😢😢, dah! Anayekuita mwehu kwa kukuchekelea, asamehewe na Mungu! Muonekano wake usiwe kikwazo kwenu, kama kwenye familia zenu hawapo wehu, jueni kwamba atakuwepo hata mmoja tu
Hili jamaa nalipenda tu no mara waaaah😂😂 yani unaliskiliza na unafrahi ukitoka apo unalisema kua chizi kumbe we mwenyew chizi🤣🤣hujitambui, nyuma ya camera hyu ni mtu mmja poa sanaa.
Handsome boy, mnyamwezi, designer, albino, dimples, everysing, so many sing, everysing can happen, I living Wis my brother Lil Wayne, nakubabali mnyamwezi jamaa Lina akili sana halafu janja. 🙈🙈🙈🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo Mwishon Ndo Nimegundua Harmorapa Anaakili Sanaaa Huyu Jamaaaa ....Hapo Kweny Afya Ya Akili .....Kujichetua N Kuzitafuta Tu Pesa ✊🏽✊🏽✔
Fact 💯% anajifanya mwehu tu mwenyw
ana akili nzuri kabisa ni vile tu hakusoma na watu wanamdharau but he is real a star
This guy know wht he’s doing ye sio chizi❤❤
I like your reality.keep trying . you will be a good English speaker even singer.
Alfu mchaga mshamba saana kwa maswali yako na ki maisha haumuingi harmorapa
Dogo yupo vizuri sana.pesa anajua kuitafuta.(confidence) ni wachache Sana wanaweza
Hakuna kitu hapa.
😢😢, dah! Anayekuita mwehu kwa kukuchekelea, asamehewe na Mungu! Muonekano wake usiwe kikwazo kwenu, kama kwenye familia zenu hawapo wehu, jueni kwamba atakuwepo hata mmoja tu
Hili jamaa nalipenda tu no mara waaaah😂😂 yani unaliskiliza na unafrahi ukitoka apo unalisema kua chizi kumbe we mwenyew chizi🤣🤣hujitambui, nyuma ya camera hyu ni mtu mmja poa sanaa.
Naitwa Wachape classic msanii chimpkezi kutoka morogoro katisha sana broo
it’s called the power of wanting let me put it that way…to became famous😊😊😊
in the wold bro c ize wold kizungu gani
Mimi nina wasiwasi na huyu harmorp anatuchezea akili 😂😂😂
Anajua anachokifanya ila hiyo ndo trend yake😂😂😂 💪💪💪
Harmo rapa namkubali sana maana ni mtu ambae hakati tamaa kwa maneno ya watu hivyo👐
Hatali paka Zambia ❤
🤣😂🤣 Kuanzia Dak 8... 🔥🔥🔥 Harmorapa kudadekiii Kumbe unajielewaga sometimes 🤣😂🤣
Mbona mnapenda kuharibu Swaumu za Watuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌
😂😂😂😂😂😂
As long as anapata hela, sema harmorapa mnyamwezi saaana 🤣🤣🤣🤣 afu intelligent
Work hard mwanangu ipo siku utatoboa kiingereza
Iyo ngoma ya fabi - niache nidange ya moto sana, mpeni promo watu wa media
Uyu dogo amrapa sikuizi Kawa mcheshi enzi izo mwaka 2017 nilikuwa napiganaye jobu pale temeke tandika alikuwa mpole sana saivi naona kachangamka
Tanzania 🇹🇿 people duuuuuuu
Stevo simple boy wa tanzania😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Mwanangu mwandishi ulipata taabu Sana na huyo jamaa 😂😂😂😂
Huyu jamaa yupo timamu sema ameamua kuishi hivo anavotaka
Sijui kam sio mgonjwa huyo jamaa 😂
Nani ajiweke kweny uwehuuu 😂😂
Inafki Kando but amejibu Sana na kinge chake kuliko wengi Tu !!!
Hahaha WTV Love from 🇰🇪 yani kaulizwa kama atakaa upande wa machini akili karudi clear 😁😁 kaacha kizungu nyingi.
Everything is possible in this World 100%
3°..... Ipo haja ya kupimw Afya ya Akili serious 🤣
ila huyu mbwa bangi mbichi anazovuta zinamchanganya
Harmorapa mpambanaji Sana dogo tangu aanze kusikika hajaruhusu kupotea tangia 2017 siyo mchezo kakaza
Practice make perfect, Tema mayai viza mwisho wa siku itanyooka tu 😂😂😂
Uyo hmna kitu, tangu alivyoanza kuongea broken mpaka leo angeshajua, shida ya uyo analeta comedy tu haongei kwa kujifunza.
Handsome boy in zisisi would bro kikiki noumaa
Kiengereza kibovu anaitaka sana American lakini kwanza aoteshe meno😂😂😂😂😂
Alaah. Amevaa nguo za kike nabado ako happy aii kwani daktari wa vichaa walimuachilia atoke hospitali na hajapoa
Ka zamwemwe kamevaa dera😂😂
mtangazaji unamcheka hamorapa afu we mwenyewe ujui kusema consistency
Everything can be hapen in this world😂😂😂
Anajitahid sanaaaaa kingerezaaa
😭😭😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😭😂 because everysingi you can happen bro, 😂😂😂😂😭😭😭😂 you understandi..... 😭😭😭😂😂😭
😭😭😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nikweli. kakosa afya ya akili
Kuna uwezekano mkubwa mtangazaji ameambukizwa uchizi. Muone dakika za mwisho, duh!
“Dera flaani hv” Dera is what??😂😂😂😂😂😂😂😂
At least ana tu shekesha 🤣🤣😁
Hendisamuboy wa Dunia😂😂😂
nakubali rapa kazaaa
Ashrak w uguja ugujani apo hamorapa nilijua jadu
Yuko vizuri
Mjomba ongea kiswahili tuu uweleweke ili ulipige promo goma lako.. umepata chance ya media apo kukuhoji basi tumia na fasi bro 😎
Handsome boy, mnyamwezi, designer, albino, dimples, everysing, so many sing, everysing can happen, I living Wis my brother Lil Wayne, nakubabali mnyamwezi jamaa Lina akili sana halafu janja.
🙈🙈🙈🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂
Hatariiiii😂😂😂😂
Amtolking about tu zis world
Hii video imenichekesha sn kama mtoto jamani 😀
Jaman mm mbaya kisula sifich Ila amolapa mmh kazid jmn mbayaaaaa
Huyu bladdyfkn anajua kile anafanya😂😂
Bangi Ming
😂😂😂am haven't 3 degrees
Kenya 🇰🇪 English ni ya walevi
Tunawapa point za kuongea wakenya, mtu kama uyu hasiwe anahojiwa kingereza🤣😂😅 atumie lugha yetu ya taifa😅😂🤣
Noumaaa saàna 😂😅😁 hamorapaaaa
Ha😂 nimecheka Kwa sauti harmo umetishaa
Sura ya mama 😅
I tolk to me kuyumba dish 😂😂😂😂😂😂😂
Hamorapaaaa huku unoko elekeya utakuja kupakuliwa mbwa wewe
Hpo mwisho kauwa sana
Bangi tuu
Hamorapa kanichekesha hapo mwisho😂😂😂
Kaniacha hio nilipojus kuwa mmeamua mwenzangu wa Masasi
Alie tengeneza hiyo nguo Kuna sehem kazingua nembo hyo sio
Hapo hapna kiengreza
🤣🤣 I say uyu jamaa sijui afananishwe nani mmh yaani nimecheka paka sauti imepotea😂
Hapo mwishoni ndo utajua huwa anajitoa akili 😂 umweke nani kwenye uwehuu😅😅😅
Daaaah I don't understand which English he talked about that guy 🤣🤣🤣🏃🏃🇿🇦
Saf
He's smart 😂
Huyu mtangazaji hamorapa anammudu kabisa😅😅
Huyu àngekua comedy
Sithree digriz
Kama mih ndo ningekuwa namhoji ningecheka bila kuuliza swali lolote😅😂😂😂
Anafaa collabo na stivo simple boy😅😂
hivi kweli akiongea kengereza kama anarapu
Oya unazingua mwanangu
😂😂😂 dah uyo mwamb ypo timam san apo mwisho yupo real
Hamorapa kwenye media unaongea nn sijakuelewa ata moja kbx
Dar😂😂😂😂😂😂😂 kali sana ❤
Huyu jamaa anakosa mtu wa kumwambia anajichora sana na kizungu chake cha kuzim..
I can make this guy learn good English from me
Thanks
Your English also needs something
Check your sentence properly,hata ww unaitaji Mwalimu Mr Prince Jamaal,😀😁
@@thomasmalega3375 I think this issue doesn't concerns you, so keep your self away from it. Shame on you young man
Dunia dunia dunia nimekuita mara ngapi dunia plus kiingereza cha hamorapa du!
'So many money...''🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 huyo jamaa
Aka kamerugwa dah
Nimecheka sana kumbe akili anazo vizuri tu
Nguo ina rangi za upinde wa mvua machoko promotion😂😂
Mchaga Og hahahahaaa!!! huyo ana matatizo ya afya ya akili, japo anafanya gemu lichangamke
Huyu hua Ni kichaa kabisa 🤣🤣
Wazungu njooni mchukue lugha yenu😂😂😂😂😂
Toko, mene, inoda ... Daah?
English needs to learn him 😂😭😭🤲
😂😂😂 hii nchi likitoka hili linakuja lile
Hiki ni kingereza kya bubu. Sababu ana ongeya kwa ishara
madaktari mpo wapi jamani...?
Haaaaaa hatariiiii jamaa yupo siriously kinomaa yanii kama anaongea point
Dadeki kwenye kuchukua dola 100 unaacha elfu 10000 ndo Harmo rapa kadhihirisha ana akili Sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁😁😁
He is so genius .. 😂😂 kuna time alikua yeye halisi sio hamorapa
Huyu dogo apelekwe mirembe ili aangaliwe kama ubongo wa mbele umechanganyikana na ubongo wa nyuma, huu ni mtazamo wangu lakini.