MAMBO YAIVA UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO, MKURUGENZI MKUU TPA AELEZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2024
  • #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo #wizarayaafya #wizarayaulinzi
    DAR ES SALAAM :MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imesema kutokana na Maboresho na Mikakati inayofanywa na Serikali kumefanikisha kuongezeka kwa maradufu kwa Meli za mizigo katika Bandari mbalimbali zilizopo Nchini hususan katika Bandari ya Dar es salaam.
    Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa (TPA) Plasduce Mbossa wakati akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu Bandari hizo pamoja na kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshwaji kwenye mitandao ya Kijamii zinazodai kuwa Uendeshaji hauridhishi ambapo amesema katika kipindi Cha miezi sita pekee Meli 979 zimehudumiwa wakati Matarajio yalikuwa ni Meli 700.
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: habarileo_tz?ig...
    SpotiLeo: spotileo?igshid...
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09

ความคิดเห็น • 1