NDARO AAGIZA MATIKITI / AU BASI SIO TAMU😂 / NANUNUAJE SIJALIPENDA | HIVI NI KWELI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 มี.ค. 2022
- NDARO AAGIZA MATIKITI / AU BASI SIO TAMU😂 / NANUNUAJE SIJALIPENDA | HIVI NI KWELI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Muuza matikiti🙌🙌 very humble guy...thats how a real man is supposed to be...
Dah muuza matikiti ana utu na mstaarabu sana watu kama hao Dunia ya Sasa wachache sana,MWENYEZIMUNGU AMUONGEZEE RIZKI INSHALLAH
th-cam.com/video/GMKI1wbM-zA/w-d-xo.html
🙏
Ni wawili tu wamebaki yeye na mimi
@@Noah-zt5zf mmmmmh au bac
@@Noah-zt5zf haaa weee kaka weee 😄😄😄😄😄😄
Sijachelewa jamanini ndaro nakupenda bureeee ila uyu baba wa matikiti ni mstaarabu saana🥰 allh akujaaliye kher katika ridhiki yako ya halali🙏🤲 ana imani na kazi yake mashaa allah
Wenye Roho kama Mfanyabiashara wa Matikiti Kwa dunia hii wachache Sana Please God Mmwagie Baraka na Neema ya Ajabu,
Amen
Jaman Baba wa matikiti 🥰he’s too humble man 😇
Mstaarabu sana
Yapo meupe mbona ila kwa dar sijawah yaona yapo nje kijani ivo ivo ndan meupe
@@manoatzofficial1384 ndio yapo
Nimecheka kwa sauti🤣🤣 ila broo wa matiki anajua kuishi na watu na ana hekima
Daah! Mmebuni kipindi vizuri sana tena sana kama vituko wanavyofanya nje wanawasumbua watu mwisho wa siku wanawalipa daah! Nimeipenda sana hii
Baba muuza matikiti mstarabu mashallah uyo Baba mwengine mtata hatar🤣🤣Big up mo town 🙌
Duh hata mimi nilishapandwa na hasira nikimuhurumia mzee muuza tikiti ila mashaallah ana subira sana mungu akutilie baraka kwenye bihashara yako inshaallah 🤲🤩
Amin
Huyo mzee mwingine Sasa wee🤣🤣
@@linahsemindu4261 amelivaa nakwambia utafikiri tikiti ni lake 😂😂😂 safi sana kaonyesha ushirikiano
Ameen
@@linahsemindu4261 kwenye maisha kuwa na mtu kama huyo mbaba ni mhim😁😁😁😁😁
Big up sana kwa muuza matikiti 🥰🥰 Mwenyezi Mungu ambariki mpaka ashangae 🌹🌹🌹❤️
Eeee mwenyez mungu,huwabarik wenye moyo safi kwa rehema na neema zako nakuomba mungu umbarik muuza matunda mpaka ashangae
Amen
Amiiin inshalllh dahh
Amina
Amine
Ameen ameen kwa uwezo wa Allah
Upate mtu mmoja tu wa kukutea na kupigania kwenye haya maisha...aisee Yani tuwe kama huyo mzee ambaye amempigania mwenzie ili hela ya tikiti itoke
Ila Uyu Mzee Aliye Ingilia Ugomvi Wa Watu ni Wamoto hatari 😂😂😂😂
Hatakama ni wewe utamtete maana muuza matikiti ni mpole
@@kicmarthawa6659
Kabisa yani ila kanogesha sana show 😂😂
yangekuwa biashara yake angeua mtu
@@ericksangajr7173
Kabisa yani
Mzee kaandamanaje
NDARO WEWE NI NOMAAAAA.... UMETISHA SANA KAKA. Nadhani hichi ni miongoni mwa kipindi Bora kwa mwaka huu.
Muuza matikiti wa Kwanza yupo humble sana ila Ndaro na Mo town Sanya wote wanajua namna ya kucheza na akili za hao Jamaa
😂😂😂 Ndaro mnyama sana 🙌 Baba wa matikiti msaarabu jmn Allah akujazie rizki za halali 👏
huyu mzee mpka machozi yamenitoka dah .....busara ina faida sana tujifunze kitu hapa mzee wa matikiti umekuwa nyota ya mchezo
🤣😂🤣😂😂 hapo Kwa Mzee Nimecheka mpaka machozi,big up sana
Kama umecheka na scene ya Kwanza na huyo mzee anavo m- guard Ndaro weka #like
Hii ndio maana harisi ya biashara Ni uvumilivu tujifunze kitu hapa mzee ameonesha busara nyingi sana mpk nimempenda mzee wangu
wazee wa tanga hawa angeondoka bila kulipa afu angeona mzki
😂😂😂nimependa sana hii sema mzee wa matunda roho yake safi mno
Sana
big up muuza matikiti nimekukubali baria wangu unamoyo wa kipekee
NemboYaMtaa
th-cam.com/video/GMKI1wbM-zA/w-d-xo.html
Kweli kabisaa mmmh najiuliza ningekuwa Mimi ingekuwaje,jamaa ana Moyo
Number yake please wapendwa
😂Huu utani kwenye biashara za watu atakuja kupigwa mtu
Ubunifu mazuri sana, ila ni hatari unaeza dhurika, big up sana wasafi👏👏👏
Nakupenda baba wa matikiti,angekuwa muuza matunda mwingine uwiii ngumi zingepigwa ..MUNGU akuone kwa biashara yako.
Huyu baba anaeuza Matikiti nimstaarabu Sana habishani Wala kugombana pamoja na yote aliyoyendewa ktk kipindi hiki kigumu cha biashara Mungu amzdshie
Sijawahi kutana na mtu mstaarabu namna hii, daaah! Na imagine ningekuwa mimi, khaaaaah nshavunja mpaka camera za watu wa kurecord
@@mugapro kabisa inataka moyo
@@mugapro 😄🤣
Number yake please
Gonga Like kwa NDARO mzee wa AU BASI ACHA TU 🔥🔥
Eeenh Mungu mbaliki muhuza matunda apate utajili mkubwa mpaka ashangae yeye na familia yake🙏🙏🙏🙏
Huyu baba mwenye shart ya drafti mnoko 😂😂😂kha
Uyo mwanaharakati,mtetezi hao ndo wanatakiwa😢
Uyo Mzee amejua kunichekesha jmn duuuu siku yangu imeisha vzr kwa kipindi hiki pendwa mo bigp kwako❤️❤️🙌🙌🙌🙌
Wanangu mloskia konde Gang kama mm nipen like zenu
Uyu kaka jamani ni mkaushi balaa 🤭🤭😂😂😂ilaa uyo baba wa kwanza duu Mungu amzidishiye biashara yake🥰🥰🥰🙏🙏🙏
I like this
Mmekuwa wabunifu sana katika hili very interesting
That what People need for social media
Ndaro kigoma mabegan 🔥🔥🙏 ulipo nipo
Jmn mzee wngu muuza matikiti, wish u all the best kwenye biashara yako! Mungu ata kushushia baraka tele!!!!!
Amen,
Amiin
Muuza matunda mungu ambariki sana see mzee wa watu ni mpole
😂😂😂😂😂hii kipindi kuna mtu atapigwaa kwelii
Umedondosha ww ela sis tufanyajee🤣🤣🤣🤣🖐️🖐️🖐️🖐️
"IYO IYO ANAYO IMAGINIIIIIIIII YEYE"... "NINAYO IPO HUMU"... "UMEDOSHA WEWE, SISI TUFANYAJE" _MJOMBA WA SHATI LA DRAFTI 😁🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Mzee wa Watu kidogo Aangue Chozi Maskini😊😁😁🤣
15:51 hiyo hiyo anayo imagine sisi tunayo hatukupi 😂😂😂😞😞
Muuza matikiti ALLHA akujaalie heri ila nimempenda nauyo mzee mwingine niwamotoooo
Muuzaji mpole jamani mungu ampe umli mlefu mzee huyu mstalabu sana
HAHA, MJOMBA WA SHATI LA DRAFTI, ANAELEZEA. "DUNIANIIIIIIIIIIII"😬
1. Be calm in every situation.
2. Be kind to unkind people. They need it the most.
3. Peace is everything.
Naomba number ya muuza matikiti, mwenye nayo🙏🏽❤
Iyi Shaw ili uwa sana kabisa
Sichoki kuirudiliya 😂😂😂😂🎉 Big up wazeeee
🤣🤣🤣Sanya hii umeshindwa kukaza kabisa an
Love from Burundi
Kabsa
Wahuni kwen ngoma ya fresh wamekill kinoma😂😂
Tunaomba IRUDIWEEEEE IRUDIWEEEEE IRUDIWEEEEE TENA 😊😊😊
MoTOWN SAFIII SANAA NDUGU NIMEPENDA UBUNIFU MZURIII SANA MAANA NILIKUWA NAWAZA NDARO ATAFANYAJE ILA SAFII SANA BIG UP NDARO
Hahahaha nmechek Xana kweny gonga beat😆😆😆chibu anawez kuwafung wanahalib nyimbo yke
Taratibuni jamani mtaniulia sanya wetu kwa kucheka 🤣🤣🤣😂
This is amazing 😂😂😂 ila huku 254 ukijaribu lazima upigwe maana watu wamechoka sana😂😂😂
Huyu baba mrefu ingekuwa biashara yake angeua mtu leo hahaaaaa
Man of the lessons is Mzee was matikitii is humble
Na aliyemsaidia naye yupo vizuri
''''HIYO HIYO AMBAYO ANA IMAGINE YEYE TUNAYOO SISI...TUNAYOOOOOO....HATUKUPIII....IPO IPOO HII HAPA...IPOOO .. SIKUPIII...NDIO HIVYO ENHEEEEEEEEE"" AHAHAHAHA
Mzee noma
😂😂
😂😂😂😂 ndaro hacheki aisee 😂😂😂😂 ametisha Sana 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣et matikit yatuvue utuu
Hii ni noma more creative ideas 🔥🔥
Huyu hayuko sawa jaman🤣🤣🤣
Nampenda ndaro🤣🤣🤣
HIO ANAYO IMAGINE YEYE TUNAYO NA HATUMUPI😂😂😂😂
Mzee mtata sana😂😂😂😂
@@lwiticomwalukumba4148 mtata mwenye utata mrefu.
😂😂😂😂😂
Nimempenda muuza matikiti wallah 😍😍😍😍
Mwanangu umeua kinyama.. au Basi😂😂😂😂
Scene ya kwanza nimecheka sana alafu nilikuwa katikati ya watu wengi then wakaanza kuniona kituko.
Huyu baba ni mkorofi kama mkurya aisee😂😂😂muuzaji matitiki ubarikiwe sana🙏❤
SHIRT YA DRAFT;Nimeshikwa na hasira cjawai shikwa lakn mamaaa 😂 muuza matikiki katoa somo zuri sana
Duh kipindi kizuri sana ila nilikuwa nimesha jaaa asira kwelii but mumemaliza vizuri Na mzee muhuza tikiti, God bless you kwelii mzee
Mungu aibariki kazi ya mikono Yako we mzee p1 ndaro ulo leta challenge hii big up wasafi pia✌️
Hamna duniani tikiti ndani jeupeeee 😂🤣🤣😂🤣
noma sana
Lipo lakini
Lipo
Hamnaga kaz mbovu mo town sanya nawakubal sana uyo mzee wa wa matikit ana busara sanaa mwenyez mungu amwongezee
Hao walio imba 😂😂😂wapewe zawadi jaman sio pwh 😂😂wametia mabonye 2 wachina si wazungu oyaweeeeh kam hawana meno°°😬kazi iendelee ✍🏻tushaenjoy°°
Mpambe yuko vizurii kachachuka hasa😂🤣🤣
usichezee mtaa wetu 😂😂😂
Mwamba anakwambia dance and konde gang
😂
🤣🤣😜 Sharap Sanyaaa 🦁
Hahahahaha ndaro 😀 au Basi
Ety nikatieni tikiti lingine tuishane 😂😂😂😂
Mzee anaaonekana kitambo sana ajambamiza MTU ndaro alikuwa anapata kichapo
😁😁 alitaka ambutue mshuti akaghaili
Ndarooo 😂😂😂😂😂😂 Big up mec wng na mzeeee apooo mume uwa saaaana 🎉🎉
Huyo mzee mwenye shati la draft viroba kweli, au basi
Daaaaah nimecheka sana big up NDARO....
Umetisha sana Moh Big up sana kaka
Bonge la kipindi aseeh FOA Month Celebration 🎉🎉
th-cam.com/video/GMKI1wbM-zA/w-d-xo.html
Huyo mzee mtata kanifurahisha Kuna mda ndaro alikuw anazngua had akabaki anacheka tu🤣🤣
😂😂.ila matikiti maji meupe yapo ndugu zangu.😂😂
Nimependa huyu mzeee jaman anayemtetea mwenzie😂😂😂😂saf kabisa
😂😂😂Hawa vilandage unawaokotaga WAP😂😂😂
Ndarooooooo💚💚💚💚💚💚💚💚💪💪💪💪💪
9:47😂😂😂. Kaa kuleee wewe
Doh huyu mzee alivokomaa kama bishara yake cjuwi mstafuu au alikiwa mababe sana mambo ni moto mzeee
Huyo mzeee mtemi 😀😀
Mzee wangu mpaka na cheka🤣😁🤣😁😁🤣nani kasikia ilo neno
Mo town we ni nomaa❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nini eeeeh apo kwenye kuimba ndio Bala tupu 🤣😂🤣🤣🤣
Zote mbili atowe hela 🤣🤣
Ila yule mzee wa viatu wa wiki iliopita ameuwa sana
Ndarooo Big up bro umeuwa Sanaa 🎉🎉🎉🎉
Mzeee wa shat ya draft katisha kichz 😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Iyo ndo best pranks mwaka huu