GABO AMZAWADIA MTOTO WAKE DUKA LA KISHUA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2021
  • Mwigizaji Gabo ameitambulisha biashara ya mtoto wake Bills ambapo katika tukio hilo amealika watu maarufu mbali mbali akiwemo msanii Barnaba, hii hapa video inayoonesha tukio zima. PLAY kutazama

ความคิดเห็น • 47

  • @mwanaishakhamis8069
    @mwanaishakhamis8069 2 ปีที่แล้ว +5

    MASHALLAH Allah afunguliye biashara yenye mafanikio insha'Allah jito la hasidi lisimpate 🤲🇰🇪 county mambasa 001

  • @alush3138
    @alush3138 11 หลายเดือนก่อน

    Nampenda Gabo anakauli zury mashallh allh akuzidishie biashar

  • @user-pl6og2nd2k
    @user-pl6og2nd2k ปีที่แล้ว

    Mashaalwa mwenyezimungu afanye wepesi🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @hidayaibrahm9440
    @hidayaibrahm9440 ปีที่แล้ว

    Mashaallah!Allah azid kuwafungulia rizki kadri awezavyo,aidumshie upendo na mapenz ktk familia yk,akuepushe na hassad za waja. Kila la kher kaka

  • @omarkalita5340
    @omarkalita5340 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว

    Ongera sana kaka.

  • @hagarbills4023
    @hagarbills4023 2 ปีที่แล้ว

    Mansha'Allah

  • @SalsabeelLtd
    @SalsabeelLtd 2 ปีที่แล้ว +3

    akamuudumie pia mtoto aliyezaa na husna

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 ปีที่แล้ว +2

    Kubagua watoto sio vzuri...na mtoto wa husna sio mtoto???mzee wa ofcourse?😂😂

  • @cutemamy9602
    @cutemamy9602 2 ปีที่แล้ว

    Hongera kaka Gabo

  • @aishambondo8923
    @aishambondo8923 2 ปีที่แล้ว

    Bannaba umejuaa mtangazajii loe👌🤣🤣🙌

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 2 ปีที่แล้ว +1

    Bwana masifa..

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwa mtoto mdogo hakuna zawadi,kuna Wajibu
    Ukimpa mtoto wako wa zaidi ya miaka 20, hiyo ni zawadi

  • @mohamedaden5881
    @mohamedaden5881 2 ปีที่แล้ว +4

    Watu na watoto wao mi wangu tamzawadia kuku

  • @adrianabellydancer5256
    @adrianabellydancer5256 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭

  • @azizamvungi6203
    @azizamvungi6203 2 ปีที่แล้ว +1

    acha kubaguws watoto funga ndowa acha kudhini wa husna umembaguwa acha hizo

  • @Emmymajula5838
    @Emmymajula5838 2 ปีที่แล้ว

    Barnaba kumbe ana kisembe

  • @mohamedjumbe9309
    @mohamedjumbe9309 2 ปีที่แล้ว +1

    Mpoki kapita hapo

  • @adrianabellydancer5256
    @adrianabellydancer5256 2 ปีที่แล้ว +2

    Natamani Sana kupata mume mwema anaemthamini dam yake kama wewe Mimi mpaka mimba imesusiwa

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 14 วันที่ผ่านมา

    Sasa unawake wangapi na watoto wangapi kuna star umemzalisha mtoto hu mlei inakuwaje na huku mitandaoni shere sifa pesa kwa wingi showof nyingi

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 2 ปีที่แล้ว

    Hapo wamefungua duka Sio wamempa ZAWADI mtoto.......na wanatangaza duka lao ,

  • @nurukasunga6756
    @nurukasunga6756 2 ปีที่แล้ว

    Haya barnaba kidumu namfagio

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubaguz sio kitu poa

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 2 ปีที่แล้ว +1

      Mtoto wa zinaa ni mtoto wa mama kama atakuwa wakike gabo anaruhusiwa kumuoa.

  • @siwemamusa6659
    @siwemamusa6659 2 ปีที่แล้ว

    Nyinyi ndio munaoa wanawake wasiyo sahihi kisa chura mwisho wasiku ndoa inakuwa ndoano unakuwa umempenda chura nasiyoyeye. Na tabia zake acha ushamba

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 ปีที่แล้ว

    Hhhh

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 2 ปีที่แล้ว

    nammi nikiwa na mil 20 si naweza kumfungulia duka kama hili mwanangu Balquis? au haitoshi

  • @ndagiletv521
    @ndagiletv521 2 ปีที่แล้ว

    Mke wake mbona chura amna au kafata rangi...

  • @estertiffathomas5651
    @estertiffathomas5651 2 ปีที่แล้ว

    Gabo punguz tui uwek mchel ucje kupika bokobok u

  • @cutemamy9602
    @cutemamy9602 2 ปีที่แล้ว

    Hyo barnaba kauweza upambeee

  • @sulymansalymaly3859
    @sulymansalymaly3859 2 ปีที่แล้ว

    Hamumalizi drama tu

    • @SalsabeelLtd
      @SalsabeelLtd 2 ปีที่แล้ว

      ndo apo c angekuwa anamuhudumua yule mtoto aliyezaa na husna kule

    • @bernadetamodest6170
      @bernadetamodest6170 2 ปีที่แล้ว

      Kaamua kumuhudumia huyu siyo yule,vp kwan wakataa asimuhudumie ?

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 2 ปีที่แล้ว

      @@SalsabeelLtd Mtoto wa zinaa ni mtoto wa mama kama ni wakike gabo anaruhusiwa kumuoa.

  • @siwemamusa6659
    @siwemamusa6659 2 ปีที่แล้ว

    Acha ushamba unaesema chura wewe nimshamba Tena msukuma kabisa mamayako anachura ? Rakini mbona aliolewa na baba yako acha ushamba

    • @sagboison6297
      @sagboison6297 ปีที่แล้ว

      Msukuma kafanyaje Tena jinga wewe mxiuuuu

  • @aishambondo8923
    @aishambondo8923 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah