"KAKA NAOMBA NILALE GETO KWAKO USIKU WA LEO TU, BWANA ANGU KANIFUKUZA/SINA PA KWENDA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • "KAKA NAOMBA NILALE GETO KWAKO USIKU WA LEO TU, BWANA ANGU KANIFUKUZA/SINA PA KWENDA"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 272

  • @bernardmkuffya5171
    @bernardmkuffya5171 ปีที่แล้ว +19

    Tanzanian are very loyal and trustable.God bless them to continue with their kindness and peace keeping.

  • @naomimavura2239
    @naomimavura2239 ปีที่แล้ว +18

    Huyu mzee ana hekima sana ..kaona usalama wa binti bora achukue namba za wote kijana akifanya chochote ajue namna ya kumsaidia binti🎉

  • @teacherd
    @teacherd ปีที่แล้ว +22

    Nimempenda saana huyu mzee🔥🔥🔥🔥

  • @franktiba1506
    @franktiba1506 ปีที่แล้ว +27

    Watanzania wana roho za kipekee sana wana uafrica saaana Mungu atubariki

    • @saidmrisho3929
      @saidmrisho3929 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo ni oungo bhan hakunaaa angekua mwanaume iingukua vita

    • @davidcurtis175
      @davidcurtis175 ปีที่แล้ว +1

      Amen

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 ปีที่แล้ว +11

    Nimesisimka Asante Sana Tanzania uyu mwingi walah🙏

  • @hudsson75
    @hudsson75 ปีที่แล้ว +8

    Hii inaonesha vijana wengi bado wana maisha magumu sana. Wote hao hakuna mwenye geto lake mwenyewe.

  • @swalloonpoint2306
    @swalloonpoint2306 ปีที่แล้ว +27

    Mhuni hawezi kabidhiwa chombo kikubwa kama wasafi, wasafi ni kubwa sana. Maneno ya mzee

  • @azibossladykenny2455
    @azibossladykenny2455 ปีที่แล้ว +6

    Nahir anajuw mpak anajuw tenaa yani anajifanya mpol utazani ni kweli🥰🥰🥰🤗🤗

  • @patrickrumaga5936
    @patrickrumaga5936 ปีที่แล้ว +74

    Kipindi fulani kulitokea matatizo shuleni kwetu nikatoroka nilipofika Sumbawanga nilisaidiwa kwa watu wasionifahamu na niliishi kama mtoto wao' Tanzania yetu

    • @tfelician
      @tfelician ปีที่แล้ว +9

      Ulishawahi kwenda kuwapelekea chochote kitu, au kuwasalimia tu Hadi hivi sasa??.... Vijana wetu bhana 🤦

    • @leonardgervas7515
      @leonardgervas7515 ปีที่แล้ว +1

      Rudi siku moja uwasalimie.

    • @edwardbuttu3981
      @edwardbuttu3981 ปีที่แล้ว

      Sumbawanga sehem gani, napia karibu sana ufipani uku

    • @dunstanemanuel7795
      @dunstanemanuel7795 ปีที่แล้ว +1

      Kanta boy wew co bure😄😄😄

    • @danieljoseph6207
      @danieljoseph6207 ปีที่แล้ว

      M banah imekuwa ikinitkokea mala Kwa mala kusaidiwa na mpka ssa na wazazi zaid ya 5 walio nisev na hata ssa wengi wanajua mm n mtoto wao

  • @johanesnixon5473
    @johanesnixon5473 ปีที่แล้ว +40

    Tanzania 🇹🇿 ninchi ya watu wakalimu Sana imeshanitokea nilifukuzwaga nyumbani nikasaidiwa na watu baki nilikaa almost one week mzee akanipigia cm nirudi nyumbani mtihani asee omba yasikukute aloo😭😭😭

    • @mamuoman7849
      @mamuoman7849 ปีที่แล้ว +3

      Yalinitokea pia ila nilisaidiwa nilikua Zaid ya miez 4 nikienda kazini narud kwa mama wa rafik japo hakua sana rafiki ila nataman siku moja nikamtembelee manake huu ni mwaka wa sita na kitu sijamuona.. Kuna watu wanamoyo sana jaman

    • @johanesnixon5473
      @johanesnixon5473 ปีที่แล้ว +2

      @@mamuoman7849 so sorry MAMU ndio maisha Ila ujitaidi usije kuwafukuza watoto wako au wanje yandoa

  • @stn4873
    @stn4873 ปีที่แล้ว +5

    Sema Pisi inavyojielezea iko vizuriiii..

  • @hukuUJERUMANI
    @hukuUJERUMANI ปีที่แล้ว +25

    Unbelievable demonstration of kindness of us African people who have almost nothing for ourselves but always ready to share whatever little we have with others. Inapendeza, yaani inaliza. Hapa Ulaya hili haliwezi tokea abadan! The guy in yellow is ready to introduce a stranger to his mother and even risk his marriage to help a stranger. What about that! Africans are very special people.

    • @alexkitundu2413
      @alexkitundu2413 ปีที่แล้ว +4

      For sure, We have that spirit especially here in TZ kindness and hospitality is our culture to everyone even strangers

    • @hukuUJERUMANI
      @hukuUJERUMANI ปีที่แล้ว +3

      @@alexkitundu2413 Absolutely impressive

    • @enockabumba7513
      @enockabumba7513 ปีที่แล้ว +2

      Acha zako bwana

    • @AbuuAbdilRahmaan
      @AbuuAbdilRahmaan ปีที่แล้ว +3

      Tena watu maskini kabisa... Kwa matajiri ni nadra sana kusaidia mtu stranger... Ila ndio yale kafia geto.

    • @hukuUJERUMANI
      @hukuUJERUMANI ปีที่แล้ว +2

      @@AbuuAbdilRahmaan inashangaza. wasio na kitu ndio walio na moyo wakusaidia wengine

  • @zena6203
    @zena6203 ปีที่แล้ว +8

    Uyuninaira wajuwakali mrembo mashallah

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 ปีที่แล้ว +6

    Mm nlisaidiwa seem nikakaa week2 nakula na kulala tu then na kaz nikatafutiwa hadi leo hii nafanya kaz tangia 2016 nashkru mungu pia baqdh ya watz wana rohonzur sana pia na wao walinpendasana kwa loyalty yangu

    • @africanproudly4004
      @africanproudly4004 ปีที่แล้ว +1

      Usiseme baadhi asilimia kubwa watu wana roho nzuri tusitishwe na wachache wamitandaoni

  • @mitumbagradeonekutokakorea409
    @mitumbagradeonekutokakorea409 ปีที่แล้ว +12

    Mnajitahidi sana ipo siku mtafanya makubwa, ubunifu upo hapa

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin หลายเดือนก่อน

    Nenda Nairobi kama utapewa sehemu ya kulala. Wabongo tuko na upendo sana wabongo big up

  • @UpepoVlogs
    @UpepoVlogs ปีที่แล้ว +11

    Ila jamaa wa mwisho nimemuelewa sana kuanzia kauli zake hadi roho yake👍

  • @pendobaharia5598
    @pendobaharia5598 ปีที่แล้ว +15

    Huyo mzee Ana hekima Sana big up

  • @juliusjulius2080
    @juliusjulius2080 ปีที่แล้ว +12

    "Utayaweza kweli maisha ya uswahilini maana mtu mwenyew unavoonekana dah"

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 ปีที่แล้ว +10

    SubhanaAllah mweyeeee 😢😢😢maskini huyo mze ana moyo wakusaidia na kaka wa njano

  • @fidurashidi5781
    @fidurashidi5781 ปีที่แล้ว +37

    Wabongo tupo loyal sana, ready to help kwa namna yoyote💪

    • @santosdanny9243
      @santosdanny9243 ปีที่แล้ว +1

      Wapi huyo demu kuwa wewe uone 😂😂😂😂😂

    • @2cash259
      @2cash259 ปีที่แล้ว

      @@santosdanny9243 😂😂😂

  • @mwasa_tv
    @mwasa_tv ปีที่แล้ว +7

    nimempenda sana uyo baba

  • @Abdulhamid_Suleiman
    @Abdulhamid_Suleiman ปีที่แล้ว +27

    Mtoeni japo 100K mwamba ana moyo sana

  • @Momo_96
    @Momo_96 ปีที่แล้ว +51

    You Guys Mnatakiwa Kuwa Serious Muwaige Wenzenu Wanavyofanya
    Inabidi Mpange Na Mtenge Kifungu Kabisa Kwamba Atakayetoa Msaada Au Atakayeonyesha Moyo Mnampa Kiasi Cha Pesa Show Some Appreciation Sio Mnatoa Content Watu Wanadeliver Mnawaacha Ivyo Sijapenda 🇹🇿🇹🇿

  • @ndikumanarodrigue5657
    @ndikumanarodrigue5657 ปีที่แล้ว +12

    Kavile naila wa jua kali!! Ila wabongo 2na roho , za kibinadam nimepnda xna hii

  • @jjoashjoash4113
    @jjoashjoash4113 ปีที่แล้ว +10

    Nimegundua hapa town watu wapo kwa ndugu zao kumbe wanaojitegemea ni wachache sana tupige makofi kwa tunaojitegemea🤲🤲🤲

  • @mackmtata8277
    @mackmtata8277 ปีที่แล้ว +17

    Nilicho jifunza kuwa watanzania wastaarabu kwel kweli

  • @joesimba1146
    @joesimba1146 ปีที่แล้ว +13

    Sanya broo , huwezi kosa zawadi ya kuwapa ambao waneonyesha moyo wa ukarimu, wape hata kianzio cha beti yenu tena
    Kipindi kizuri kinahamasisha , pamoja na matatizo lkn tuko pamoja, keep it up brothe

  • @alantonio855
    @alantonio855 ปีที่แล้ว +7

    Kipindi cha leo....serikali ingekitumia ili kupata takwimu za raia wake wanavyoishi na ukame,shida ili kuweza kuendeleza jamii na kukuza ajira

  • @dottohami
    @dottohami ปีที่แล้ว +12

    Mzee ana hekima sana masha Allha

  • @zikenims6167
    @zikenims6167 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah naira

  • @mzenjikichaa8695
    @mzenjikichaa8695 ปีที่แล้ว +7

    Mwamba wa mwisho mngemtoa ata 10k ako humble

  • @moutinhomerlin6498
    @moutinhomerlin6498 ปีที่แล้ว +12

    Unyama ni mwingi sana kwenye nafasi Yako kaka mo

  • @Zaburi-
    @Zaburi- ปีที่แล้ว +7

    Hawa wana wametisha sana 😀😀😀😀😀😀

  • @neemamkemae2580
    @neemamkemae2580 ปีที่แล้ว +29

    Sema mo town introduction unaongea sana bhn.....🥹🥹🥹🔥🔥🔥

  • @bakariathumani8105
    @bakariathumani8105 ปีที่แล้ว +6

    Nlichogundua dar watuweng hukaa kwandugu najamaa.. ingekua chuga ungefrai na,show...😁

  • @sadiboytz2054
    @sadiboytz2054 ปีที่แล้ว +4

    Sanya nakubali mwamba

  • @josephgatunzi1670
    @josephgatunzi1670 ปีที่แล้ว +8

    Good job

  • @bupeisaya9063
    @bupeisaya9063 ปีที่แล้ว

    Naira wetu wa jua Kali ♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @killywilly6932
    @killywilly6932 ปีที่แล้ว +7

    Sanya nyoko sana kabla ya kuwa mtangazaji alikuwa muigizaj awasaidie bongo movie 🤣🤣🤣

  • @gaudencewilliam238
    @gaudencewilliam238 ปีที่แล้ว +4

    Wanaume tunacare sana bas tu yani

  • @BarakaAmosi-gb4ve
    @BarakaAmosi-gb4ve ปีที่แล้ว

    Sema da nimecheka sana

  • @SafiyaJ-yw2vt
    @SafiyaJ-yw2vt ปีที่แล้ว +1

    Sio kweli

  • @yossephcasiani2328
    @yossephcasiani2328 ปีที่แล้ว +4

    Aisee. Tuliokuwa na maghetto tuheshimiwee. Wengi waishi kwa kuungaungaa sana aiseee dah

  • @rehemamsengo2805
    @rehemamsengo2805 ปีที่แล้ว +6

    BIG UP brother wa njano👌👌

  • @DurahRich
    @DurahRich ปีที่แล้ว +21

    11:35 wasafi tv ni chombo kikubwa😂😂😂

    • @joshydan5029
      @joshydan5029 ปีที่แล้ว

      Motown nembo ya mtaa

    • @Saidkhel
      @Saidkhel ปีที่แล้ว

      Kwanza uwongo wasafi ni no one

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 ปีที่แล้ว +5

    Tz tunaroh nzur sana nimependa

  • @marafikistation
    @marafikistation ปีที่แล้ว +1

    Wehu mnashindwa hata kumpa buku sio gud

  • @mrtitus5536
    @mrtitus5536 ปีที่แล้ว +3

    Umeua boss

  • @richardchijana9665
    @richardchijana9665 ปีที่แล้ว +6

    Ila kelele kipindi kipo Safi sana ila sauti

  • @samsammushi9844
    @samsammushi9844 ปีที่แล้ว +3

    Hahaha kweli watu wa dar n matatizo at pakulala akunaaa

  • @makanjicharles9860
    @makanjicharles9860 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥bonge la show

  • @barakakusa7606
    @barakakusa7606 ปีที่แล้ว +4

    Mwanzo nilijua ni mim tu ndy sina hata alfu tatu,kumbe tupo wengi🤣😂🤣

  • @darviswantana7669
    @darviswantana7669 ปีที่แล้ว +3

    Mpeni pesa uyo Jamaa wa mwisho

  • @gladnessmunyanyi5775
    @gladnessmunyanyi5775 ปีที่แล้ว +14

    Usiposuka unapendeza motown

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk6736 ปีที่แล้ว

    Mimi nadhani Kw kua mmechukua Muhusika wa kike tena Smart Embu Chukuen wa kiume avae uhalisia wa kawaida...

  • @allysekela-tq4jk
    @allysekela-tq4jk ปีที่แล้ว

    ssna umetisha sana kaka

  • @nziokajacob638
    @nziokajacob638 ปีที่แล้ว +4

    Ningeomba mlete hii kipindi huku kwetu Kenya team wasafi online.

    • @bentez911
      @bentez911 ปีที่แล้ว

      😆😆😆😆

  • @hashimlowela294
    @hashimlowela294 ปีที่แล้ว +5

    😄😄😄😄we motown siku utakuja kuua mtu yan me huyo ungenipata ningetoa msaada ila uyo dada nae yumo et asije akantangaza kwenye ma tv mtu mwenyew muun muun

  • @delvinngaiza7500
    @delvinngaiza7500 ปีที่แล้ว +4

    Oy...Motown sanya..pamba...zako...unanunuaga...wapi....nazikubaliii....sana👊

    • @jumaabas6837
      @jumaabas6837 ปีที่แล้ว

      Kama hizo pia tunazo tufollow insta gram @Malindostore_ tupo dsm tegeta

  • @jofuhamad8765
    @jofuhamad8765 ปีที่แล้ว +8

    Mwamba wanjano katisha sana nimeipenda

  • @gaudencewilliam238
    @gaudencewilliam238 ปีที่แล้ว +3

    Good idea 💡 👏 motown sanya

  • @sylivestermwasile4203
    @sylivestermwasile4203 ปีที่แล้ว +4

    Kawaida saana hyo kwa mimii kuwasaidiaa

  • @dawoodmkangila2854
    @dawoodmkangila2854 ปีที่แล้ว

    Kazii kaziii mbuzii kafiaa kwa muuzaa supu

  • @hanashhanash535
    @hanashhanash535 ปีที่แล้ว +5

    Dar mtihani tuu bongo ☺️🤣🤣🤣

  • @martinjosephat4694
    @martinjosephat4694 ปีที่แล้ว +3

    Danya hapana hua unawatoaga pesa. Huyu mwana. Alie kubali hukamtoa🧐

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe ปีที่แล้ว +6

    uyu n nailaa

  • @kaburamelikiadi4722
    @kaburamelikiadi4722 ปีที่แล้ว +2

    Karibuni Chicago Illinois USA tuko pomoja

    • @kayalaonlinetv
      @kayalaonlinetv ปีที่แล้ว +1

      Really bro, mi niko LA ma nigga karibu bro

  • @jn_mustonez7842
    @jn_mustonez7842 ปีที่แล้ว +7

    Oya Motown umezingua kinyama ungemuacha mpaka home mkamuona hata mother yake ju mama amemfundisha mwanae na ameelewa kusaidia wahitaji. Jeff fro from doha catar

    • @reinatave3022
      @reinatave3022 ปีที่แล้ว +1

      Isingekua rahisi coz yule jamaa angeshtuka zile camela zinavyoendelea kuwafuata🤣🤣🤣🤣

  • @sportplus45
    @sportplus45 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo Nywele hatujaizoea utafkr 20 Pasenty

  • @Metrodesigns21
    @Metrodesigns21 ปีที่แล้ว +1

    Huyo morio, alijipa si aty nini!!! Lakini mumemkatsia mbaya

  • @mwanahawaomarimashaka197
    @mwanahawaomarimashaka197 ปีที่แล้ว +4

    Naira

  • @boazjoseph6372
    @boazjoseph6372 ปีที่แล้ว +1

    Daaah etiiii chuma ichooo hapooo

  • @hukuUJERUMANI
    @hukuUJERUMANI ปีที่แล้ว +7

    '' ... daah, mitihani tu Bongo hapa ..''. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shebby9593
    @shebby9593 ปีที่แล้ว +3

    Vijana wa hovyo huwa tupo tyr muda wwt 😃😃

  • @mr-option7751
    @mr-option7751 ปีที่แล้ว +2

    Mshikaji ananusa kinoma mbona kama unani enjoy😅😅😅

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 ปีที่แล้ว +2

    Asante studios

  • @nobodyog9512
    @nobodyog9512 ปีที่แล้ว +8

    Ambacho sitaki kukikosa kwanza ni kula😂

  • @bigirimanadaudi9797
    @bigirimanadaudi9797 ปีที่แล้ว +8

    Umeshawahi kuona wapi demu kama huyo akakosa msada halafu msaada wakulala wew hapo hamna msaada wowote jaribu uweke mwanaume uone kama kuna mwenye atamsaadia

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 ปีที่แล้ว +8

    mo town nakufatilihaka sana kutoka Cape town South Africa 🇿🇦 kesington..una mambo jamawangu wewe

  • @tchidebennyz4038
    @tchidebennyz4038 ปีที่แล้ว +5

    Jalibu kufanya cama hii na mwanaume, maana watu wasiwe anafanya kwasababu ni demu

    • @allyjabeer1924
      @allyjabeer1924 ปีที่แล้ว

      Mwanaume unalalamika vip hauna Makazi BoB au wew umezaliwa Dar 🤭#JOKE
      Ila mwanaume hawez sema au kulalamika atakufa nalo moyoni na ndiy kitakachomtia hasira ya kutafuta chapaa🫂

  • @minanitheophile3583
    @minanitheophile3583 ปีที่แล้ว +1

    Motown Sanya tumiye pesa tujuwe WCB kuna pesa awo munadanganya tuuuu Mutu nakubali kusayidiya but kipindi kinakeisha akuna shukruna ata buku 5000

    • @mussangenge957
      @mussangenge957 ปีที่แล้ว +1

      Tukusaidie wew kwanz urudi shule ujue kusoma ndugu yetu

  • @PrinceWalterM
    @PrinceWalterM ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂mi sina ghetto niko kwa Boss....

  • @buddahmakucha6848
    @buddahmakucha6848 ปีที่แล้ว +8

    Kuna mbu utaweza kweli😒😂

  • @thebroski9763
    @thebroski9763 ปีที่แล้ว +8

    Fanya hivi nikuconnectie basi 😂

  • @rogerlyaruu5739
    @rogerlyaruu5739 ปีที่แล้ว +6

    aje siku moja tabata ndo ungejua malaya wako wengi

  • @yunussaleh8493
    @yunussaleh8493 ปีที่แล้ว +3

    Wenu nyinyi niupuuzi lazima ummpe mtu zawadi kaonesha roho SAFI alaf umempotezea mdawake kuendesha kipindi chako

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 ปีที่แล้ว +10

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣broo uko fireeeeee

  • @starkidwamoro8775-n5e
    @starkidwamoro8775-n5e 10 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @Malekanojr
    @Malekanojr ปีที่แล้ว +4

    😀😀 mwamba alikuwa anaenda kupaka vumbi

  • @michaeltheophile7035
    @michaeltheophile7035 ปีที่แล้ว

    Big up 🎉🎉🎉🎉

  • @hassanimohamedi5489
    @hassanimohamedi5489 ปีที่แล้ว +1

    Motown Sanya miyeyushO kweLi Hahahaa 😄 😄 😄

  • @nmasare9364
    @nmasare9364 ปีที่แล้ว +3

    Yani hawa wote hawana mageto wapuuz sana yni kila mtu anaish kwa ndugu mara kwa boss yni hovyo hovyo

  • @Secondborn_
    @Secondborn_ ปีที่แล้ว +5

    Mzee anachezesha dimba la kati🤣🤣

  • @giantokoe
    @giantokoe ปีที่แล้ว +4

    hii ni dalili tusha ya kuwa wabongo %kubwa wanauweza ukuwaxi

  • @stn4873
    @stn4873 ปีที่แล้ว

    Daslam Daslam Daslam......

  • @singidaprincetz1883
    @singidaprincetz1883 หลายเดือนก่อน

    Daaah hatariiii

  • @mikhtaryanhussein9169
    @mikhtaryanhussein9169 ปีที่แล้ว

    Dah sio fresh kudhalilishana sio poa

  • @halunimnenwa5224
    @halunimnenwa5224 ปีที่แล้ว +2

    Mlicho kosea dada uyo kapendeza sana na kingine asinge kuwa anawafata mnavo ongea asubiri mpaka aondoke

  • @yusuphhewasi9859
    @yusuphhewasi9859 หลายเดือนก่อน

    Ase kweli pamoto watu mnaishi kwa ndugu jamaa na marafi alafu mkija mikoani mnavimba na kubonga ukuda