Odemba umekosa mwelekeo maswali unayomuuliza Lema ni mepesi sana chadema hawa wanahitaji maswali ya kisera hayo ya kwako Lema maji kwa glass jipange na maswali ya kuibua fikira
Vipindi hivi vya siasa vinavyorushwa na star tv watu wengi na watanzania wanapata kujuwa ukweli,,, hongera lema,, huyu lema anazungumza kama martin luther king hakika lema ni kiongozi shujaa
@@narrissajackson3869 ni kweli anawahoji sio nguvu ya kuwaleta yeye hapo studio ni dialo mwenyewe maana hajulikani na anahitaji kujua kuuliza maswali yenye nguvu na sie watazamaji tutaelewa uwezo wa wana siasa wetu kaka.
Tutafanikiwaje kweli mke wa Raisi anasimama bungeni anataka mafao ilihali wa Tanzania tuna njaaaa, wanaacha kutuongelea! Hivi kweli hii hali ya nchi hawaioni?Lema hali ni Tete nyumbani
Nimeirudia mara mbili hii interview .... Interview tamu Sana hiiiiii nimeipenda mno
Dar Hilo jamaa ni noma sana
Lema is my best politician of all the time 📌
Mh God bless ikitokea,ukarudi nyumbani,alafu vitisho vikaendelea,vipi utarudi uhamishoni tena.
Lema wewe ni blessed as a politician, no wonder you're called Godbless.
The best interview of the year
Point qq
Lemaaaaaa,wewe na faya,Mungu akutee,tunamuomba Sana
Medani za siasa
Miss sana timu ya lema,sugu,msigwa,heche na wen he.
Mungu yuko pamoja nawe
Upo sahihi MH.Lema
Lema nikikusikiliza mwili wangu unasisimka unaonekana ulitunzwa vizuri akili yako ni yahali ya juu Sana nanimependa jinsi ulivyo mcha Mungu
Huyo ndo mtetezi watanzania tunampenda sana
Acha kuriza maswali ya kijinga
Odemba umekosa mwelekeo maswali unayomuuliza Lema ni mepesi sana chadema hawa wanahitaji maswali ya kisera hayo ya kwako Lema maji kwa glass jipange na maswali ya kuibua fikira
Tafuta aina ya maswali ambayo angemuuliza ingesaidia kuboresha ..mtumie ili siku nyingine tupate kitu kizur zaid
very matured politician G.Lema
Haya mambo ya kukimbia uhamishhoni tuliyasikia Congo, Uganda, Rwanda, Kenya leo yapo kwetu. Hii ni aibu kwa taifa. Neno Amani latumika vibaya.
Stay blessed Hon:Lema
MUNGU AKULINDE LEMA
Maoni yangu Ademba marakwamara uwe unawashilikisha wana siasa kama hawa ili watanzania walio wengi tupate kuelimika juu ya haki zetu
Oyooo oyoo kipindi kizuri
Goobless
Vipindi hivi vya siasa vinavyorushwa na star tv watu wengi na watanzania wanapata kujuwa ukweli,,, hongera lema,, huyu lema anazungumza kama martin luther king hakika lema ni kiongozi shujaa
Utamwtaje lema mwanasiasa mkimkimbizi. Wa hiyo siasa unayoisema.
Siku moja lema atakuwa rais was nchi yetu natabiri..
Mungu akafanye kweli Tanzania tuondokane na umaskini unaozidi kukua siku hata siku🙏
1 ya viongozi wenye tija na busara sana, na unafaa kuigwa
Lema wajina kani funza mengi kuhisu siasa na kijami na kihimani
Wenje
Jamani mbona fupi .... Jamaa n hatari full critical
Usalama wako ni muhimu kuliko kitu kingine chochote
Lema ni jembe njoo ugombee geita Kuna Jimbo liko wazi kabisa
Huyu mtangazaji hana viwango vya kuhoji watu makini ni lazima aludi shule
Sawa ila amekuwa akihoji wanasiasa nguli wengi sana, na amekuwa rated kuwa na unafisi mkubwa, fuatilia interviews nyingine achana na hii.
@@narrissajackson3869 ni kweli anawahoji sio nguvu ya kuwaleta yeye hapo studio ni dialo mwenyewe maana hajulikani na anahitaji kujua kuuliza maswali yenye nguvu na sie watazamaji tutaelewa uwezo wa wana siasa wetu kaka.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
Lema akili kubwa
Ccm haitaki kusikia haya😂😂😂
Uko vzuli kiongz
Big up sana lema,njoo geita Kuna majimbo yako wazi kabisa
9
Tutafanikiwaje kweli mke wa Raisi anasimama bungeni anataka mafao ilihali wa Tanzania tuna njaaaa, wanaacha kutuongelea! Hivi kweli hii hali ya nchi hawaioni?Lema hali ni Tete nyumbani
Hii ndio Chadema bwana sio CCM ya mambumbumbu
Sana nduguyangu
BWANA ODEMBA UNAPOMHIJI NABII KAMA HUYU UWE UMEJIPAPANGA???? MASWALI YAKO NI MEPESI SANA KWA MTU MKUBWA KAMA HUYU.