Mimi nafuga kuku wa kienyeji ila asbh nawapapumba iliyochanganywa na paraza na mashudu na chokaa au damu. Jioni wanapokwenda kulala nawapa mtama au uwele au mahindi. Je ni sawa. Kwa wanaotaga nawaongezea choroka ktk chakula chao. Je ni sawa
Mwachie mama MTU akae navyo kwenye chumba maalum ukiweka chakula na maji ili akipe joto muda mwingi. Kama miguu imepinda yaani kama matege basi tumia Raba bend/mnati kushikiza miguu. Pia weka vitamins kwenye maji yao y kunywa
Samahan.mimi nauza vyakula vya mifugo ila nahitaji msaada wako niandae lishe ni mara ya pili sasa kufanya maandalizi mwenyewe nahitaji kujua vipimo sahihi? chakula cha vifarangaz ninavyotumia formula yangu 1) paraza ndogo ya mwisho 2)mifupa 3)chokaa 4)chumvi
Hili somo limenisaidia san
Barikiwa🙏
Nipeipenda Sana ...na chakula Cha broiler kinatengenezwaje
Barikiwa ndugu. Hii apa👇video ya chakula wanaokua Broiler
th-cam.com/video/gLuGGw8LdVM/w-d-xo.html
Asante Sana.
Barikiwa sana
asante.kakamungu.awazidishie
Amina KUBWA ndugu 🙏🏿
Nmekupata sana mkuu
Tupo pamoja ndugu
Ahsante
Barikiwa pia endelea kubaki na agalus tv 🙏🏿
Asante kwa somo. Je naweza tumia ngano badala ya mahindi palaza?
Ndyo waweza
Vipiiii boss chanjoo ya pilii ya nduii inapigwaa baada ya muda ganii?. Na pia ni chanjoo zotee hurudiwaa baada ya miezi mitatuu au ni Newcastle pekee?
New castle tu.. urudiwa kwa kuku wakubwa,ndui ni mara 1 tu
Asante kwa elimu nzuri. Naomba unielimishe khs kulisha vifaranga,je kifaranga mmoja anatakiwa alishwe gram ngapi kwa siku?
Utegemea na umri wao ila KIFARANGA cha wiki 1/2 hapimiwi chakula
Somo zuri sana, naomba kisaidiwa, Kuku anakula kiasi gani kwa siku (wa mayai mkubwa) miezi 12-15)?
Gram 130 hadi 150
Mimi nafuga kuku wa kienyeji ila asbh nawapapumba iliyochanganywa na paraza na mashudu na chokaa au damu.
Jioni wanapokwenda kulala nawapa mtama au uwele au mahindi. Je ni sawa.
Kwa wanaotaga nawaongezea choroka ktk chakula chao.
Je ni sawa
Hongera Sana ndugu upo sahihi
Naomba kuuliza kifaranga nimezaliwa hakiwezi kutembea nakisaidiaje
Mwachie mama MTU akae navyo kwenye chumba maalum ukiweka chakula na maji ili akipe joto muda mwingi. Kama miguu imepinda yaani kama matege basi tumia Raba bend/mnati kushikiza miguu. Pia weka vitamins kwenye maji yao y kunywa
Nimefurayia mafunzo lakini munapatikana wapi?
Karibu sana ndugu katika ufugaji
Kwa mfano nkikosa dagaa nitumie nn mbadala wake
Mashudu, au soya, uduvi
Nzuri
Tembelea kwangu plz
Wapi ndugu🙏
hiki chakula kg100 wanakula vifaranga vingapi na ni kwa muda gani?
Vifaranga mia 100 kwa wiki 6 Hadi 8 lakini pia hutegemea na aina ya kuku
@AGALUSTV asante sana ndugu yangu🙏🙏🙏
Dah uduvi hapana unaleta Sana minyoo Kwa kuku
Oooh kumbe
Kuku wanakula kiwango Gani kwa siku
Wakubwa au wadog
Upo mkoa gan
Tunapatikana mbeya karibu🙏🤝
Hivi bei sahihi ya kuchi jike na dume ni shiringi ngapi?.
Tuzidi kuwasiliana🙏🙏 kujua
Samahan.mimi nauza vyakula vya mifugo ila nahitaji msaada wako niandae lishe ni mara ya pili sasa kufanya maandalizi mwenyewe nahitaji kujua vipimo sahihi? chakula cha vifarangaz ninavyotumia formula yangu
1) paraza ndogo ya mwisho
2)mifupa
3)chokaa
4)chumvi
OK +255765467484 wasap
Mwali chakula Cha kroila mienzi miwili unachanganya vp
Ok linakuja somo lake
Vifaranga wa kuku wa kienyeji wanahitaji mwanga wa jua?
Ndyo japo mwanzoni wape vitamin na madini kwa wingi
Je kwenye layers ikoje kwa wanga,protine,na madini?
Soon somo lake linakuja.🙏🙏
Naomba mawasiliano yako kaka
OK
Naweza kutumia mashudu ya mawese
Tena ndyo mazur zaidi ila yasiwe mengi sana maana ayo Yana mafuta mengi sana
Jamani mimi niko burundi naomba mnisaidie mashudu ni nini
Sun flower oil cakes
Mwalim hayo majani yaliyonong'inia yanasaidia nn kwa kuku?
Majani mabichi Yana faida sana kwa kuku
Fuatilia somo hili kujua faida za majani
th-cam.com/video/k64gUbHX7hg/w-d-xo.html
Fundisha chakula cha wanaokua na mitetea, na mkaa unatibuje kuku?
Chakula cha wanao kua
th-cam.com/video/gLuGGw8LdVM/w-d-xo.html
Kuhusu mkaa tuzid kuwasiliana. Mungu akipenda somo lipo litakuja
Nitumie kias cha chakula cha kuku
Ya kiasi hii apa
th-cam.com/video/eEdCdGU_53o/w-d-xo.html
Je ukiweka dagaa na mashudi
Zote ni protini japo mashudu Yana mafuta kw hiyo punguza dagaa ongeza mashudu
@@AGALUSTV naomba video ya kuandaa chakula cha kuku wanaotaga wa kienyeji
Hii apa somo lake
th-cam.com/video/-4ho30cWUFM/w-d-xo.html
Habar je nikweli kuwa kuku walio zaliana hapohapo kwenye banda hawawezi kuzaliana? Kwa mfano jogoo alie zaliwa hapo hapo kwenye banda?
Wanazaliana lakini haishauriwi kukaa nao muda mrefu kw sababu za kiafya na tabia pia 🙏
Kuku wanaokua na mitetea fomula yake ni ipi?
Linakuja soon
Mimi nataka niweke madini yawe 10% nipe mchanganuo
Jumla ya kg ya chakula ni 100 kwa iyo 10% ya chakula chako kiwe ni madini
Nataka mchanganuo wa hiyo 10% ya madini Kwa vifaranga, maana mchanganuo ulioutoa ni wa 5%
Sawa tumekupata
Banda langu lakawaida tu,napata changamoto za vijidudu vidogo bandan nafanya nn
Badili banda pia tumia dawa za wadudu kwa sasa
Hizo fomula ni kwa kuku wa aina zote wanaotaga?
Vifaranga
Apo nimeelewa msaada mwingn ni kwenye magonjwa ndo changamoto ambayo inanisumbua
Pole sana sasa apo unahitaji kujifunza nini. Kama dawa na ugonjwa wake somo ni hili👇👇th-cam.com/video/DiG5lAtaZ88/w-d-xo.html
Asante sana.
Pamoja ndugu