Utofauti wa Green Card ya Ndoa na ya Njia Zingine

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Jiunge na EBM SCHOLARS Community ebmscholars.lo...
    DONATE TO EBM SCHOLARS
    1. PayPal www.paypal.com...
    2. CASH APP cash.app/$EBMS...

ความคิดเห็น • 16

  • @SirajSeruwu
    @SirajSeruwu 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsante na samahani kwa kukusumbua na swali kuhusu ds 260. Ni kuhusu swala la watoto je wanataka kujua ni watoto wangapi kwa ujumla hata na wale ambao umri wao ni wa juu ya miaka 21, nawajumulisha hapo? Ahsante.

  • @binabeid3980
    @binabeid3980 5 หลายเดือนก่อน

    So Broo EBM wonderful information very nice thx alot

  • @saidmrusi7605
    @saidmrusi7605 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsante EBM hebu tueleze advance parole nasikia tu watu wakipata kibali cha kazi unaweza kuomba advance parole ukiwa unataka kusafiri hii ikoje EMB.

  • @robertchuma6408
    @robertchuma6408 5 หลายเดือนก่อน

    Thanks ebm your so informative be blessed

  • @salumsalum8866
    @salumsalum8866 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mze wa Belton missour Nakuuliza Ukiwa una Green card ya DV na ukitaka uraia hio miaka mitano usitoke nje ya nchi au unaweza kutoka na ukaingia Km kawa na ukapata PS ya USA

  • @ahmedalfan8075
    @ahmedalfan8075 5 หลายเดือนก่อน

    Great brother

  • @enemtatuka5863
    @enemtatuka5863 5 หลายเดือนก่อน

    Asnte WA Jina wangu kwa masomo mazuri unayo tupa kila siku Mungu akubarik San

  • @NasibuMbaraka
    @NasibuMbaraka 5 หลายเดือนก่อน

    Elimu bila mipaka

  • @zubeaslay6566
    @zubeaslay6566 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka tunaomba utufanyie video utufafanulie kuhusu Visa ya Asylum seekers tuelewe zaidi

  • @issahassan8515
    @issahassan8515 5 หลายเดือนก่อน

    Ebm kwani jeshi la marekani haliangalii umri?

  • @rashidhamad6782
    @rashidhamad6782 5 หลายเดือนก่อน

    Mambo vipi kaka EBM ninaomba kuuliza swali,Ikiwa mtu ana miaka mi5 ya ndoa na amepata green card je hapo hatapaswa kusubiria miaka miwli ili aombe uraia? au atapaswa asubirie tena miaka miwili ndio aombe uraia?

  • @andrewchangawa8185
    @andrewchangawa8185 5 หลายเดือนก่อน

    Hello mbona youtube adsense yangu inasema automatic payment bank transfer

  • @imanrogers5309
    @imanrogers5309 5 หลายเดือนก่อน

    Wakwanza leo 😂

  • @smsno1415
    @smsno1415 5 หลายเดือนก่อน

    Chukua maua yako

  • @advinofficial6570
    @advinofficial6570 5 หลายเดือนก่อน +1

    ASANTE NA POLE NA MAJUKUMU. EBM MIMI NAITWA DERICK NIMEKUTAFUTA SANA NINA ISSUE PRIVATE KIDOGO NILIHITAJI KUONGEA NAWEWE ILA NIMEKUTUMIA UJUMBE KWENYE EMAIL LAKINI SIJAPATA MAJIBU NAOMBA UNIPE NAMNA NTAONGEA NAWEWE BABA 🙏

  • @smsno1415
    @smsno1415 5 หลายเดือนก่อน

    Chukua maua yako