PATANISHO : TUNAPIGANANGA ALAFU TUNARUDI TUNAONGEA - PETER WAMBUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
    #RadioJamboKenya #gidinaghostasubuhi #patanisho
    Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
    Mitandao ya Kijamii
    Instagram - rb.gy/e154d1
    Facebook - rb.gy/09d1b9
    Twitter - rb.gy/e23220

ความคิดเห็น • 38

  • @calvinotim1917
    @calvinotim1917 7 หลายเดือนก่อน +8

    Let me take this opportunity to thank Radio Jambo especially you Gidi and Ghost for the commendable work you are doing to unite broken families rather than them going to the witch doctors seeking for help. On this issue, allow me thank Mama Matilda for her understanding, she's a sweet mother-in-law that doesn't need to be loose. My brother Wambhua should style up. Ongera sana Gidi na Ghost.

  • @kefamwachala2703
    @kefamwachala2703 5 หลายเดือนก่อน

    At least we got clients who can express themselves wisely 😊. It was clear and on spot!

  • @davidrandu3642
    @davidrandu3642 7 หลายเดือนก่อน +4

    Gidi tafadhali hawa jamaa wanataka kupatanishwa wengi ni come we stay.so tafadhali waulize ikiwa hawajaenda kwa wazazi,achana na hio patanisho.coz wamezoea kuchezea watoto wa watu.

  • @rogersorina7224
    @rogersorina7224 7 หลายเดือนก่อน +5

    Kwani kukaaa kwa majirani ni makosa kweli,uenda hikawa hana poeka kwa nyumba peke yake ??? Lazima huyu jamaa hako na maneno.

    • @priscaooko4626
      @priscaooko4626 7 หลายเดือนก่อน

      Na hata hashughuliki kitu😅😅..na kumchapa

  • @liliankemy6739
    @liliankemy6739 7 หลายเดือนก่อน

    Aki wazazi upitia mingi

  • @Bjgihygbkgccvjgfcmgdcbjffbnhfv
    @Bjgihygbkgccvjgfcmgdcbjffbnhfv 7 หลายเดือนก่อน +1

    Very good mum😊😊

  • @LennoxLewis-x4e
    @LennoxLewis-x4e 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanaume bwege huyo

  • @cliffnyariki1513
    @cliffnyariki1513 7 หลายเดือนก่อน +1

    Always mwanamke akienda kwao anajitetea hata kama alikosa ili mwanaume aonekane na makosa.

  • @wakiama9609
    @wakiama9609 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kama umewacha watoto wako kwenu hio ni ndoa gani my sister?? Ngombe iende na kamba yake

  • @b.3940
    @b.3940 7 หลายเดือนก่อน +4

    Wambui ana ID na haendi hustle kazi yake ni kukaa nyumbani kama mja mzito? Bure kabisa, mavi ya kuku.

  • @FranciscaMutua-m2k
    @FranciscaMutua-m2k 7 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu jamaa alitesa mkewe Sasa anataka arudi amlee mama usiruhusu arudi alee watoto

  • @deborahmoige2363
    @deborahmoige2363 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hata mm nikue Matildah sitaki huyo mwanamme kabisaaa .

  • @aishaabdoul7649
    @aishaabdoul7649 7 หลายเดือนก่อน +7

    Team Spain gonga like

  • @MargaretAwinja-ls7hx
    @MargaretAwinja-ls7hx 7 หลายเดือนก่อน +1

    I just like that mother's wisdom,how i wish other women could follow that path instead of favouring one side

  • @winniejoy3858
    @winniejoy3858 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mko na bahati mkipigana mnarudiana

  • @FaithWafula-uf8fy
    @FaithWafula-uf8fy 7 หลายเดือนก่อน +4

    This is my best redio ever,I love you gidi na gost❤❤❤

  • @Duseh2050
    @Duseh2050 7 หลายเดือนก่อน

    Watoto waende Kwa baba zao

  • @EricAbega-n1e
    @EricAbega-n1e 7 หลายเดือนก่อน +15

    Gidi punguza maswali meeeeeengi wakati mtu anajieleza.Unapenda kuvunja watu mioyo na kutetea wanawake.Wakati mwanamume anajieleza hautaki kumupatia mda ajieleze,lakini mwamamke unamupatia mda.Hajana upaguzi wewe

    • @cliffnyariki1513
      @cliffnyariki1513 7 หลายเดือนก่อน +4

      Umesema ukweli

    • @EricAbega-n1e
      @EricAbega-n1e 7 หลายเดือนก่อน +3

      @@cliffnyariki1513 Afadhali ghost mara mia kuliko Gidi.Gidi nikama yeye ni malaika hajawai kosana na bibi yake.

    • @sofielove4458
      @sofielove4458 7 หลายเดือนก่อน

      Huwa Gidi hampi nafasi ghost aongee​@@EricAbega-n1e

    • @marrieann5278
      @marrieann5278 7 หลายเดือนก่อน +5

      Gidi yuko tu sawa hawezi side na ubaya,mbona asiende kwa kina bibi kama hana hatia?hakuna mzazi ataona son inlaw kwake na amutendee uovu lazima watasikia both sides,so don't blame Gidi yeye anafabya kazi yake kulingana

    • @glennokayo7258
      @glennokayo7258 7 หลายเดือนก่อน +1

      Gidi ni fala Sana, afadhali Ghost maze. At least this time hawatoki western wueh!

  • @thogonuii
    @thogonuii 7 หลายเดือนก่อน +2

    WANAUMEE mnatoanga wapi nguvu ya kuoa na kuzalisha ma single mothers? Nani aliwalea

    • @angieblessed
      @angieblessed 7 หลายเดือนก่อน

      Giving wacha kuonea huyu mwanaume

    • @priscaooko4626
      @priscaooko4626 7 หลายเดือนก่อน

      Unaongea kama single mum si watu..na umejazaa watoto kila mahali...

    • @priscaooko4626
      @priscaooko4626 7 หลายเดือนก่อน

      Hata huyu wambua wako hana pesa na adabu..

    • @thogonuii
      @thogonuii 7 หลายเดือนก่อน

      @@priscaooko4626 WEWE unaeza taka mtoto Wako wa kijana akuletee single mother wa watoto wawili ati amepata bibi? Alafuu kama wambua Hana pesa mbona huyo single mother alikubali kuolewa na yeye?