Baba Joan baada ya mwalimu mgeni umetuletea maisha yetu tumeelewa movie zako nazinajenga sanah nazinapendaza sanah sanah naninzuri sanah lakn baada ya maisha yetu umetuletea movie gan mbna kmya🎉🎉🎉😅😅❤
Kweli hii imeniingia mbaka nimwaga machozi tu basi haya yote yamenikuta zaidi ya mwenye alikuwa anamsaidia ni mama na mwalimu Julias nawakumbuka sana Mungu awabariki ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Baba Joan hongera kwa tamthlia nzuri yenye mafunzo, Patronize sauti anayo hope for sure he will go far in music industries,bt huo wimbo wa mama nmejipata tu nalia😢😢😢wenye wako kwa ndoa kuelewa muhimu alafu mpende akupendaye,kazi lazima❤❤❤
Asnte xan washiriki wote na muendlee vivyo ivo nyote kw maan hii group ya baba joan ipo vizur mnaipeleka kaz vizur xan ❤❤❤❤❤❤hongereni msitengane kbxa mnafurahisha tunawelewa na tumewazoea washiriki kw kila movie big up kw xan never never never give up ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ kw kila jambo much love🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Waah hii movie ni Kali sana na nilikuwa nauliza hii nyimbo yenye imeimbwa never give up nimejaribu kuitafuta Kila mahali but sijapata naweza saidika aje
Mie kwa kweli nasema umoja ni nguvu na hivyo hapa Kenya nimetiwa motisha na huku episode, Baba yangu Kipofu, Mwalimu mgeni na watoto wangu zote zatia motisha.
Mashallah mnaweza cn mko vizuri kwakweli naifatilia cn michezo yenu jpo sio cn kutoa comment nyinyi mko vizuri mashallah na season zenu mnajua kuzipangiliza
Baba Joan baada ya mwalimu mgeni umetuletea maisha yetu tumeelewa movie zako nazinajenga sanah nazinapendaza sanah sanah naninzuri sanah lakn baada ya maisha yetu umetuletea movie gan mbna kmya🎉🎉🎉😅😅❤
Wejamaa unajua kubembeleza baba Joan wewe ninoma kwahii movie congratulations 🎉🎉🎉and ❤❤❤
Mimi vicent frank mm napenda kusema ile move ya mwalimu mgeni naomba iendelee naipenda sana pia never give up asantee
Ubunifu unao baba Joan ❤❤
Mwalimu gen yupo vizuri
Kabisa ❤❤
Patronize hongera sana na baba joani mungu azindi kukutia nguvu ya kuweza kusaindia watoto wengine insha allah
Kazi nzuri kwakweli much appreciated from 254
Muv inafundisha kwa kwakwel
Asasnte😊😊
Asante❤❤
Kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤baba Joan patronize❤❤❤❤❤❤❤😢 really love you na bila kusahau asha
Baba Johan kazi zako nazikubali sana mii ninakufwatilia sana kaza mwangi
Kweli hii imeniingia mbaka nimwaga machozi tu basi haya yote yamenikuta zaidi ya mwenye alikuwa anamsaidia ni mama na mwalimu Julias nawakumbuka sana Mungu awabariki ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuriii sana,pongezi kwako baba Joan pamoja na washiriki wote walihohusika kufanikisha video hii.
Baba Joan hongera kwa tamthlia nzuri yenye mafunzo, Patronize sauti anayo hope for sure he will go far in music industries,bt huo wimbo wa mama nmejipata tu nalia😢😢😢wenye wako kwa ndoa kuelewa muhimu alafu mpende akupendaye,kazi lazima❤❤❤
Asnte xan washiriki wote na muendlee vivyo ivo nyote kw maan hii group ya baba joan ipo vizur mnaipeleka kaz vizur xan ❤❤❤❤❤❤hongereni msitengane kbxa mnafurahisha tunawelewa na tumewazoea washiriki kw kila movie big up kw xan never never never give up ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ kw kila jambo much love🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉kazi nzuri jamani kwa baba Joan na wengine wote walioshiriki❤❤❤❤❤
Mungu akubariki baba joan❤❤❤❤❤
Asante sana baba Joan kumshikilia Patronize na madam Vicky jameni Mungu anakuona
Baba joan na patronize pongezi kwa kazi nzuri
🙏🙏🙏🙏 baba Joan shikilia sana patronize mungu atakusaitia sawa
Waah hii movie ni Kali sana na nilikuwa nauliza hii nyimbo yenye imeimbwa never give up nimejaribu kuitafuta Kila mahali but sijapata naweza saidika aje
Me nimekuwa 2
Adi mm aisei
Natamani kupata hiyo ngoma
@@alirajab1694 amount he this been😭😭run due d
Daah mbn baba Joan. Anamsimamo kweli kweli angekua mwingine ange mkubali uyo
Nmeipenda iman yake baba joan mungu azidi kumsimamia na azid kuwa na imani zaid
Waooo baba Joan na pa2roniz mnajua sana kuigiza sana❤❤❤❤
Waah mm mwenzen na shangaa ths Tym màgesa ameungana na Baba Joan waah jina la bwan libarikiwe kaz nzur san baba joan movie zako zna mafuzno sna
Una juwa Mimi nikuwa naifatiliya eyo filam mwalim mugenyi yani ongela sana❤
Nmeipenda sana ata mm nimejifunza k2 kuhusu kukata tamaa,, baba Joan hongera sana kaka,, mungu akujalizie kipaj
Kazi nzuri mwanafunzi wangu PATRONIZE....🙌🙏👌
Patronize yupo talented kwa kuimba huyo Dogo anaweza akafika mbali sana
Kazi nzuri sana hongereni nyote🎉🎉
Asante baba Joan kwa kusaidia patronize na kumpa moyo wa kuvumilia
I love that baba Joan hongereni sana pamoja na patronizy
Asante mwalimu Joan asanti piya kwa nyimbo tuna fulai
more,more love 💕 from Nairobi Kenya, Napenda sana kazi yenu,njoo kenya
Leo mwalimu Magesa ako pamoja na Baba Joan❤❤ nimefurahi
Very Nice kbs nawapend san patronize kua naroho ngumu mungu atasayidia nakupend san kutoka 🇧🇮
Movie nzur Sanaa 🎉 congratulations ❤❤❤❤
Mnaweza sana twapenda sana kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 baba joani ❤❤❤alfu ningeomba mnitumie title ya hiyo wimbo please 🎉🎉🎉
Baba Joan unacheza movie nzuri , Mungu akubariki na timu yako yote. this Sino Miles niko Australia
Hongera sana Baba Joan🎉🎉🎉😊
Baba Joan ❤❤❤asante sana mungu akubaliki san
Mwalimu baba Joan nakubali san kua naroho yaupendoo
Hatimae waalimu wameamua kumu support baba joan katika kuinua vipaji vya watoto
I do really like baba Joan your actions ❤❤❤.
Nakubali San kaz zenu nip p1 nany mwnzo mwxho 🙏🙏🙏🙏🙏
😂😂😂😂😂😂😂😂babajoan wwe eti twende ndani tukayamalize😂😂😂😂😂😂 ak nzuri xan babaa big up kw xan washirik wote movie iko vizur xan🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Jamani kunawalimu waivo saivi mungu amubariki sana baba joani🙏🙏
Wapi Mimi saivi ni doctor,alienisaidia ni waalimu wangu,baadhi,japo hawakunifunza kipaji Ila wametimiza ndoto zangu
Nawapenda sana wacezanji munauwezo kabisa ongera sana
Kwa kwel patronize Yuko na sauti tamu sana katika uimbaji, mungu amuunue ili afanikishe malengo yake
Tunashukuru sana kwa mashuri nzuri Nani ya iyi théâtre
Nimewafatia inchi Congo !! Napenda hata kazi kufata ma film yaya Baba Joan
Movie nzuri,Ina mafundisho mengi ,ahsante sana watunzi,hongera sana
wakwanza leo wapi like zangu
Waoo
Kazi nzuri kwa baba Joan
J'aime bien ce film 🤍
Et j'aime bien baba John tokea Congo RDC 🇨🇩
Truly you can,,Acha mungu akuinue
Kaz nzur xan washiriki ❤❤❤❤❤❤❤
ina funzo kweli hongera👍🌹🌹💪💪
❤❤❤ nawakubali sana wanetu
Baba Joan bigger up sana 🎉❤
Kumbe baba Joan anajua kuimba
Je mama Kalobo yuko wapi nime mmiss
Baba Joan mungu akubariki upate hata uzamini uwe na chaneli iitwe baba Joan na iwe azamu TV itakuwa zaidi ya etugulu
Patronise good perfomance and all people like babajoan athers so good job
Baba joan ❤❤❤ nawapenda saana arakini muendereye 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Wako vizuri sana katika sanaa baba Joan na patronize
Hako kanyimbo ka mama kamenifanya nitoe machozi😭😭rip mamu.
kanaitwa aje nidownload
Nakukubal baba Joan uko vzr unapamban kaka kuleta mamb mazur
Oya jamani baba Joan ongela Sana Mimi ni Abduli kutoka APA Uganda 😅😅😅
Hii movie nahipenda sana so very nice
Jamn tunaoendelea kuiangalia 2024 tujuan patronais utafka mbali sana one day yes
Baba joan mungu akubariki
Ongela Mungu ypo na wewe❤
Weeh wachawi noma sana mana daa kali
Baba joan unafanya kazi zuri kama ni ukweli
😂😂😂😂😂😂baba joan ulisema kua never give up kw kila mmja 😂😂😂😂😂 xx bac ata madam asha nae pia hakati tamaa kabxaa😂😂😂😂😂😂 hatar ak imeweza
Baba joan and your friend God bless u, and to me its my tittel that nevr give up from malawi
Baba joan, mtu huanza kwake ndo aende asaidie nje
Kazi nzuri baba Joan
Walimuuu wote wangekua kama Baba Johanii watot zet wangfk mbaliii
Hongera kwa kazi zuri
Imenfunza mambo mengi pongezi kw baba jaon group lake
Niwapen t maua yen 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nawapenda sana❤❤❤❤❤🎉
🎉🎉🎉 vizuri sana 1:20:51
Inapendeza, mafunzo tele, .sure I like. it
We love u from Kenya ♥️♥️♥️
Nan kama mama jaman ❤❤❤❤
Pongezi kwako baba joan naipenda kazi yako ambayo ina mafunzo 🙏🙏🙏
Nimefrah kumwona jamaa wa bss hapoo upo vzr nyote jamn mpo vzr
Hongera sana mwalim Kwa kazi yako
Maisha ya Patronizemm mwenyewe nmeyapitia, lakini sikupata support hata kutoka kwa walimu niliathibiwa kila time, nilichukia shule kwelikweli😭😭😭😭😭😭😭😭😭
baba joan movie zako znaelmsha sana kwa kwl tumejfnza mengi😊
Apo mwisho mamake babajoan eti uyu mpezauso akimaanisha babajoan ampige makofi aki we mama wajua kuact walai
Masha'Allah hii imeweza❤
Patronise you have good grift from you GOD keep up.
Courage muedelee ivo muvi nzuri
Patronise jamani😢❤❤❤❤🎉
Wow nimekuwa wa kwanza leo
never giver up is the new slogan in my life. kudos!! Job well done. I am waiting for the next episode
Mie kwa kweli nasema umoja ni nguvu na hivyo hapa Kenya nimetiwa motisha na huku episode, Baba yangu Kipofu, Mwalimu mgeni na watoto wangu zote zatia motisha.
Ukweli baba joan ana huruma sana
Mwalimu mgeni hongera xn
kazii nzurii
Patronise anajua sana kuimba❤