HALI YA KAMPENI YA URAIS WA USA BAADA YA DNC CONVENTION NA RFK JR ENDORSEMENT KWA TRUMP

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • Jiunge na EBM SCHOLARS Community ebmscholars.lo...
    DONATE TO EBM SCHOLARS
    1. PayPal www.paypal.com...
    2. CASH APP cash.app/$EBMS...

ความคิดเห็น • 21

  • @kevinmushi8209
    @kevinmushi8209 20 วันที่ผ่านมา +3

    Bro una potea sana aisee

  • @user-ij9sc8cp8v
    @user-ij9sc8cp8v 20 วันที่ผ่านมา +2

    Wanawake wanaweza naomba ashinde Kamala H.God bless.by:Papaa Oscar from Pretoria South Africa 🇿🇦 but Dar es salaam 🇹🇿 is my lovely home.

  • @user-ec5hw3kh4m
    @user-ec5hw3kh4m 20 วันที่ผ่านมา +1

    Trump anafaa sana kuwa Rais

  • @EBMSWAHILI
    @EBMSWAHILI  20 วันที่ผ่านมา +2

    Unadhania nani atashinda November 5 kuwa rais wa Marekani? Trump au Kamala?

  • @isaacmduma5998
    @isaacmduma5998 20 วันที่ผ่านมา +2

    Trump

  • @zabulonhakizimana4386
    @zabulonhakizimana4386 10 วันที่ผ่านมา

    EBM ni kweli huyu mwaka kuomba Greencard ,there is requirement ya Passport, je ni ukweli?

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 15 วันที่ผ่านมา

    Hivi ni Chama gani kinachowajali watu weusi? Kama sikosei nakumbuka kuna wakati Trump alikuwa anawatukana Waafrika kwamba hawana akili ya maendeleo.

  • @alphoncemaganga1876
    @alphoncemaganga1876 20 วันที่ผ่านมา

    EBM unazijua siasa za america hongerasana

  • @valentinemulokozi510
    @valentinemulokozi510 19 วันที่ผ่านมา

    Kamala Harris atashinda kwa kishindo.

  • @mbarakamlawa7249
    @mbarakamlawa7249 17 วันที่ผ่านมา

    Dude look so depressed baada ya kuona Kamala anaongoza 😂

  • @franktangeki9342
    @franktangeki9342 19 วันที่ผ่านมา

    kumbe EBM uko upande wa Trump nilikuwa sijui kaka,lakini trump huyohuyo aliiwekeaga vikazwo tanzania bila sababu yoyote au umesahau kaka.Anyway mtashuhudia kamala harris akiapishwa rais mpya wa marekani hapo january 2025

  • @user-ki9wu6no3d
    @user-ki9wu6no3d 20 วันที่ผ่านมา +2

    Ni ngumu kutabiri huu Upepo Lkini Kwa harakaharaka Ni Donald Trump

  • @ms_teeonly
    @ms_teeonly 20 วันที่ผ่านมา +1

    Trump haina ubishi 😂

  • @trinnaist
    @trinnaist 20 วันที่ผ่านมา

    Trump