MAOMBI: OMBA MUNGU ATENDE JAMBO JIPYA KATIKA KILA ENEO LA MAISHA YAKO by Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 116

  • @AdmiringBeachHammock-qv3nk
    @AdmiringBeachHammock-qv3nk 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba ukanitendee jambo jipya kwa maisha yangu na watoto wangu Kwa mume wangu hata katika ka kila eneo la maisha yetu mume wangu akamtendee achane na ulevi Amina

  • @MariamNangai-zr2rn
    @MariamNangai-zr2rn ปีที่แล้ว +1

    Mungu mtendee mwanangu Magreth jambo jipya afaulu masomo yake.kwa.kiwango.cha juuu

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU TENDA Jambo jipya kwenye maisha yangu na kwa watoto wangu niweke kwenye kiwango kingine

  • @MariamNangai-zr2rn
    @MariamNangai-zr2rn ปีที่แล้ว +1

    Mungu naomba unitender jambo jipya kwenye maisha yangu nitoe ktk vifungo vinavyonirudisha nyuma

  • @greacembwnwilibati8197
    @greacembwnwilibati8197 ปีที่แล้ว +1

    . mungu amenitendea Leo jina yesu kirsto mungu aliye ahi Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @JaneKobe-k5r
    @JaneKobe-k5r ปีที่แล้ว +1

    Mungu naomba unitenda jombo jipya kwenga maisha yangu nitoe kuk vifungo vinavyoniufishsa nyuma

  • @JaneKobe-k5r
    @JaneKobe-k5r ปีที่แล้ว +1

    Mungu mtendee mwanangu Arthur James kobe. Jambo jipya to get Job

  • @MariamNangai-zr2rn
    @MariamNangai-zr2rn ปีที่แล้ว +1

    Mungu naomba unitender jpo.jipyaa.nipate kipato niwe wa juu wa thamani kwa jinn la yesu

  • @juditholoo8809
    @juditholoo8809 10 หลายเดือนก่อน

    Ninamshukuru Mungu kupitia kwa mtumishi wake Innocent, may God bless you abundantly man of God.

  • @JaneKobe-k5r
    @JaneKobe-k5r ปีที่แล้ว +1

    17:34 mungu nakuomba utende jombo jipya kwenye family yangu

  • @neemashirima6121
    @neemashirima6121 ปีที่แล้ว +1

    Eee Bwana Yesu tenda jambo jipya kwa mtoto wangu na katika maisha yangu.Amina.

  • @laithkavishe8881
    @laithkavishe8881 ปีที่แล้ว +1

    Naomba ee bwana yesu ukatende jambo jipya katika biashara yangu na katika familia yangu bwana nenda katende sawa na mapenzi Yako amina

  • @jacklinemagere1796
    @jacklinemagere1796 ปีที่แล้ว +1

    bwana yesu katende nene jipyaa kwa watoto wangu , kwenye maisha ya family yangu neno jipyaa kwajili ya kazi yangu

  • @JaneKobe-k5r
    @JaneKobe-k5r ปีที่แล้ว +1

    Mungu anomba ukatende Jambo jipya kazini kwangu

  • @damacenjustin7226
    @damacenjustin7226 ปีที่แล้ว +1

    Napokea nibadalishe maisha nikue niende level nyinginr

  • @begumisachristopher4697
    @begumisachristopher4697 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Mungu kwa ajili ya kumtumia mwana wako uwezavyo

  • @jacklinemagere1796
    @jacklinemagere1796 ปีที่แล้ว +1

    Eee bwana yesu tenda jambo katika afy katika watoto wangu wape afya njema wabarik katika masomo yao

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu tenda jambo jipya mwanangu aache kuvuta bangi.kwa jina LA yesu

  • @adelamartin1320
    @adelamartin1320 ปีที่แล้ว +1

    Mungu tenda miujiza yako tenda Jambo mungu 🙏

  • @yustamkosyange-gb7jl
    @yustamkosyange-gb7jl ปีที่แล้ว +1

    Eeeh yesu ninaaombaunifanyie jambojipys

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 6 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu anitendee nilimiliki chumba changu kiurahisi .nitendee jambo jipya kwenye Kila eneo la maisha yangu

  • @dominarwechungura5797
    @dominarwechungura5797 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Naomba utende kipya kwa maisha yangu

  • @fatima2062
    @fatima2062 ปีที่แล้ว

    Mungu tenda jambo jipya kwenye maisha yangu naitaji watoto mapacha 👧 na 👦 na tenda jambo jipya kwenye masomo ya watoto wangu tenda jambo jipya kwenye ndoa yangu

  • @evalistermwigune
    @evalistermwigune ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu tends jambo jipya katika mahusiano yangu..biashara yangu .kazi yngu,uchumi wangu afya yangu na mipango na matarajio yangu

  • @MariamNangai-zr2rn
    @MariamNangai-zr2rn ปีที่แล้ว +1

    Mikutano na watu sahihi nipate pesa nifungue biashara yangu

  • @NeemaMbena-u1e
    @NeemaMbena-u1e 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu naomba ukatende jambo jipya katika kazi yangu biashara yangu ujauzito wangu pamoja na mume wangu martin

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu tenda jambo jipya kwenye kazi yangu.iwe ya kudumu .. Amen

  • @glorialumbugu2717
    @glorialumbugu2717 ปีที่แล้ว +1

    naomba jambo jipya maishani ee Roho mtakatifu

  • @RukiaKipenzi-k9f
    @RukiaKipenzi-k9f 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu utende Jambo jipya katika biashara yangu na ufungue milango ya uchumi wangu

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 ปีที่แล้ว

    Mungu naomba ukatende jambo jipya kazini kwangu nikadhaminiwe na kitambulika na kampuni na boss na akanipe mkataba

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 ปีที่แล้ว

    Mungu ninaomba ukatende jambo jipya kwenye familia yangu wazazi Wang wakapokee nuru Giza likakimbie ndani yao na kwenye ukoo wetu tukapone na tukapendane

  • @AngleShalom
    @AngleShalom 5 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu tenda jambo jipya ku byote byote ku maisha yangu na mutoto wangu

  • @JaneKobe-k5r
    @JaneKobe-k5r ปีที่แล้ว +1

    Hi pray to my son to get job. Arthur James kobe

  • @floradavid5216
    @floradavid5216 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu tenda jambo jipya kwenye maisha yangu

  • @JaneKobe-k5r
    @JaneKobe-k5r ปีที่แล้ว +1

    Please pray to my son Athur James kobe to get a Job

  • @tabithachamhene7956
    @tabithachamhene7956 ปีที่แล้ว +1

    Bwana tenda jambo jipya ndani yangu

  • @LilianNzioka-fr6co
    @LilianNzioka-fr6co ปีที่แล้ว

    Mungu tenda jambo jipya kwenye familia yangu

  • @doreenjane3215
    @doreenjane3215 ปีที่แล้ว

    Mtumisi nimepokea bwana yesu awe mwokozi wa maicha yangu

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu tendanjambo jipya kwangu

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi7607 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba utende jimbo jipya juuu yanga najua yavizazi changu afya

  • @allenjohn4328
    @allenjohn4328 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @eucabethkerubonyambisa875
    @eucabethkerubonyambisa875 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi nimepokea bwana yesu leo

  • @ElizabethNjambi-c3y
    @ElizabethNjambi-c3y 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu peana amani katika familia nilio zaliwa nipe doa njema nitoe katika maisha ya umalaya

  • @enjomahenge9127
    @enjomahenge9127 ปีที่แล้ว

    Bwana yesu tenda jambo jipya Leo kwenye ndoa yangu 🤲

  • @limbetumaini228
    @limbetumaini228 8 หลายเดือนก่อน

    Mwaka huu Mungu utatenda jambo jipya kwangu

  • @mariamalongo8803
    @mariamalongo8803 ปีที่แล้ว

    Amen tenda jambo jipya kwa maisha yangu

  • @jescakimario9036
    @jescakimario9036 ปีที่แล้ว +2

    Eeeeh BWANA YESU tenda jambo jipya kweny kila eneo la Maisha Yangu 🙏

  • @NyasiraMohamed
    @NyasiraMohamed 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba Mungu anitendee ndani ya familia yangu mume wangu

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 10 หลายเดือนก่อน

    Amen I receive I receive I receive I receive

  • @AnastaziaRubanzibwa-cr1uz
    @AnastaziaRubanzibwa-cr1uz ปีที่แล้ว

    Niempoke yesu nmshuuru mmungu

  • @joycemwari2069
    @joycemwari2069 ปีที่แล้ว +1

    Amen eeeeeee in Jesus mighty name ❤

  • @RechoMtweve-ei2yq
    @RechoMtweve-ei2yq ปีที่แล้ว

    Naamini nitapona leo kupitia dam yayesu

  • @yustamkosyange-gb7jl
    @yustamkosyange-gb7jl ปีที่แล้ว +1

    Nimempokea Bwana Yesu Leo

  • @marrykyara6247
    @marrykyara6247 ปีที่แล้ว

    Nimemupokea bwana yesu

  • @tamalanyanga3953
    @tamalanyanga3953 ปีที่แล้ว

    Ameen mtumishi waMungu

  • @neemamlelwa8288
    @neemamlelwa8288 ปีที่แล้ว +1

    Ameen🙏

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi7607 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi na hukuwa bila sababu

  • @hedachale8469
    @hedachale8469 ปีที่แล้ว

    Maombi mazuri Sana
    Amina

  • @marysalome7954
    @marysalome7954 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏🙏🙏 mungu tenda jambo jipya kwenye maisha yangu

  • @irinecharo9515
    @irinecharo9515 ปีที่แล้ว

    🙌Ee mungu ninaomba 🙏utende Jambo jimpya katikati Maisha yangu na familia Yangu 😔. Naomba kibal katikati Maisha yangu na utafutaji wangu 🙏

  • @sudiadiane
    @sudiadiane ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen 🙏

  • @CarolineNyaboke-b3f
    @CarolineNyaboke-b3f 11 หลายเดือนก่อน

    Amen and Amen

  • @sophiamakani6133
    @sophiamakani6133 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen

  • @JanethDesderius
    @JanethDesderius 8 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo ปีที่แล้ว +2

    Yesu tenda jambo jipya katika kila eneo la maisha yangu

  • @sophiealto
    @sophiealto ปีที่แล้ว

    Amen

  • @jacklinekhatenje
    @jacklinekhatenje ปีที่แล้ว

    Amen

  • @leahtheo3922
    @leahtheo3922 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 ปีที่แล้ว +1

    Mungu tenda jambo jipya kila eneo la maisha yangu

  • @carolinelucky9199
    @carolinelucky9199 ปีที่แล้ว

    Nataka namber

  • @pendoshimo6314
    @pendoshimo6314 ปีที่แล้ว

    Mungu akatende jambo jipya katika maisha yangu

  • @anneochare4028
    @anneochare4028 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏bwana yesu naomba ukatende jambo jipya katika kila eneo la maisha yangu

  • @neemamlelwa8288
    @neemamlelwa8288 ปีที่แล้ว +1

    Ameen🙏

  • @drostaflorian7970
    @drostaflorian7970 ปีที่แล้ว +1

    Amen Yesu tenda jambo jipya kwa mchumba wangu

  • @annakarisa3148
    @annakarisa3148 ปีที่แล้ว

    Ee Mungu nakuomba utende jambo jipya maishani mwangu 🙏🙏