MEDANI ZA SIASA NA MCH.PETER MSIGWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2023
  • Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
    Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
    Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
    Star TV Brightens Your Day !

ความคิดเห็น • 44

  • @meshacksamwel2335
    @meshacksamwel2335 6 หลายเดือนก่อน +2

    Odemba akikuuliza swali usikurupuke kujibu.. anakuuliza swali ambalo majibu utakayoyatoa yatateteresha msimamo wa mhojiwa... a nice interview... Be blessed..

  • @user-vi1ds6gw9g
    @user-vi1ds6gw9g 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kiongozi mwenye msimamo, Hongera mch Msigwa binafsi nilikukubali sana ulipokataa kupanda gari ya Ikulu pale Segerea. lile lilikuwa jaribu kubwa sana, nilikutazama nikaona una hofu ya Mungu ndani yako.

  • @josephchilongani2057
    @josephchilongani2057 6 หลายเดือนก่อน +5

    I do appreciate your skills in conducting interviews with various people, Odemba. It makes the program interesting and educative. Bravo!

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ninayo furaha sana kumuona mtu nyoofu sana mtu makini sana kwenye chama chetu... hope 2024 our future Justice minister or Foreigner happy Minister... happy new Year our honorable...

  • @shabanidaruweshi-jw5jy
    @shabanidaruweshi-jw5jy 6 หลายเดือนก่อน

    Namkubali sana Mch:Peter Msigwa

  • @jeremiahngoka4980
    @jeremiahngoka4980 5 หลายเดือนก่อน

    Msigwa hongera sana sana.Msimamo na kusimamia kanuni nidhamu ni kitu muhimu sana.Nakukubali sana Msigwa

  • @user-zw9es5gx5w
    @user-zw9es5gx5w 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nawakubali sana msigwa

  • @user-te7ym1de6t
    @user-te7ym1de6t 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hon.Rev, Peter Msigwa You're very smart, nimekufuatilia for a long time umenishawishi Saana. May God bless you n Keep You🙏

  • @AbduliKombania-ob8us
    @AbduliKombania-ob8us 4 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali kaka msigwa tutete wasiopewa mamlka kuongea matatzo ya wananchi

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 5 หลายเดือนก่อน

    Mtu haitwi Mchungaji lele Mama, Peter Msigwa unakitu
    Mungu akubariki

  • @user-tn1bn5ou2i
    @user-tn1bn5ou2i 6 หลายเดือนก่อน

    Msigwa mungu akubariki msigwa nakukubari Sana majibu yako kwa mtangazajihuyo uko vizuri sanakweli we mchungaji hao mahasiwetu no ni walewale ccm Nia yao kugombanisha tu

  • @user-bl3go5yr8u
    @user-bl3go5yr8u 6 หลายเดือนก่อน +1

    Machine hii

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 6 หลายเดือนก่อน

    Safi Msigwa, umejibu vizuri

  • @samwelmwalongo2140
    @samwelmwalongo2140 5 หลายเดือนก่อน

    Saaaafii jembe msigwa umesomeka

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji Msigwa big up sana yani unapozungumza nipo tayari kupoteza MB zangu kwaajili ya kukusikiliza maana najua hapa kuna mtu anazungumza. Sijutii kupoteza muda na MB. Hivi ndivyo vichwa vilipaswa kuwepo madarakani nchi ingesonga mbele.

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chief Odemba huwa nakukubali sana jinsi unavyowahoji watu mbali mbali safi sana. Lakin siku hizi mbona umeacha ile salamu yako ya kilugha pale unapomaliza mahojiano yako. Naomba uendeleze ile salamu yako yakilugha pindi unapotuaga na kumaliza kipindi.

  • @ebenezernnko8251
    @ebenezernnko8251 6 หลายเดือนก่อน

    Safi sana msigwa

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 6 หลายเดือนก่อน +2

    Musigwa akili kubwa sana

  • @thomasdisii1707
    @thomasdisii1707 6 หลายเดือนก่อน

    Msigwa asante sana.

  • @rommelmauma8081
    @rommelmauma8081 6 หลายเดือนก่อน +1

    *Mch. Peter Msigwa anapingana na msimamo wa Tundu Lissu [na, pengine, ndio msimamo wa Chadema] kuhusu mgogoro wa kuhamisha Wamaasai ili kuhifadhi mbuga. Msigwa anaamini mbuga ni lazima zilindwe na Wamaasai wahamishwe; Lissu anaamini Wamaasai walindwe na wasihamishwe.*

  • @damasiuspetro5178
    @damasiuspetro5178 5 หลายเดือนก่อน

    Mwanasiasa ambaye huwa namkubali Sana. Kila sentensi kwake ni NONDO. Kanifurahisha anakosema Eti delete au futa watu wasiofaa

  • @meshacksamwel2335
    @meshacksamwel2335 6 หลายเดือนก่อน +2

    kwa maswali anayoulizwa msigwa ingekuwa ni kiongozi kutoka ccm majibu yangekuwa hovyohovyo.. huwa hata hawaogopi kwamba wananchi wanaskiliza interview yanajibu utahisi hii nchi ni familia zao.. hovyo sana

  • @nehemia397
    @nehemia397 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 odemba mkorofi sana ... kwamba maandiko yanasema samehe 7x70

  • @alfamfumbejeshi3685
    @alfamfumbejeshi3685 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tupo live❤

  • @scolarymahenge9867
    @scolarymahenge9867 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kabisa mchungaji anasema mema

  • @KayongoOba-ht2rf
    @KayongoOba-ht2rf 5 หลายเดือนก่อน

    Watu Kama msingwa ni wakuweka bechi kweli nchi tz

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 5 หลายเดือนก่อน

    Vichwa kamili

  • @uraiatv8455
    @uraiatv8455 6 หลายเดือนก่อน +1

    Viongozi wa vyama vya siasa ni mali ya umma ,hivyo kiongozi yeyote wa chama cha siasa ni kiongozi wa umma hivyo kiongozi wa chama akikosea ni vema kureact

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mifumo.miwili ya Utawala?

  • @user-tn1bn5ou2i
    @user-tn1bn5ou2i 6 หลายเดือนก่อน

    Kwanza upo makini Sana na maswali ya odemba mm nakuelewa Sana cjui kwa vile means chadema kwa Chase wote ni waelewa Sana ndoo maana wanapigwa hongela msigwaa uwe hivyo hivyo

  • @samuelmakara1475
    @samuelmakara1475 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu anaweza kuhoji upinzani sijasikia umahiri wake kwa chama tawala

  • @apollobupolo9884
    @apollobupolo9884 6 หลายเดือนก่อน

    Msigwa nimekuelewa

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu Odemba inaelekea haelewi kabisa maana ya Utawala wa Sheria. Nchi haziendeshwi kwa kusameheana, au kwa hisia: zinaendwshwa kwa katiba, taratibu na Sheria.
    Kwa mfano, tofauti kubwa kati ya Somalia na Switzerland ni kwamba moja haifuati kabisa taratibu na sheria na nyingine inafuata kwa karibu taratibu na sheria. Ipi utachagua?

  • @user-rp3fw8oo8r
    @user-rp3fw8oo8r 6 หลายเดือนก่อน +1

    Msigwa una akili sana

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 6 หลายเดือนก่อน

    👊👍✌️.

  • @user-bf4xh9kc3n
    @user-bf4xh9kc3n 6 หลายเดือนก่อน

    Odemba ww bado sana kwnye kuhoji

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 5 หลายเดือนก่อน

      Nenda ukahoni wewe

  • @benedicthhando-mf2wv
    @benedicthhando-mf2wv 6 หลายเดือนก่อน

    Odemba kipindi cha medani za siasa inarushwa kila juma ngapi na kwenye Chanel gani

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji Msigwa hajui kuwa JPM alipokuwa anasema fedha za miradi mikubwa iliyokuwa inakopwa na Serikali ni fedha zetu alikuwa sahihi.Fedha ikikopwa inakuwa mali ya aliyekopa kwa sababu atairudisha kwa mujibu wa makubaliano ya mkopo.

    • @emmanuelmkama3000
      @emmanuelmkama3000 6 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiwe sana ndugu yangu.

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 6 หลายเดือนก่อน +1

      Fedha zetu za kukopa ni tofauti na Fedha zetu za ndani!

  • @mauamkamba4906
    @mauamkamba4906 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu sijui ni mwandishi gani anayeongea kuliko anayehojiwa