Jefaharishe tu katika hii Dunia ila utakapo ingia katika maisha ya Barzanji na mingine huko mbele.utajutia kauli zako hizo labda utubie kabla Allah hajachukuwa uhai wako.
@mohamedimiraji5495 comment sio mahali ya kujibu hoja ya jaahil, bali ni mahali ya kutoa maoni yako kuhusu yaliyosemwa, na bila shaka wengi wameridhishwa na maneno ya huyu kijana na kusema Diwani hana hoja Wala ajualo..... alhamdulillah
Sawa kwani we unaish kwa ajil ya dini au unaishi kwa matakwa yako. Kama unaish kwa kupitia. Dini. Ndo hapo Sasa kutumia tecloj umeipata wap je. Mtume alitumia tecnoji? Na Kama hajatumia wewe KWANINI utumie. Maana yake. Wewe pia unafanya bidaaa.
Hawa nao jamani. .bidaa ni kitu kinachozushwa katika dini( ibada.) ibada ibada narudia tena ibadaaaaa(dini)....sasa kuvaa chupi na hata kuvaa miwani ni ibada(dini)???duuh
Mwenyeezi Mngu awahifadhi masheikh wakubwa mumefahamika vizuri kila mtu anajitahidi kufanya mema ya fardhi na sunnah na mambo ya kheir sasa sio lazima watu wafate ufahamu wenu.
Subhanallah mbna mnaenda mbali na mafunzo ya mtume salallahu alayhi wasalaam dini mumekua mnaichezea mkiambiwa bidaa mnaanza kuleta mmbo hayaingii akilini hata kwa vitabu mcheni mungu masufi msichupe mipaka
@IsmailSanga tawhid acheni hivyo mlivyofunzwa kua haijagawanyika Bali hili mliloleta Leo jipya ukiambiwa bidaa n mbovu mnaanza leta ya upuzi ati kama maswahaba walivaa chupi acheni kupita mipaka n mtaingia kuliko kubaya maswahaba wa mtume salallahu alayhi wasalaam hakuna mtu kwenye hii Karne anaweza wafika mbona mnayofanya hawakufanya n wao n Bora sababu wa mwalimu hapo acheni upotovu muogopeni Allah subhannahu wa taala na awaongoze
@husseinsalehe6506 twajua manhaju assalafi Kwa usawa mze aongelea ukhawariji anauju misingi yake na sifa zake au akurupuka tu paka aseme mawahabi wamechukua mambo ya kikhawariji pia kama wajiweza tuanze mada
@@ShafighuShabani Mnayoyafanya na tabia mnazoendelea nazo hakuna katika historia ya uislam aliyekuwa na tabia kama zenu...Kujiamini na kujikubali katika elimu...Hamjui kusema hatujui kila kitu nyinyi mnajua,hamjui hata kusema والله أعلم, ili mtoe nafasi ya mapungufu ya kibinadamu,bali nyinyi ni ubishi tu,hamna adabu kuanzia nyinyi mpaka watoto wenu mnaozaa pia wanakosa adabu.
@mohamedimiraji5495 bachu hata hawezi kua mtume na unafanya makosa kumlainganisha na mtume salallahu alayhi wasalaam kueni na adabu n mwalimu wetu rasulullah salallahu alayhi wasalaam,,,,yeye ni bakora la masufi hadi wanakosa mwelekeo mpooo ahlul bidaa
Ukiwafautilia bila ushabiki mashekhe wakisufi ni waongo sana kweli unaweza kumpenda mtume bila kumfuata kisha utarajie kuipata janna!!!Jamani mtume wetu ndio mwalimu wa dini hii bila kumfuata yeye huwezi kuwa uislamu pia akisema mawahabi wanamkufurisha Alii angetoa ushahidi wa kitabu chochote cha sheikh wa kiwahabi kinachomkufurisha Alii.Jamani Alii ni miongoni mwa makhalifa waongofu tena waliobashiriwa janna hata ninyi masufi sio makafiri ninyi ni wazushi mumeanzisha ibada mpya ambazo hata mtume hazijui na hajawahi kuzifanya huku mkitaraji malipo kutoka kwa Allah hamuoni hii ni dhuluma mnamfanyia mtume wetu (rehma na amani ziwe juu yake)
hawa masufi majahili sana,wanajitoa ufahamu,kama vile hawafahamu!!BID'A alizosema mtume صلى الله عليه وسلم ni BID'A ktk ibada wala si ktk maendeleo ya KADUNA!! wanaanzisha ibada zao mbovu kama vile MAULID akiwambia hiyo ibada ni BID'A,anakujibu hata taa zinazotoa mwanga usiku msikitini ni BID'A!!!
Sheikh Hamid Jongo ninavyojua alisoma nchini Saudi Arabia ktk zama za Mwanawachuoni mkubwa Sheikh Ibnu Baaz ALLAH amrehemu. Naomba anifahamishe na anipatie elimu kutoka kwa Sheikh Ibnu Baaz ALLAH amrehemu anasemaje kuhusu mawahabi na makhawariji?. Mimi nilisilimu naomba elimu na faida ktk swali hilo.
Kuna kusoma na kupewa ufahamu na kuna kusoma pasi na kupewa ufahamu...kwanza kumpenda Mtume na kumfuata ni wajibu anafananisha na kumpenda mtu kwa matakwa binafsi, kumfuata Mtume ni wajibu sio hiyari
Sasa dini na vitu ni vitu viwili tofauti Feni Mabusati Chupi Magari Frigi Sio dini ni katika ile aya ويزيد في خلقه BID~AA NI KATIKA IBAADA TUUUUUUUUU NA SIO VITU NNAMUOMBA ALLAAH AWAONGOZE HAWA MASHEIKH.
Watu wengi wa kiwahabi hawajui kiarabu wala kiswahili ambayo ni lugha ya Taifa. Kwani kumpenda MTUME(S.A.W.) tatizo liko wapi? Ikiwa tunatakiwa tuwapende wazazi wetu, ndugu, majirani zetu na tunatakiwa kuzungumza wasifu mzuri wa maiti zetu na hata walio hai vipi iwe vibaya kumpenda MTUKE (S.A.W.) na kuzungumza sifa zake nzuri za namna alivyoishi wakati huo yuko hai ili umma huu wote uweze kuiga, kuyachukua mazuri yake yote na kuishi vizuri kwa jinsi anavyoridhia ALLAH(S.W.)?
Jongo unajitahidi kuwapoteza watu lakini muogope Mola wako . Hivi huelewi kama Mtume aliposema "Kila chenye kuzushwa ni upotevu na upotevu mwisho wake ni motoni" Huelewi kama alikusudia kila chenye kuzushwa katika dini au unawapoteza watu kwa makusudi? Hivi kweli katika kusoma kwako hujasoma hadithi ya Mtume inayosema "Mwenye kuzusha kwenye dini yetu hii(Uislamu) yale ambayo hayapo katika mafundisho yake, atarejeshewa mwenyewe" (Allah hatoyakubali) . Sielewi kama umeamua tu kufanya kusudi au vipi !!!
Kaka kila kioucho zushwa ni upetevu. Bac wewe pia umepoyea sabab kuna vitu unavitumia wakat MTUME. HAKUTUMIA. Wewe kuna vitu unavifanya wakat MTUME hakuvifanya. Kwa maana hio wewe pia unafanya bidaaa
@@naslimtz1247kilichozushwa katika diniiiii dini jamani dini dinii narudia tena kila kilichozushwa katika dini au ibada Sasa mfano nikitumia simu kwaivo simu ni ibada au dini jamaniii khaaaa Akili zakuambiwa.....mbona watu wagumu kuelewaa ...kilichozushwa katika dini(ibada)
Mzee ameleta Shubuha Kuwa Kuna Kupenda Sio lazima Ufuate. Mapenz yapo ya aina Mbili. Kupenda kwa ubinadam haya ni maumbile...Na kuna kupenda kwa Ajil ya Dini Wazee jaribun kukaa Darsani Mjifunze ktk Aqida.
HAHAAA,MTUME KASEMA KTK DINI sio duni😂😂😂huyu vp ety kuweka feni,kuendesha gari,simu,tigo pesa,yani Hawa watu sijui wanasoma wapi dini.sasa hiyo ni Mifano gn..
Allah akuongoze Sheikh Jongo Yaani Khawarij waliozungumwa huwezi kuwafananisha na Masalafi(unao waita wahabi) Soma vizur uwajue waliobeba fikra hizo za Khawarij ni Boko Haram Alkaida IS na waliobeba fikra hizo ni jamaatul Ibadhiyah Wewe mzee acha kudanganya watu SALAFIYUN ni kundi linalowanganisha watu warudi katika Asili waache mikhalafa washikamane na haki waache bidaa Shirki kutoka katika twaa ya kiongonzi
Bidaa ni bidaa, mfano wapi Maswahaba walisherehekea birthday ya Mtume Muhammad (SAW)? Je? Nyie mwampenda mtume kuliko maswahaba walio kaa na mtume? Je mwampenda mtume kwa kumpigia ngoma na mashahiri je kuna hadithi ya mtume inayo thibitisha kama alipendezwa na ngoma na nyimbo mnazo imba? Je kuna sunna gani ya kusheherekea birthday ya mtume? Je mtume alisherehekea birthday? Je tupe ushahidi swahaba gani aliku mkali kwa kupiga ngoma nyie mwaita dufu na yupi aliku ana jua kuimba kwenye sherehe hizo tupe ushahidi sheikh. Gharam zinazo tumika kwenye hizo sherehe hamuoni kama ni israfu wakati kuna wahitaji kama mayatima, masikini, wajane na walemavu. Je michango ya kufanikisha hiyo sherehe mgelifikilia kujenga hospital za waislam na kusomesha wanawake kua madaktali ili waweze kuwatibi dada zetu, mama zetu, wake zetu na ma binti zetu, hamuoni jambo hilo kua lita mfurahisha Allah na Mtume wetu? Nimetoa wazo tu. basi someni hadith sahihi na wacheni hadith dhaifu. Kumpenda mtume ni kufuata mafundisho ya mtume sw na maamrisho na makatazo ya Allah.
Mtume aliposema bidaa alikusudia ibada yauzushi sio gari,ndege,pikipiki,feni nk mtume amesema mwenye kufanya matendo ambayo sio amri yetu atarudishiwa mwenyewe allah ana malipo ndicho alichokusudia mtume sio sansi wala tecnology
masufi hawajielewi ata kidogo maana kukataza bidaa hakujaanzia kwamasalafi wasasa bali tangu maimamu wanne wote walikuwa wanapinga bidaa kwenye ibada bali wengine walikuwa wakali mno kwenye bidaa hasahasa imam maalik na ahmad. chengine hawa jamaa wanachuki na watu wasunna kuliko ata awo wanao wakufurisha maswahaba nakuwatukana kama shia ibadhi wote awo wanawatukana maswahaba nakuwakufurisha lakini ndio walio wakumbatia hata kwenye uzushi wao wa maulid. hawajielewi kabisa hawa.
@warshysaid8564 We MUHABI mshirikina niwewe ambae unaabudu miungu mitatu ULIHIYA RUBUBIYA WASMAASIFAT. Niletee Aya katika Qur an inayosema tawheed imegawanyika mara tatu!. Alafu uniletee hadith zaifu ya MTUME aliowafundisha maswahaba TAWHEED imegawanyika Mara tatu. Yahudi mkubwa we!.
Na ngumu kwako kuonyesha udhaif wa hoja zake ila ni rahisi kumtukana mtu makamo ya baba yako kwa kua tu hukubalian nae anachosema! Halaf mwenyewe unajiona mwenye haki
Huyo wapembeni yako hapo anamjua bachu vzr aliwahi kuyakanyaga ila alijirekebisha kidogo baada ya kusema kua mtu amuazimishe mtume vile anavojisikia mwenyewe
KIBABU NKIKUSKIZA MWANZO MWANZO TU NAONA KUWA UNACHONGEA TU NA HUJAFANYA UBAINIFU. USIWACHANGANYE MASALAFI NA MAANSWAARI KWAKUWA WAMETOFAUTIANA TAYARI, KILA UCHAO MASALAFY WANAWARADDI MAKHAWAARIJ - UFANYE UADILIFU MZEE USIWATIE SALAFIYYUUN KTK KAPU MOJA NA KHAWAARIJ.
Mjadala,hila na hadaa,ung’ang’anizi wa hawaa na maslahi ya kilimwengu,vitawaumiza sana,Al jazeera Saudia ipo kwa kadara ya Al wahab Subhana wataalla,wao wamerehemewa wamepewa na hatuwezi kuwanyang’anya,na wanamtegemea Al Wahab,tena wamempa utukufu wake,wala hawajamtengenezea Ibada,na hilo ndilo waliloshikamana nalo,haki itasimama kwenye haki,Ibada zao zimeamrishwa na Al Wahab Subhana wataalla,Allah awazidishie na awape nguvu ya kusimamia haki,kelele za mlango,hazimshughulishi mwenye nyumba,Allah anayajua yaliyofichikana tusiyoyajua sisi watumwa wake,YaAllah tuongoze kwenye njia ya haki na utuepushe na batili. Uvitie vifua muongozo wa Quran na Sunna alizotuachia mtume wetu mpendwa Muhammad Sallallahu Alayh Wasalam.Amin
قل إن كنتم تحبون الله فاتبعوني يحببكم الله ويغفرلكم ذنوبكم والله غفور الرحيم
Jefaharishe tu katika hii Dunia ila utakapo ingia katika maisha ya Barzanji na mingine huko mbele.utajutia kauli zako hizo labda utubie kabla Allah hajachukuwa uhai wako.
Inshallah atatubia
Maisha ya barzanji😂
@@abuumuhammad7133 barzakh
Mimi sio mtu wa maulidi ila kwa hoja yako hiyo nakuona ni jaahilul muraqab.
Comment ni dalili kuwa waislamu wamesoma dini yao na si rahisi kudanganywa, alhamdulillah
😂😂😂😂 hivi kwa mfano wewe ukaulizwa misingi ya dini mingapi
Mbona katika comment zote sijaona yenye matini ya kitaaluma au ndio hoja za kisomi zinajibiwa kama comment zilivyo?
@mohamedimiraji5495 comment sio mahali ya kujibu hoja ya jaahil, bali ni mahali ya kutoa maoni yako kuhusu yaliyosemwa, na bila shaka wengi wameridhishwa na maneno ya huyu kijana na kusema Diwani hana hoja Wala ajualo..... alhamdulillah
Bidaa katika mambo ya dini ndio hukatazwa sio katika technology na mambo mengine ya kimaisha. Msijirushe ajili kuhalalisha mambo yasiofaa
Sawa kwani we unaish kwa ajil ya dini au unaishi kwa matakwa yako. Kama unaish kwa kupitia. Dini. Ndo hapo Sasa kutumia tecloj umeipata wap je. Mtume alitumia tecnoji? Na Kama hajatumia wewe KWANINI utumie. Maana yake. Wewe pia unafanya bidaaa.
@@naslimtz1247 mtume wetu s.a.w kabainisha kua bid'ah anayoikataz ni ktk dini
Wanajuwa Hilo lakini wanafanya tu ili wahalalishe upotovu
@Aboodjan4- haya nipe hio aya
Hawa nao jamani. .bidaa ni kitu kinachozushwa katika dini( ibada.) ibada ibada narudia tena ibadaaaaa(dini)....sasa kuvaa chupi na hata kuvaa miwani ni ibada(dini)???duuh
Nu'uman na sio Na'aman
Mwenyeezi Mngu awahifadhi masheikh wakubwa mumefahamika vizuri kila mtu anajitahidi kufanya mema ya fardhi na sunnah na mambo ya kheir sasa sio lazima watu wafate ufahamu wenu.
@@rushu1232 Watu wanatakiwa kufuata ufahamu wa Maswahaba ALLAH awaridhie. Msianzishe mambo ya bidaa ktk kuyaendea mambo ya kiibada.
Subhanallah mbna mnaenda mbali na mafunzo ya mtume salallahu alayhi wasalaam dini mumekua mnaichezea mkiambiwa bidaa mnaanza kuleta mmbo hayaingii akilini hata kwa vitabu mcheni mungu masufi msichupe mipaka
@@hassanWanjiku Kua mkweli sanyingine!Nyie mawahabi mnaleta bidaa mpaka kwenye akidah!.
Mnatuambia tawhid imegawanyika mara, TAKSIM TAWHEED ,Mtume hakuwa kuifundisha hiyo tawheed nyie mmejifunza kwanani!?.
@IsmailSanga tawhid acheni hivyo mlivyofunzwa kua haijagawanyika Bali hili mliloleta Leo jipya ukiambiwa bidaa n mbovu mnaanza leta ya upuzi ati kama maswahaba walivaa chupi acheni kupita mipaka n mtaingia kuliko kubaya maswahaba wa mtume salallahu alayhi wasalaam hakuna mtu kwenye hii Karne anaweza wafika mbona mnayofanya hawakufanya n wao n Bora sababu wa mwalimu hapo acheni upotovu muogopeni Allah subhannahu wa taala na awaongoze
We mzee pole hakuna unacho kijua
Wewe unajua kipi tujifunze kwako!
@husseinsalehe6506 twajua manhaju assalafi Kwa usawa mze aongelea ukhawariji anauju misingi yake na sifa zake au akurupuka tu paka aseme mawahabi wamechukua mambo ya kikhawariji pia kama wajiweza tuanze mada
@@ShafighuShabani Mnayoyafanya na tabia mnazoendelea nazo hakuna katika historia ya uislam aliyekuwa na tabia kama zenu...Kujiamini na kujikubali katika elimu...Hamjui kusema hatujui kila kitu nyinyi mnajua,hamjui hata kusema والله أعلم, ili mtoe nafasi ya mapungufu ya kibinadamu,bali nyinyi ni ubishi tu,hamna adabu kuanzia nyinyi mpaka watoto wenu mnaozaa pia wanakosa adabu.
Babu yako au bibi yako anamchango gani Katk dini? Au walikuwa kina nani zaidi ya kuwa uchawi tu
@@HamisiKacheche Hiyo ndio elimu yenu na ufahamu wenu ulipoishia wakiwahabi...Mmenyimwa hekma,busara na hata njia za ulinganizi...Poleni sana.
NGOJA ARUDI BACHU AKUNJOOSHE WW MZEE 😂😂😂😂😂
Hahaha
@@kifandenabil inshaallah Allah subhannahu wa taala amuongoze aliko hadi kurudi awape dawa hawana adabu na dini ya Allah
Kwani Bachu ndiye Mtume wenu?
@mohamedimiraji5495 bachu hata hawezi kua mtume na unafanya makosa kumlainganisha na mtume salallahu alayhi wasalaam kueni na adabu n mwalimu wetu rasulullah salallahu alayhi wasalaam,,,,yeye ni bakora la masufi hadi wanakosa mwelekeo mpooo ahlul bidaa
@hassanWanjiku cjakuelewa kabisa
Mzee anazeeka vibaya
Hawa ndio wale masheikh walimkalia kikao sheikh Aboud Rogo hawajielewi
هذه الكلمات تدل على درجة عالية جدا من الضعف في فهم الدين, وسوء أدب على الصحابة رضوان الله عليهم ،وهؤلاء مشاءخهم فكيف حال صغارهم؟؟ الله المستعان!!
بهلاء😮
Mzee hauwezi kuichafua bahari kwa mkojo wako
😂😂😂
chekeni kidogo,kisha mtakuja kulia saaana!!msifurahie hiyo maneno ya upotofu ya jizee JONGO!!!
yeye anayosema ni ya matamanio ya NAFSI yake tu!
Kila kilichozuka katika dini sio majengo na nguo
Nikuulize. Msikiti ni dini au sio dini? Maana umezungumzia majengo naomba unijibu. Nini maana ya msikiti jengo au ni kitu gani
Umeongea matakataka tu mzee
Kwan Osam alikua mtume wa Allah adi afatwe kwa lai zake masufi mbona amjielewa yote haya mnatafuta kualalisha bi'daa
Wewe husiwafanananishe Khawaarij na Ahlisunnatu wal jama'a.
SWALI KWAKO: Utawezaje kumpenda mtu alafu hutaki kumfuata????
Tena bila ushahidi
Uzuri wa answaary wakiliharamusha jambo hutoa dalili na kauli za wanachuoni kadhaa wakadhaa sasa huyu shekhe hatoi dalili siasa tu hapo
Shida ya masufi ni kuongea matamanio yao
Ukiwafautilia bila ushabiki mashekhe wakisufi ni waongo sana kweli unaweza kumpenda mtume bila kumfuata kisha utarajie kuipata janna!!!Jamani mtume wetu ndio mwalimu wa dini hii bila kumfuata yeye huwezi kuwa uislamu pia akisema mawahabi wanamkufurisha Alii angetoa ushahidi wa kitabu chochote cha sheikh wa kiwahabi kinachomkufurisha Alii.Jamani Alii ni miongoni mwa makhalifa waongofu tena waliobashiriwa janna hata ninyi masufi sio makafiri ninyi ni wazushi mumeanzisha ibada mpya ambazo hata mtume hazijui na hajawahi kuzifanya huku mkitaraji malipo kutoka kwa Allah hamuoni hii ni dhuluma mnamfanyia mtume wetu (rehma na amani ziwe juu yake)
hawa masufi majahili sana,wanajitoa ufahamu,kama vile hawafahamu!!BID'A alizosema mtume صلى الله عليه وسلم ni BID'A ktk ibada wala si ktk maendeleo ya KADUNA!!
wanaanzisha ibada zao mbovu kama vile MAULID akiwambia hiyo ibada ni BID'A,anakujibu hata taa zinazotoa mwanga usiku msikitini ni BID'A!!!
ivi sheikh kama sheikh amefikiriaje kuuliza swali la ivo
Hujaona mfano mwengine wa kutoa,hakma inahitajika kwenye mazungumzo ya dini.
Bora mzee angekaa kimya. Kuongea kunadhihirisha ujinga wake
Nawewe tudhihirishie werevu wako!
Sheikh Hamid Jongo ninavyojua alisoma nchini Saudi Arabia ktk zama za Mwanawachuoni mkubwa Sheikh Ibnu Baaz ALLAH amrehemu.
Naomba anifahamishe na anipatie elimu kutoka kwa Sheikh Ibnu Baaz ALLAH amrehemu anasemaje kuhusu mawahabi na makhawariji?.
Mimi nilisilimu naomba elimu na faida ktk swali hilo.
Siasa nyingi sana huyu mzee
Bidaa wana jua maana yake hawa wazee, lakini wanapindisha maana ya maandiko.
BIDAA sio mambo ya kidunia mzee jongo rudi ukasome
Kweli kabisa
Kuna kusoma na kupewa ufahamu na kuna kusoma pasi na kupewa ufahamu...kwanza kumpenda Mtume na kumfuata ni wajibu anafananisha na kumpenda mtu kwa matakwa binafsi, kumfuata Mtume ni wajibu sio hiyari
Yaa ummat muhammad wacheni kufru kuingilia maswahaba
Sasa dini na vitu ni vitu viwili tofauti
Feni
Mabusati
Chupi
Magari
Frigi
Sio dini ni katika ile aya ويزيد في خلقه
BID~AA NI KATIKA IBAADA TUUUUUUUUU
NA SIO VITU
NNAMUOMBA ALLAAH AWAONGOZE HAWA MASHEIKH.
mashindano ya qur an yamezushwa lakin pia mnaswali tarawehe kwa kutumia juzuu kwa kil siku wapi mtume amefanya
😄 🤣 😂 dah sasa kuvaa chupi ni dini hiyo au mnakuwaga madishi yameyumba huu ni utumbo kabisa
Sasa huo ndo uchache wa elimu ,sijui kaongea nn hapo
Watu wengi wa kiwahabi hawajui kiarabu wala kiswahili ambayo ni lugha ya Taifa. Kwani kumpenda MTUME(S.A.W.) tatizo liko wapi? Ikiwa tunatakiwa tuwapende wazazi wetu, ndugu, majirani zetu na tunatakiwa kuzungumza wasifu mzuri wa maiti zetu na hata walio hai vipi iwe vibaya kumpenda MTUKE (S.A.W.) na kuzungumza sifa zake nzuri za namna alivyoishi wakati huo yuko hai ili umma huu wote uweze kuiga, kuyachukua mazuri yake yote na kuishi vizuri kwa jinsi anavyoridhia ALLAH(S.W.)?
Assalamualaikum. Wanavyuoni ni vioo na sisi twajitazama . Maswali mengine mnatukana maswahaba. Mnafanya mzaha
Maghurafi hawana hoja
Jamani maajabu hii ndio hoja ya kupinga bidaa? Subhanallah alafu kichekesho yaani vita vya wenyewe kwa wenyewe
Kwani mfano mwengine wa kuwatolea maswahaba hakuna mpaka utolewe huo mfano wa maswahaba kuvaa chupi, huku ni kuwavunjia heshima maswahaba
wapumbavu wamekutana 😂😂😂
Jongo unajitahidi kuwapoteza watu lakini muogope Mola wako .
Hivi huelewi kama Mtume aliposema "Kila chenye kuzushwa ni upotevu na upotevu mwisho wake ni motoni" Huelewi kama alikusudia kila chenye kuzushwa katika dini au unawapoteza watu kwa makusudi? Hivi kweli katika kusoma kwako hujasoma hadithi ya Mtume inayosema "Mwenye kuzusha kwenye dini yetu hii(Uislamu) yale ambayo hayapo katika mafundisho yake, atarejeshewa mwenyewe" (Allah hatoyakubali) .
Sielewi kama umeamua tu kufanya kusudi au vipi !!!
Kaka kila kioucho zushwa ni upetevu. Bac wewe pia umepoyea sabab kuna vitu unavitumia wakat MTUME. HAKUTUMIA. Wewe kuna vitu unavifanya wakat MTUME hakuvifanya. Kwa maana hio wewe pia unafanya bidaaa
@@naslimtz1247kilichozushwa katika diniiiii dini jamani dini dinii narudia tena kila kilichozushwa katika dini au ibada
Sasa mfano nikitumia simu kwaivo simu ni ibada au dini jamaniii khaaaa
Akili zakuambiwa.....mbona watu wagumu kuelewaa ...kilichozushwa katika dini(ibada)
@moussaabdallah-h4u msikiti dini au sio dini
@@naslimtz1247 ni dini, jambo ambalo lipo kisheria katika dini.
Mashindan ya qur an wapi mtume amefany na jengine mnaswali taraweh kwa kutumia juzuu wapi mtum amefanya yapo meng tu lakin chukua hayo kwanza
Title na matini tofauti. Utajua tu kuwa hata aliyepost ni Fattan
Kuvaa chupi ni stara km stara nyengine maan hata hija watu hwavaai hiyo chupi na silazima kuvaa chupi ni urembo km urembo mwengineetu
Yaani anauhakika huyo mzee wake ni direct kwa Jannah, labda kapata wahyi
Mzee mjanjamjanja huyu
Mzushi tu hana lolote
Wazee wa tonge hao!
Halafu nae aitwa msomi daaah..yale maneno ya Imam Shafii yanaendana na sifa zao
Aisee hawa masuf sijui akili zao zimeingia funza gan.....duh kweli imamu shafi aliongea kweli.....
Mzee ameleta Shubuha Kuwa Kuna Kupenda Sio lazima Ufuate.
Mapenz yapo ya aina Mbili.
Kupenda kwa ubinadam haya ni maumbile...Na kuna kupenda kwa Ajil ya Dini Wazee jaribun kukaa Darsani Mjifunze ktk Aqida.
@@أبوفيصل-د3ش haswa wambie hawo masufi wasojielewa akhy
HAHAAA,MTUME KASEMA KTK DINI sio duni😂😂😂huyu vp ety kuweka feni,kuendesha gari,simu,tigo pesa,yani Hawa watu sijui wanasoma wapi dini.sasa hiyo ni Mifano gn..
Allah akuongoze Sheikh Jongo
Yaani Khawarij waliozungumwa huwezi kuwafananisha na Masalafi(unao waita wahabi)
Soma vizur uwajue waliobeba fikra hizo za Khawarij ni Boko Haram Alkaida IS na waliobeba fikra hizo ni jamaatul Ibadhiyah
Wewe mzee acha kudanganya watu SALAFIYUN ni kundi linalowanganisha watu warudi katika Asili waache mikhalafa washikamane na haki waache bidaa Shirki kutoka katika twaa ya kiongonzi
Bidaa ni bidaa, mfano wapi Maswahaba walisherehekea birthday ya Mtume Muhammad (SAW)? Je? Nyie mwampenda mtume kuliko maswahaba walio kaa na mtume? Je mwampenda mtume kwa kumpigia ngoma na mashahiri je kuna hadithi ya mtume inayo thibitisha kama alipendezwa na ngoma na nyimbo mnazo imba? Je kuna sunna gani ya kusheherekea birthday ya mtume? Je mtume alisherehekea birthday? Je tupe ushahidi swahaba gani aliku mkali kwa kupiga ngoma nyie mwaita dufu na yupi aliku ana jua kuimba kwenye sherehe hizo tupe ushahidi sheikh. Gharam zinazo tumika kwenye hizo sherehe hamuoni kama ni israfu wakati kuna wahitaji kama mayatima, masikini, wajane na walemavu. Je michango ya kufanikisha hiyo sherehe mgelifikilia kujenga hospital za waislam na kusomesha wanawake kua madaktali ili waweze kuwatibi dada zetu, mama zetu, wake zetu na ma binti zetu, hamuoni jambo hilo kua lita mfurahisha Allah na Mtume wetu? Nimetoa wazo tu. basi someni hadith sahihi na wacheni hadith dhaifu. Kumpenda mtume ni kufuata mafundisho ya mtume sw na maamrisho na makatazo ya Allah.
We shekh jongo hapo msikitini momba Kuna shehke ana darasa hapo Kila ijumaa kwanini usisome kwake?
Umeambiwa lililozuliwa kwenye Dini. Sasa chupi inaingia wapi Hapo??¿
Mtume aliposema bidaa alikusudia ibada yauzushi sio gari,ndege,pikipiki,feni nk mtume amesema mwenye kufanya matendo ambayo sio amri yetu atarudishiwa mwenyewe allah ana malipo ndicho alichokusudia mtume sio sansi wala tecnology
😂Nimekoma sivai Tena chupi
Huyu ni wa taasisisi gani au ni ile aliewaanzishia Mwalimu
Sijakuelewa hata kidogo
Sisi twamsifu mtume mawahabi kama wao hawataki wafunge zipu midomo yao .
Kwani nyinyi wazee hii dini sio yenu
Mzee wata chupi hata magar hayakuweko mbona ukaona chupi usione kofia yalamu 😂😂
Kumbe huyu mzee ni jahili nilikua sijui ama kweli mtu akiongea ndo wamjua ujinga wake
masufi hawajielewi ata kidogo maana kukataza bidaa hakujaanzia kwamasalafi wasasa bali tangu maimamu wanne wote walikuwa wanapinga bidaa kwenye ibada bali wengine walikuwa wakali mno kwenye bidaa hasahasa imam maalik na ahmad. chengine hawa jamaa wanachuki na watu wasunna kuliko ata awo wanao wakufurisha maswahaba nakuwatukana kama shia ibadhi wote awo wanawatukana maswahaba nakuwakufurisha lakini ndio walio wakumbatia hata kwenye uzushi wao wa maulid. hawajielewi kabisa hawa.
Wazee wanajizima data kweli kufurahisha genge
Mkimuona mtu mzima analialia ujuwe limemkaa kooni mumeshindwa kutetea msimamo yenu sasa munalia lia Allah awaonggoze
Nikweli kabisa,Allah awaongozw wale wanaozusha mpka kwenye tawhed tatu!.
@@IsmailSanga tawhid 3 haijazushwa munaficha ushirikina wenu
@warshysaid8564 We MUHABI mshirikina niwewe ambae unaabudu miungu mitatu ULIHIYA RUBUBIYA WASMAASIFAT.
Niletee Aya katika Qur an inayosema tawheed imegawanyika mara tatu!.
Alafu uniletee hadith zaifu ya MTUME aliowafundisha maswahaba TAWHEED imegawanyika Mara tatu.
Yahudi mkubwa we!.
@@IsmailSanga kwanza kawaulize masheikh zko tawhid ni nn?
Ukishajuwa njoo uulize maswali yako.
Kwa kukusaidia tu kdgo ( TAWHID SIO MUNGU)
@warshysaid8564 Swali langu jepesi sana,Lakini unarukaruka utadhani popcorn.Wewe Na MAWAHABI wenzako nendeni mkajifunze vipi MTUME alifundisha TAWHEED na vipi aliwafunza MASWAHABA TAWHEED ,sio mnaleta TAWHEED zenu za KIYAHUDI.
Mzee mjinga nabusara zakijinga mutakufa naujinga nahiki kizazi chasasa hamukipati tena labda wapiga madufu naminanda lakini siyo ahlul ilmu
Sheikh ajataja chupi mbona mnamzulia
Kwahy chupi ni din mtume amesema mwenye kuzusha ktk din wazushi bwana,,
Mbona huyu mzee anachoongea ni upuuzi mtupu mifano ya kijinga ndiyo anaitoa Allah atuongoze sote ktk haki.
Na ngumu kwako kuonyesha udhaif wa hoja zake ila ni rahisi kumtukana mtu makamo ya baba yako kwa kua tu hukubalian nae anachosema! Halaf mwenyewe unajiona mwenye haki
Uongo huo...
KWANI KUVAA CHUPI NI KTK DINI?!
Hii ndiyo shida hii mijitu miovu mijitu ya ngoma mijitu yabidaah
Sio dini na ndio maana watu wa hija hawavai chupi
Ujinga ya masufi
Huyo wapembeni yako hapo anamjua bachu vzr aliwahi kuyakanyaga ila alijirekebisha kidogo baada ya kusema kua mtu amuazimishe mtume vile anavojisikia mwenyewe
Yoote ulio yaeleza hakuna.wanacho.kikataa ila umekosa cha kuwakosoa huyu.shekhe kwa mtu aliesoma atajua tu anaongea.kisiasa yani hana.dalili kamili
KIBABU NKIKUSKIZA MWANZO MWANZO TU NAONA KUWA UNACHONGEA TU NA HUJAFANYA UBAINIFU. USIWACHANGANYE MASALAFI NA MAANSWAARI KWAKUWA WAMETOFAUTIANA TAYARI, KILA UCHAO MASALAFY WANAWARADDI MAKHAWAARIJ - UFANYE UADILIFU MZEE USIWATIE SALAFIYYUUN KTK KAPU MOJA NA KHAWAARIJ.
Huyu suffiyyah ghurafi ujinga ndiyo wamchanganÿa
Uwenda wa mzee ni ktk wanao vizia umufutii,tu wakhuraf
Sisi tunaangalia katika dini wewe mbona unaleta mbwembwe zingine ndugu hujui nyamaza ni Bora saana
Hahahaha kumbe mijitu ya bidah hainaga akili.saaa chupi niibada?
Huu unaitwa umwehu
Siku zote mkijaalia wajinga ndo wakuongozeni ktk dini tarajieni kuburuzwa sana
We kuwa na adabu we una elimu wewe ama umeachiwa matusi tu
@hamisimwalimu7333 wewe endelee na kipofu wako matunda utakula peke yako
KAMA WANAAKILI VILE
Mjadala,hila na hadaa,ung’ang’anizi wa hawaa na maslahi ya kilimwengu,vitawaumiza sana,Al jazeera Saudia ipo kwa kadara ya Al wahab Subhana wataalla,wao wamerehemewa wamepewa na hatuwezi kuwanyang’anya,na wanamtegemea Al Wahab,tena wamempa utukufu wake,wala hawajamtengenezea Ibada,na hilo ndilo waliloshikamana nalo,haki itasimama kwenye haki,Ibada zao zimeamrishwa na Al Wahab Subhana wataalla,Allah awazidishie na awape nguvu ya kusimamia haki,kelele za mlango,hazimshughulishi mwenye nyumba,Allah anayajua yaliyofichikana tusiyoyajua sisi watumwa wake,YaAllah tuongoze kwenye njia ya haki na utuepushe na batili. Uvitie vifua muongozo wa Quran na Sunna alizotuachia mtume wetu mpendwa Muhammad Sallallahu Alayh Wasalam.Amin
Mzee ,wa khurafi
Uwenda ni Ktk wale wanao vizia umufutii