PATANISHO : NIMEKUPEA MWAKA MOJA URUDI KWENU NDIO UJUE MIMI NDIYE MWANAUMME
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ค. 2024
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho #gidinaghostasubuhi
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
This man Joel ni mkatili sana
If I was that lady, I can tell him to go and collect hizo ngombe na aniwache tu.
Huyu mwanamke nae ni dhaifu sana, mtu anakupanda kichwani hivyo, na bado unakubali kurudi kwake, kisa eti katoa ng'ombe.huo ni udhalilishaji kwani kisa ng'ombe, ndio ukawe mtumwa. usijishushe kiasi hicho. Kama mbwai na iwe mbwai bwana usingerudi. 14.05.24.
Ndo mana wanawake siku hiz wanapiga waume zao
Hakuna kitu nzuri kama mwanaume!!!!
@@alexnyamweya6810 ha ha ha kweli kabisa mapenzi ni kwa sababu ya ng'ombe 😅😅😅👍
😢😢😢yaani hii jinga ya mwanamme anasema ng'ombe ng'ombe as if mnyama ni wamaana kuliko mwanadamu..
Mi heri niishi single mother kuliko hii type ya mbaba
Joel ni mjinga sana .
hapa kuna unsolved issues mingi na ndio hufanya watu wakirudiana ni kifo hutokea, juu jamaa bado anahasira . huyu jamaa aende kwa kina bibi wakae chini na wazee waongee hasira iishe, hao wakirudiana hivo mmoja atauwa mwenzake.
The guy sounds primitive I don’t think you can put sense in his life 😂😂😂
Weeeeee.😅😅😅 Huyo Joel ni bad news
Mm n Regina Aki c wezi Rudi wacha ikae .akujie ngombe zake
😂😂
Aky mm kama vanice siwezi Rudi GIDI nikuwajezea too hapo siwezi Rudi kabisa Wacha uyo mwanaume arudishiwe ng'ombe zake aoe mm Wacha nikae home to 😢😢😢
Joel naye alioa bibi huitwa Furnace? Bomba la moshi? Hiyo ni joto kubwa sana. Ni heri angeoa Mercy ama Charity ama pengine Maria mama wa Yesu.
Yaani ng'ombe ilipeleka ng'ombe kwenu inakuimbia kila siku yawaa...mtu ata hataki kujua vile watakaa Kwa nyumba anafikiria tu kutuhusu Sisi maghaidi million 5..we really don't care who is swearing when cha mhimu ni Ghidi acheke siku ianzishe na kicheko hio ingine ya ndoa ni yenu
Mwanaume suruari sana.yaani ng'ombe n muhimu kwake kuliko n binadamu kama n mm ungekujia ng'ombe zako n uzioe
Akujie ng'ombe zake aziii
Joel wolololo, better l die single,Phanice ume jaribu
Waluhya nyinyi siku moja tutawaachia radio jambo😂
Bana 90% ya patanisho hukuwa n wao
@@TabithaMwangi-gi6gf wananishangazanga sana kwani hawajui kusolve kesi kivyao
Mara nilitoroka nkalala kwa vibanda😂😂😂😂😂😂😂
Aba kuna shida sana
Huyu Joel Mlevi au?
Joel Afai hapo kwenye Radio anaongea hivyo mkiwa wawili inakuaje?
😂,😂😂I die
Radio jambo haishiki apa borabu sub county manga
😂😂😂😂😂😂😂 hapo kama ni mimi siwezi rudi kwa hii ng'ombe inajiita Joel
Waaaahh nawa for you Joel 😂
Wueh 👀🙆🏾♀️ hata kwa Dawa 😅😅
Ng'ombe ng'ombe ng'ombe
Wakati alioa aliambia wakenya million kumi???
Hizi ni gani surly 😮😮😮kama hawa ndio wanaume wamebaki kenya wacha ikae😂😂😂😂
I tell'ya. It's a na..maan..
Kaa kwenu uozee huko😂😂
@@barygarcia3128 koma msenge moja kwani nimekuita kwa comment yangu mumakako wewe
Yaani kwa sababu alitoa ng'ombe ndio ana mdhalilisha hivo🤔heri nikae single jamani
Can never be me 😅
😂😂nijikute mimi nkirudi place kaa hii😂
Waaaaat huyo joel yawa apana taka
This woman is it that hana option ingine ama ni dwarft😢😢
😂😂😂 ng'ombe, swear before millions of people Mimi siwezi .
Umaskini mbaya aki
Hapa nikupanga na wazazi warudishe ng'ombe... Joel aoe ng'ombe zake... weuhhhh 😱😅
Aki venye mimi sipendi ujinga walai, ningekua nishakata simu
Mwanaume Kiherehere me siezi rudi kwa huyu mtu hawa ndio wale wakitaka kulala na weww lazima wamulike na Touch
🐄 5 😂😂😂😂😂😂😂 hata kama
😂😂😂
Aki Joel 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huyu Joe nomulalu
Narcissistic behaviour detected.... that woman is in big trouble akirudi huko. Desperation ni mbaya jamani
Aende achukue ngombe yake
🤣🤣🤣🤣 huyu mwanaume hapana
Ata gidi ameshangaa anataka kurudi kwanini 😅😅😅😅
Eeh, ukali wa Joel hauna kifani 😂😂
What is kutoa ngo,mbe naurumia the lady bona harudi no no
Mke bado ana mpenda mume wake. Wacha tuwaache warudiane
Mwambie aende achukue hizo ng'ombe , mwanaume baridi jizi
Huyu mwanamke amrudishis watoto na ashungulike kama hana mapato hii sio ndoa n utumwa
Ngombe kumbe ni important hivyo😂😂
if kiburi was a person it could be joel nkt!
Mwambie aedee ngombe akae nazo Mimi cwezi
😂😂😂😂
Weeh huyo jamaa kwangu ni red flag, siezi dhalilishwa kwa ajili ya ng'ombe
Young lady please stay away
Mtu anakupanda kichwani juu ya 🐄🐄🐄🐄 only 😂😂😂😂
Joel ni narcissist hadi kuonvea kwake ana ujeuri sana,kwani kutoa ng'ombe inamaanisha umdharau tu vile unataka ama ju ulitoa ng'ombe una haki ya kumfanyia chochote,Joel rekebisha tabia na uwache kujipiga kifua kwa ng'ombe 4 ni kama ulipeana mamilioni kwa kina Phanice
"NDIFFFFYOooo" Phanese anaenjoy mujama tu. Ng'ombe imetoa Ng'ombe kwa Ng'ombe ingine.
Ka n huyu hapana ati ng'ombe ng'ombe nkt
Huyu Bibi naye katuaibisha..too weak
Simba sarakasi 😂😂😂😂