Masha Allah my brother hongera kw kuingia ktk dini y haki yn ni ushujaa mkubw yn kuach ukiristo sio jamb dogo yn kuiach pesa y uchungaj n kuj kweny uislam apo umechukua maamuz y kishujaa
Itakapokuja nusra ya Mwenyezi Mungu na ushindi, utawaona watu wakiingia katika dini makundi kwa makundi, mtakase mola wako na umuombe msahama, hakika yeye ni mwingi wa kupokea Toba.
Natabili atakuwa sheikh mkubwa Sana na pia atawasilimisha wengine kupitia yeye inshallah kalibu kiongozi mpya katika dini ya haki na yakweli kalibu Sana sheikh mpya wa Tanzania
Yesu hakusema kuwa Muhammad ndie msaidizi wala roho akaae ndani yetu milele, ndo maana mhamad kashakufa na ni mfu kama wafu wengine. Matendo ya Mitume 2 : 3 Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao Matendo ya Mitume 2 : 4 Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka. Huyo ndie msaidizi aliyetuahidia yesu kristo
Ok swali zuri sana.Maana ya roho mtakatifu ni Nguvu za utendaji za Mungu. Luka 1:35 Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli;
@@KhadijaOmar-l2yTunasoma sana na tunaielewa sana bible, Yesu hajawah kuwa muislam, hajawah kimfaham Muhammad wala kuitambua Quran, kama ingekuwa hivo basi angeyasilimisha majini na shetwan kabla mhamad hajafanya hivyo, muislam wakwanza ni Muhammad mwenyewe soma QURAN 6:14b sema Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu QURAN 39:12 na nimeamrishwa niwe wa mwanzo wa waislam, Yesu alitoa maagizo Kwa wanafunzi wake Mathayo 28 : 19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; Mathayo 28 : 20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
@@HemedAbdullaSuleimanJe kama Yesu alikuwa muislam na ninyi waislam munamkubali Yesu nikipi Kati ya maagizo aliyotoa au aliyofundishe Yesu yapi katika hayo mnayotekeleza? YESU alikemea majini na kuyafukuza kuyatoa Bali nyie mnayafuga na kuyategemea na kuyaruhusu kuishi ndan Yesu Kama doctor sule anatangaza hadharan Kwamba hata Muhamad alikuwa nayo. wakati yameshalaaniwa na Mungu.
😂😂😂😂😂 kuna watu wanadanganywa kweli kweli Mchungaji gani hata kwenye faili la wachungaji hayupo na hatujawahi kuwa na mchungaji huyo ,hii hatari😂😂😂 Mwambieni akiweke cheti cha uchungaji hapa muone kama mkweli kwenu
Dawa sio kuhama din bro but elewa Ibada nikitu gani.pia Unakohamia kunawengine wamepahama but wakristo hawanaga kiki za kumkwaza Mungu wanaamin mungu haangali ufundi wa maongez but anaangalia nafisi na namuna gani unasamehe na kutokwaza viumbe wengine kwakua yeye Ndiye mwanzo na mwisho tuweni makini endapo. tunahitaj mwisho mwema 🙏 yapo maisha baada ya haya. Kwa walio wema. Mungu atusaidie sana🙏
Kwaio mchungaji hajui ww mfuasi ndio unaijua vizuri biblia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tatizo hamtaki kusoma mukajua ukweli mnaburuzwa tu mnauziwa papai milioni moja eti linatoka kwa muungu hahahhah someni
Aliye na dini isiyo ya uislamu basi haitamfaa kwake kwani hakika dini ya haki kwa Mwemyezi Mungu ni uislamu tu hizo zingine ni imani za kibagani waanzilishi ni musa saamiriy upande uyahudi na paulo upande wa ukristo chukua hiyo rejea suratul baqara
Huyu jamaa ni tapeli jmn. Yy kila mwaka ana silimu na kurudi kwny ukristo.hajui analolifanya hapo alipo ana afya ya akili .baada ya week tuu hamtomuona msikini.
Anae miliki na kuongoza nyoyo ztu kwnye nuuru ya UISLAMU ni ALLAH kuptia vtabu vyke vnne, wwe ka haujaona haki kua muislam poleh ndugu moyo wko ulipofukaa,(miaka 19 kua muislam ksha ubadili Imani yko ya hakii ukue mkrctoo wwe njaa ilokupelekea hkoo kua mkweli ila JAHANNAM ykusubiriaa vkali tuuh)
Umechagua moto wajehanamu mwenyewe usije ukamlaumu mtu yeyote, Yesu ndiye njia ya ukweli na uzima,mtu hawezi kufika kwa Mungu bila Yesu aliyekufa akafufuka siku ya tatu,ameenda mbinguni kutuandalia makao,muhamadi yuko kaburini bado ,wewe umekosana na Yesu ni nani atakukaibisha mbinguni
Huyo siyo jasus ila nintapeli, nimesali naye kanisa la FPCT manzese dsm alitupiga ela nyingi sana watu zaidi ya 10 na mm nikiwemo Nashindwa kuelewa ninyi huko atawaibia kwa style gan Lakini namjua vzr sana Anaitwa Christopher Domnic Mtasha ni mzawa wa tabora, jiandaeni kwa mambo yajayo
Yohana 14 : 16 Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele;Yohana 14 : 17 ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye atakuwa ndani yenu. Je mhamad ni roho, anaishi au alikufaa, na anakaa ndani yetu?
Huyu mchungaji kayatimba kweli kweli , Yaani mpk anmfananksha roho mtakatifu na mohamedi kweli Roho mtakatifu anaowa mtoto wa miaka9, Roho mtakatifu anaenda chooni, Roho mtakatifu anakufa, Roho mtakatifu anafanyiwa upasuaji na kuondolewa jini, Roho mtakatifu anaamuru wasio waislamu wauwawe😂😂 Hayupo sawa kiakili wamuache tu kwa sasa mpk atakapokaa sawa make ata roho mtakatifu hamjui 😂😂 Na hapa ameyatimba akijifanya kuasi huku sharti ni kuchinjwa 😂
Hebu soma bible yk vizur utaujua ukwel je yesu ni mung ,mtoto w mung ,nabii au nan yn mung anawexaj kuzaliw kish kua mung yn mung ana nafsi ,ana kula n ajab kabisa
Haya ni majibu ya maswali mawili ya mchungaji dominica a.k.a.Abubakar swali la kwanza ameuliza roho wa kweli ni nani? na swali la pili ameuliza ukristo ni nini na umeanzia wapi? ("kwanza ifahamike muhamadi si roho wa kweli wala si nabii wala mtume wa mwenye enzi mungu bali muhamadi ni kiongozi tu wa uuma wa jamii ya makuraishi aliyepingana na tamaduni za kiyahudi kama kabila ila alifuata sheria za kiyahudi zilizo letwa na mtume musa kumbuka muhamadi ni mwarabu na mussa ni muebrania so, muhamadi ni muasisi wa kwanza katika jamii ya makuraishi kuongoza watu 'na kuleta mabadiliko 'na kutengeneza kitu kinaitwa mahalifa ndio unaona baada ya mtume mahalifa wame endelea kuwepo mfano Athumani, Omar 'na hata leo halifa ni ayatola kamenei wa iran huyu ayatola si rais wa nchi bali ni kiongozi mkuu wa kidini 'na mkuu wa nchi") Roho wa kweli ni nani..? Roho wa kweli ni udhihirisho wa uungu ndani ya mtu kitu au chochote roho wa kweli ni roho ya mungu mwenyewe roho wa kweli akiwa ndani ya mtu basi mtu anakuwa na uwezo wa tofauti na binaadamu wengine kwasababu si binadamu tena bali kiumbe kipya ndio maana biblia inasema kila kilichotokana na mungu huushinda ulimwengu roho wakweli ni roho wa mungu si muhamadi ukristo ulianza baada ya kuondoka kwa yesu kristo lakini muasisi wa ukristo ni yesu mwenyewe ivyo wote waliomfuata waliomuamini waliitwa kwa jina la kristo yaani wa yule kristo aliyesulubiwa hapo ndipo mwanzo ukristo kasome kitabu cha matendo pasta domi
@@AbdallahEji hakuna swali hata Moja la kunishinda ukitaka kuisoma biblia usisome kipengele kimoja utapotea halafu biblia siyo yakusoma kama gazeti hayo ni maneno ya kiroho zaidi, natena SI mchungaji huyo tu wapo na wengine wanaopotosha neno la Mungu, yesu alisema siku za mwisho wengi watakuja kwa jina langu nao watadanganya wengi
Ujinga mwingi, nimeishi mwisilam miaka 19 sijawhi kuhisi moyoni kwamba MUNGU wakweli yupo kwa waisilam, nikaokoka, sikufichi huyu dominc kwanza hakua mchungaji wakweli bali tapeli, sikializeni ukiitwa kua mchungaji na MUNGU huwezi kujitoa hapo ila kwakua dominc alijiita mchungaji natamaaa zake ndizo zitendazo kazi, mpaka mbingu zinakoma nawambieni ukweli mwisilam hawezi ingia mbinguni kamwe, kama hajaokoka na kumpokea yesu kristo.
Wewe mjinga tu manabii wote wamelingania din Moja,ndo mana yesu wenu amevaa kanzu nyinyi mwaenda abudu nasut ,iGen mfano wafuas wa bobu malre lazma wale bang wafuge Rasta,Sasa wewe wampenda yesu ata vaz lake huvai
Waislam,u wanaakili wanjua biblia ,unayo ongea kuhusu maandiko ya biblia ni uongo,wewe kua muislamu tu, umemkana yesu nae atakukana siku ya mwisho,umeuza ulaliwa wa kwanza kwa mchuzi wa dengu,
Mashallah. Yesu ni binadamu km cc.siyo mungu.kwani hamjui..
Alhamdulillah Mm nilisimu naupenda uislamu
Ahadi ya Muhammad inatimia Allah akbar naipenda Dini ya ngu kwani ni dini ya haki ❤
Masha Allah my brother hongera kw kuingia ktk dini y haki yn ni ushujaa mkubw yn kuach ukiristo sio jamb dogo yn kuiach pesa y uchungaj n kuj kweny uislam apo umechukua maamuz y kishujaa
Mashallaah kwa kuujua ukweli mungu akusimamie na tuko pa1 na ww
MASHAALLAH HONGERA SANA ABUBAKAR KWAKUINGIA KTK UISLAM ALLAH AKUZIDISHIE IMAN NA KUITANGAZA DINI YA HAKI
Allah akulinde na akusimamie kuifahamu dini ya uislamu.
Mashaallah mwenyezimungu akupe Mai shamarefu katoka uisilam
Allah akuhifadhi ndugu yetu
Allah akuongoze na akuhifadhi
MASHA ALLAH 💚 💚 💚 💚 💚 💚
Allah Akber
Allah akbar Allah akuzidishie imani
Masha Allah mungu akuzidishie heri na imani
Itakapokuja nusra ya Mwenyezi Mungu na ushindi, utawaona watu wakiingia katika dini makundi kwa makundi, mtakase mola wako na umuombe msahama, hakika yeye ni mwingi wa kupokea Toba.
Swadactaa
Mashaallah
Taqibiiiir
Takbiiiiiir
Hongereni waislam kwa kulikumbatia bomu,
Natabili atakuwa sheikh mkubwa Sana na pia atawasilimisha wengine kupitia yeye inshallah kalibu kiongozi mpya katika dini ya haki na yakweli kalibu Sana sheikh mpya wa Tanzania
Kasome dini yako kaka mkarimu.
Allah Akbar
Huyu tapeli sana mchunguzeni hafai hamjamjua tu
Sawa kaka
Yesu hakusema kuwa Muhammad ndie msaidizi wala roho akaae ndani yetu milele, ndo maana mhamad kashakufa na ni mfu kama wafu wengine.
Matendo ya Mitume 2 : 3
Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao
Matendo ya Mitume 2 : 4
Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia kutamka.
Huyo ndie msaidizi aliyetuahidia yesu kristo
Kwan wewe unamjua Roho mtakatifu ni nani?
Heb soma bible vizur ach kutudangany hp som ujue ukwel hutak wee baki tu huk ulik so kuping iman z wat
Ok swali zuri sana.Maana ya roho mtakatifu ni Nguvu za utendaji za Mungu.
Luka 1:35 Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujilia juu yako, na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli;
@@KhadijaOmar-l2yTunasoma sana na tunaielewa sana bible, Yesu hajawah kuwa muislam, hajawah kimfaham Muhammad wala kuitambua Quran, kama ingekuwa hivo basi angeyasilimisha majini na shetwan kabla mhamad hajafanya hivyo, muislam wakwanza ni Muhammad mwenyewe soma QURAN 6:14b sema Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu
QURAN 39:12 na nimeamrishwa niwe wa mwanzo wa waislam, Yesu alitoa maagizo Kwa wanafunzi wake
Mathayo 28 : 19
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;
Mathayo 28 : 20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
@@HemedAbdullaSuleimanJe kama Yesu alikuwa muislam na ninyi waislam munamkubali Yesu nikipi Kati ya maagizo aliyotoa au aliyofundishe Yesu yapi katika hayo mnayotekeleza? YESU alikemea majini na kuyafukuza kuyatoa Bali nyie mnayafuga na kuyategemea na kuyaruhusu kuishi ndan Yesu Kama doctor sule anatangaza hadharan Kwamba hata Muhamad alikuwa nayo. wakati yameshalaaniwa na Mungu.
Hakuna dini ya kisto huo niongo dini ni islaam dini ya haki na yakweli
😂😂😂😂😂 kuna watu wanadanganywa kweli kweli Mchungaji gani hata kwenye faili la wachungaji hayupo na hatujawahi kuwa na mchungaji huyo ,hii hatari😂😂😂 Mwambieni akiweke cheti cha uchungaji hapa muone kama mkweli kwenu
Ndugu zangu huyu mtu bado yupo mbona hatupeno update yoyote
Dawa sio kuhama din bro but elewa Ibada nikitu gani.pia Unakohamia kunawengine wamepahama but wakristo hawanaga kiki za kumkwaza Mungu wanaamin mungu haangali ufundi wa maongez but anaangalia nafisi na namuna gani unasamehe na kutokwaza viumbe wengine kwakua yeye Ndiye mwanzo na mwisho tuweni makini endapo. tunahitaj mwisho mwema 🙏 yapo maisha baada ya haya. Kwa walio wema. Mungu atusaidie sana🙏
Fanya research mwenyezimungu atakusaidia
Allah akuongoze, na wengine wenye kiu ya uongofu wa kweli.
Ndoo mwenzio kapata we endelea kubak uku maisha baada ya kifo yapo ndoo uchague mwenyewe utaenda kuishii wap ukichagua ukiristo utaenda ishii motoni milele ukichagua uislam utaishi peponi milele
Mwenyeezimungu akuhifadh na akunusuru na mitihani yote utakayokutanana nayo . Aamin
Hapo alipo hana uchungaji wowote
Ame foji vitambulisho vyake vyote mchunguzeni vizuri hapo alipo si mtu mwema hapo.kuweni makini
Sw il nd amesilimu lkn n tumempokea yn n bd watakuj km wot
Hatumfahamu uyo mchungaji wawapi huyo....?
POLE SANA, ILA KUPANGA NI KICHACUA WEWE NI MWONGO KABISA ILA UMEIBA SANA SADAKA NA KWAKUWA WEWE NI MWONGO MUNGU ATAKUUMBUA
Karbu kwenye haki ndg yetu
Ww ndio hujuii hioo bibilia kaisome kisho utapa jibu
Kwaio mchungaji hajui ww mfuasi ndio unaijua vizuri biblia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tatizo hamtaki kusoma mukajua ukweli mnaburuzwa tu mnauziwa papai milioni moja eti linatoka kwa muungu hahahhah someni
Hahaha ht awe askofu hiyo haitobadlish wokovu
Njaaaa Mbaya Sana , Mwamba Karudi Tena Kwa Yesu
Njaa mbaya sana
Dr sule njoo uwe mchungaji,unasauti ya kichungaji,
Katosha kuwa mwalimu kwa wachungaji
inshaAllah hajii
Mchungaji ananuru kubwa ndio maana akafika hapo
Comed
Kaijua vzuli na ndomna kaondoka kajua kama beishala
Aliye na dini isiyo ya uislamu basi haitamfaa kwake kwani hakika dini ya haki kwa Mwemyezi Mungu ni uislamu tu hizo zingine ni imani za kibagani waanzilishi ni musa saamiriy upande uyahudi na paulo upande wa ukristo chukua hiyo rejea suratul baqara
Wewe ndio yesu atakukana siku ya kiama uislamu ndiyo dini ya kweli
Kameshikwa ufahamu haka. Pia hakujazwa Roho mtakatifu. Huyu ni amesoma nadharia. Hana ujazo wa Roho mtakatifu.
Soma vizuri kwanza
Uislamu ni dini ya haki
Daa aibu kubwa 😂😂😂😢😢wewe ulikuwa mchungaji WA kanisa au ng'ombe?
hayo maswali alio yataja wewe unaweza kuyajibu ?tafuta mchungaji wako umuulize kama atakujibu
Kw hiy ww iz aya z bible.xinotaj apw huziamin ama vp km huziamin nan wakuziamin bc nd ujue ap km dini yen n y mashak.mashak
Wafrika kwel atujitambui Sasa mnazinadi mila za Waarabu na Wazungu
Haya we hyo Mila zako zitakupeleka pabayaa mno njoo uku uongoke
USIJE UKAUNGANA NA AKINA DR SULE UTAKUA TAPELI NA HAUTAKUA NA FAIDA
Huyu jamaa ni tapeli jmn. Yy kila mwaka ana silimu na kurudi kwny ukristo.hajui analolifanya hapo alipo ana afya ya akili .baada ya week tuu hamtomuona msikini.
KAMA ANAIFAHAMU BIBLIA KWELI ASEME HUO MSTARI UNAOSEMA KILA NAFSI ITAONJA MAUTI UKO KITABU GANI,ALAFU AENDELEE NA HOJA
Anae miliki na kuongoza nyoyo ztu kwnye nuuru ya UISLAMU ni ALLAH kuptia vtabu vyke vnne, wwe ka haujaona haki kua muislam poleh ndugu moyo wko ulipofukaa,(miaka 19 kua muislam ksha ubadili Imani yko ya hakii ukue mkrctoo wwe njaa ilokupelekea hkoo kua mkweli ila JAHANNAM ykusubiriaa vkali tuuh)
Umechagua moto wajehanamu mwenyewe usije ukamlaumu mtu yeyote, Yesu ndiye njia ya ukweli na uzima,mtu hawezi kufika kwa Mungu bila Yesu aliyekufa akafufuka siku ya tatu,ameenda mbinguni kutuandalia makao,muhamadi yuko kaburini bado ,wewe umekosana na Yesu ni nani atakukaibisha mbinguni
Msiba😢😢😢 yaani unamwacha Mungu MUUMBA MBINGU NA ARDHI unaenda kusujudia JIWE JEUSI siyo bure itakuwa kaingiwa na jini Karin
Hahahaaaa Allah akuongoze ktk haq km abubakar
Moyo wako una muhuri wa motoni moyo mgumu hujielewi sinagogi msikiti kanisa
@@bululaomary8494 sinagogi msikiti wa wayahudi,si waislam.kapotea mlango
Usome acha ujinga
@sinagogi Nini mbona ujibu wewe ndio usome sehemu Gani yesu kaingia kanisani muulize mchungaji wako kama ujui kafiri wewe jiandae kuwa Kuni wa motoni
Huyu jamaa muongo .hajui hata atakachokiongea
ila akili za hao utaskia takbir hata kama wanadanganywa eti ANAKWAMBIA mtume muddy ndie roho
sasa kwanini msiwakarimu wageni hata wewe utapewa kanzu nakofia nayo utasema umehongwa uingie kwenye usilamu acha akili ndogo
Huyu ni jasusi ametumwa tuweni makini ndg waislaam
Huyo siyo jasus ila nintapeli, nimesali naye kanisa la FPCT manzese dsm alitupiga ela nyingi sana watu zaidi ya 10 na mm nikiwemo
Nashindwa kuelewa ninyi huko atawaibia kwa style gan
Lakini namjua vzr sana
Anaitwa Christopher Domnic Mtasha ni mzawa wa tabora, jiandaeni kwa mambo yajayo
@EricKEnocK-nr4zq kumbe ni tapëli wa Manzese,toubah maulana,hasante kunijuza kiongozi
Walahyi bilahyi talayhi Sumuna walahyi njaa mbaya ,watu wanapiga dili hadi kanisani??Yarabi tupë salama,habari nzito ndg waislamu
Yohana 14 : 16
Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele;Yohana 14 : 17
ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye atakuwa ndani yenu.
Je mhamad ni roho, anaishi au alikufaa, na anakaa ndani yetu?
Huyu mchungaji kayatimba kweli kweli ,
Yaani mpk anmfananksha roho mtakatifu na mohamedi kweli
Roho mtakatifu anaowa mtoto wa miaka9,
Roho mtakatifu anaenda chooni,
Roho mtakatifu anakufa,
Roho mtakatifu anafanyiwa upasuaji na kuondolewa jini,
Roho mtakatifu anaamuru wasio waislamu wauwawe😂😂
Hayupo sawa kiakili wamuache tu kwa sasa mpk atakapokaa sawa make ata roho mtakatifu hamjui 😂😂
Na hapa ameyatimba akijifanya kuasi huku sharti ni kuchinjwa 😂
Hebu soma bible yk vizur utaujua ukwel je yesu ni mung ,mtoto w mung ,nabii au nan yn mung anawexaj kuzaliw kish kua mung yn mung ana nafsi ,ana kula n ajab kabisa
Haya ni majibu ya maswali mawili ya mchungaji dominica a.k.a.Abubakar swali la kwanza ameuliza roho wa kweli ni nani? na swali la pili ameuliza ukristo ni nini na umeanzia wapi?
("kwanza ifahamike muhamadi si roho wa kweli wala si nabii wala mtume wa mwenye enzi mungu bali muhamadi ni kiongozi tu wa uuma wa jamii ya makuraishi aliyepingana na tamaduni za kiyahudi kama kabila ila alifuata sheria za kiyahudi zilizo letwa na mtume musa kumbuka muhamadi ni mwarabu na mussa ni muebrania so, muhamadi ni muasisi wa kwanza katika jamii ya makuraishi kuongoza watu 'na kuleta mabadiliko 'na kutengeneza kitu kinaitwa mahalifa ndio unaona baada ya mtume mahalifa wame endelea kuwepo mfano Athumani, Omar 'na hata leo halifa ni ayatola kamenei wa iran huyu ayatola si rais wa nchi bali ni kiongozi mkuu wa kidini 'na mkuu wa nchi")
Roho wa kweli ni nani..? Roho wa kweli ni udhihirisho wa uungu ndani ya mtu kitu au chochote roho wa kweli ni roho ya mungu mwenyewe roho wa kweli akiwa ndani ya mtu
basi mtu anakuwa na uwezo wa tofauti na binaadamu wengine kwasababu si binadamu tena bali kiumbe kipya ndio maana biblia inasema kila kilichotokana na mungu huushinda ulimwengu roho wakweli ni roho wa mungu si muhamadi
ukristo ulianza baada ya kuondoka kwa yesu kristo lakini muasisi wa ukristo ni yesu mwenyewe ivyo wote waliomfuata waliomuamini waliitwa kwa jina la kristo yaani wa yule kristo aliyesulubiwa hapo ndipo mwanzo ukristo kasome kitabu cha matendo pasta domi
Jamani jamani kitabu gani kasoma mbona sioni aya hiyo ya kutoka yesu akitajwa waislamu happy mmepigwa nakitu kizito hmmmmmm
Weweeee kasome bibilia sio mistari, kama huelewi niulize mie nitakujibu
Soma yohana 16:13
Ndugu amka yesu atakuja kuwakana pindi atakapo rudi
Km iz aya huziamin bc ww zidi kuamin km bible in mkanganyik kil mwanafunz kasem yk dah hy huyakut kweny quran kw taarif yk
Huyo mchungaji hakuijua biblia sawasawa
Bado hujasema kk
unaweza kujibu hayo maswali ?
@@AbdallahEji hakuna swali hata Moja la kunishinda ukitaka kuisoma biblia usisome kipengele kimoja utapotea halafu biblia siyo yakusoma kama gazeti hayo ni maneno ya kiroho zaidi, natena SI mchungaji huyo tu wapo na wengine wanaopotosha neno la Mungu, yesu alisema siku za mwisho wengi watakuja kwa jina langu nao watadanganya wengi
@@josephamos6636kwahy bd huoni mbwaa we njoo we kweny uslm
Wewe ndyo hujaijua Bibilia
HUYO NI TAPELI ALIKUWA MCHUNGAJI WA KANISA LIPI NA WAPI...MBONA HASEMI.???? HEHEHEHEHE....WITHOUT LIES, ISLAM DIES!!
Ujinga mwingi, nimeishi mwisilam miaka 19 sijawhi kuhisi moyoni kwamba MUNGU wakweli yupo kwa waisilam, nikaokoka, sikufichi huyu dominc kwanza hakua mchungaji wakweli bali tapeli, sikializeni ukiitwa kua mchungaji na MUNGU huwezi kujitoa hapo ila kwakua dominc alijiita mchungaji natamaaa zake ndizo zitendazo kazi, mpaka mbingu zinakoma nawambieni ukweli mwisilam hawezi ingia mbinguni kamwe, kama hajaokoka na kumpokea yesu kristo.
Wewe mjinga tu manabii wote wamelingania din Moja,ndo mana yesu wenu amevaa kanzu nyinyi mwaenda abudu nasut ,iGen mfano wafuas wa bobu malre lazma wale bang wafuge Rasta,Sasa wewe wampenda yesu ata vaz lake huvai
😂😂😂😂😂kunawatu mioyo imejeruhiwa na kusilimu kwakwe poleni sana hili limewaumiza kwakweli😢😢
Inaonekana inaumaaaaaaa
😂😂utakumbuka sana
@@SamoraTabaga ... huo ushuhuda wa uongo pelekea wajinga hukooo🤣🤣🤣🤣
Waislam,u wanaakili wanjua biblia ,unayo ongea kuhusu maandiko ya biblia ni uongo,wewe kua muislamu tu, umemkana yesu nae atakukana siku ya mwisho,umeuza ulaliwa wa kwanza kwa mchuzi wa dengu,
Hpana sio kwl ukimuoma muislam hamuamini yesu kma nabii wake huyo hajakamilisha imani yke kma muislam kw hio yesu tunamuamini vzri tu
Huyu mchungaji hajamkana yesu, ispokuwa huku alipoingia ndo kamfuata sasa Yesu kama hujui