DEBATE YOTE HIYO SEHEMU YA KWANZA NI IPI DINI YA MANABII. WAHADHIRI V/S WAINJILISTI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 51

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 3 ปีที่แล้ว +2

    Ostaz Shafii nakukubali

  • @itigimitigosawafy364
    @itigimitigosawafy364 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah shekh Allah akupe maisha marefu inshaallah uzidi kutupa elmu ya kiislamu Islamic number 1🏆Allah tuongoze njia iliyo nyooka tuwe tuwe waja wema kwako Asante sheikh mashallah

  • @abokrarshamsan7963
    @abokrarshamsan7963 3 ปีที่แล้ว +5

    Uislamu raha sio raha, rahaaaa♥️❤️penda san

  • @JafaryMweresi
    @JafaryMweresi 5 หลายเดือนก่อน

    Allah Akbar

  • @tuchekatuishe2847
    @tuchekatuishe2847 2 ปีที่แล้ว +2

    I do believe in one God,the Creator of everything,but in terms of religion niko confused...nawatch mpaka Zakir Naik na sipatangi answer...lakini BIG UP to all Muslims...apo ndo naona 90% nafahamu

    • @cyizaadams469
      @cyizaadams469 หลายเดือนก่อน

      wow nice one may God help u and show u right way to be muslim

  • @abubakarhajjabubakarhajj1252
    @abubakarhajjabubakarhajj1252 3 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulillah

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 3 ปีที่แล้ว +2

    Masha"Allah

  • @HusseinJillo
    @HusseinJillo 9 หลายเดือนก่อน

    Husseinjillo 47:40

  • @gazaomar587
    @gazaomar587 3 ปีที่แล้ว +2

    Wakrito ni waongo sana mbona wana dokowa dokowa aya

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 3 ปีที่แล้ว +1

    ❤️

  • @alsafiinahaf-maay4296
    @alsafiinahaf-maay4296 3 ปีที่แล้ว +2

    Ww

  • @faridkhamis3910
    @faridkhamis3910 ปีที่แล้ว

    Ilo swali lililo ulizwa apo kwenye mada na waislamu basi ao wakristo hawataweza kulijibu wao wala ashuke uyo mungu wao yesu ashuke uko mbinguni pia hatolijibu mpaka kiama

  • @shaibuhammad-l6d
    @shaibuhammad-l6d ปีที่แล้ว

    Wakristo mbona wabishi sana mnaelewa lakin mnakanusha

  • @Saimugwaotv
    @Saimugwaotv  3 ปีที่แล้ว +5

    Sasa si HIYO nimeweka Yote SEHEMU ya kwanza unalalamika nini sasa ..

    • @duniawadunia4824
      @duniawadunia4824 3 ปีที่แล้ว +1

      Achananae kafiri Uyo?

    • @alsamali6964
      @alsamali6964 3 ปีที่แล้ว +2

      Tusaidie na part 2 ndugu

    • @geraldodingo3052
      @geraldodingo3052 3 ปีที่แล้ว

      Waislaam hawalewk

    • @nurualishaban7383
      @nurualishaban7383 2 ปีที่แล้ว +1

      @@geraldodingo3052 nyie msokuwa na dini ndio hamueleweki wala hamuelewi chochote Kwa sababu hamna Mtume WA kuwaongoza wala hamjui Mungu Ila mnamwabudu Yesu mnazareti Mtume WA Mungu

    • @najmaawadh1359
      @najmaawadh1359 2 ปีที่แล้ว

      Aa Nafrahi xna Kwa kazi yenu insha'Allah jazaa yenu iko Kwa Allah nisalmie woote wanao shiriki kuinusuru dini ya Allah nawapenda nyoote Kwa ajili ya Allah na mungu azidi kuwapa furaha na Amani na utulivu na swiha njema insha'Allah biithnillah 😘❤️🌸xlmu zangu Kwa Ahmed muhamd na said kinyongili na alhabib mazingee ☺️

  • @gharibislam1586
    @gharibislam1586 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @ahmedibrahim2127
    @ahmedibrahim2127 2 ปีที่แล้ว +1

    Waislam wanataka aya inayosema ukiristo ni dini?
    Toa aya tu

    • @cyizaadams469
      @cyizaadams469 หลายเดือนก่อน

      hawezi pataa hataa siku ya kiyamat dini ya ukweli ni islam

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 2 ปีที่แล้ว

    Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.

  • @wanjikumwangiproudoma7557
    @wanjikumwangiproudoma7557 2 ปีที่แล้ว

    Nitaendelea Kumwamini na kumsifu Jesu Christo, pia itaendelea Kusoma Bibilia 🙏🏽. Faith moves moutains.

  • @suzanaagustinookelo4953
    @suzanaagustinookelo4953 3 ปีที่แล้ว +1

    Dini ni njia na njia yangu ni kumwamini Yesu eimen

    • @nurualishaban7383
      @nurualishaban7383 2 ปีที่แล้ว

      Hamna dini nyie,mbona mwajipachika Kwa asiyewatambua? Yesu ni Mwislamu na huo ndio ukweli mchungu. Nyie wakristo mwamfuata Paulo aliyewaletea jina la yesu kuwa dini yenu,Yesu Kristo,(Jesus Christ)...akili zenu iko Sawa?🤣🤣🤣...

    • @suzanaagustinookelo4953
      @suzanaagustinookelo4953 2 ปีที่แล้ว +1

      @@nurualishaban7383 polee ndugu yangu ata kama mtamwiita jina ganii mimi nabaki kumwamini uyooo uyoo alie andikwa katika vitabu vilivyopo katika BIBLIA nitamwamini uyo uyo namuomba atusaidieee woote tupate kujuwa wa yeye aliee zibeba dhambi zetu ili wooote tupate uzima wa milele shingo yako isiwe ngumu jaribu ku soma vitabu ruhusu moyo wako kusikiliza mafunzo yake kupitia waalimu tusi tumiyee hakili zetu hatutaweza MUNGU AKUBARIKI SANA 🙏

    • @Hussayn21
      @Hussayn21 หลายเดือนก่อน

      Ndio kumjua yesu kupitia paulo 😂😂😂

    • @cyizaadams469
      @cyizaadams469 หลายเดือนก่อน

      only dini mbere ya mungu ni islam hapa duniani paaka mbinguni ukubari umaa ukatae none can changed it 🎉🎉

    • @cyizaadams469
      @cyizaadams469 หลายเดือนก่อน

      ​@@Hussayn21paul amekua fara tuu kongea upuzii

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 2 ปีที่แล้ว

    Waislamu hapo mulikutana na walimu mulifundishwa mtakoma.mazinge Hana kitu hapo atauliza tu yule punda Yuko wap.mwekiti wa kiislamu Yuko poa.

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 3 ปีที่แล้ว

    Tunaitaji debate yote bwana mbona mnaichakachua ivi 🤣🤣🤣🤣🤣 kuonesha Yale yanayowapendeza tu! sehemu mlizo lambishwa sakafu kinywa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 debate haikuchukua masaa 2 jmn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uislamu bila UONGO hauendi duh! ni hatari hii

    • @duniawadunia4824
      @duniawadunia4824 3 ปีที่แล้ว +2

      Silimu uone utamu wake

    • @ramadhanitawaqal8958
      @ramadhanitawaqal8958 3 ปีที่แล้ว +1

      no edit hapo

    • @ramadhanitawaqal8958
      @ramadhanitawaqal8958 3 ปีที่แล้ว +1

      halafu hapo wameandika hiyo ni sehemu ya kwanza maana kuna zingine zinakuja

    • @shabamuhidin634
      @shabamuhidin634 3 ปีที่แล้ว +1

      ata ikionyeshwa yote bado wakristo hawakusema dini ya manabii ni gani

    • @ikrissaidrissa8613
      @ikrissaidrissa8613 3 ปีที่แล้ว +1

      @@shabamuhidin634 ukristo sio Dini who told you that

  • @elguendouzi3012
    @elguendouzi3012 ปีที่แล้ว

    OpO