Mashallah someni kitabu cha isaiah nini kinasema utauna mnambia mwende nchi ilioko pembeni mwaa Egypt ni Makkah hapo mtaukuta msikiti na pembeni ya ukuta wake mtaona jiwe jeusi
Daha manshallah hakika uislam ndyo dini ya Allah shukran sana kwa mashe zetu Kinyogor,shafii bakonzi na Mazinge bila kumsahau msomaj Hamidu Allah awape hery inshallah
MashaAllah msomaji alikuwa vzuri Allah akulipe popote ulipo sheikh Hamidu
Mashallaah mashekhe wetu allah awalipe inshaallah
Ukijua Qur'an raha Sana allah awape umri mrefu mashekh wetu❤❤❤msomaji unanikosha sana😂😂😂
Shukran ustadhi Shafii
Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah akbar Allah ❤🎉
Allahuakbar
mashaallaah.yaani vyenye shaf umeelezea yatosha wakrsto kukubali uislamu ,lkn wengne walipigwa mihur ktka mioyo yao...swalluu alaa nnaabi
MashaAllah Allah awarehemu wahadhili wote walotangulia mbele ya haki na waumini Kwa ujumla
Mm huwaga sichoki kuku angalia ustadhi mazinge kwa jili ya Allah
Hapo namuona sheikh Mazinge ana mdadi wakupanda kwenye membali kma Azizi Ke yupo nje ya uwanja
Maashaa Allah.. ❤ nakumbuka nilihudhuria ukumbini.
Kipindi hiki nilikuwa Mwanafunzi UBUNGO ISLAMIC .. (O-level)
Ya mwaka gani hii
Subhanallah
Ustadhi Shafi ww ni kiboko hadi ustadhi mazinge anafurahi
LAA ILAHA ILALLAH MUHAMMADAN RASSULULLAH
Mashaallah mwenyezi mungu awahifadhi nyote
Jamani wakiristo ni wabishi jamani mmmh jamani
Kumbe huyu mwankema tangu zamani akili zake zina mafuta ya taa 😅😅
😂😂😂😂😂
😂
😂😂😂😂😂@@Catherine-mh8sw
Mashallah someni kitabu cha isaiah nini kinasema utauna mnambia mwende nchi ilioko pembeni mwaa Egypt ni Makkah hapo mtaukuta msikiti na pembeni ya ukuta wake mtaona jiwe jeusi
mashaalah mada vizuri
Jesus is life. Yesu ndo njia ya kumfikia mungu wa kweli na siyo kwa allah ( uza na alalati)
kwendraaaaaaa huko
Shekh hamidu😂😂😂😂😂😂😂😂
Quaraa sio Bibilia.
I am the first one
Ust shafii kilo arobain kwel halikuwa afikii🤣..Allah awape umri mrefuu Insha'Allah 🤲
Msomaji wa kiislam anambwembwe balaa
😂😂😂😂😂😂
Wewe'unasema'mengi'uwongo'tu'nyinyi'ndiyezinifu
Ila ikiwa ni nyinyi kwa nyinyi munapoteza wakati, sababu kila umoja wenu ana jidayi sasa mutupe nafasi tuwa ulize.
Mmewagalagaza
Wahubiri kwenye maswali muwe muna achiya wasikiyaji sababu mume waalika ili waelewe
Daha manshallah hakika uislam ndyo dini ya Allah shukran sana kwa mashe zetu Kinyogor,shafii bakonzi na Mazinge bila kumsahau msomaj Hamidu Allah awape hery inshallah
Du... kweli hata kilo 40 hafiki
Naapo naaapo nao waliolala katika kristoo mmmh wamepotea yani nimecheka sana
Hiyo aya imekatwa tu anzia juu ya aya njoo nayo chini km hutowazalau mashekhe wako😂😂😂
wewe iunganishe lkn ujue hvyo kua wamepotea@@graduationtv3072
wakiristo wanalalamika
hio ndo kawaida ya makafiri
Tayari wewe umepotea wafilipo ni injili ya nani?
Ust shafii kilo arobain kwel halikuwa afikii🤣..Allah awape umri mrefuu Insha'Allah 🤲