Nini hatma ya Rais wa zamani wa Marekani Donald J Trump baada ya kukutwa na hatia? ATAFUNGWA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2024
  • Jiunge na EBM SCHOLARS Community ebmscholars.lo...
    DONATE TO EBM SCHOLARS
    1. PayPal www.paypal.com...
    2. CASH APP cash.app/$EBMS...

ความคิดเห็น • 19

  • @drsamsonkibona371
    @drsamsonkibona371 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana EBM

  • @canisiusibrahim9856
    @canisiusibrahim9856 3 หลายเดือนก่อน +1

    Aksante kaka Ebm kwa uchambuzi

  • @nkonoki7993
    @nkonoki7993 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hawezi kuji pardon kwa state cases! Soma tena sheria!

  • @user-ki9wu6no3d
    @user-ki9wu6no3d 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tulikukumbuka Broo God Bless You

  • @user-pj7ng8il4t
    @user-pj7ng8il4t 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ernest boniphace makuliro nice to hear you now time

  • @christophenkurunziza7208
    @christophenkurunziza7208 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kwa kutufaamisha

  • @SimonMkindi-de3wx
    @SimonMkindi-de3wx 2 หลายเดือนก่อน

    Congratulations brother
    Kwa kutuelewesha,
    Mimi nampenda sana Donald Trump
    Karibu bongo.

  • @paulkagwa3867
    @paulkagwa3867 2 หลายเดือนก่อน

    Salaam Kiongozi Najarbu Kukutafuta sikupati...Kama Kuna Namna Ya Kukupata Naomba Nipe njia...Nina Shida Nawe...shukrani

  • @jumamunga5687
    @jumamunga5687 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kitu gan kinaweza tatokea kwa dv Lottery program kama Donald trump atashinda uchaguzi wa marekani kwasababu tunaona siasa za trump siyo nzuri kwa immagrants na alifungiaga dv Lottery 2019

  • @mbarakamlawa7249
    @mbarakamlawa7249 3 หลายเดือนก่อน +1

    Umezinguka alafu mwishoni umejionyesha kma wewe team Trump coz kulikua kuna haja gani kusema kwamba judge ana ukaribu na Biden. The guy he’s guilty hata lawyer wake katoa ushahidi that alihusika kwenye malipo so judge katenda haki period

    • @EBMSWAHILI
      @EBMSWAHILI  3 หลายเดือนก่อน

      Huyo huyo aliyekuwa lawyer wake kaangalie alipohojiwa na Congress kuhusu same issue alisemaje, na pia sababu ya Michael Cohen kwenda jela ilikuwa ni ipi...na hadi mahakamani kipindi hicho kwenye kesi hiy alitoa ushahidi kuwa yeye alifanya on his own will na alichukua hela ya nyumba yake sio ya Trump, ila Trump alimrudishia...na kwenye kesi hii akakiri kuwa aliiba hela kiasi toka kwenye hla hiyo

  • @magicalfootball6369
    @magicalfootball6369 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa sisi tunaotaka kuja USA hatumtaki Trump

  • @anounymous1
    @anounymous1 2 หลายเดือนก่อน

    Richard Nixon karibu afanywe hivi akaresign yule vice wake akawa rais akampardon

  • @user-pj7ng8il4t
    @user-pj7ng8il4t 3 หลายเดือนก่อน

    Ni ngumu tramp kufungwa alishawahi kuwa raisi wa marekani na hata akifungwa secret service wataendelea kumlinda huko huko. Hiyo ndiyo marekani bhana

  • @franktangeki9342
    @franktangeki9342 2 หลายเดือนก่อน +1

    huyo tramp unayemtetea si ndiye aliyetukana watu wa bara la africa " ass hole " na ndiye aliyeiweka Tanzania kwenye orodha ya nchi kumi (10) duniani zinazo support UGAIDI na si ndiye aliyeifungia Tanzania kushiriki bahati nasibu,Biden akaja akakiondoa kikwazo hicho.Au umesahau kaka EBM ? unampomtetea sijui nikueleweje unataka airudishe Tanzania kwenye orodha ya nchi za UGAIDI duniani tena ?

    • @JosephuSwai
      @JosephuSwai 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio

  • @aloycemabula8649
    @aloycemabula8649 2 หลายเดือนก่อน

    Aisee umetufuta ujinga, Real trump akirudi madarakani hata vita ya Ukraine itaisha