuy
Wote walikua wanajuha sema kayumba alikua na kipaji na ndo maan ata saiv Ni star. Big up Sanaa kayumbaa
Kama unaanglia 2020 muda kam huu gonga like nying hap
The end is emotional I just got myself shedding tears. actually no matter what or wea u come from ur dream is valid . thnxs so much Millard ayo ur such an inspiration to us . from kenya
Good
😍😍2019 but still watching big up Millard Ayo I love you 😍😍😍
Sawa
Sawa
Nom
2024 nagonga like
Bss 2015 and Bss 2018 was very hot big up saaana washiliki wote kwajumla na washindi wote. From Burundi
This guy kayumba is going places.hes among the talented guys.
W
Who's still watching this competition util 2020
Me
Me in 2021
Me in 2021
Thanks so much millard mob love watching from dubai
Upuuz tu bss mshind walishamwandaa wapuuzi hawaa no one like #Angel marry and Fonabo gonga like kama tupo pamoja☝
Kayumba Una jua mkp Una kera💋💋💋💋❤️❤️❤️💪💪💪wale tunaongalia 2019 tujuane
Katumba ulijua kutufrahisha...
Wapi likes za Katumba ...
Katumba ama kayumba we nimganda
Kayumba anajua kumiliki jukwaa,,,na nyimbo anazochagua ni nzuri
kakangu wa nguvu jmn mungu abariki kz yako, ss tuliombali tumeona tukio, wallah Allah akufanikishe kila hatua inshallah, nakuaminia yaaan sina upinzan wako, thanks a lot
Madam ritta wewe ni mkarimu sana halafu nimwenye huruma sana sana mungu akuzidishie iman yako mama nakupenda kikweli
Jamanii 2020 kayumba jamani yuko motoooo kumbe eeeeee Umetendwa haki kipaji chako hiyo yamama ukaitoa yakwako popote nilipo upo mama unasema namoyo wanguvu hongera Sana kayumbaa
Kayumba was the best ,ametumia kiswahili kitupu kama risasi yake ,kwenye vita wow I love it... 1:21:40
onger xan bro kiukwel we mkali aisee na mm napenda uongezewe uwezo zaid.... mungu aangalie kazi zako... big up brother
Mlio kuwa mnasema kayumba hakustahil kuwa wakwanza ,,mnaendeleaje huko maana saiv kayumba ni motooooooo mfano mzur ni wimbo aloimba na lina (umeniweza)
Kayumba juu zaidi
Wasiwasi ni motooo
eheeehh well done, I been waiting for it. Thank you so much
Anaeangalia 2021 gonga like
Best choice Tanzania. I am in the United States watching this on TH-cam and if the judges and Tanzania chose someone other than Kayumba Juma, then I would have concluded that people in Tanzania don't really understand what music is all about. The kid got it in him, I enjoyed every bit of it, especially the final song, man that was the great song ever played in T.Z. God bless y'all.
Hhh
realy
Naangalia 2024 ilikuwa moto sana,watu weng mnasema kayumba akustahili ila mmeona apo mwisho alivyotisha
Hey millard Ayo, big up n much respect. unajitahid sn bro kutuweka karibu na matukio wakat tupo mbali.
Naomba unisaidie kufahamu kuhusu VEVO. Thanks
Kayumba Yuko pw sana
Hapa mshindi ni Kayumba ingawa wengi wanazani fonabo yuko juu ila kitu ambacho kilichomuangusha fonabo habadilishi staili ya mziki tofautu na kayumba yeye ukali wake unakuja kutokana na ubadilishaji wa staili ya umbaji wake kwa hiyo haki yake kayumba kuwa mshindi.
Kweli kabisaaa
Kweli kabsa
Ibrahim Issa jamaaa wa gita kisukuma kimezgua mnoooo
Umeonaeee,
True
Millard thanks for the good job of making the world global village you are hardworking, nice production, personal interviews you are my mentor however am far from home keep it up bro yo dreams will come true
Millady Ayo uko noma sana penda ww
Kiukweli huyu dogo kilicho mpa ushindi kwanza alijua kinachomchagua mshindi ni watu wanaopenda burudani,, hivyo akajua wengi hawapendezwi na lugha wasizozijua,, akafanya nyumbani kwanza kisha akajua kuchagua vinavyo mtoa nyoka pangoni 😂😂😂 hongera sana
Ila kajitahidi Sana
Broh millard mungu akupe maisha marefu aisee unatupa habar za mambo mengi nakupenda kaka
Where is NASEEB FENABO? He is very very Talented🙌🙌🙌 and He deserved to be a winner! 2018
December 2019 tujuane
am watching da clip n am so enjoying every bit of t
thank you Millard for enabling us in abroad to view n enjoy this
God bless u n ur work
hi my brother big up xan and love u 4rever wixh all de bect.......
All the way from Kenya. Am watching this in 2020 November. Kayumba has moved me. Nilifikiri atatolewa nilie😭😁
Watching from Diaspora.... More love from Kenya
2024❤ gather here
3yrs left bado mzigo upo kwa hewa tenx bro ayo,, 2018 nw nan ana watch hii shoo
Bugusi Mgoya me
Marekishi devi
Huwo mbano longtime enjo nilikuwa naupendaga
Bugusi Mgoya kayumba
that angel chiqqq...she is super talented!!!!!!! i love her performance all the way
thanks millard wengne atukuweza kuona live but kupitia ww nimeiona TH-cam.Big up Mungu akubariki kwa kazi zako
Thanks kaka na hongera sana kwa Hili bana umenieka mujini.... Aaah cha kusimulia tu ninachosasa.. Much love to you Ayo.... Yeeeeeeeeeaaaaaah keep it up bro ya amaizing.
daaaah jmn bro na gitta lako upo vzri ssna good big up mnoooo MUNGU BabA mbele yako one day
kayumba you'r a big man thanks too and blessed
hivi judges walitumia vigezo gani kumpatia pakee Kayumba!!!cheaf judge ana mihemko binafsi na Kayumba if watching 2018 gonga like
Kayumba anajuwa
Kayumba alikuwa moto akipewa wimbo anaimba vizur
Anaye checking 2021 gonga like
Duh ema upo wapi wee tulikuwa tukiangalia wote hii sijui uko wapi jaman pita pita bs huku TH-cam 😂😂😢 i real missed you my friend 😢
The gal who tried to sing Ugandan song u did ur level best mashallah
fireeee one day I'll be there taking the crown
Inaumiza sana anaejua kuimba anakosahaki yake nimeumizwa Sana bora nisingeangalia2 nimeumizwa pia na angel maskini kenyewe kalicheka2
Watching this in 2022.. Hii BSS finale ilikuwa 🔥, na ngumu sana.. Who has Kelvin's insta handle? Ni pekee yake sijamfollow
Nani anangalia hii 2023 anajua mafanikio ya frida na kayumba?
Nakumbuka nilikuwa nikiimba..2008...mpk Nika fika finally...sio mchezo ujue.. wakati..wa kutajwa majina..roo ina piga kweli...bt nashukuru mungu.. nilikuwa wa pili...daa mpk Leo Nina ...zawad yangu
Ulipewa zawad gani dear
Hongera sana.
Ukoo wp now?
Mungu ni mwema 2025 naangalia huu mtanange
2024 gather here❤
Omg how it’s end 🥺😭😭😭😭😭🥰😍so Woow🥰😍🤩🤩🤩🥳🥳🥳
Its realy u done a great job
Congratulation to u broo
For me the first performer was Amazing
Fonabo unamkumbuka mwl.Shija a.k.a mama shija headmistress Rajani sec.
😀😀😀😂😂😂😂😂
Daaaaaaaaaaa Kayumba aliwapoteza sana sana yaaaaaaani daaaaaaaaa hiiii ya mwisho kaua kabisa yaaaaaaani daaaaaaaa
yaaaaan wewe @MillardAyo sijui nikufananishe na mwandishi gan Dunian maana natafuta Wa kufananishwa na wewe nakosa kabisa big up sana broooooo
Balozi wa Iramba zembwela
Salama yupo poa sana
Balozi wa Iramba uongo huo
Jamaa wa 🎸 ako sawa sana kazi nzuri salama nakupenda bure
Kayumba is good
Jameni number ZA kayumba plz
Kayumba imeisha sana nakupenda bureeee😘😗
Kila binadam anamapungufu yake but youre the best Millad unafanya kazi nzuri😘
We Mdada ulitisha Mbaya mbovu siungesajiriwa Wasafi duh we mkali atale love U mwaaaaah
Thanks Millard.. all goood.. nakumbuka tulikutana sauti za busara 2015..
hivi wasanii hawa wako wapi sasa?
Mmependa Winnie so honest person mtumba wa mwenge dada nitafute nna zawadi yako toka England uk
wow i like am from saudia
be blessed millard,,,endelea kufanya vizur zaid,,,,,
Mi ningempa Kelvin japo hakupewaaa kibongo kumpa ni kazi kwani muziki wake hauwapendezi Sana watanzania
Jos
Joseph Kapi
Ayo u r very inspiring may God bless u
Jaman anaeifaham nyimbo anayoimba. vonabo. mara ya mwisho..aniambie jina la msanii
mwenzen kipnd icho nilikuw bado nna kitoch chang but now Big up 2019 nna kitach chang cha Nokia nmeicheck hii and big up Millard ayo kuendealea kutuwekea hii k2 kwa air
Fransisco Venance hhh kutok tochi mpaka tochi😂😂😂
mnaosema kayumba hakustaili nawatazama tu kijana anasauti ya kumtoa nyoka pangon
Alafu ana jituma Sana..ana jua kuchangamsha
Nice one ,sauti za kuto nyoka pangoni. thanks sweetie
+lina gakii Asante sana mtu wangu kwakupita nakuniachia comment yako
2024 mwezi wa 11 tupo hapa
1:12 hizo hela mlizo mtunza Christian Bella hapo jukwaani nazitamani Sana mwaka huu 2020,maana kaimba kishair chake kdg tu hela zimejaa kiroba😂🤣🤣🤣daah!
Wale wa 2021 tujuane kwa like
thank you so much brother naendelea kusikiliza amplifay 88.5
n
right mbaba!!™® wengine tulikuwa mzigon dzain now tunaenjoy rubudani kupitia ww mtu wetu wa nguuuuvu.
Millard Ayo kama una final ya 2013, tutupie pia, mana haijawahi ku uploadiwa
plzzzzz AYOOOOOO TV
Kweli kabisaaaaa
naenda sana tv yako naangalia viind vng kama nio tanzana vle sante sana kaka @milard ayo
Who’s here in 2025 😂 35:12
Mimi ningependa kujua mshindi wapili anapewa nini?
Vituko vya BSS 2020 ni Atareeeee nikaona so mbaya nikumbushie hii 2015