Tibu(Zibiti) mafua makali kwa dawa ya alovera na pilipili ya unga kwa njia asilia.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • #mifugoonline #MAFUAMAKALI #Subscribe
    Unaweza kutibu mafua kwa njia yenye gharama nafuu kabisa pia yenye uwakika bila kutengeneza madhara yoyote kwa kuku kwa kutumia njia asilia ya ALOVERA NA PILIPILI YA UNGA

ความคิดเห็น • 7

  • @florablasius2677
    @florablasius2677 12 วันที่ผ่านมา

    Asante sana barikiwa

  • @ghanimajongo7817
    @ghanimajongo7817 10 หลายเดือนก่อน +1

    Bata unaweza kuwap muaruvel

  • @VeronikaNjaku
    @VeronikaNjaku 7 หลายเดือนก่อน

    Jee ni lazima nitumie pilipili ya unga ? Niwape wanapoumwa au hata kama hawaumwi ili kuwakinga?

  • @ayubumfangavo6327
    @ayubumfangavo6327 ปีที่แล้ว +1

    Hebu ongea haraka acha kuvuta maneno kama aubas

  • @dhinatsimbano8854
    @dhinatsimbano8854 ปีที่แล้ว +1

    Je naweza kutumia dawa za hospital pamoja na hio.
    Maana mafua yamewazidi sana vifaranga wangu mpaka naogopa. Wapo kwenye dozi ya tylodox leo siku ya pili lakini sio unafuu wowote.