Hujambo mheshimiwa sana,mimi nafuga nina vifaranga vingi,na vingi vinakufa sana,natumia alovera ,majani ya mipera na miembe,nafanya usafi kila siku , lakini tatizo la vifaranga kuvaa makoti halikomi,
Pole Sana ndugu. Kwanza iyo mimea kwa vifaranga hairuhisiwi. Jifunze zaidi jinsi ya kulea vifaranga ndugu hatua kwa hatua. Kinga zake na chakula bora vya Vifaranga th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT.html
Tumia net kulea vifaranga vyako. Yaaani kwenye bruda weka na Neti maaana huu ugonjwa unaenezwa na mbu. Pia waweza kuacha Kufuga kwa muda kdogo yaaani ondoa kuku wote fanya usafi ukae kama miezi 3 hadi 6 alafu tuanze na UPYA. Yaonesha vimelea vipo vingi sana eneo lako
Mimi nafuga kienyeji na kuku wangu wanatotoa Kwa siku tofauti. Kwa sasa nimekusanya vifaranga 96 ila vina siku tofauti . Kutokana na gharama ya dawa Huwa nakusamya Hadi wawe wengi ndio nawapa chanjo. Chanjo ya kwanza ndio yenye by tatizo kutokana na kusubiri wawe wengi. Nimekuwa nafanya hivi na wanahimili. Nafuga huria ila watoto nawatoa Kwa mama zao mapema. Je kuna athari? .
Nini dawa ya asili ya kutibu kuku macho kutoa machozi alafu macho yameziba. Nimeanza kutumia alovera baada kuona tatizo Hilo sijui itasaidia au itanilazimu kununua dawa ya dukani? Kuku wangu Wana mwezi na nusu
Shukran ndugu mimi natokea pwani ya kenya mombasa mikindani sikua najua km mzunge au mringa ni kinga ya kideri pamoja na majani ya muembe
Barikiwa Sana ndugu 🙏🏿
Thanks for the English
Your welcome
Sasa kaka kama kwenye mmea wa alovela unaloweka kwa pita ngap@@AGALUSTV
Asante sana
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi
Ubalikiwe kaka🙏🙏🙏
Amina KUBWA ndugu✍️🙏 tuendelee kusukuma eleimu hii ifike mbali zaidi
Safi sana asante sana
Tupo pamoja ndugu
Tupo pamoja ndugu
Hujambo mheshimiwa sana,mimi nafuga nina vifaranga vingi,na vingi vinakufa sana,natumia alovera ,majani ya mipera na miembe,nafanya usafi kila siku , lakini tatizo la vifaranga kuvaa makoti halikomi,
Pole Sana ndugu. Kwanza iyo mimea kwa vifaranga hairuhisiwi. Jifunze zaidi jinsi ya kulea vifaranga ndugu hatua kwa hatua. Kinga zake na chakula bora vya Vifaranga
th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT.html
Dozi ni kiasi gani
Imeelekezwa vizur KWENYE video
Naomba kuuliza mmea wa yufiobia unapatikana wapi
Upo sehem nyingi Sana kwani wewe upo wapi
Zaleo kakangu mie shida yangu ni fowl pox au ndui inanisumbua sana kwenye Banda langu vifaranga wanashikwa wakiwa na week moja au week mbili
Tumia net kulea vifaranga vyako. Yaaani kwenye bruda weka na Neti maaana huu ugonjwa unaenezwa na mbu. Pia waweza kuacha Kufuga kwa muda kdogo yaaani ondoa kuku wote fanya usafi ukae kama miezi 3 hadi 6 alafu tuanze na UPYA. Yaonesha vimelea vipo vingi sana eneo lako
Mimi nafuga kienyeji na kuku wangu wanatotoa Kwa siku tofauti. Kwa sasa nimekusanya vifaranga 96 ila vina siku tofauti . Kutokana na gharama ya dawa Huwa nakusamya Hadi wawe wengi ndio nawapa chanjo.
Chanjo ya kwanza ndio yenye by tatizo kutokana na kusubiri wawe wengi.
Nimekuwa nafanya hivi na wanahimili. Nafuga huria ila watoto nawatoa Kwa mama zao mapema.
Je kuna athari?
.
Hapana ndugu Endelea tu
Nimefuga kanga lakini hawatagi mayai shida nini hasa?
Lishe vp IPO vizuri
Vifaranga wanaweza kupatiwa chanjo ya ndui baada ya kufika umri gani?
Miezi 2+
Naweza wapea hii dawa ya mimea nikiwa nimewapea dawa za duka za kinderi
Wik Moja ipite Toka dawa Moja na nyingine
Nini dawa ya asili ya kutibu kuku macho kutoa machozi alafu macho yameziba. Nimeanza kutumia alovera baada kuona tatizo Hilo sijui itasaidia au itanilazimu kununua dawa ya dukani? Kuku wangu Wana mwezi na nusu
Apo ni mafua makali kwa kuku. Tumia dawa ya dukani ya mafua pia utatumia na vitamins
@@AGALUSTV Asante kaka nitafanya hivyo
@VicentTarra okay
Alovera Ina weza kukaa kwenye maji wiki nzima bila kuharibika.
Ni swali au
Hata mimi ninauliza swali hilo je inaweza kaa kwa wingi nzima bila kuharibika@@AGALUSTV
Kwani mtakalang'onyo zipo aina ngapi?
Hutegemea mazingira ndugu na majina uweza tofautiana
Kuku akipata kideri anapona
Anaweza pona kama utamsaidia kwa antibiotics na vitamins. Japo nafasi ya kupona ni ndogo
Naweza kuzichandanya zote
Mmmh hapana ndugu angalia mmea upo unao patikana kwako