TAZAMA KIVUKO KIPYA MV. ILEMELA KINAVYOINGIZWA ZIWA VICTORIA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • SHUHUDIA MELI MPYA MV ILEMELA ILIVYOINGIZWA ZIWA VICTORIA!
    Kivuko cha MV.Ilemela kimetumia kiasi cha zaidi ya shilingi Billion mbili kukamilika ambapo kitakuwa kinafanya safari zake katika ziwa victoria kwenye kisiwa cha Bezi na Kayenze wilayani Ilemela Mkoani Mwanza,
    Kukamilika kwa kivuko hicho ni ahadi ya Mbunge wa Jimbo hilo Angeline Mabula aliyeitoa mwaka 2015 kwenye kampeni ambapo wananchi wa maeneo hayo walimpa kura ili kuongoza jimbo la Ilemela kwa miaka mitano.
    GLOBAL TV ONLINE (+255 676 229 628 au +255 784 888982)
    HABARI MPYA DAILY:www.youtube.co....
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:www.youtube.co....
    GLOBAL RADIO TV:www.youtube.co....

ความคิดเห็น • 23

  • @ngalumasasi2465
    @ngalumasasi2465 4 ปีที่แล้ว +3

    Hapa kaz kaz kaz kaz kaz tu, ww kama ni mpinzani kale limao ukalale Magufuli oyeeeeee

  • @ngalumasasi2465
    @ngalumasasi2465 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapa kaz kaz kaz kaz kaz tu, ww kama ni mpinzani kale limao ukalale Magufuli oyeeeeee

  • @ababuumwanazanzibar4908
    @ababuumwanazanzibar4908 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1

  • @faustinefs1148
    @faustinefs1148 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂Hakuna mtu kuweka mpira kwapani.Magufuli ndiyo chaguo letuuuuuu 🙏🙏🙏🙏Mungu asante kwa kiongozi anayejali watu wa chini. Achana na akina membe, zito, nape, nawengine wasiopenda kuona watu wa chini wanaimarishiwa miundo mbinu kama UMEME, reli, barabara, ndege, usafili wa majini madaraja pia uwekezaji mbalimbali wenye masilahi mapana kwa wananchi😂😂😂🇹🇿

    • @kelvinjohn6851
      @kelvinjohn6851 4 ปีที่แล้ว +1

      Membe apendi kuona haya. Alitaka aje atuaminishe kuwa cc ni maskini.

  • @monalisajuma5641
    @monalisajuma5641 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu amlinde raisi magufuli

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 4 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmm billion mbili.

  • @dominickbugerula352
    @dominickbugerula352 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sanaaa kwa fel ya MV llemela now to float

  • @reubenmasalukumalija9869
    @reubenmasalukumalija9869 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongeren mh

  • @worldtechnology492
    @worldtechnology492 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamaan ni ferry sio meli

  • @ababuumwanazanzibar4908
    @ababuumwanazanzibar4908 4 ปีที่แล้ว

    Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1

  • @fatemaligalawa4151
    @fatemaligalawa4151 4 ปีที่แล้ว

    Du kazi mzuri sana ila inavyoingia siwezi kuletA tatizo maana mtihani/Jpm babalao

  • @josephatevarist1822
    @josephatevarist1822 4 ปีที่แล้ว +1

    Ingetoka Kayenze-Base-Ukerewe...

  • @williammzuga6697
    @williammzuga6697 4 ปีที่แล้ว +1

    Mh nmeelewa

  • @mangegervas9651
    @mangegervas9651 4 ปีที่แล้ว

    Gud saana jpm... Gud saana watendaji

    • @kilungimagenge622
      @kilungimagenge622 4 ปีที่แล้ว

      Rufiji umeme majumbani kulikoni?tokea rea awamu ya kwanza ni nyumba chache tu ndio zinazowaka umeme wakiulizwa Tanesko Wilaya wanasema yayo ni majukum ya Wizara

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 4 ปีที่แล้ว

    Ahadi za huku kwetu mikoa pwani mmmmh

    • @kilungimagenge622
      @kilungimagenge622 4 ปีที่แล้ว

      Kwa Pwani tunamshukuru sana Raid was awamu ya tano lakini shida yetu kubwa ni Umeme ktk maeneo mengi majumbani hakuna hakuna umeme ni nyumba chache za barabarani ndio ziwakazo umeme hususanktk Wilaya ya Rufiji ndio usiseme tokea rea awamu ya kwanza hatujaingiziwa majumbani Lakini kwa ujumla Mzee Baba hakuna wa kukupata umefanya makubwa ktk Nchi yetu Allah akulinde

  • @ramadhaninurrumtungi4474
    @ramadhaninurrumtungi4474 4 ปีที่แล้ว

    Hiki kivuko ni chachadema siunaona narangi yake sasa huyo mbunge anauwezo wa ku unua kivuko eti ahadi nikodi zetu hizo