MISSION IMPOSSIBLE [10]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 436

  • @Dee_ano
    @Dee_ano 2 หลายเดือนก่อน +6

    Nimependa jinsi huyu mdada alivyokuwa akimshauri huyu najma,
    at the same time tunaweza ila tunaharb wenyewe kwa kujitoa thamn,
    too deep feeling, words on true territory with cosniquences emotional 😢😢
    adorable and sweet series🎉🎉

  • @KiduBoyJr.
    @KiduBoyJr. 2 หลายเดือนก่อน +34

    Oe sogea nikuchanechane kama maganda huyu dogo anajua big chado kumchukua big fan from +254🇰🇪💥💯📌📌

  • @martinskabwe
    @martinskabwe 2 หลายเดือนก่อน +172

    Jaman hivi mnaonaje series ya mission impossible chado ni namba moja kwenye kutoa kazi kwanza acheleweshi kazi anaekuwa pamoja na mie gonga likes hapa

    • @AllyMkola-u7e
      @AllyMkola-u7e 2 หลายเดือนก่อน +6

      Kuomba like tu kuoga aka

    • @HappyChona
      @HappyChona 2 หลายเดือนก่อน +3

      Shida yako kuomba like tu hapa

    • @Marioohajirat
      @Marioohajirat 2 หลายเดือนก่อน +1

      daa kwer aisee ananitishaa

    • @FirdaussBijilan
      @FirdaussBijilan 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisa ❤

    • @martinskabwe
      @martinskabwe 2 หลายเดือนก่อน

      @@AllyMkola-u7e kuongea ongea kuoga aah

  • @willyobiike5500
    @willyobiike5500 2 หลายเดือนก่อน +20

    Naipenda sana hii movie kwakweli,, washkaji wana igiza vzr direction imekaa vzr sana... WE LIKE

    • @AllyMkola-u7e
      @AllyMkola-u7e 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kazi kuomba like tu kuoga aka

    • @willyobiike5500
      @willyobiike5500 2 หลายเดือนก่อน

      @@AllyMkola-u7e hahaha kunisimanga TU kutoa like kimyakimya aaaaah🤣

  • @FidiaMutoniwase
    @FidiaMutoniwase 2 หลายเดือนก่อน +4

    2ouh hanifa wetu Karib Sanaa tulikua tunakumiss san dada yetu 💞💞💞

  • @KiduBoyJr.
    @KiduBoyJr. 2 หลายเดือนก่อน +20

    Yaani hakuna kama chado master nakubali mwamba big fan from kenya +254🇰🇪💥💯📌📌

  • @VincentChangamu
    @VincentChangamu 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi hapa Simba WA teranga kutoka Mombasa , Kenya Kwa kweli napenda movie za chado masta na gozi director hongera wazito

  • @zainabamir8653
    @zainabamir8653 2 หลายเดือนก่อน +36

    Na mimi Mrs chado from +254 nipeni hata like 10😂😂 hongera sana my wangu chado

    • @AllyMkola-u7e
      @AllyMkola-u7e 2 หลายเดือนก่อน

      Kuomba like tu kuoga aka

    • @zainabamir8653
      @zainabamir8653 2 หลายเดือนก่อน

      @@AllyMkola-u7e 🤣🤣🤣

    • @JudyErick-e5l
      @JudyErick-e5l 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi ndio nimemalizia like ya kumi zawadi kwangu

    • @zainabamir8653
      @zainabamir8653 2 หลายเดือนก่อน

      @@JudyErick-e5l 🌹🌹🌹🥰😘

    • @BarwakoNoor
      @BarwakoNoor หลายเดือนก่อน

      Watafuta kesi na wakenya ww nakuona

  • @Sadratyngag
    @Sadratyngag 2 หลายเดือนก่อน +9

    Dada Kuna kityu nimeipenda apo kwenyew ushauli wa mapenziiii daaaaah nkupnda jomooooooiniiii umeongea bonge la neno dear❤❤❤ mmmmh nimempnda mnoooooo jomooooooiniiii ushauli mzuliii mnoo

  • @BIGbone.9422
    @BIGbone.9422 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kwa hilo wazo la HANIFA kwa mdogo wake sio zuri ndio maana wanawake wengi hawana ndoa zao kisa kujifanya napenda sipendi. Speak out your heart to the person you love and let them decide to love or not to love. Mwenye masikio na asikie sito rudia.

  • @HusnaSaidi-cf1ig
    @HusnaSaidi-cf1ig หลายเดือนก่อน +1

    Yaan naipenda hii muv hasa wakikutana chado na kidem jau na jisong wanalowekewa mm hoi

  • @AliciaAnthony-b7l
    @AliciaAnthony-b7l 2 หลายเดือนก่อน +10

    Wa kwanza from kenya ❤❤❤

  • @DalilaHasani-m2i
    @DalilaHasani-m2i 2 หลายเดือนก่อน +4

    Tunawakubali sanaaa ❤❤❤ ila mnachelewesha bhana tunasubiri episode nyingine

  • @kago99life
    @kago99life 2 หลายเดือนก่อน +7

    Geto Muhimu Mkùu Lazima Aje UYooooh 😊

  • @highlightboy255
    @highlightboy255 2 หลายเดือนก่อน +6

    ""Make sure when you come gheto don't come with police""😂😂😂😂 CHAKO NOMER

  • @RameckWagine
    @RameckWagine 2 หลายเดือนก่อน +21

    He Leo Mimi wakwanza 🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @ThuraiyahJUMA
    @ThuraiyahJUMA 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Namwelewa sn cheusi

  • @JescaFelix-e4x
    @JescaFelix-e4x 2 หลายเดือนก่อน +22

    Nimefurahi sana kumwona hanifa tena

    • @MwanadiaSaid
      @MwanadiaSaid 2 หลายเดือนก่อน

      DOUBLE J

  • @khadijaoshan6881
    @khadijaoshan6881 2 หลายเดือนก่อน +6

    From Kenya naikubali vibaya sana❤❤❤❤❤❤

  • @DenisSylivester
    @DenisSylivester 6 วันที่ผ่านมา

    Huyo dada wa shule anajua sanaaaaa

  • @erickilonzo970
    @erickilonzo970 2 หลายเดือนก่อน +36

    MaGEN-Z wa Kenya nipeeni likes bana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @AllyMkola-u7e
      @AllyMkola-u7e 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mkenya kwa like kuoga aka

    • @VillaviaChemutai-if2ry
      @VillaviaChemutai-if2ry 2 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤🇰🇪🇰🇪

    • @erickilonzo970
      @erickilonzo970 2 หลายเดือนก่อน

      @@VillaviaChemutai-if2ry 💕💕💕💕💕

    • @suleimanmatege3899
      @suleimanmatege3899 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tuko apa 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @FransiskaDomel
    @FransiskaDomel 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn chado msafi hadi nimempenda buree❤

  • @princeliy1175
    @princeliy1175 2 หลายเดือนก่อน +22

    KITOTO CHA SHULE KINAMFANYA MUHUNI ASAFISHE GETHO ILA MAPENZI HAYANA MBABE😂❤😅

  • @sayyidomar4245
    @sayyidomar4245 หลายเดือนก่อน

    Chado umeuwa babaaa salute

  • @SangaliPower
    @SangaliPower 2 หลายเดือนก่อน

    Ila muandishi wa hiyo ngoma anajua saana tena sana nipeni nimalizie vec ya pili maana uvumilivu umenishinda

  • @HusnaMasenga
    @HusnaMasenga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asanteni sana dada hanifa nimejifunza kitu kikubwa san leo wacha nibadilike sasa kubitia maneno aya ❤❤❤❤

  • @boazmvellah6286
    @boazmvellah6286 2 หลายเดือนก่อน +3

    Code hii wanaelewa wachache Chado😂😂😂😂 Geto la masela linatandikwa na kufagiliwa kwa matukio tu😂😂😂😂

  • @selemanisozi936
    @selemanisozi936 2 หลายเดือนก่อน

    Chado baada ya baga ni ww unaweza sana hizi movie za kihuni ndo tunazitaka sana uko vizuri unaziweza sana

  • @Fashionofficiel-k9k
    @Fashionofficiel-k9k 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nakukubali sana chado kudoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @FadhiliKaloto
    @FadhiliKaloto 2 หลายเดือนก่อน

    Chado Master we ni noma kama jina lako yaani Toka uachane na mkojani movie zako zimekua ni tishio, sana kaka.!!

  • @floramacheva5855
    @floramacheva5855 2 หลายเดือนก่อน +13

    Naupenda huo wimbo ❤❤❤ please 🙏 chado tupe huu wimbo hapa TH-cam full 🎉

  • @kago99life
    @kago99life 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sanaaaah Janja Unajua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉Maua Yako Ayoooooooh☠

  • @PoleenNjeru
    @PoleenNjeru 26 วันที่ผ่านมา

    Alafu mtoto uko na vibe alafu ebu niongelee kwa chado akikubali nakuja na fare yangu from 🇰🇪🇰🇪

  • @mikamunisi
    @mikamunisi 2 หลายเดือนก่อน +46

    Oyoo wa kwanza leo, naomben at likes mbil tuu kwa kuwa wa kwanza🎉

    • @AllyMkola-u7e
      @AllyMkola-u7e 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kuomba like tu kuoga aka

    • @mikamunisi
      @mikamunisi 2 หลายเดือนก่อน

      @@AllyMkola-u7e kureply tuu, ku view aahh

  • @salmambarak859
    @salmambarak859 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ kz nzr chado mungu abariki kz y mikono yenu iyendelee kufanikiwa zaidi

  • @Young_Tembo
    @Young_Tembo 2 หลายเดือนก่อน +38

    Jamani tuna juwana wa penzi wa mission impossible nipeni like zangu APA

    • @AllyMkola-u7e
      @AllyMkola-u7e 2 หลายเดือนก่อน

      Kazi kuomba like tu kuoga aka

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 หลายเดือนก่อน

    Huyu kidem jau yupo vizuri sana❤❤❤

  • @AngelMabena-b8w
    @AngelMabena-b8w หลายเดือนก่อน

    Oya kidemu jau katisha sana❤🎉

  • @MbatiazakariambatiaMbatia
    @MbatiazakariambatiaMbatia 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi zako chado ni nzuri na ziko chapu

  • @FatumaHamisi-uk1pq
    @FatumaHamisi-uk1pq หลายเดือนก่อน +5

    Naomba kujua jina la iyo nyimbo maana na mm Nina chado wangu huku kitaa siwezi kumwacha siwezi kabisa muuni akipenda weee😂😂 ogopa

    • @Mubrack
      @Mubrack 26 วันที่ผ่านมา

      Hy nyimbo inaitwa NGINJAAAA NGINJAAAA

  • @MasauShida
    @MasauShida 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri sana Mr. Chado

  • @DeboraTege
    @DeboraTege 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeikubali hii move jmn nakupnd san najma na mpnz wak chado

  • @StivinSintufya
    @StivinSintufya หลายเดือนก่อน +1

    Oya Ngwengwe sio poa kamshikia cheusi topazi😂😂

  • @maulidubaya1642
    @maulidubaya1642 2 หลายเดือนก่อน +9

    Movie kali ngoma kali Ingongo ingwe👊😂

  • @MaryamUmalsroom
    @MaryamUmalsroom 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤Move moto walai naipenda mungu awalinde Kaz nzuli pia mnatow kwawakat

  • @MweliMazozo-f8y
    @MweliMazozo-f8y หลายเดือนก่อน

    Yule mtoto michano kachanganyikiwa kabsa 🤣 kucha kuchana tu kusoma aahh

  • @ShalftyShabani
    @ShalftyShabani หลายเดือนก่อน

    Jamn chado nakukubali kinoma yan

  • @NeemaLuambano
    @NeemaLuambano หลายเดือนก่อน

    Jmni hyo nyimbo inaitwaj jmn

  • @mctcher9297
    @mctcher9297 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kama unamkubali dogo kwa rap yake em tukutane kwa liks afu thnks sana chado unatupa burudan kwa wakat from 🇰🇪

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 หลายเดือนก่อน

    Chado master mission impossible 😂😂😂nakukubali mwanangu chado uyo mtoto anajuwa sana🎉🎉🎉

  • @OridaChristopher
    @OridaChristopher หลายเดือนก่อน +1

    Chado mwamba wa love jamanii

  • @KhamisiNgala-gh5cg
    @KhamisiNgala-gh5cg 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jombii unategea mtto siyoo semaa nn mm nakukubalii chadoo👊

  • @HelaHela-p3h
    @HelaHela-p3h 2 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo. Nimeanza kumfatilia yes chado and bïnt wako hot

  • @ndayisabaneema9514
    @ndayisabaneema9514 2 หลายเดือนก่อน +5

    Chado pngela kwakazi nzuli kiukweli umeweza 🎉🎉🎉🎉

  • @ZenaMsengi
    @ZenaMsengi 2 หลายเดือนก่อน +2

    Oya we umeua chado master

  • @giftjonson5739
    @giftjonson5739 หลายเดือนก่อน +2

    Yn mm nlivomuon tu baga aseee🥰nkasubscribe

  • @LubaratiLubarati
    @LubaratiLubarati หลายเดือนก่อน

    Safi sana chado

  • @AminaSikwala
    @AminaSikwala 2 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana Chado na Alidady❤❤❤

  • @athmansuleiman-s2o
    @athmansuleiman-s2o 2 หลายเดือนก่อน

    sseries tamu sana sauti inazinguwa huko mwisho

  • @freddywizzyTz255
    @freddywizzyTz255 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimemuona Anifa wang❤❤

  • @MartinMartin-z4r
    @MartinMartin-z4r หลายเดือนก่อน +1

    Roho imeniuma sana 🤣 ghetto limesafishwa😮

  • @SuleimanBati
    @SuleimanBati 2 หลายเดือนก่อน

    Nimechelewa elaa nimefika Nice job chado and your team congratulations ❤❤❤ from 🇰🇪

  • @Naema-x7p
    @Naema-x7p 22 วันที่ผ่านมา

    Geto la msela chadoo😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @WARIDVITUS
    @WARIDVITUS 2 หลายเดือนก่อน

    Kwakweri ata mm napenda wanaume waivyo wahuni maana wanamapenz yakweri sana ❤❤ nawapenda kuliko wale wenye sura za mama Wanao ramba ramb midomo aku 😅

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nzuri sana tunawapenda sana ❤🇹🇿

  • @AliSaid-jp1ii
    @AliSaid-jp1ii 2 หลายเดือนก่อน

    Kidem jau😂 sema wahuni cjw rejista zao wanaztolea wp Gonga like bs kwa team Chado master

  • @SelinaImma
    @SelinaImma 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waoooo good 👍 katoto

  • @Tobias_mhina
    @Tobias_mhina หลายเดือนก่อน +1

    Wanagapi uwaga atufanyi usafi mpaka tuwe tuna uwa kika wa demu kuja magetoni😂😂😂😂😂😂

  • @wizzyjordan8502
    @wizzyjordan8502 2 หลายเดือนก่อน

    Chado kaka nimemsubil mchumba ang dada wa taka anagonga mlango talatibuu alaf aongei😂😂

  • @ErickLyanga
    @ErickLyanga 2 หลายเดือนก่อน

    Chado anavyongojea kidemu shule dah mpaka kufagia hatariii

  • @MwanaishaChileta
    @MwanaishaChileta หลายเดือนก่อน +1

    Chado nakukubali mwamba

  • @FestoAbiud
    @FestoAbiud 2 หลายเดือนก่อน

    Kuandaa move ni kipaji❤❤❤

  • @OfficialGolden-wj4sn
    @OfficialGolden-wj4sn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dogo ngwengwe Anaiweza sana 🤣🤣 nimemkubari dogo

  • @Bidii-n9y
    @Bidii-n9y 2 หลายเดือนก่อน

    sana chado🎉

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 2 หลายเดือนก่อน +2

    Cheusi unagubu ka mama wa kambo kumbe ngwengwe kashakupereka😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @marthaminja-o5t
    @marthaminja-o5t หลายเดือนก่อน +1

    Chado nakupenda

  • @RashidKidume-w8e
    @RashidKidume-w8e 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mbona huyu bint nakoromeo kama mwanaume au huyu bint anajinsia mbili?

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 หลายเดือนก่อน +2

      Alikwambia mwenye jinsia 2 anakoroneo nani kiropoka tu ss hp koromeo liko wp uyo ni mwembamba lzim maunvio yk yaonekane

  • @SalimKigola
    @SalimKigola หลายเดือนก่อน

    Oya mwangu chado nawakubal ww na mwamba hyo Baga pamoja sana

  • @NdarNdul
    @NdarNdul 2 หลายเดือนก่อน

    Jamn jamn najm unawez sanaa

  • @husseinjums5404
    @husseinjums5404 2 หลายเดือนก่อน

    Chado nakukunali sana mwanangu sio poa yani niatali unetisha sana chado kwenyehii muvi unetisha sana

  • @masikakhamis5089
    @masikakhamis5089 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chado nomaa sana❤

  • @YeriKahindi
    @YeriKahindi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nmechelewa lakn pia nmefrahi kuona dada alfa, najipata kama wakwanza ivii😅😅😅

  • @edinatarimo4772
    @edinatarimo4772 หลายเดือนก่อน

    Jmn mm napenda hii nyimbo jmn

  • @AishaHussein-sv5vk
    @AishaHussein-sv5vk 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri 🎉🎉🎉 like tafadhari

  • @AnordErick-r4d
    @AnordErick-r4d 2 หลายเดือนก่อน

    Chado family BGP sana 💪💪💪Kazi nzili sana

  • @ELISHAMBWAGA-hr9we
    @ELISHAMBWAGA-hr9we หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤ Good job kaka

  • @SofiaAlimsafirAlimsafir
    @SofiaAlimsafirAlimsafir 2 หลายเดือนก่อน +1

    Gosto muito dessa pita from 🇲🇿🎉🎉🎉

  • @SelemaniIddy-nc1n
    @SelemaniIddy-nc1n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali chado master nikiona umeigiza muhuni ninoma❤❤😂

  • @fatihachingaja632
    @fatihachingaja632 2 วันที่ผ่านมา

    Najma ebu achana na chado mtumzima

  • @FatmaAli-q9u
    @FatmaAli-q9u 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani hii nyimbo yanimaliza wallah

  • @jimmymwanisawa6684
    @jimmymwanisawa6684 2 หลายเดือนก่อน

    Chado toa hata 3 mzee nakubali sana

  • @tigergilyofficial
    @tigergilyofficial 2 หลายเดือนก่อน

    Nani kaimba huo wimbo nimeupenda jamani

  • @BothainaBothaina-k6c
    @BothainaBothaina-k6c 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi Sana bwana chado masta next plz 🥺🎉🎉🎉❤❤

  • @MiriamMsigwa
    @MiriamMsigwa 2 หลายเดือนก่อน

    Hii nyimbo nimeipenda sana kaimba nani?

  • @Mrsmick712
    @Mrsmick712 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 chado imekuwa zam yake kuteseka dadeki fulu kutandika kitanda

  • @ONEGB-q5b
    @ONEGB-q5b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Movie zuri but kuenda mwisho haiongei jamani ebu angalia mitambo

  • @esterbidogo635
    @esterbidogo635 2 หลายเดือนก่อน

    Sema tuu Khanifa ndo haonekani kwenye movie

  • @user-xo6el9ky3r
    @user-xo6el9ky3r 21 วันที่ผ่านมา

    Wimbo huo wanan

  • @MutuaMuendo
    @MutuaMuendo 2 หลายเดือนก่อน

    Oya eeeh mwanangu chado tupangie ji movie na nangwa .. kutoka kenya 🇰🇪

  • @BintyAlly-v2r
    @BintyAlly-v2r 2 หลายเดือนก่อน

    Nakubali chado master..muhuni leo anasafisha ghetto..