TAZAMA JINSI CHELEZO KINAVYOTUMIKA KATIKA MATENGENEZO YA MELI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Mara zote watu hujiuliza jinsi Meli Inavyoweza Kutengenezwa ikiwa Maisha yake yote yapo katika Maji.
    Kipo Chombo kinaitwa Chelezo ambacho ndicho huibeba meli na kuinyanyua kwa kuiweka juu ili kuweza kufanya zoezi la utengenezaji kufanyika kwa urahisi
    Zipo aina nyingi za Chelezo lakini leo nakuonyesha hiyo aina moja iitwayo kwa Lugha ya Kigeni Floating Doc

ความคิดเห็น • 16

  • @nelsonkyaruzi1482
    @nelsonkyaruzi1482 4 ปีที่แล้ว +2

    JPM Oyeeeee!! We need this kind of infrastructure. Nimpe Kongele Rais wetu Kipenzi Joseph John Pombe Magufuli.

  • @kamanda007
    @kamanda007 4 ปีที่แล้ว +5

    Haya ndio maendeleo sasa, Ila uzembe,wizi na rushwa Kila mzalendo asaidie kupigana kwa kukataa, kutoa na kuripoti rushwa bila kuogopa na Kila mtu afanye kazi halali kwa bidii lasivyo tutakuwa mafukara milele

  • @reubenbuchege8577
    @reubenbuchege8577 4 ปีที่แล้ว

    Wote waliomfuata Yesu kwa imani wote aliwaponya karibu nawe Yesu atakuponya kwa na hilo ulilonalo chat.whatsapp.com/HVlulo8b9HwBjaeKXnBvn7

  • @josephsaghana1056
    @josephsaghana1056 4 ปีที่แล้ว +2

    Nyerere alikua mwanaume safi sana now Kuna jembe JPM

  • @drgerwinegosbert2547
    @drgerwinegosbert2547 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwanza hoyeee
    Viva tanzania

  • @kamugishaelizeus4420
    @kamugishaelizeus4420 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ambariki rais wetu make ametufanyia maendeleo makubwa mno

  • @rashidsaid6313
    @rashidsaid6313 4 ปีที่แล้ว

    Magufuli piga kazi mabeberu na vibaraka wao acha waendelee kuumia.

  • @KUTOKA-ep2fk
    @KUTOKA-ep2fk 4 ปีที่แล้ว

    Cherezo au chelezo mimi sijaelewa maana unatamka chelezo

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana mwenyezi MUNGU mkuu

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 5 ปีที่แล้ว +3

    nawezaje kupata kazi hapo....Mimi fundi seremala ,sijaona sehemu yeyote wanapotangaza nafasi za kazi.au ndio mnaajiri mnaowajua?

    • @ngakayukadogo8475
      @ngakayukadogo8475 4 ปีที่แล้ว +1

      Freddy Mello kwani kazi zinaombwa kwa komenti au?

    • @enocklutema9423
      @enocklutema9423 4 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe kiongozi wetu kwa kazi nzr na inayoonekana . Asante kiongozi wetu kwa implementation zako

    • @mjukuutvonline8373
      @mjukuutvonline8373 4 ปีที่แล้ว

      Ngakayu Kadogo Bora umemwambia aisee

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 4 ปีที่แล้ว

      Nafikiri uende kwenye shirika la reli mwanza kama uko mwanza kama uko bukoba pia nenda shirika la meli wanapaitaga custom ulizia habari za kazi nadhani unaweza pata kwasababu wanahitaji viti meza nenda na bahadhi zako kwa kuzipiga picha na kuprint kisha waonyeshe wao wataona wakuweke wapi Mungu akutangulie

  • @patrickmbogo7805
    @patrickmbogo7805 4 ปีที่แล้ว

    👍👍👍

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 4 ปีที่แล้ว

    Is a dry DOCK