PATANISHO : HIYO MIMBA SI YANGU..NI YA HUYU MWALIMU...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 121

  • @edinasar
    @edinasar ปีที่แล้ว +20

    Gidy na Ghost kusema ukweli you guys make us happy here in Germany hearing those voices i always feel at home thanks a lot

  • @croxxsurgent7263
    @croxxsurgent7263 ปีที่แล้ว +7

    Watching front Doha Qatar...my fav show

  • @Gladys835
    @Gladys835 ปีที่แล้ว +31

    Kuolewa na mwanaume mjinga ni kama laana😢

    • @christineodhiambo4469
      @christineodhiambo4469 ปีที่แล้ว

      🥲

    • @dorothyabila1082
      @dorothyabila1082 ปีที่แล้ว +4

      Si kama laana ni laana...
      May God help us....

    • @enn4983
      @enn4983 ปีที่แล้ว +1

      Wasichana wajitafutie kwanza, na wajifunze kitu ya kuendesha maisha yao. Huyu mtu hasikiki kama mtu mzuri, anasikika mkali mkali.

    • @clintonobegi8458
      @clintonobegi8458 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂pia kuoa mwanamke mpumbavu ni laana kubwa

  • @FranciscaMutua-m2k
    @FranciscaMutua-m2k ปีที่แล้ว +13

    Achana na huyu mwanaume kama unajiamini ipo wakati atakutafuta lea mtoto wako mungu akufungulie milango tu

  • @annkajuju1691
    @annkajuju1691 ปีที่แล้ว +2

    @Radiojambokenya naweza kuwapata aje Meru

  • @lilianonkundi65
    @lilianonkundi65 ปีที่แล้ว +2

    Waaah wanaume wakisii wanafanana tu....

  • @joysorewitindi8542
    @joysorewitindi8542 ปีที่แล้ว +5

    i love this show it teaches us alot and what we dont know,Guys you're doing good job

  • @WilliamolemelikiWilliam
    @WilliamolemelikiWilliam ปีที่แล้ว +1

    halo radio jambo uķunisaidia pia namkewe nitafurai Sana na yup tz

  • @jamjam8734
    @jamjam8734 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa ana mwanamke nairobi

  • @faithkagendo1506
    @faithkagendo1506 ปีที่แล้ว +1

    Gidi u r wise like king Solomon,that's why unapatanishanga watu wenye walikuwa mbali na kupatana

  • @typohneprofiel515
    @typohneprofiel515 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hello Gidi. Mwambie Ghost anitafute.

  • @magwagwa
    @magwagwa ปีที่แล้ว +6

    Here for the udaku again, watching from London na ni 6 am..hii tabia nilitoa wapi 🤣!

    • @mwametallic7668
      @mwametallic7668 ปีที่แล้ว

      Si utume tu pounds magwagwa... Huku hakulwti shangwe ni udaku tu

    • @lewilewi2397
      @lewilewi2397 ปีที่แล้ว

      Nikopeshe niede aghalau Nairobi

    • @magwagwa
      @magwagwa ปีที่แล้ว

      @@mwametallic7668 Pia Sisi tunatafuta ,maisha imetukalia sana!

    • @magwagwa
      @magwagwa ปีที่แล้ว

      @@lewilewi2397 Pia Mimi sina fare ya Kufika Nairobi!😂

    • @mwametallic7668
      @mwametallic7668 ปีที่แล้ว

      @@magwagwa uko kwa streets of landan

  • @agnesandalo6936
    @agnesandalo6936 ปีที่แล้ว +7

    That's my ex husband😂😂uko na mimba but huezi tumiwa kitu,you have to rely on your parent in-laws 😂😂💔 it's hard being pregnant and jobless with no money.

  • @luckybetty-jl6ln
    @luckybetty-jl6ln ปีที่แล้ว +5

    big up Gidi and Gost always filling at home watching from Saudi Arabia

    • @rasyout3021
      @rasyout3021 ปีที่แล้ว

      Uko Saudi riyadh ama

    • @ShalinDylan
      @ShalinDylan ปีที่แล้ว

      Me too ady nasahau Niko saudi

  • @ActionTowing
    @ActionTowing ปีที่แล้ว +1

    PATANISHO : HIYO MIMBA SI YANGU..NI YA HUYU MWALIMU

  • @marjwanjiku8887
    @marjwanjiku8887 ปีที่แล้ว +3

    Salamu za mwezi mpya. Fan wenyu watching from Lake Nona, Florida 🇺🇸 …. Salimia Ghost!!!

    • @jeyjey1181
      @jeyjey1181 ปีที่แล้ว

      Ht

    • @jeyjey1181
      @jeyjey1181 ปีที่แล้ว

      Hy

    • @b.3940
      @b.3940 ปีที่แล้ว

      Florida kule Mimi husikia kuna pythons hula wazungu? Jihadhari usimezwe.

  • @cyrilingosi5279
    @cyrilingosi5279 ปีที่แล้ว +1

    elias ni noma pole EZNA

  • @agaltotousagi4798
    @agaltotousagi4798 ปีที่แล้ว +31

    That's how wanaume huruka mimba alafu ukisha lea mtoto afanikiwe wanaanza kuji rudisha

    • @Amira1977-y
      @Amira1977-y ปีที่แล้ว +5

      👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

    • @shakilamasoud2983
      @shakilamasoud2983 ปีที่แล้ว +6

      Ni wapumbavu sana😢

    • @bensonathewa5956
      @bensonathewa5956 ปีที่แล้ว

      Don't judge , what if DNA itasema si ya huyo mwanaume ????

    • @bensonathewa5956
      @bensonathewa5956 ปีที่แล้ว

      @@shakilamasoud2983 yes kwanza babako ni mpumbavu saaaaana 😂

    • @Amira1977-y
      @Amira1977-y ปีที่แล้ว +5

      @@bensonathewa5956HANA PESA HATA YA KULA?? PESA YA DNA ATATOA WAPIIIIIIIII???? MEN IN AFRICA HIO NI NORMAL!!!!

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh 9 หลายเดือนก่อน +1

    with all your garden that you have your 🎉🎉🎉😮😢

  • @AmAm-su6ce
    @AmAm-su6ce 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mwanaume mjinga Sana ametupa bibi shenzi sana

  • @user-jn4on7ds3s
    @user-jn4on7ds3s ปีที่แล้ว +6

    Huyo mtu ni wale hupeleka bibi ocha na anamuacha huko bila kitu na mother in law controlling everything. Hapo hakuna ndoa

  • @kennedymutua7249
    @kennedymutua7249 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ata mimi hii mimba siezi kubali....kilimramba

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 8 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😂yani hehee

  • @RoseOkumu-k8c
    @RoseOkumu-k8c หลายเดือนก่อน

    Gidi na ghost hi 🖐️🖐️🖐️

  • @judithphiliptvKenya
    @judithphiliptvKenya ปีที่แล้ว +3

    Kuolewa na MTU mjinga ni umaskini na laana

  • @carolinenjoroge9092
    @carolinenjoroge9092 ปีที่แล้ว +6

    Zaa mtoto ulee hapo hakuna ndoa

  • @Christine-k3w
    @Christine-k3w ปีที่แล้ว +1

    Job ni job

  • @elizabethwaswa9483
    @elizabethwaswa9483 ปีที่แล้ว +9

    If the girl was having an affair with the uncle, the aunt could not have recalled her to work there again

  • @virginiawangui7372
    @virginiawangui7372 ปีที่แล้ว +7

    A man can not even afford a phone for you na unamfuata tu bado 😂😂😂😂girl move on

    • @Devenakenya9-sf9mn
      @Devenakenya9-sf9mn 2 หลายเดือนก่อน

      mtu awese ninunuya ata simu tena nirudi kwake

  • @sheilamutingu
    @sheilamutingu 2 หลายเดือนก่อน

    Mtu ata Hana aja na ww na unamfuata 😮wachana na move on Mungu atakufungulia mahali pengine

  • @carolinekarimi9722
    @carolinekarimi9722 ปีที่แล้ว +8

    This man will regret one day

  • @gracemanyonge4449
    @gracemanyonge4449 ปีที่แล้ว +3

    Gidi wacha mambo wanaume sai zii

  • @gracynyambu6838
    @gracynyambu6838 ปีที่แล้ว +2

    Dream killer ,

  • @BIGSAFARIFAMILYBAND
    @BIGSAFARIFAMILYBAND ปีที่แล้ว

    Gidi mbona siwaoni online

  • @aggreyomusikoyo
    @aggreyomusikoyo ปีที่แล้ว +1

    Gidy na gost Ali mkhwana na Rose muhando munaeza wapatanisha kuna MTU alikula fare mahali

  • @lioness8207
    @lioness8207 ปีที่แล้ว +4

    Huyu ameshaona wapoa wa Nairobi saa hii anaruka huyu.i don't know who raised this irresponsible men out here.

  • @francismwanzia9939
    @francismwanzia9939 หลายเดือนก่อน

    DNA should be conducted,if the pregnancy ni ya huyu msee,then asaidie kulea mtoto

  • @FridahMarete-jn8dv
    @FridahMarete-jn8dv 9 หลายเดือนก่อน

    Huyo mwanaume NI mujinga tubu

  • @emmamwesh6293
    @emmamwesh6293 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wakisii ni mafala.

  • @claricewandoe7192
    @claricewandoe7192 หลายเดือนก่อน

    Kama kweli mimba ni yake hana bahati,hata wakija kurudiana huyo mtoto hatampenda coz tayari kuna rejection kati yake na huyo mtoto kwa tumbo!Aombe huyo msichana msamaha mapema!.Tena mama ni mzuri sana amkalia na mke wake,huyu mwanaume hajakomaa kabisa!

  • @jdeejedida6923
    @jdeejedida6923 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna ndoa hapa nzaa na ulee mtoi 😢

  • @clarelucy1444
    @clarelucy1444 ปีที่แล้ว

    Mumewahi jaribu kupatanisha wakikuyu😂

  • @justuskemboi2322
    @justuskemboi2322 ปีที่แล้ว +2

    Ezna jikaze jilelee mtoto wako uyu jamaa will actually regret one day

  • @sylvia3999
    @sylvia3999 ปีที่แล้ว +3

    kwani ni lazima ukae na mume wacha ujinga 😢

    • @rachelmuch5788
      @rachelmuch5788 ปีที่แล้ว

      Mamaa zaaa ukuje gulf pls stry mob wachana nazo

  • @joysorewitindi8542
    @joysorewitindi8542 ปีที่แล้ว +6

    The man is cheating anataka tu kuharibia huyu msichana usiano wake na aunty yake

  • @winniejoy3858
    @winniejoy3858 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sa dame atakuwa na husiano aji na bwana ya wenyewe na hyu bibi amuajiri kw duka,,, hyu mbaba ni muongo

  • @chebetshilla9089
    @chebetshilla9089 ปีที่แล้ว +2

    Hell me, aruke mimba nimlee mwenyewe alafu akifanikiwa ajirudie? My foot! Ntalala jela ama niende mbinguni na mguu.

  • @susanmuthoni5482
    @susanmuthoni5482 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mwanaume ni muongo wakupindukia😢
    Ezna lea mtoto wako kiviako.
    Wachana na yeye..Na mfanye DNA ya mtoto.

    • @lamecknyawira9966
      @lamecknyawira9966 ปีที่แล้ว

      DNA haisaidii yeye alee tu mtoto hasara ni Kwa huyu fala mwanaume

  • @moreh462
    @moreh462 ปีที่แล้ว

    Nimemuonea 16😅😅

  • @faithchep8191
    @faithchep8191 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @DoricaWekesa-oi4yf
    @DoricaWekesa-oi4yf ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Waziri77
    @Waziri77 8 หลายเดือนก่อน

    naskia kuna msemo wa wakisii unasema " usitajie mtoto akufanane kama hua unaacha mia:"

  • @josephngola
    @josephngola 9 หลายเดือนก่อน

    Sijawahi elewa part ya Ghost kwa patanisho ,huskia tu vicheko

    • @emmamwesh6293
      @emmamwesh6293 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @ChrisanneKawa
      @ChrisanneKawa 12 วันที่ผ่านมา

      Yeye ni fundi wa mitambo

  • @edmondanyonaombaye3340
    @edmondanyonaombaye3340 11 หลายเดือนก่อน +2

    Any woman who sleeps outside marriage jua kitakuumania...respect men

  • @liliannyam7391
    @liliannyam7391 ปีที่แล้ว

    That is the begging of your troubles

  • @clintonobegi8458
    @clintonobegi8458 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂thats how ladies are mtu anakuaja anaenda kwa mwingine mambo yakiumana unatudi nkt. I like vile ghost anasema kuhusu hii story aruudishie mwqlimu mimba yake

  • @sweetthirty7671
    @sweetthirty7671 ปีที่แล้ว +2

    Kenyan men pliz ogopeni mungu...hii gjaidi imeona wapoa wanachora eyebrows na kuvaa heels

  • @lizdan4414
    @lizdan4414 ปีที่แล้ว +2

    Gini ni uongo juu yule aunty hangeitikia kurudisha dem kazi kama alijua huyu dem alidate bwanake.mm naunga Ghost mkono

  • @supu1237
    @supu1237 ปีที่แล้ว

    Gidi huyu Dem amechanganyikiwa hiyo abroad do you know ni Saudi Arabia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @lizdan4414
      @lizdan4414 ปีที่แล้ว

      Kwani Saudi sii abroad 😂😂😂😂

    • @annmwariri8119
      @annmwariri8119 ปีที่แล้ว

      Wewe ndio umechanfanyikiwa Sasa unaongea unasema nn?

    • @moreh462
      @moreh462 ปีที่แล้ว

      Saudi no desert

  • @halimashaban7637
    @halimashaban7637 ปีที่แล้ว +2

    Hawa ni types of men who don't empower their wives. Angekua anashugulikia kila kitu huyo dem hangeenda job..The guy is stingy, gal kama umesoma ukijifungua jitafutie kazi uheshimiwe na wakwe

    • @halimashaban7637
      @halimashaban7637 ปีที่แล้ว

      The lady is so matured, that mongrel will regret it's entire life

  • @rudiahgechemba8403
    @rudiahgechemba8403 ปีที่แล้ว

    Wacha mtoto azaliwe tuone masikio inafanana ya nani.

  • @justuskemboi2322
    @justuskemboi2322 ปีที่แล้ว +1

    Ivo ndo mtu huruka mimba. Shame on this man

  • @ronaldtonny1038
    @ronaldtonny1038 ปีที่แล้ว

    Uyu jamaa ni mkisii anapenda moshene, kutafuta advice ya ndoa kwa kila mtu utapotea, be a man achana na moshene 🤣

  • @alicenyambura1130
    @alicenyambura1130 ปีที่แล้ว

    huyo ni dame mang'aaaaa

  • @judywangechi699
    @judywangechi699 ปีที่แล้ว +1

    Hiki kimzee kinanikera,anataka tu kuruka mimba.

  • @FridahMarete-jn8dv
    @FridahMarete-jn8dv 9 หลายเดือนก่อน

    Kwani wewe ULIKUWA na Nani mbereni mwanaume UBWA mwitu

  • @crocodilemasala7956
    @crocodilemasala7956 ปีที่แล้ว

    Mwanamke hawachanangi na ex wake. There is a possibility huyu mwanamke anabeba mimba ya mwanaume mwingine.

  • @rudiahgechemba8403
    @rudiahgechemba8403 ปีที่แล้ว +3

    Wacha mtoto azaliwe tuone masikio inafanana ya nani.

  • @Lornajuma-sb7vo
    @Lornajuma-sb7vo 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂