Nimependa saana intro yenye uchambuzi kwa kina japo sauti naona zinamuingiliano na muonekano wa video kwwnye simu yangu mwanga upo afifi kidogo. Mtangazaji very good !!
Mh.Zitto sio kiongozi wa kawaida kabisa kuwahi kutokea,siku zoto utabakia kati historia kwa kazi yako iliyotukuka hususan kwa kuishauri serikali katika nyanja mbalimbali 1-Kiuchumi 2-Kisiasa 3-kijamii 4-kitandawazi Mungu akujalie afya njema uendelee kuishi kama zawadi ya pekee kwa watanzania wote Nakumbuka ulipokuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge hesabu za serikali uliongeza uwajibikaji kwa taasisi zetu za kifedha.
Mama msikilize huyu kiumbe, since day one binafsi pamoja na mapungufu yake mengi lakini anajitahidi saana kwenye tasinia ya Siasa, Nchi yetu bila viombe kama Lissu, Mbowe, Zitto na wengineo wenye akili yenye ajenda za kitaifa.
Zitto na chama chake mara nyingi wanashauri rais na serikali jinsi ya kuongoza nchi hata bila kuombwa asiwe mnafiki kama hashauriani na mbunge wa sasa asitafute siasa aseme tu kua ni mbinafsi kwa sababu hakushinda
Mhe. Zitto kwa ubungo, hapana, umekosea. Lazima tukubali kwamba kuna maeneo ambayo wapinzani wangeshindwa hata kama hiyo inayoitwa Tume Huru ingekuwepo.
Hainiingii akilini mpinzani akisema rais atuite tusikilizane hivi maana ya upinzani ni nini. Kwa sababu ninavyoelewa upinzani kazi yake ni kukosoa na kupinga sasa wakiwa wanaongea positively na uongozi wao kazi yao ya msingi itakuwa ni nini naomba kujuzwa
Zitto kabwe ni kiongozi mahiri kwa ss wakazi wa kigoma tunapengo kubwa mpaka sasa wabunge wa kigoma ni viti maalumu ninavyo amini ,gwajima msukuma wangekua na zitto tz ingekuwa vizuri nb kilicho niudhi kwa zito ni kumusema magufuli hapo amenichafua asinge kuwa magufuli Tanzania tungeuzwa kwa magu tutakosana
Swal zur kwa nn wanaendelea kushirik ktk chaguz wakat huwa wanasema uchaguz sio huru...............wanatafuta hela hao Si wangeliviacha Huyo kizito kwa kuroga na kutoa kidogo ili achaguliwe ni balaaaa
Mbowe hayuko juu ya sheria amefanya mambo akijua vizuri sheria ila hiko kiburi cha kua mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani kisimfanye aone kua hawezi wajibika na sheria. Wanachama wa upinzani wanaona ni kosa kumshtaki kiongozi mkuu wa chama kana kwamba yeye ni rais wao ila wakati kiongozi huyo anavunja sheria wanakua hawaoni maovu yake hizo ni double standards. Mama chapa kazi na vyama vya upinzani vielewe hata wateule wako wenyewe wakifanya kosa wanawajibishwa kisheria, asiyetaka kuhukumiwa na aheshimu sheria na katiba
zitto kabwe unaakili sana,serikal ilipaswa kuwa naviongozi wenye weledi kama zitto kabwe
Nimependa saana intro yenye uchambuzi kwa kina japo sauti naona zinamuingiliano na muonekano wa video kwwnye simu yangu mwanga upo afifi kidogo. Mtangazaji very good !!
The best interview ever!!
Edwin Odemba, bonge la mtangazsaji, Mungu akuinue utukufu had utukufu
Zitto ni mwanasiasa mweredi sana, anaongea point zinazoeleweka.
Nikweli yupo sawa Sana.
Yaaan kama humu ndan hakuna anaelewa hoja za mh zitto Bax ujue anamatatizo ktk ubongo wake akafanyiwe check up
Akili kubwa hii, majibu konki. Wachache watakuelewa wengine hata kupata tu mwanga wa kile kilichotokea kwenye uchaguzi hawawezi.
Naona umepiga kombati za chadema nahisi bado ipo kwenye damu!?
Zitto amezungunza vizuri sana. Heshima kwake
Mh.Zitto sio kiongozi wa kawaida kabisa kuwahi kutokea,siku zoto utabakia kati historia kwa kazi yako iliyotukuka hususan kwa kuishauri serikali katika nyanja mbalimbali
1-Kiuchumi
2-Kisiasa
3-kijamii
4-kitandawazi
Mungu akujalie afya njema uendelee kuishi kama zawadi ya pekee kwa watanzania wote
Nakumbuka ulipokuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge hesabu za serikali uliongeza uwajibikaji kwa taasisi zetu za kifedha.
Zito uko vizuri aduwi yako usimkimbiye kula nae sahani mojaa akikomba ugali unakomba mboga mpaka kieleweke sawa
nakukubali sana mr kabwe
Kuna wabunge walioingia Bungeni KIMAGUMASHI. Umenena kweli Ndugu Kabwe !
Bado tunakuhitaji big brother Zitto kabwe. Tumeona Halmashauri ya Manispaa ya kigoma town ulivyo i-shape! Again in the year 2025
Good
Big brain..he is very composed.
Sichoki kukusikiliza mwami wetu wanakigoma
Mama msikilize huyu kiumbe, since day one binafsi pamoja na mapungufu yake mengi lakini anajitahidi saana kwenye tasinia ya Siasa,
Nchi yetu bila viombe kama Lissu, Mbowe, Zitto na wengineo wenye akili yenye ajenda za kitaifa.
Yani kweli ACT ni chama tawala kwenye nchi hii ooooh hiii ndo siasa wacha tuendelee kujifunza zaidi
Zitto na chama chake mara nyingi wanashauri rais na serikali jinsi ya kuongoza nchi hata bila kuombwa asiwe mnafiki kama hashauriani na mbunge wa sasa asitafute siasa aseme tu kua ni mbinafsi kwa sababu hakushinda
Safi sana
NDIYO MAANA WALIZIMA MITANDAO YA KIJAMII. KUMBE ILI WAINGIZE KURA BANDIA
Mtangazaji una interact
Bro uyo alshndwa kihalal
Mhe. Zitto kwa ubungo, hapana, umekosea. Lazima tukubali kwamba kuna maeneo ambayo wapinzani wangeshindwa hata kama hiyo inayoitwa Tume Huru ingekuwepo.
Lkn sio kiasi kile mzee 😀😂😂
Zito acha uwongo kigoma wamekuchoka acha kumzushia uwongo miaka 15 ungeshinda uchaguz ulikua halali acha izo
Ziti amesema ukweli igp alimkosea kujibu hadharani
Zitto umesahau kuwa mbowe yuko ndani? Au nivile kuna mkono wako serikalini?
Wasipo kukusikiliza watakua hawana kili kabisa chama kimoja kinajiona njechenyewe amna vyama vingine vya upinzani
Yani bunge bira watu Kama halinogi kabxa
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
Ni uongo ulishindwa ......hawampend ni mwongo na ni tapeli huyo
Hainiingii akilini mpinzani akisema rais atuite tusikilizane hivi maana ya upinzani ni nini. Kwa sababu ninavyoelewa upinzani kazi yake ni kukosoa na kupinga sasa wakiwa wanaongea positively na uongozi wao kazi yao ya msingi itakuwa ni nini naomba kujuzwa
Zitto kabwe ni kiongozi mahiri kwa ss wakazi wa kigoma tunapengo kubwa mpaka sasa wabunge wa kigoma ni viti maalumu ninavyo amini ,gwajima msukuma wangekua na zitto tz ingekuwa vizuri nb kilicho niudhi kwa zito ni kumusema magufuli hapo amenichafua asinge kuwa magufuli Tanzania tungeuzwa kwa magu tutakosana
Mwandishi boresha jinsi ta kuhoji sio kukatizakatiza tu au kutaka majibu nusunusu
I was thinking about the exactly thing.
Swal zur kwa nn wanaendelea kushirik ktk chaguz wakat huwa wanasema uchaguz sio huru...............wanatafuta hela hao
Si wangeliviacha
Huyo kizito kwa kuroga na kutoa kidogo ili achaguliwe ni balaaaa
Mbowe hayuko juu ya sheria amefanya mambo akijua vizuri sheria ila hiko kiburi cha kua mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani kisimfanye aone kua hawezi wajibika na sheria. Wanachama wa upinzani wanaona ni kosa kumshtaki kiongozi mkuu wa chama kana kwamba yeye ni rais wao ila wakati kiongozi huyo anavunja sheria wanakua hawaoni maovu yake hizo ni double standards.
Mama chapa kazi na vyama vya upinzani vielewe hata wateule wako wenyewe wakifanya kosa wanawajibishwa kisheria, asiyetaka kuhukumiwa na aheshimu sheria na katiba