NJIA 5 ZA KUONGEZA UZITO KUKU / How to increase Broiler's weight in short period

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 53

  • @KhalefSaeed-h8k
    @KhalefSaeed-h8k 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asanteni sana tunaomba mutusaidie

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 หลายเดือนก่อน

      Tupo pamoja ndugu. Barikiwa sana

  • @alliyhassan4637
    @alliyhassan4637 9 หลายเดือนก่อน +2

    Good swali kwani hakuna dawa 1 tu ambayo ukiwapa kuku wakapata kupona na Kinga kwa magonjwa yote hayo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  9 หลายเดือนก่อน

      Kwa sasa hamna.

  • @symphorienrubuguzo4432
    @symphorienrubuguzo4432 8 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda sana.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  8 หลายเดือนก่อน

      Karibu Sana ndugu

  • @martinkaranja9265
    @martinkaranja9265 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuku wàngu wa sinees na kutoa makamazi sida nininii daktari

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 หลายเดือนก่อน

      Mafua makali sana ndugu mpe dawa za dukani

    • @martinkaranja9265
      @martinkaranja9265 2 หลายเดือนก่อน

      @@AGALUSTV dawa gani ndugu nimewapea Newcastle ngumboro nimembakisha dose moja

    • @martinkaranja9265
      @martinkaranja9265 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@AGALUSTV nitanunua data gani daktari

  • @uzungupoint
    @uzungupoint 2 ปีที่แล้ว +2

    Hello! Agalus, nahitaji sehemu nitakayopata elimu ya Ufugaji wa Kuku kwa vitendo, tafadhali nisaidie.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Oooh upo wapi ndugu

    • @uzungupoint
      @uzungupoint 2 ปีที่แล้ว +1

      @@AGALUSTV Kwa Mathias-Kibaha Kaka.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Cjui tutakusaidia je tupo Mbeya ukiweza waweza Kuja japo ni Gharama

    • @uzungupoint
      @uzungupoint 2 ปีที่แล้ว +1

      Ooh! Mbali kweli mkuu, ila nisaidie namba zenu za mawasiliano ya kawaida na WhatsApp. Siku nikijipanga vizuri nitakuja.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      OK ndugu tutazidi kumkumbushana Ukiwa tayari

  • @GidionMakere
    @GidionMakere 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani ukimpa kuku wa Mayai booster ya broiler kuna madhara ganii

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 หลายเดือนก่อน +1

      Hawez kutaga vzur. Maaana booster ya broiler kw ajir y nyama kw wingi. Kila boosta ina Kaz yake

    • @GidionMakere
      @GidionMakere 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@AGALUSTV asantee boss ilaa haita athirii mfumo mzima wa utagaji?? I mean kutotaga kabisaa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 หลายเดือนก่อน

      @GidionMakere umeelewa kajibu lakini

    • @GidionMakere
      @GidionMakere 4 หลายเดือนก่อน

      @@AGALUSTV nikitaka kuku akue haraka ni booster Gani hutumika au hamna booster Kwa ajili ya kukuza kukuu mkuu

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 6 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba maelekezo namna ya kutumia mimea asili ili kukuza kuku wangu wa kienyeji

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 หลายเดือนก่อน

      Andika you tube tiba asili za kuku by agalus TV zitakuja video nyingi Sana nawe UTAJIFUNZA

  • @rizikialmas2698
    @rizikialmas2698 2 ปีที่แล้ว +1

    Vp hali bwana shamba mimi nauliza nnakuku 50 wa kloira wamayai hebu nipe kiasi gani chakula kwa siku niwape au kilo ngapi kwasiku maana naona nawapa sjapata elimu wasije kua na mafuta. mengi wakakosa kutaga wanamiezi mitatu na nusu sasa

  • @neemakael8480
    @neemakael8480 2 ปีที่แล้ว +2

    Majani ya mgomba yanafaaa kwa kuku?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Yes wanakula Majani ya mgomba. Kwa maelezo zaidi ona aina za Majani mengine, 10 Kupitia somo hili
      th-cam.com/video/17-yYtPoD2o/w-d-xo.html

  • @getrudemhozya9920
    @getrudemhozya9920 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nauliza chakula bora Kwa hao vifaranga ndani ya hizo siku 14 ni kileCha dukani au?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Ndiyo ni Crumble stater

    • @getrudemhozya9920
      @getrudemhozya9920 2 ปีที่แล้ว +1

      @@AGALUSTV sawa Asante sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Tupo Pa1 ndugu. Karibu sana

  • @joycestai8049
    @joycestai8049 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kuku wangu wa broiler wamedumaa nifanyeje

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  10 หลายเดือนก่อน

      Pole Sana ndugu apo utakua lishe tu

  • @vivianekilimba624
    @vivianekilimba624 2 ปีที่แล้ว +1

    Nahitaji kuelimishwa ulishaji/uanzishaji/utunzaji wa mwanzo kwa kuku wa mayai
    Tafadhali

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      OK ndugu japo tutaanza kimoja kimoja

  • @lwambonachigera2614
    @lwambonachigera2614 ปีที่แล้ว +1

    Nahitaji kupata majifunzo kuhusu kilo ambazo kuku wanaweza kula kufatana na umri wake Saidi document yake

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Kiasi cha chakula cha kuku na umri wao maelezo yapo apa
      th-cam.com/video/eEdCdGU_53o/w-d-xo.html

  • @sarahmpogomi6561
    @sarahmpogomi6561 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuku chotara Sasso wa miezi miwili anatakiwa awe na kg ngapi

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      2Kg +

    • @EnikahGeorge-fj6ow
      @EnikahGeorge-fj6ow 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kama wamedumaa inatakiwa niwape chakula gani,,, ndani ya miezi miwili hawafiki kilo 2

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 หลายเดือนก่อน +2

      Boresha lishe yao na kiasi cha chakula

  • @ashrathswaibu3990
    @ashrathswaibu3990 ปีที่แล้ว +1

    nina majogoo 3 wanamiez 9 lakin hawajawika shida nn

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Kama w kienyeji wa subirie lakini pia wakague hasa kikohozi

  • @malavasu6039
    @malavasu6039 ปีที่แล้ว

    Niki taka mbegu nzuri wa layer nitapata na niko mwz bei ni shillingi ngapi kifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  ปีที่แล้ว

      Kwa sasa sisi hatuzalishi vifaranga vya kuuza Tuombeane tu👏🤝🙏🏿

  • @allymajeba4211
    @allymajeba4211 2 ปีที่แล้ว +1

    Nataka nijiunge mifanyaje

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Ujiunge nini ndugu

  • @loycemagezi9500
    @loycemagezi9500 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuku wangu kwa Sasa Wana umri wa miez 3 kasoro siku 4 lkn niwepesi Sana, wananyong'onyea Sana na kufa shida nn?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Pole sana apo kukupa jibu la sababu ni ngumu hadi utupe dalili zingine

  • @yusratwaibu86
    @yusratwaibu86 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunawapataje ilikununua vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 ปีที่แล้ว

      Kwa sasa hatuna vifaranga 🙏🏿✍️