NORAH | SIMULIZI FUPI | ROMANCE ,COMEDY ,WIVU NA CHUKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 เม.ย. 2024
  • Kutana na NORAH & SELIM Hawa ni wanandoa wawili waliokutanishwa na familia zao na kuoana pasipo kupenda na hii ni baada ya familia zao kuwa na makubaliano ya miaka mingi kuwa watoto wao wakiwa wakubwa watakuja kuwaozesha ili kukuza urafiki wao , ila katika makubaliano hayo alielengwa kuolewa na SELIM ni NASRA pacha wake NORAH na si NORAH je kilitokea nini hadi kufanyika mageuzi hayo ambapo akaolewa Norah badala ya Nasra na mahusiano au ndoa hiyo itadumu?.
    Songa nami katika kisa hiki kilichojaa ROMANCE ,COMEDY ,WIVU na CHUKI
    SIMULIZI FUPI
    SIMULIZI
    LUCAS LUMBASI SIMULIZI
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 149

  • @rizmwMwriz-mf2cu
    @rizmwMwriz-mf2cu 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hahaha yaan kka ngu LUCAS LUMBAS nsiwe mrongo nmempensa sana 2 Norah kwan mziki wake utamu hady rahaa

  • @hadijambaule7366
    @hadijambaule7366 3 หลายเดือนก่อน +7

    🏃‍♀️🏃‍♀️na wahiiii jmanii nisije nikachelew kumsikiliza norah

  • @YvetteSIBOMANA-ce2hz
    @YvetteSIBOMANA-ce2hz 3 หลายเดือนก่อน +6

    Huuu kaka lucas tupe mwisho kabisa huuu maana sio kwa utamu huu😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Eshaomar-ge2nf
    @Eshaomar-ge2nf 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kaka Lucas lost dadaz jmn twasubiri muendelezo nimeshikilia maombi tesa asife i say mungu amlinde😢

    • @marymlongojoseph
      @marymlongojoseph 3 หลายเดือนก่อน

      Haki tesa asife Mnk akif utamu waisha😢😢

    • @marypascal3931
      @marypascal3931 2 หลายเดือนก่อน

      Mbona hii iliisha jmn tena vizuri sn jmn

  • @user-ls6tu7ml3p
    @user-ls6tu7ml3p 3 หลายเดือนก่อน +15

    Lukasi umekuwa mzabinazabina unaleta simulizi nyingi kwa wakat mmoja nyingine zinaishia njian mpaka zinatuchanganya

    • @user-ot6nc5tf3h
      @user-ot6nc5tf3h 3 หลายเดือนก่อน

      Nmedhani nmimi tu 😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉 tuonane paradiso😂😂😂😂 norah hongera chidada wangu

  • @user-fu6ew1jb6e
    @user-fu6ew1jb6e 3 หลายเดือนก่อน +3

    Salim ety ukipata mda mpge ten bdo baba mkwe hajakupa hongera zko🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @leah5307
    @leah5307 3 หลายเดือนก่อน +4

    Tamuuu ta

  • @masokamsafiri8664
    @masokamsafiri8664 3 หลายเดือนก่อน +6

    Norah huyo ni kichwa kweli kuna wa mama wanastahili ivyo tu bila ivyo akuna amani kweli

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim 3 หลายเดือนก่อน

      Aman ya nn ndoa ya lazima hata mm siwapu aman

  • @ShakilaMtamila
    @ShakilaMtamila 3 หลายเดือนก่อน +11

    Norah omba namb ya SINTA kwa lucas umalizane na hii ndoa😂😂😂😂

    • @Shaminashani
      @Shaminashani 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @Holiness-to3wp
    @Holiness-to3wp 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wapi Kelele kwa Noroh ooooooyoo jamani huyu mdada apewe maua⚘️⚘️⚘️⚘️yake 😂😂😂😂

  • @user-cw4mv3kw7y
    @user-cw4mv3kw7y 3 หลายเดือนก่อน +4

    Asante sana kaka Lucas Lumbas ❤❤❤

  • @user-jk8qn4zi5t
    @user-jk8qn4zi5t 3 หลายเดือนก่อน +5

    Norah eti nipe taraka nimempiga mama yako😂😂

  • @NailatYahayamkova-yu9qu
    @NailatYahayamkova-yu9qu 3 หลายเดือนก่อน +6

    🎉🎉🎉 asnt mboga saba😂😂❤❤

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 2 หลายเดือนก่อน

    Nice story be blessed kweli hii simulizi tamu hadi tamu tena raha tupu pongezi kwa bwana Lucas Lumbasi ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @sososonia1956
    @sososonia1956 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ila Nora ni chizi fresh😅😅😅😂😂😂

  • @user-tf7ip2ol5t
    @user-tf7ip2ol5t 3 หลายเดือนก่อน +2

    Pongezi Norah kwa kumkanda mama mkwe🎉🎉

  • @florenceakothotieno3673
    @florenceakothotieno3673 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mm ni wa pili leo😂😂😂 nipeni likes zenyu

  • @user-tc8zn1sl6s
    @user-tc8zn1sl6s 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kazizuri kakayet kipenzi Mungu akupe💪💪

  • @user-jk8qn4zi5t
    @user-jk8qn4zi5t 3 หลายเดือนก่อน +2

    🤣🤣ila Lucas et itoshe kusema bwana ametoka bwana ametwaha 😂😂

  • @marymlongojoseph
    @marymlongojoseph 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kaka wanimlz n hio sauti ila hongera Kwa kaz yako kaka🎉🎉🎉🎉

  • @annemwinuka1766
    @annemwinuka1766 3 หลายเดือนก่อน +10

    Lucas naulizia story ya ndoa yangu maana umetutosa

  • @user-ie4bv1sy6t
    @user-ie4bv1sy6t 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kak Lukas naomba like me mchelewaji

  • @rizmwMwriz-mf2cu
    @rizmwMwriz-mf2cu 3 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂 Norah jaman ukichwa ngumu kweli

  • @aishasalim-9036
    @aishasalim-9036 3 หลายเดือนก่อน +2

    Lucas me unanikoroga cjw wengine...maliza story moja baada ya nyengine ndio ithanoga😂ila nimependa hvo hvo 😘

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wajina wangu tena kulikon 🤣🤣🖐🖐🖐🖐wachatusikixee

  • @user-bv2jl7du1i
    @user-bv2jl7du1i 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂kaka Lucas, umejua kunifurahisha na hii simulizi jamani😂😂😂 yaani ni hatariiii

  • @user-ed5km4ub2m
    @user-ed5km4ub2m 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mbn kipande Cha 2 kimechelewa Sana jmn ankoy wengine huku tunaiwaza tu hii simuliz

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 3 หลายเดือนก่อน +1

    Lucas jamani mungu hazidi kukupigania kwa maishe yko🙏🙏🙏😘😘

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 หลายเดือนก่อน +1

    Siko single nasiko namahusiani 😁

  • @user-sq3pn4ef9g
    @user-sq3pn4ef9g 3 หลายเดือนก่อน +3

    Acha niinjoi natak nisikilizi nikitu gani kilifanwa nisiwolew mimi nasla 😂😂😂😂

  • @user-kj1bf6dt1s
    @user-kj1bf6dt1s 3 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂Norah shikamooo

  • @nameno8608
    @nameno8608 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda sana sauti yako ni nzuri ninapenda kukusikiliza

  • @SusanNeema-re3hr
    @SusanNeema-re3hr 3 หลายเดือนก่อน +2

    Maua yaende kwa NORAY🎉🎉... Mpige mama mkwe lakini usimue 😂😂

  • @EstherMlai
    @EstherMlai 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 huyu Norah ni kiboko ya mama mkwe km Hawa 😂😂 harakisha kaka Lucas kutuma sehemu ya 2 pls

  • @gracekahindo6937
    @gracekahindo6937 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nora apewe mauwayake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @user-dv5ic4pq9k
    @user-dv5ic4pq9k 3 หลายเดือนก่อน +1

    Luca mweundelezo please 😢😢

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 3 หลายเดือนก่อน +1

    Here we go 🎉🎉🎉

  • @SarahKwekwe-dt9zx
    @SarahKwekwe-dt9zx 3 หลายเดือนก่อน +2

    Leo wakanza🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Aisha-oj9cx
    @Aisha-oj9cx 3 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂waaa norah pongezi sana😂😂😂❤❤

  • @SelinaKahonzi
    @SelinaKahonzi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaha so happy

  • @user-iz3dv8mq8x
    @user-iz3dv8mq8x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaomba utumalizie lost dadaz jamani😢😢

  • @queen_annah7859
    @queen_annah7859 3 หลายเดือนก่อน +2

    🔥🔥🔥

  • @lilianilimbe4508
    @lilianilimbe4508 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wa kwanza. Leo ❤❤❤❤ lucas

  • @user-tc8zn1sl6s
    @user-tc8zn1sl6s 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani mbavuzang mie jamani uyukaka hajambo😀😀😀😀😀❤

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂ukipata nafasi nikandie tena ila usiue nipo hoi hapo

  • @user-nc2lt1ps7n
    @user-nc2lt1ps7n 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman norah kiboko eeeeeenh

  • @user-im3xr5ru7c
    @user-im3xr5ru7c 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shukrani sana ❤❤

  • @YvetteSIBOMANA-ce2hz
    @YvetteSIBOMANA-ce2hz 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 Norah jamani daaaah upewe mauwa Yako 🎉🎉🎉🎉

  • @SalmaSalma-cb2pl
    @SalmaSalma-cb2pl 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana

  • @agnesbasistian9248
    @agnesbasistian9248 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tamu mno jamani upewe maua yako kaka 🎉🌹🥀

  • @MwanaidiSephu
    @MwanaidiSephu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn huyu norah ni me jmn nacheka mwenye hapa😅😅😅😅

  • @ShalomSteven
    @ShalomSteven 3 หลายเดือนก่อน +1

    mbn hana pt2 jamna😊

  • @user-vp2js5gw2z
    @user-vp2js5gw2z 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tunataka ndoa yangu.acha hizi bhana

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 3 หลายเดือนก่อน

    Ahasante sana anko Lucas kwasimulizi mpya ya Norah Niko single 🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @nchidabajuma9401
    @nchidabajuma9401 3 หลายเดือนก่อน +1

    kazi nzuri norah

  • @gracekahindo6937
    @gracekahindo6937 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wazazi hawa niwakorofi wamefeli ndo wanakumbuka binti wawo mucharuko hatamimi sikubali Nashukuru lukas

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 3 หลายเดือนก่อน +3

    Asante broo❤🇰🇪

  • @user-ed5km4ub2m
    @user-ed5km4ub2m 3 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuh natamani mwendelezo wa Norah jmn

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 3 หลายเดือนก่อน +1

    Storey motomoto ❤❤❤❤

  • @user-xy8jg3ry2d
    @user-xy8jg3ry2d 3 หลายเดือนก่อน +2

    Niko single ❤❤

  • @crestian8343
    @crestian8343 3 หลายเดือนก่อน +3

    Acha nijue kilicho ndani ndio nicomment

  • @user-nc2lt1ps7n
    @user-nc2lt1ps7n 3 หลายเดือนก่อน +1

    Norah ww ni mm kbx huyuuu

  • @user-fx8om8fm4y
    @user-fx8om8fm4y 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂ya Norah cukua mauwa yoko 🎉🎉🎉

  • @user-yv9sz1jn5n
    @user-yv9sz1jn5n 3 หลายเดือนก่อน +1

    Na wewe dada unaweza aiseei

  • @AnzeraniKelly
    @AnzeraniKelly 14 วันที่ผ่านมา +1

    Anko Lucas jitahidi kuweka Hadi mwisho

  • @chrismdawi3524
    @chrismdawi3524 3 หลายเดือนก่อน +4

    Bro unatutesa sana na ndoa yangu muendelezo😅😅😅😅

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mmi basi nasubiria kama nini

    • @annemwinuka1766
      @annemwinuka1766 3 หลายเดือนก่อน

      Lucas unatutesa na ndoa yangu simulizi nzuri ila unatuboa uko kimyaa mpaka tunaboleka

  • @UmDonia
    @UmDonia 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nimecheka jmn

  • @dianandabirorere6365
    @dianandabirorere6365 3 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉❤❤

  • @OsterHerme-f7t
    @OsterHerme-f7t 8 วันที่ผ่านมา

    dah unasimuliz bora nazina sisimua❤

  • @candidekaneza8587
    @candidekaneza8587 3 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @user-si6rf5wv8g
    @user-si6rf5wv8g 3 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤

  • @user-vk7jx9ir4r
    @user-vk7jx9ir4r 3 หลายเดือนก่อน +3

    Oyaa muhaligani wadau wa Lucas

  • @divinahonduso9591
    @divinahonduso9591 2 หลายเดือนก่อน

    Oyoooooo😂😂😂😂😂Norah ni type yangu wweee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-hg4rv4tj8h
    @user-hg4rv4tj8h 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo sio Norah tu hata Mimi niliyapitia hayo kutoroka na kwenda Disco na part sikujua km nilikuwa najikomoa mwenyewe

  • @user-kj1bf6dt1s
    @user-kj1bf6dt1s 3 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉

  • @RehemaiddydumseDumse
    @RehemaiddydumseDumse 3 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤❤

  • @user-rc3om5hs9i
    @user-rc3om5hs9i 3 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉❤❤❤

  • @MwanajumaRama-bd9rb
    @MwanajumaRama-bd9rb 3 หลายเดือนก่อน +3

    😍😍😍😍😍😍❤❤❤❤❤

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ila mama mkwe anagubu bola Norah amemuzaba nanyumba yote wanamupongeza Norahkwakumpiga mama mwenye nyumba ata ingekuwa mimi ningemunyoosha tu maana sio kutumikisha watu huko, na kingine wazazi wanajidanganya ukiona mtoto ni mucharuko haimaninishi eti anatabiya mbaya na tena ogopa watu wako kimya yani hao matokeyo yao ni mazito,yaani wazazi wakiona unachaluka wanaanza kusema ukituletea mimba nitaitowa na mikono yangu au utatuleteya magonjwa nawakati wemwenyewe haufikili huko yani nimekumbuka mbali sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Kaka lucas Tuleteye Norah leo au lost DADAZ maani Ndoa Yangu Teddy amenichosha sana.😅😅😅😅😅😅

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jamn vipenz wa lukacy lumbas mpo

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 3 หลายเดือนก่อน +1

    Norah 😂😂😂bikra ndo sasa damu ya 🐁

  • @AbayanuruGuyato
    @AbayanuruGuyato 3 หลายเดือนก่อน +5

    Jamani leo ni simulizi ya jina langu kumbe

  • @user-nc2lt1ps7n
    @user-nc2lt1ps7n 3 หลายเดือนก่อน +2

    Muzik si haramuu maan dini inaruhusu

  • @divinahonduso9591
    @divinahonduso9591 2 หลายเดือนก่อน

    Leo kavunjwa nyonga na swara jamani jamani jamani 😂😂😂😂😂😂😂

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nipo muisalam napenda stara

  • @atwiyahussein4470
    @atwiyahussein4470 3 หลายเดือนก่อน +3

    Lucas uko sawa lakini punguza kucheka unapo simulia tafadhal

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 3 หลายเดือนก่อน

      😊😊😊ehe hujui unapocheka umri wako unaongezeka jmn

    • @atwiyahussein4470
      @atwiyahussein4470 3 หลายเดือนก่อน

      Katika kusimulia simulizi ni tofauti si kwa ubaya

    • @Misssarah052
      @Misssarah052 2 หลายเดือนก่อน

      That is artistic au hujui😒

  • @nyamvulafatuma5383
    @nyamvulafatuma5383 3 หลายเดือนก่อน +3

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 หลายเดือนก่อน

    Duu,! umdhaniaye ndiye kumbe siye jamani,mimi niliacha kuwahukumu watu kwa kuwaangalia kwa macho zamani mno, nilishafundishika mno

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 daa,uzazi huu jamani 😂😂😂 ila Norah ni kasheshe

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 2 หลายเดือนก่อน

    Ila hii simulizi inaanza na vichekesho😂😂😂😂

  • @user-jk8qn4zi5t
    @user-jk8qn4zi5t 3 หลายเดือนก่อน +2

    Norah unachekesha🤣🤣

    • @FatumaRamadan.Mwalim
      @FatumaRamadan.Mwalim 3 หลายเดือนก่อน

      Akili zake kama zangu nilikua napenda harus Ngoma ikianza tu mm uwanjan ila uzir harus ikiisha tu mm nyumban na swali nilale na baba alivyo kuwa mkali 😊😊😊 alitulia tu mm ndio tuma rama wengine fotokop😊😊😊 msijal n utoto tu sikuhizi Niko bz Qatar na majukum ila nitawasimulia wajukuu zangu inshallah siwajua ujana n Moshi 😊😊

    • @user-jk8qn4zi5t
      @user-jk8qn4zi5t 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@FatumaRamadan.Mwalim🤣🤣na wew nikama Norah♥️

  • @user-pj5zp1zr4o
    @user-pj5zp1zr4o 3 หลายเดือนก่อน +3

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @saadamohammed7431
    @saadamohammed7431 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ahsante ndugu Lucas na nura❤❤❤❤

  • @user-ql7hy5cs7v
    @user-ql7hy5cs7v 3 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤🎉

  • @norahminja1234
    @norahminja1234 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ma mkwe ana kihede kama mende aliedondokea kwenye chupa😂😂😂

  • @judith2977
    @judith2977 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bona unatuacha in asuspence? Mara hatujamaliza zingine unatoa mpya.tueleweshe

  • @hawaally8331
    @hawaally8331 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

  • @user-bs7oe7pd8o
    @user-bs7oe7pd8o 3 หลายเดือนก่อน +3

    👌💚💛💚💛💚kama unasikia pwagu na pwaguzi ndo hii sasa anafanya nacheka mwenyewe ila nirah hatari 💛💚💛💚💛💚💛🫶💚💛👌🤝

  • @fatumakama8760
    @fatumakama8760 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂ety damu ya panya😂😂😂😂😂 i nayo noma xana

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 3 หลายเดือนก่อน +2

    🫢